Daa nakumbuka mbali sana. Nakumbuka Kawelee anaanzisha solo gita lake, vyombo vinaanza kuchanganya... lakini hatumuoni mwimbaji wa wimbo huu jukwaani. Tunapotaka kujiuliza mara kijana mmoja mtanashati sana anapanda jukwaani na kuwahi kuimba kwa wakati. Huyu kijana hakuwa mwingine bali Banza Tax. Nadhani Kitime alikuwa kwenye rythim 🎸
Wimbo mzuri sana umenikumbusha miaka hiyo nipo iringa!nilikaa nyumba moja na Banza(kwa Mkinga safi)
Napenda sanavitu hivwakati huonilikuanasombaulanzi kipaduka hizinizasisiwahenga
Daa nakumbuka mbali sana. Nakumbuka Kawelee anaanzisha solo gita lake, vyombo vinaanza kuchanganya... lakini hatumuoni mwimbaji wa wimbo huu jukwaani. Tunapotaka kujiuliza mara kijana mmoja mtanashati sana anapanda jukwaani na kuwahi kuimba kwa wakati. Huyu kijana hakuwa mwingine bali Banza Tax.
Nadhani Kitime alikuwa kwenye rythim 🎸
This song reminds me the sweet voice of my late beloved Young brother "BANZA TAX" with Tancut Almasi. Great composition!
dah kitambo sana
I would prefer if you at least put a photo of the Composer and Singer Banza Tax. Look on my Facebook you will get his image.