PASTOR TONY KAPOLA AMJIBU MANGE KWA HASIRA BAADA YA KUMSINGIZIA KUTEMBEA NA NIFFER

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @LoveAron
    @LoveAron 4 หลายเดือนก่อน +7

    Songa mbele pastar Tonny Mungu ana kujua vyema kuliko mtazamo wa kibinadamu ,God bless you ,Mimi na barikiwa sn na utumishi wako ❤️💪🔥🔥🔥🙏🙏🙏

    • @freenaturetv
      @freenaturetv 4 หลายเดือนก่อน

      NGANGA ANAYETIBU UKIMWI KWA KUTUMIA VITABU NA MAJI

  • @Daniella249
    @Daniella249 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa neema ya mungu naomba tu mungu afunge kinywa cha Pastor Tony asijibu kitu asibishane na walimwengu please ita mshushia thamani kwa maoni yangu 🙏🙏

  • @upendoweja6010
    @upendoweja6010 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pastor achana na kubishana na uyo kichaa as long as Mungu anakujua haina haja kumsahihisha uyo bint

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 4 หลายเดือนก่อน

    Pastor wangu usijibu chochote hao ni mapepo na mange kimambi anatumika na kuzimu pia anatafuta kiki ila aambiwe achezee watu dunia na siyo watumishi wa Mungu asije akafa kabla ya siku zake

  • @elizabethwanjiku7831
    @elizabethwanjiku7831 2 หลายเดือนก่อน

    Mange ni jini si kiumbe cha Mungu

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 23 วันที่ผ่านมา

    Niffer oyeee? Tony oyeeee

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 4 หลายเดือนก่อน +1

    Songa mbele Pastor usiyumbishwe na wapuuzi

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 4 หลายเดือนก่อน +4

    Tatizo Mange anakuwaga na Ushahidi

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor please kaa kimya usibishane na mange jibu la mjinga tumia hekima na busara ukitumia hasira mange atavujisha kweli na utaiabika wewe

  • @mariamswedi1140
    @mariamswedi1140 4 หลายเดือนก่อน +4

    TATIZO LA HAWA WATUMISHI MWANZO HUWA WANAANZA VZR LKN WAKISHAANZA KUTAMANI FEDHA NA MAISHA YA JUU LAZIMA WAINGIE KWENYE UFALME WA SHETANI NA UFALME HUU UNAKULAZIMU KUINGIA KWENYE MAMBO KAMA HAYA ILI UTIMIZE IBADA ZAO MUNGU ATUSAIDIE SANA

    • @LoveAron
      @LoveAron 4 หลายเดือนก่อน +3

      Siyo kweli huyu kijana yuko kiroho kuliko unavyo fikilia, mtandao mna chukulia tofauti kabisaa tena yuko na pesa km zotee ana mtumikia Mungu kuliko mnavyo mjua, chimbuko la pastor Bi shop Ryo....morogoro

    • @rebekajohn2231
      @rebekajohn2231 4 หลายเดือนก่อน

      @@mariamswedi1140 akili zako ni finyu sana,kabla hujaropoka mtandaoni mchunguze kwanza huyo mtu unaemsema sio kwa mtandao fatilia details za mtu kwa usahihi

    • @ClemenceKomba-wx5fb
      @ClemenceKomba-wx5fb 4 หลายเดือนก่อน +1

      God knows us than everyone, don't judge for what you heard, until God revealed to you

    • @francinenahimana7289
      @francinenahimana7289 4 หลายเดือนก่อน

      Huo mama mchungaji hajielewi usimu teteye mwanaume na japokuwa Mange uwa anasema vitu navina tokea

    • @jacksonnzai1593
      @jacksonnzai1593 3 หลายเดือนก่อน

      @@LoveAron my friend kuhusu utakatifu wa mtu mwachie Mungu. Pastor anaweza Kua kiroho kama usemavyo buy akawa Na vifungo vya aibu ukivijua utaacha ukristo.

  • @petronilamark5177
    @petronilamark5177 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ole wao wachungaji anaokota kondoo mikia

  • @RahelLwanzali
    @RahelLwanzali 4 หลายเดือนก่อน

    Wakutue tena wakukome PT wetu alafu hajui tu kai gia vita na nani? Aiseee muoneshe shoo huyo baba nyau kabsaa