MUNGU ANA MKE? MCH NDACHA VS MAZINGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina,amina mungu wetu wakristo ni mkuuu kuliko allah

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 5 หลายเดือนก่อน

    Safisana mwalimu ndacha mungu akulinde na akubariki,finya uyo mazinge kabisa,

  • @MidoMidomore
    @MidoMidomore 5 หลายเดือนก่อน +1

    neno halizaliwi ,neno hutamkwa ,kwa hiyo Mungu alitamta neno kwa Maryam na akazaliwa Yesu,wakristo chukueni hiyo

    • @willymwaipaja6783
      @willymwaipaja6783 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa sababu kwa mwanadamu neno halizaliwi, basi hata kwa Mungu neno haliwezi kuzaliwa!!!! Huo ndio uislamu na upo kwa ajili hiyo kupinga uweza wa \mungu kwa kutumia kiitwacho dini. Kauli hiyo ni ya majini ndio waliosema Mungu hana mwana.

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 5 หลายเดือนก่อน +1

    Waislamu hufikiria mambo ya kiroho (kimungu) kama mambo ya kimwili yalivyo namna ile ile wayahudi waliopotoka walivyomchukulia Yesu. Eti Mungu aliewapa uwezo wanadamu kuzaa kupitia wanawake, halafu Yeye Mungu ashindwe kuwa na mwana kwa kuwa eti hana mke!!!! Sisi wanadamu hatuwezi kuotesha mti au mimea pasipo kuwa na mbegu, sasa mwislamu anataka na e Mungu aoteshe mimea kwa kutumia mbegu!!!! Mungu ni mweza wa yote wala hakuna jambo gumu kwake yeye aliefanya mbingu na nchi. Wale wanaomwabudu mungu asieumba mbingu na nchi (Allah) huwafundisha wamwabuduo kuwa Mungu hawezi kuwa na Mwana maana hana mke!!!!! Huo ndio ufahamu wa waislamu wote. Watakapomwamini Yesu kuwa ndiye Mwokozi ndipo nuru itaangaza giza na kuelewa mambo ya kiroho. Kumfundisha mwislamu kuhusu Yesu Mwana wa Mungu ni neno gumu kama chekechea kumfundisha masomo ya chuo kikuu. Mkristo ni nuru na mwislamu ni giza haiwezekana kuelewana hadi mwislamu ajihoji na kuweka nafsi yake huru tayari kupokea ukweli.

  • @Khalidmwangwai4651
    @Khalidmwangwai4651 5 หลายเดือนก่อน

    Yani hawa wakristo hawana elimu ata ya kufikiria

  • @MidoMidomore
    @MidoMidomore 5 หลายเดือนก่อน

    wakati Mungu anaumba mbingu na ardhi pamoja na vilivyomo maana yake watu wote tuliumbwa siku hiyo,tupo watu mia mbili ila gari inapakia watu kumi,jawabu unalo

  • @jhoairdronekings
    @jhoairdronekings 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waislam Bhana mbona mnajichanganya kwenye hoja zenu?????

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 5 หลายเดือนก่อน

    Kama Mungu alizaliwa na Mariam je, Mariam aliumbwa na nani

  • @rahemahamisi3558
    @rahemahamisi3558 5 หลายเดือนก่อน

    Upotevu ulio mbali na haki
    Hamkusoma! Hata akili za kuzaliwa hamna? Allah hana mshilika