Nilisikiliza redioni siku ya hili tamasha la fainali, hakika ilikuwa inanifanya nijione nipo uwanja wa Taifa, hasa walipokuwa wanakatisha matangazo kusikiliza taarifa ya habari nilikuwa najisikia kukosa sehemu ya uhondo. Mwanzoni nilikuwa nimefuatilia karibu kila bendi ilipokuwa inapiga kwenye ukumbi nyimbo zao za mashindano mbele ya majaji. Kumbukumbu nzuri sana!
Kaka J kitime shikamoo Wewe ni mmoja kati ya wanamuziki Ambao nawakubali sana...uliifanya tancut,wana fimbo lugoda kufahamika sana na kupendwa Pamoja na kina kasaloo kyanga na kiyanga songa na abdul salivado Father kidevu...iringa wakati huo miaka ya 80 ilichangamka sana Nilitembea toka kihesa usiku mkavu kuja kuwaona maeneo ya Tanesco kwenye ukumbi wenu... Nyimbo za tancut zipo humu Lkn naomba kama una wimbo wa Ruaha International band na kibao chao cha njenje lutandila...asante sana...
mm namkumbuka rafiki yangu kipenzi amani ngezi mpiga bezi naitwa job Moses nipo tip top manzese kipindi icho nilikuwa air pot mbeya
Kimtazamo nahisi km midundo na sauti za waimbaji zinalingani ni MAQUIZ
Nilisikiliza redioni siku ya hili tamasha la fainali, hakika ilikuwa inanifanya nijione nipo uwanja wa Taifa, hasa walipokuwa wanakatisha matangazo kusikiliza taarifa ya habari nilikuwa najisikia kukosa sehemu ya uhondo. Mwanzoni nilikuwa nimefuatilia karibu kila bendi ilipokuwa inapiga kwenye ukumbi nyimbo zao za mashindano mbele ya majaji. Kumbukumbu nzuri sana!
Unakumbuka mshindi wa kwanza mpaka wa tano na nyimbo zao.??
1. Kuwajibika- MK Group
2. Ufitina- Salna Brothers
3. CCM imekuwa- Sambulumaa
4. Makumbele- Marquis
5. Ogopa matapeli- Vijana jazz
6. Ngoma za Afrika- Tancut
7. Muziki asili yake wapi? - Matimila
8. Tazama Tanzania- Varda Arts
9. UKIMWI-Mwenge jazz
10. Elimu- Safari Sound
Nadhani kumbukumbu zangu ziko sawasawa
Nahis Tancut wangeingia kwenye mashindano na wimbo Nasikitika au urafiki wa uwongo nahis wangefanya vzuri zaidi
Lakini kumbuka kuwa nyimbo zao zote zilichukua zawadi katika tatu bora
Mkuu,baada ya tancut,tupia ule wimbo wa safari ya Zimbabwe,ruaha international!!
sikuwahi kuwa Ruaha International hivyo si vizuri mimi kusambaza nyimbo za bendi hiyo bila ruksa yao
Mkuu, nasubiria uweke Kibao cha Aimala Mbutu, Makassy Anifa.
Kitime Wewe
Salaaam brother Kitime...naomba namba yako tuwasilianee
Kaka J kitime shikamoo
Wewe ni mmoja kati ya wanamuziki
Ambao nawakubali sana...uliifanya tancut,wana fimbo lugoda kufahamika sana na kupendwa
Pamoja na kina kasaloo kyanga na kiyanga songa na abdul salivado
Father kidevu...iringa wakati huo miaka ya 80 ilichangamka sana
Nilitembea toka kihesa usiku mkavu kuja kuwaona maeneo ya Tanesco kwenye ukumbi wenu...
Nyimbo za tancut zipo humu
Lkn naomba kama una wimbo wa Ruaha International band na kibao chao cha njenje lutandila...asante sana...
sikuwahi kuwa Ruaha International hivyo si vizuri mimi kusambaza nyimbo za bendi hiyo bila ruksa yao
@@zamaziletanzania asante kaka
Nimekupata...nilidhani unaturushia na za bendi nyingine...
Huu wimbo ngoma ya africa kwanini haupo youtubr?
Eko wanamziki
sante
Umenikumbusha mbali
ndio nia yenyewe
Tancut Almas Katika Ubora wao
Kinyekinye kisonzo
Tancut Almas iliuchangamsha sana mji wa Iringa, ilikuwa ni balaa
we acha tu ilikuwa raha sana
@@zamaziletanzania big up mzee wetu ,vipi kimulimuli pale mafinga wakati ule