Bravo 😊Maestro Kitime...simulizi ya kusisimu sana...yenye maudhui ya misukosuko ya safari na starehe, umaarufu, na mgawanyiko wa kimaslahi baina ya wanamuziki. Simulizi yako ina fundisho kubwa kwa vijana wa sasa wanamuziki. Nidhamu na kujitunza dhidi ya ulevi na vishawishi vya warembo😂
Nasikia kwa nyuma hapo wimbo wa Sheshe Lubandila,enzi hizo nipo shule ya msingi Mlandege,kila jumapili Tancut wanapiga pale Samora Stadiums, ilikuwa burudani sana
Asante kaka kitime kwa taharifa na story za misukosuko mliyopitia Poleni sana... Naomba u niambie jina la wimbo back ground kuanzia dakika ya kumi unaitwaje na nani alipiga hilo gitaa... Kuna wimbo unaitwa njenje lutandila kama sijakosea. Je ni tancut au ruaha International...
Lutadila...utunzi wa Kalala Mbwebwe...alirekodi mara nyingi wimbo huo, alirekodi na Tancut huu uliopo hapa, alirekodi na Ruaha International Orchestra na alirekodi pia na wanamuziki fulani kule Kenya
@@zamaziletanzania asante kaka kwa taharifa ...je unaweza kuutupia huo wa tancut kwenye chanel yako kama unao Tafadhali...wimbo umetulia sana na zile nyuzi bin nyuzi zimekubali sana
Kaka kitime kiswahili unachokionge ni kizuri sana
Bravo 😊Maestro Kitime...simulizi ya kusisimu sana...yenye maudhui ya misukosuko ya safari na starehe, umaarufu, na mgawanyiko wa kimaslahi baina ya wanamuziki. Simulizi yako ina fundisho kubwa kwa vijana wa sasa wanamuziki. Nidhamu na kujitunza dhidi ya ulevi na vishawishi vya warembo😂
Nasikia kwa nyuma hapo wimbo wa Sheshe Lubandila,enzi hizo nipo shule ya msingi Mlandege,kila jumapili Tancut wanapiga pale Samora Stadiums, ilikuwa burudani sana
Tunasubiri Mkuu
RIP "Father Keydevu"
Asante kaka kitime kwa taharifa na story za misukosuko mliyopitia
Poleni sana... Naomba u niambie jina la wimbo back ground kuanzia dakika ya kumi unaitwaje na nani alipiga hilo gitaa... Kuna wimbo unaitwa njenje lutandila kama sijakosea. Je ni tancut au ruaha International...
Lutadila...utunzi wa Kalala Mbwebwe...alirekodi mara nyingi wimbo huo, alirekodi na Tancut huu uliopo hapa, alirekodi na Ruaha International Orchestra na alirekodi pia na wanamuziki fulani kule Kenya
@@zamaziletanzania asante kaka kwa taharifa ...je unaweza kuutupia huo wa tancut kwenye chanel yako kama unao
Tafadhali...wimbo umetulia sana na zile nyuzi bin nyuzi zimekubali sana
@@vincentmushi1247 NTAJITAHIDI
Thanks very much for the flashback brother JK
welcome Sir
❤😮
Hahahaha