Mbowe: Tusilishane Maneno Malaini, CCM Wana Kiburi. Ni Kuhusu Sheria za Uchaguzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 75

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mh Mbowe ni Kichwa very detailed presentatiob

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mh Mbowe📌📌📌📌

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 5 หลายเดือนก่อน +5

    Action speak louder than words,,CCM NI SAWA NA MBURU KENGE WANA MACHO HAWAONI WANA MASIKIO LAKINI HAWASIKII ILA KWA KIGONGO.

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli. Kwa sababu sisi ni waoga Sana.

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 5 หลายเดือนก่อน +1

    SAHIHI KABISA MBOWE.

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 5 หลายเดือนก่อน +8

    CCM ACHENI UKIRITIMBA , WANANCHI TUNACHOHITAJI, NI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA. WATANZANIA TUNATAKA MABADILIKO AMBAYO YATALETA UWAJIBIKAJI. KUIBIWA FEDHA ZA UMMA NA KULINDANA TUMECHOKA.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli

    • @ezekieldeus6022
      @ezekieldeus6022 5 หลายเดือนก่อน

      Wakati wowote ukifika wakati wa mabadiriko wewe mtawala, au mwenye mamlaka, huwezi kupingana na wakati huo, hapo Jambo la musingi nikukubaliana na upepo, au, uvumi unao vuma. Nikiwa na maana kuwa huu ndiyo wakati sahihi, wa mabadiriko ya katiba, na kuwepo tume huru ya uchaguzi, ili nchi na raia wake viweze kustawi.

  • @aloycesingano1352
    @aloycesingano1352 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anazungumza kilichopo na uhalisia na anaongea yakweli kabsa japo sisi watanzania wengi ni watu wakufata mkumbo na kuto kujitambua hawa ccm siyo chama cha kifalme lakin watanzania walio wengi wenye kukosoa chama cha chadema huwa hatuna akili zautambuzi juu ya siasa kiukweli

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani mwenyekiti wangu mbowe Kama ulivyosema wasaini waandikishaji ni walewale watendaji wa CCM walioharibu uchaguzi mwanangu akiomba nafasi ya kuandikisha kijijini kwetu Wanajua Mimi ni kiongozi wa CHADEMA walikua na kigugumizi ya kusajili mwanangu ,, hawa wasanii wa CCM wanaiharibu nchi

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pana jambo moja ambalo Chadema hamulioni, Mwalimu alisema siku CCM ikigawanyika kutatokea upinzani wa kweli. Lowasa alipotoka CCM aliwapa umaarufu kwa kiasi kikubwa. 2015 msingechukua kama yard stick yenu. Jengeni chama chenu, you have room to grow, Wananchi wasiporidhika Wala hawana haja ya kusubiria katiba, wataikataa serikali tu.

  • @aloycesingano1352
    @aloycesingano1352 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm 2025 mtajua maana ya Siasa huru mjipange kwakweli

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe kazana,,,Endelea kushauliana nao mpaka tutakapokuwa tunakaribia mahara pake!!!

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mfumo bora na demokrasia imara na tume huru ya uchaguzi itakayotenda HaKI ndio msingi mkuu wa utu wetu na ubinadamu wetu katika nchi hii.

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 5 หลายเดือนก่อน

    Wasomi Chenge,wasira na the whole group of akina prof Mkumbo ,Kabudi na wenzao.ni wachumia tumbo tu.... hawataki reforms za kweli.

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 5 หลายเดือนก่อน

    CCM NI MISUKULE ISIYOJITAMBUA KAZI MAMA, MAMA MAMA MIJITU MIZIMA NA AKILI ZAO ZINAMTUKUZA MWANAADAMU MWENZAO!

  • @stevenialbert5033
    @stevenialbert5033 5 หลายเดือนก่อน

    Tupo pmj chadema

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 5 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wapumbavu na wajinga watadharau maneno ya Mboe , huyu kaongea kwa hoja muhimu za kitaifa

    • @stanslausbernard5950
      @stanslausbernard5950 5 หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu ni wewe unayedhani kuwa mbowe hakosei

  • @aliykamaga4174
    @aliykamaga4174 5 หลายเดือนก่อน

    Yani dawayao nikuamua yani munawaomba tripuhii kitukitaonekana

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni lazima kuwatusi watu ili kutoa maoni?

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 5 หลายเดือนก่อน +1

    I hoe ccm wameipata msg hii

  • @eatlawe
    @eatlawe 5 หลายเดือนก่อน +4

    Ila ninyi vyama vya siasa kwa miaka 30 bado hamjifunzi tu? Bado mnatumia njia hizo hizo ambazo zimekuwa zinawakandamiza. Mmekuwa ombaomba miaka yote ndio maana mnadarauliwa kwa sababu hamna madhara ya kelele zenu! Hamjifuzi hata kwa majirani hasa Kenya?

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 5 หลายเดือนก่อน +1

      Unataka wafanyaje sasa

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 5 หลายเดือนก่อน

      @@elinamilyatuu7337 wajiuzulu hawo wala RUZUKU tu kazi yao MATUSI na UDINI

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe uliyecomment uko upande UPI? Au ww sio mtanzania?

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 5 หลายเดือนก่อน

      @@dionismutayoba3542 NDIO NYIE MKIAMBIWA NA MCHUNGAJI KULENI NYASI MNAKULA HATA BILA KUHOJI 🤧🤧🤧🤧🤧

    • @Ushauri235
      @Ushauri235 5 หลายเดือนก่อน

      Wape solution wafanyeje acha kejeli

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 5 หลายเดือนก่อน

    Katika comments hizi utaona mgawanyiko wa uchawa wa udini comments imekaa kidini hebu amgalieni mwone

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 5 หลายเดือนก่อน

    Mbowe Hai uliifanyia nn mpaka muda huu

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe ni mbaguz san mwishoe utasema kwann wachaga hawajapata urais hata siku moja

    • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
      @AlphaxardMRusweka-jr1wi 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ndo ubaguzi,unataka kuniambia Kila kabila lilishatoa mtu wa kuwa rais, ?

    • @juliusjohnii7823
      @juliusjohnii7823 5 หลายเดือนก่อน

      Abuu ni mbaguzi sana.

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mbaguzi nambari moja ni wewe! Achana na mh mbowe!

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน

      Endeleeni kukaa na maisha magumu.
      Hamtaki mabadiliko...

    • @ezekielmatinya8314
      @ezekielmatinya8314 5 หลายเดือนก่อน

      Shida ya kununuliwa bando na shemejiyo

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 5 หลายเดือนก่อน

    CHADEMA HATA tume itoke mbinguni hamtoboi sababu HAMNA sera bali ni UBAGUZI NA MATUSI NA KUSUBIRI MATUKIO 😢😢😢😢

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 5 หลายเดือนก่อน +1

      Brain za peanut hua mpo active sana kujidhalilisha

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sera wanayo ila tunahitaji kuwa na mfumo bora na demokrasia imara nchini na tume huru ya uchaguzi itakayotenda Haki.

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ni CCM kindakindaki hayo ndiyo maneno tunayoyategemea kutoka kwako

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 5 หลายเดือนก่อน

      @@ezekielkiduge8730 SIASA HAZINA RAFIKI WALA ADUI 🥳🥳🥳🥳🥳NIMEANGALIA NCHI HII HAINA UPINZANI IKO NA WAHUNI 🥳🥳🥳🥳🥳

    • @aloycesingano1352
      @aloycesingano1352 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewee jamaangu unaelewa kweli siasa?

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 5 หลายเดือนก่อน

    Mbowe wewe unaleta polojo tu hapo wamuzi ni wapiga kura tu hata wazimamizi wa kura wawe wapya ni vile vile tu wapiga kura wanafata huja na utendaji wa chama au Serikali na neno kusema kupigwa sio Chadema tu hata CCM wamepigwa

    • @FrankJaphet-l8t
      @FrankJaphet-l8t 5 หลายเดือนก่อน

      Ww mohamed nichawatu

    • @PaulinaSinyanya
      @PaulinaSinyanya 5 หลายเดือนก่อน

      Ya uyo Mohamed sio chawa uyo ni kichupi 👙

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 หลายเดือนก่อน

      Ni kunguni

    • @danielkanso
      @danielkanso 5 หลายเดือนก่อน

      Mmmh watu wengine basi tu

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe huna lolote ulikaa miaka 15 kama mbunge wa Hai ulifanya nini jimboni.Maendeleo yaawamu tano yalikuwa safi safi .Mbowe wewe ndiye unayalalamika

    • @eatlawe
      @eatlawe 5 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe una manufaa na mfumo kwa hiyo lazima umwone Mbowe ni adui wenu. Ila usifikiri hana mwisho!

    • @SuleimanEdward-f1n
      @SuleimanEdward-f1n 5 หลายเดือนก่อน +3

      Ulitaka akuletee chakula nyumbani kwako ama

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 หลายเดือนก่อน

      Mbunge wa upinzani hawajibiki kufanya lolote kwa sababu inayofanyakazi ni Ilani ya uchaguzi ambayo kwa Mbunge wa upinzani haipo kazini.

    • @WinfridaFabian
      @WinfridaFabian 5 หลายเดือนก่อน

      Ni kawaida yenu hata jina la baba take mbowe kusema alishiriki kwenye uhuru wa hii nchi uliona wap wakt yy ndo alikua mwezeshaji wa safar za mwalimu nyerere

    • @nicholausmramu
      @nicholausmramu 5 หลายเดือนก่อน

      Ww klemency ww sio wahai una washwa nilisha kuambia ww nichawa