Radio band 2 hapo Philip's,no stress no worries, maisha simple kabisa, enzo hazirudi tena, ila imebaki kumbukumbu, asante TH-cam, tunajiona kama bado tunaishi na zile enzi. 19.12.23.
@@arapmeli6228 he he he ❤ kweli kabisa Redio philips, R T D ,midundo motomoto,Siku zikiwekwa Betri mpya, wee midundo hadi majirani wajue kuna betri mpya kwa jirani ,manake sauti hadi mwisho 😂😂 .enzi ndio hazirudi tena. ipo siku tutakutana nao tena wale wote tuliokuwa nao enzi zile.
Hii wimbo ni wa Atomic Jazz Band na SIYO Jamhuri Jazz Band. Mtindo wa band katika wimbo huu ulijulikana kwa jina la KIWEKE na aliyepiga Gitaa la Solo ni Bw. John Kijiko. Tafadhali rekebisha.
Atomic Jazz ....ktk ubora wke...John kijiko , Roger Isaac (waimbaji) Mgoro (besi) Mganga (rithym) John kilua (tumba) John mbula (saxophone) ....TANGA ...(FIRST AND LAST)
Hongereni wa wazeee wetu wa zamani kweli mziki ulikuwa kwenye damu zenuui✅✅✅✅
Radio band 2 hapo Philip's,no stress no worries, maisha simple kabisa, enzo hazirudi tena, ila imebaki kumbukumbu, asante TH-cam, tunajiona kama bado tunaishi na zile enzi. 19.12.23.
Ahsate zilipendwa tz hongera kwa kutunza hazina
Yakale Dhahabu.
Nakumbuka miaka hiyo tulipata hivi vibao kutoka RTD.
Kila la heri sana Mbaraka na Moro Jazz. Mola aiweke roho yake mahali pema peponi wale ndugu zetu wana Moro jazz
Mnaniliza nikikumbuka zamani wakati ningali mdogo loooo!
Nikiwa shule 80s baba akiwa na redio ya Philips.
August 2024
@@arapmeli6228 he he he ❤ kweli kabisa Redio philips, R T D ,midundo motomoto,Siku zikiwekwa Betri mpya, wee midundo hadi majirani wajue kuna betri mpya kwa jirani ,manake sauti hadi mwisho 😂😂 .enzi ndio hazirudi tena. ipo siku tutakutana nao tena wale wote tuliokuwa nao enzi zile.
Old is Gold.
JAMANI HUU WIMBO UIMBAJI UNANIKOSHA SANA
Huu wimbo nimeutafuta miaka nyingi mno. Ahsante.
Karibu sana
@@ZilipendwaTanzania karibu.
🎉The pressingly characteristic habits
Naam huu ni wimbo wa Atomic Jazz Band ( Atom) na siyo Jamhuri( wana dondora).
Hii wimbo ni wa Atomic Jazz Band na SIYO Jamhuri Jazz Band. Mtindo wa band
katika wimbo huu ulijulikana kwa jina la KIWEKE na aliyepiga Gitaa la Solo ni Bw. John Kijiko. Tafadhali rekebisha.
@@ZilipendwaTanzania siyo kweli. Waimbaji hao ni tofauti kabisa.
@johnhizza8678 Hahaha sawa
Hii ni Atomic jaz,sio jamhuri.
😢Kiweke Atomic John Kijiko
ASANE ZILIPENDWA NI KIBAO KIZURI SANA
❤❤❤❤
Atomic Jazz ....ktk ubora wke...John kijiko , Roger Isaac (waimbaji) Mgoro (besi) Mganga (rithym) John kilua (tumba) John mbula (saxophone) ....TANGA ...(FIRST AND LAST)
BN
ATOMIC JAZZ BAND..."KIWEKE"...NOT JAMHURI JAZZZ..