Lissu Apigilia Msumari Sakata la Rushwa Uchaguzi wa Ndani CHADEMA, Amjibu Kinana na Halima Mdee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @safiyaalharthy6382
    @safiyaalharthy6382 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tundu Lisu is a gentleman
    Keep up for your country na Mungu akubariki sana

  • @selestinej.g.mallyarabbo1444
    @selestinej.g.mallyarabbo1444 5 หลายเดือนก่อน

    Daaah respect man, The Beam of Africa

  • @richardmwandanji65
    @richardmwandanji65 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wambie TU yawaingie sema kweli uzidi kupendwa na aliekufanya uendelee kuwepo japo walipenda usiishi wayapokee ni makusudi ya Mungu siku hizi ni zamu ya mzanzibar dhidi ya mtanganyika sasahawajui kama wamasai hata iweje watasema huyu mtoto wa wazanzibari anatufukuza kwenye urisi wetu kwani yanatuhusu Nini sisi wa mikoa mingine hawa ni ndugu zetu lazima tuungane na wanao hujumiwa nilazima tukemee lushwa ni wajibu wetu na ndio wajibu wa chama chetu tutapambana na rushwa hata ikibidi kufa Mungu ametuamru kukemea rushwa

  • @FredrickSwai-m2s
    @FredrickSwai-m2s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa sana kiongozi wangu. Even Lowassa Chadema ilikuwa Rushwa.

  • @karushakamusa5525
    @karushakamusa5525 5 หลายเดือนก่อน +1

    Respect mkuuu

  • @azavelilwaitama1975
    @azavelilwaitama1975 5 หลายเดือนก่อน

    Asante mwanangu mpendwa Tundu Lissu kwa ufanafanunuzi huu wa kauli zako kuhusu muundo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar pamoja na kukemea kwako hatari ya kuendekeza rushwa katika chaguzi za ndani ya chama chetu. Endelea kutoa elimu ya uraia kuhusu maswala haya na wenye nia njema na kuitakia mema nchi yetu na chama chetu cha Chadema tunajua kuwa huna ubaya na mtu bali unakitakia chama chetu cha Chadema mafanikio ya kisiasa chini ya uongozi imara na mahili wa Mwenyakiti wetu na mwanangu mpendwa kama wewe Freeman Mbowe. Wanao ombea chama chetu cha Chadema mafarakano yatakayokidhoofisha "washindwe na kulegea".

  • @kisarikisari534
    @kisarikisari534 5 หลายเดือนก่อน

    Lissu for presidency

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waizi sana wanataka tusemeje, kwanza wshaanza kuzitumia

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 5 หลายเดือนก่อน

    Sema sema baba RUSHWA imekwisha ingia CHADEMA. Bila fedha huwezi kuchaguliwa. Uhonge nfipo uchaguliwe. Kwa sasa CHADEMA iko kwenye kipindi kigumu sana. Wameachwa wazoefu wamechaguliwa viongozi ambao hawana uzoefu.

  • @HusenNdwata-yb6nw
    @HusenNdwata-yb6nw 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki san rais wang

  • @richardmwandanji65
    @richardmwandanji65 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kamatakukuru wanachunguza waanzie kwa kina mdee na wenzake walipewa rushwa nanani

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 5 หลายเดือนก่อน

    Ila viongozi wa Tanzania acheni kuthamini wageni kuliko wazawa Hawa maskini

  • @mr_kajomba_og5719
    @mr_kajomba_og5719 5 หลายเดือนก่อน +4

    Tundu tundu tundu lissu wewe ni mtu wa maana kabsa

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 5 หลายเดือนก่อน

    Lisuu safii

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kosa gani kukemea rushwa? Huwezi kukemea maovu nje,ukaacha ndani mwako yanaota mizizi.

  • @SaidHamoud-h9t
    @SaidHamoud-h9t 5 หลายเดือนก่อน

    Bingwa wa poropaganda hongera

  • @danielkanso
    @danielkanso 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unaeleweka kiongozi wetu shida hata siyo kusema shida kubwa ni nani kasema na unaposema wakubwa tumbo inapata joto kwa sababu watu wengi wanakusikiliza

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 5 หลายเดือนก่อน

    Hujaelewa hoja ya Lissu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 หลายเดือนก่อน

    Ukweli utakuweka huru.

  • @EliyaMbosore-yv3zx
    @EliyaMbosore-yv3zx 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nimemwelewa wew ni kiongozi jasili sana

  • @cosmaswilliam3805
    @cosmaswilliam3805 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nimwema.atatupigania wewe chapa kazi lissu,watanzania wapo wanaojitambua usiofu .

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 5 หลายเดือนก่อน

    Wanaokushambulia ni vibaraka wa CCM , Vibaraka hao hata wanachohongwa ni kipesa kidogo sana kulinganisha na hao wanaowagawia.

  • @GabrielDaniel-lv7ut
    @GabrielDaniel-lv7ut 5 หลายเดือนก่อน

    Pamoja mzee wenye akili chana tumekuelewa watanzania tumelimika sasa

  • @JosiaWmela
    @JosiaWmela 5 หลายเดือนก่อน

    We ndio mwamba ulionaki tanzania

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 5 หลายเดือนก่อน

    chadema mnatakiwa kutoa na nyinyi rushwa kwa wana ccm ili ngoma iwe drooo

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 5 หลายเดือนก่อน

    rushwa iligonga mwamba kwa watu wawili tu mbowe na lissu

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 5 หลายเดือนก่อน

    Kkkkk kweli watanzania tumefikia kumsikiliza huyu amesema rushwa ndani ya chadema hatoi maelezo kamili ikijadiliwa na wengine NI taharuki wao kina lisu NI Sawa na watu wanamfurahia

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 5 หลายเดือนก่อน

      Huon ni uchawa kama mwingine

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 หลายเดือนก่อน

    Mbowe kahongwa na CCM

  • @GiftKayuki
    @GiftKayuki 5 หลายเดือนก่อน +1

    President Lissu💯🔥

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 5 หลายเดือนก่อน

      Ni ndoto tahira kuja kwa Raisi wa tz 🤣🤣

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu chizi nani hampe nchi

  • @LeonardUpunda-m6v
    @LeonardUpunda-m6v 5 หลายเดือนก่อน

    Big up,Baba Mungu akutie nguvu zaidi na zaidi.

  • @LwidikoLwenge
    @LwidikoLwenge 5 หลายเดือนก่อน +2

    Lisu piga hapo hapo tupo pamoja na ww kamanda 😅

  • @IsayaMedot
    @IsayaMedot 5 หลายเดือนก่อน

    Nakumbenda Kwa moyo tundu lisu

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 5 หลายเดือนก่อน +1

    SO NILIWAAMBIA?HUYU MWAMBA HAMUNG'UNYI MANENO❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 5 หลายเดือนก่อน

    WEWE SIO UKOHAUPO KWA AJILI YA WATANZANIA WEWE UNATAKA WATU WAMWAGE DAMU ALAFU UKIMBILIE HUKO UBELGIGI KWA MABWANA ZAKO KIMASLA

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 5 หลายเดือนก่อน

      Hamza Heri tunata Tanganyika yetu kabla hatujauana

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 5 หลายเดือนก่อน

      Hamna kitu hapo porojo tu,

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 5 หลายเดือนก่อน

      Damu inatoka wapi nyerere aliwafukuza wanzunfu na damu haikumwagika ije leo watu weusi

    • @albinusmkono5887
      @albinusmkono5887 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe hamza acha ujinga kwani kumwaga damu kwa ajili ya kutafuta haki

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 หลายเดือนก่อน

    Waitara.

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona Makonda alipokelewa rushwa hadharani mlimponda

  • @fahadomar5809
    @fahadomar5809 5 หลายเดือนก่อน

    Mm nachukia sana muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee wa kuleta chuki tz na family yako umeificha us ati ni mzalendo wacha umbea plz

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 5 หลายเดือนก่อน

      We ndo mpumbavu sana

    • @KassimKhalaid
      @KassimKhalaid 5 หลายเดือนก่อน

      @@George-jz3jg ukweli ndo uwo uwezi sema muafrica ni mgeni ndani ya africa kweli

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 5 หลายเดือนก่อน

      Ww ni mjinga kabisa

    • @geraldstanslaus2984
      @geraldstanslaus2984 5 หลายเดือนก่อน

      uko timamu kweli

    • @sizorstartv6168
      @sizorstartv6168 5 หลายเดือนก่อน

      tulieni kama huna akili unakaa kimya wewe

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 5 หลายเดือนก่อน

    Ambayaye yupo,ccmz, asiteseke, asome tu cement atazimia lissu mwamba

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 5 หลายเดือนก่อน

    Hee kumbe chadema kuna rushwa nilidhani CCM peke yake 🤣🤣🤣

    • @albinusmkono5887
      @albinusmkono5887 5 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza vzr wewe mbuzi.ccm imeleta Hela za rushwa chadema itumike kuchagua viongozi dhafu watakaoua chadema. Sio Hela za chadema.umeelewa sasa.??na Hela waliozitoa amewataja

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu mkubwa akulinde daima ktk ulimwengu huuuu haramu unaofanywa na familia ya CCM, hakika IQ yako IPO juuuu Kwa kuifundisha hiiiiiiii jamiiii iliyopo mbele yetu na Dunia nzima, elimu ya kisheria unaitendea Haki 😭😭😭😭😭😭😭😭 ninatoa machozi Kwa uchungu Kwa unavyotufundisha watanganyika, lkn hakuna anakuelewa, nchi inaangamia Kwa kuwa na viongozi wasiokuwa na huruma na Taifa letu, Mungu akuongoze kwenye hili janga

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 5 หลายเดือนก่อน

      Umenchekesha 😂😂eti umelia kwa uchungu 😅😅

  • @fahadomar5809
    @fahadomar5809 5 หลายเดือนก่อน

    Bora muungano uvunjwe