- 1 362
- 3 933 908
BELLA TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 1 พ.ค. 2020
Karibu Bella Tv Kwa Habari Zenye Ubora Na Uhakika, Tunapokea Simulizi Za Watu Mbalimbali Kuhusu Maisha Yao.
MCHUNGAJI ASIMULIA ALIVYOPEWA PESA NA MUME KWENDA KUMUUA MKE WAKE.
MCHUNGAJI ASIMULIA ALIVYOPEWA PESA NA MUME KWENDA KUMUUA MKE WAKE.
มุมมอง: 14
วีดีโอ
LYDIA BLECK AWASHANGAZA MASTAA HAWA KWA HICHI ALICHOKIFANYA HAPA.
มุมมอง 107 ชั่วโมงที่ผ่านมา
LYDIA BLECK AWASHANGAZA MASTAA HAWA KWA HICHI ALICHOKIFANYA HAPA.
RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU KUHANI MUSA NA KUMCHANGIA SH.MILLION 100 ZA UJENZI WA KANISA.
มุมมอง 897 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#samiasuluhuhassan #kuhanimusa #ikulu
CHIEF GODLOVE AKIMFUTA JOJO MACHOZI NA KUAHIDI KUFATILIA MPAKA HAKI KUPATIKANA.
มุมมอง 269 ชั่วโมงที่ผ่านมา
CHIEF GODLOVE AKIMFUTA JOJO MACHOZI NA KUAHIDI KUFATILIA MPAKA HAKI KUPATIKANA.
AGREY AKIIMBA "NAKOMBOLEWA NA DAMU YA YESU" KATIKA USHUHUDA WAKE
มุมมอง 399 ชั่วโมงที่ผ่านมา
AGREY AKIIMBA "NAKOMBOLEWA NA DAMU YA YESU" KATIKA USHUHUDA WAKE
kIBOKO YA WACHAWI "KUNA NABII KAMTOA MKEWE KAFARA"
มุมมอง 30019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#kibokoyawachawi #lubumbashi #trending
MAMA BEATRICE MWAIPAJA "KWASASA SITOFANYA INTERVIEW YOYOTE INATOSHA"
มุมมอง 2019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#beatricemwaipaja #marthamwaipaja #mamayakemarthamwaipaja
RASMI BEATRICE MWAIPAJA NI MCHUNGAJI.
มุมมอง 12119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#beatricemwaipaja #marthamwaipaja #mamayakemarthamwaipaja
RAIS SAMIA AMCHANGIA MASANJA MILLION 20 ZA UJENZI WA KANISA LA FEEL FREE CHURCH.
มุมมอง 15721 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RAIS SAMIA AMCHANGIA MASANJA MILLION 20 ZA UJENZI WA KANISA LA FEEL FREE CHURCH.
MCHUNGAJI MPYA WA KANISA LA MAJUMBA SITA AMPIGA KIJEMBE KIZITO MAGEMBE.
มุมมอง 136วันที่ผ่านมา
MCHUNGAJI MPYA WA KANISA LA MAJUMBA SITA AMPIGA KIJEMBE KIZITO MAGEMBE.
MAKUBWA HAYA: ASKOFU MAGHEMBE AFUNGUKA SABABU ZA KUJIONDOA T.A.G
มุมมอง 64วันที่ผ่านมา
MAKUBWA HAYA: ASKOFU MAGHEMBE AFUNGUKA SABABU ZA KUJIONDOA T.A.G
T.A.G WAFUNGUKA SABABU ZA KUMFUKUZA MCHUNGAJI MOSSES MAGHEMBE.
มุมมอง 26วันที่ผ่านมา
T.A.G WAFUNGUKA SABABU ZA KUMFUKUZA MCHUNGAJI MOSSES MAGHEMBE.
MTOTO WA MCHUNGAJI MOSES MAGHEMBE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA BABA YAKE KUTOKA T.A.G
มุมมอง 19Kวันที่ผ่านมา
MTOTO WA MCHUNGAJI MOSES MAGHEMBE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA BABA YAKE KUTOKA T.A.G
MCHUNGAJI MOSES MAGHEMBE AFUNGUA HUDUMA YAKE AMBAYO NI HII HAPA.
มุมมอง 42วันที่ผ่านมา
#mosesmaghembe #tag #majumba6
JAMILA DOTTO AFUNGUKA SABABU ZA KUJIONDOA ZABRON SINGERS|| NILIKUWEPO MSIBANI KWA MARCO ILA...
มุมมอง 37414 วันที่ผ่านมา
JAMILA DOTTO AFUNGUKA SABABU ZA KUJIONDOA ZABRON SINGERS|| NILIKUWEPO MSIBANI KWA MARCO ILA...
ULOMI ALIYEPOTEA 11 DEC 2024 KAKUTWA AMEFARIKI.
มุมมอง 3614 วันที่ผ่านมา
ULOMI ALIYEPOTEA 11 DEC 2024 KAKUTWA AMEFARIKI.
MASTAA HAWA WAMPONGEZA AGREY BAADA YA KUOKOKA, MUNGU AMEJIBU MAOMBI
มุมมอง 6614 วันที่ผ่านมา
MASTAA HAWA WAMPONGEZA AGREY BAADA YA KUOKOKA, MUNGU AMEJIBU MAOMBI
GOLI LA KUONGOZA KWA TIMU YA SIMBA LAZUA GUMZO LEO
มุมมอง 8114 วันที่ผ่านมา
GOLI LA KUONGOZA KWA TIMU YA SIMBA LAZUA GUMZO LEO
ANNOINT AMANI AFURAHIA MIAKA 10 YA HUDUMA YAKE "KUNA WATU HAWAPENDI NIKIKATA VIUNO"
มุมมอง 3514 วันที่ผ่านมา
ANNOINT AMANI AFURAHIA MIAKA 10 YA HUDUMA YAKE "KUNA WATU HAWAPENDI NIKIKATA VIUNO"
MWAMPOSA AMPIGA MAOMBI MAZITO MSANII RAYVANN, AMUONYA JAMBI HILI.
มุมมอง 5721 วันที่ผ่านมา
MWAMPOSA AMPIGA MAOMBI MAZITO MSANII RAYVANN, AMUONYA JAMBI HILI.
JOEL LWAGA ATOA MAANA HALISI YA NENO "OLUDUMARE" SIO VILE MNAFIKILIA NYIE.
มุมมอง 7121 วันที่ผ่านมา
JOEL LWAGA ATOA MAANA HALISI YA NENO "OLUDUMARE" SIO VILE MNAFIKILIA NYIE.
WIMBO WA DINI ULIOMLIZA NA KUMPELEKA UWEPONI MAKONDA WAKATI ALIPOKUWA AKIFANYA MAOMBI HAYA.
มุมมอง 10321 วันที่ผ่านมา
WIMBO WA DINI ULIOMLIZA NA KUMPELEKA UWEPONI MAKONDA WAKATI ALIPOKUWA AKIFANYA MAOMBI HAYA.
MUIMBAJI GODLUCK GOZBERT RASMI AWA MCHUNGAJI
มุมมอง 6821 วันที่ผ่านมา
MUIMBAJI GODLUCK GOZBERT RASMI AWA MCHUNGAJI
HUYU HAPA MFANYAKAZI WA TRA ALIYEFARIKI DUNIA.
มุมมอง 4828 วันที่ผ่านมา
HUYU HAPA MFANYAKAZI WA TRA ALIYEFARIKI DUNIA.
SEMAJI LA CAF ANASA KATIKA MTEGO WA WANANCHI (YANGA)
มุมมอง 27หลายเดือนก่อน
SEMAJI LA CAF ANASA KATIKA MTEGO WA WANANCHI (YANGA)
MANENO YALIYOMPONZA AHMED ALLY MPAKA KUFUNGULIWA KESI NA YANGA
มุมมอง 58หลายเดือนก่อน
MANENO YALIYOMPONZA AHMED ALLY MPAKA KUFUNGULIWA KESI NA YANGA
SHABIKI AMVAA ALI KAMWE || USIPOANGALIA MWISHO WAKO UTAKUWA MBAYA SANA.
มุมมอง 14หลายเดือนก่อน
SHABIKI AMVAA ALI KAMWE || USIPOANGALIA MWISHO WAKO UTAKUWA MBAYA SANA.
SANDALAND | NIMETOA SIKU SABA TU KWA ALLY KAMWE | FAIN NA MSAMAHA HADHARANI.
มุมมอง 36หลายเดือนก่อน
SANDALAND | NIMETOA SIKU SABA TU KWA ALLY KAMWE | FAIN NA MSAMAHA HADHARANI.
ANNOINT AMANI AFUNGUKA KUFUNGA MWAKA NA TAMASHA HILI KUBWA LA MIAKA 10 YA HUDUMA YAKE.
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
ANNOINT AMANI AFUNGUKA KUFUNGA MWAKA NA TAMASHA HILI KUBWA LA MIAKA 10 YA HUDUMA YAKE.
Kumbe wachokonozi wanasema kweli hawa jamaa ni taasisi hawana msaada wowote wao kwa wao mtu anaumwa mpaka anakufa
Unajua uwezi weka divai mpya ktk kiliba kikuukuu lazima divai itakipusua amekosa adabu hata ikibidi afungiwe huduma
Huo ni wivu wa kihuduma kwanza hajui huyo mbalikiwa amezuka tuu ghafla hata sijui alikotoka na mwanzo wa huduma yake ni wapi hatujui ushauli umwombe msamaha mwalimu mwakasege
Mimi Mnyakyusa Mbunifu Nimekupenda Bureeeee Shujaa Mungu Atakulinda Usiogope
Sijawahi muelewa huyu mchungaji wa kufoka foka tu😢
Kina Yuda Iskariote bado wapo makanisani kwanini 😢😢😢😢 Pole sana Adam. MUNGU AKULINDE NA ADUI ZAKO.
Mungu amlinde damu ya Yesu imfunike
Ndio shida yamakanisa yavichochoroni
Mungu akubariki mtumishi...tutasimama na mzee na sauti zetu tutazipaza kwa ajili ya mchungaji
Mungu awatie nguvu, muelewane Damu iliyomwagika Msalabani ikaweke maridhiano ❤
pepo mbaya wewe kazi kusema watumishi
I love your work bella kombo keep it up
Mungu awatete mpate haki yenu kwa jina la yesu
Mungu amlinde huyu baba jaman
Mlindeni mzee wenu asee hata huko wanaweza mwekea hata sumu
T A G na nyingine zote ni dini kama dini zingine.. sijaelewa hapo inapiganiwq dini au kristo?
Maslahi
Asiendi kwa hiyo kikao
Acheni kuliandika kanisa nje mnamvua yesu nguo
wewe kijana mdogo aliyekupa kuongea ni nani. achakutufokea, Mungu ndiye anayewapigania na kuwatetea watumishi wake aliowaita ili waifanye kazi aliyowapa. Mungu NDIYE ANAYEWATETEA
Very bad! Haya makanisa yanavunja moyo sana sana utumishi hakuna setup ya uongozi, kabisa yaani unatumika kisha ukizeeka, ukiugua unatendewa ambayo hata walimwengu hawatendeani! Mungu atasimama katika hili
Tumkabidhi mungu tuu tusiendw kimwili tumuachie mungu make ye ni mungu wa vita na hajawahi shindwa pia
Mungu atamsimamia vita vyetu si vya mwili bali si damu na nyama
TAG mnashida gani na wasukuma??na hasa wenye majina ya moses maghembe,moses kulola
Hii haiko sawa! Hatujengi majina yetu bali tunajenga ufalme wa Mungu. Liko tatizo naliona katika haya maelezo, ni bora yasingeenda hewani.
Mlizi nimungu atampigania atakufa mungu yupo pamoja nae
Wenda uyu mzee hawajui historia yake,waulize chimbuko ndo wataelewa.
The root of all evil is the love of money
Kamuita tapeli leo yaani imani hizi
Mimi nampenda Sana Mchungaji Magembe ni mkweli sana
Tanzania 🇹🇿, na kanisa la Tanzania likikuandama ujue lina kuhitaji ila haliwezi kukuomba msamaha. Tuliukataa Uchief lkn tuna utekeleza kwenye maisha yetu. Magembe anapambania utakatifu wake, Mwache Kristo ampiganie. Anyanyue Mkono wake juu, historia inajirudia hata sasa.
Baba Yako Yuko sahihi sanaaaaa, ana utakatifu ndani yake, tunaomtafuta yesu bila kutafuta miujiza basi tutaambatana na Mch Maghembe popote aendapo. 🙏
Pole sana mchungaji siku zote ukisimaa na kweli kwenye dunia hii lazima utapigwa vita. Ila tutapigana vita vya kiroho mpaka kieleweke mungu hamuachi mja wake.
hata wao tuwaombee maana nakanisa yote ya kikristo kwa ujumla wake ndilo kanisa na yesu huku kwingine ni kukosea wenyewe na kupigwa na shetani tuwaombeeni hata watu mungu awape neema. Lkn chungaji maghembe mungu amembariki huduma yake inamfaa kristo
Mungu anampango na mchungaji maghembe Wala hayo hayatampata mpaka mpango wa mungu utimie na wakat upite. Nko mwanza lakn namuona.
Wewe kijana bora ungenyamaza
Usiludishe ubaya kwa ubaya
Tunaomba kujua mch magembe amefukuzwa au ameondoka mwenyewe afu istoshe unaongea lugha chafu Sana kabla ya kuzungumzia vita iombe hekima ya MUNGU kwaza
Kaka usiiendee hii vita kimwili manake utafeli: kama unajua hamna hatia si unyamaze! vita sio yenu
Kila penye ugomvi, Pana jaribiwa na yule muovu shetani. Macho ya kiroho ni mhimu sana kutumika. Msiingie majaribuni.
MUNGU atusaidie sasa sijui tuabudu wapi??bora kila mtu aabudu nyumban kwake
Nipo pamoja na mzee magembe kutoka Kenya 🇰🇪 tunampenda sasa mchungaji magembe ,hawa wengine hatuwajui mafisi hao.
Mungu amesha mshindia kwajina la bwana
Teg ni kanisa la shetani
😢😢
Kwani neno la Mungu linasemaje kuhusu vita? Mwachieni Bwana Yesu afanye
Lazima dogo aongee kwa hasira. Haiwezekani baba yake amehudumu kwa miaka yote hiyo halafu afanyiwe vigisu
Jipe moyo utashinda
Dogo kaa kimya tunachunguza harafu usitutukane haupo kiroho ww nimpigaji kama wengine
Mimi sio TAG ila nilimpenda sana huyu mzee. Ila napata shida sana kuamini kama haya ndio maelezo ya mzee Maghembe kwa watoto wake ..duhhh
Ndugu yangu ukipewa katiba ya TAG uisome unaweza kusema ni katiba ya kikoba, niko TAG lakini nakiri wazi wachungaji wanapitia magumu sanaa
Umeongea kilichoko ndugu nakuunga mkono maana Ata mimi ni t,a,j@@danielpaulm
Kiboko nakuheshimu nakupenda baba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪