UTAPELI ALIOFANYIWA KIJANA HUYU UTAKUACHA MDOMO WAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 79

  • @youngteo4158
    @youngteo4158 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana nakukumbuka teach

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 5 ปีที่แล้ว +4

    KTV TZ Online HAKIKA hii nifahariyetu

  • @mboniyangu6598
    @mboniyangu6598 5 ปีที่แล้ว +4

    mmh mtihani, km mtu halijamfika basi Allah amuepushie, na wengi wao huwa wanatumia ushirikina lkn In Shaa Allah Mola atatuzindua kwa kila mbinu zao mpya, Amin

  • @HassanAbdulrahman-mn1oc
    @HassanAbdulrahman-mn1oc 7 หลายเดือนก่อน

    Pole teacher

  • @mussakhamis2377
    @mussakhamis2377 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +1

    Ah Maskini imani zetu Wazanzibari zinatuponza pole sana kaka kwa ima imani zetu zakiislamu hazijapotea utazikuta tu

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani kidogo duh.

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 ปีที่แล้ว

    Hee.....kaka una mwanya mzuri aiseee hongera

  • @iyabakar3612
    @iyabakar3612 5 ปีที่แล้ว

    Duh pole teacher mudii maskn pol utapat riziki nyngn

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 5 ปีที่แล้ว +1

    Dunia hii na maisha haya yule ndugu yangu nilozaliwa nae basi mm simuamni utapeli upo kila sehemu na so zanzibar tu MI nawasihi maisha haya siyakuamniana kabisa hakuna mznzbr wl mznzbr maisha sio haya

  • @stonetown578
    @stonetown578 5 ปีที่แล้ว +2

    Utapeli upo kweli lakini dua'a muhimu hata ukipokea simu sema Bismillahi, na pia usiamini kila mtu hata awe na shida gani.

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

      Zanzibar Yetu binaadamu saiz tumeharibika sikuaminiana kila mtu lazima ujifunze roho mbaya naroho ngumu

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole moh'd jiran yangu kijana mwezang

  • @shaythtamim4729
    @shaythtamim4729 5 ปีที่แล้ว

    Duh sio mas hara

  • @ummimohammed9359
    @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว

    adhkari za asubuh
    na jion tusiwache mtu aje na majini milioni hakupati kukuibia wala kukudhuru。dini yetu imemaliza mafunzo ya maisha yetu。nijuu yetu tu

  • @saidaliy1567
    @saidaliy1567 5 ปีที่แล้ว

    Polee

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 5 ปีที่แล้ว +2

    Zanzibar imeshakua kama Bara

  • @khamisijuma4842
    @khamisijuma4842 5 ปีที่แล้ว +2

    Mm ni mfanya biashara maana wanao tapeli ni wenyeji wetu wa hapahapa visiwani mwetu mm tena watu wengine huwazani wakija maana ni watu wazima

    • @yahayamjenga1996
      @yahayamjenga1996 5 ปีที่แล้ว

      usiseme sana akhy maana kila balaa na tatizo likitokea zanzibar wanasema ni wabara sasa sijui wazanzibar hawafanyi dhambi?..... au ule utalii hauathiri?.... na mchanganyiko pia,,,,,but kutukana wabara kwa ujumla sijui ndo maelekezo sahihi au vp maana kuna watu no bora kwa Allah kuliko yule anayejitakasa

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 4 ปีที่แล้ว

    Ndugu sheha watu siku hizi watumia ushirikina kwa ajili ya kunyanganya watu pesa ila wengin sana wanatapeliwa kwa njia simu wanawake

  • @salumchande2702
    @salumchande2702 5 ปีที่แล้ว

    dunia imeharibika saiv

  • @mohammedsaleh2202
    @mohammedsaleh2202 5 ปีที่แล้ว

    pole znz

  • @thomasmaphior79
    @thomasmaphior79 5 ปีที่แล้ว +2

    Kak usiwe na shaka me nipo mbele we ukitak location y mtu weka number yake alipo utamuona

  • @salhinahassan4899
    @salhinahassan4899 5 ปีที่แล้ว

    Ndio shida yakumuamini kila mtu maisha yamebadilika tahadhar nakuwa makini

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah atustiri sisi na vizazi vyetu in sha Allah

  • @khamisijuma4842
    @khamisijuma4842 5 ปีที่แล้ว +1

    Ah utapeli upo Zanzibar mm mwenyewe nilisha tapeliwa pia hapa Zanzibar

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa yashayonifika basi Ata nikuone apo unakufa kama sikujui basi nibora nikuache ufe tu kwani saivi binaadamu siwakumuamn hata yule ulozaliwa nae wacha wengne

  • @mbaroukhmza2892
    @mbaroukhmza2892 5 ปีที่แล้ว

    Mzanzibar kutapeliwa c dakika 0 tu,

  • @Specialonejr
    @Specialonejr 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo wa kwanza Dah mbona kiurahis rahis ila ALLAH atunusuru!

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 5 ปีที่แล้ว

    Mtihani sana hata Mimi niliibiwa

  • @ahmedwar.f.f5517
    @ahmedwar.f.f5517 5 ปีที่แล้ว +3

    wanatumia majini wengine na mashetani hata awepo wapi akikukusudia ubaya utamtumia tu tena anachokitaka yeye alichokunuwizia tuwe makini wanatazaki kwa majini siku hizi

  • @othmanhamad6991
    @othmanhamad6991 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni msomi wa wapi lakini?
    Umempa laki moja na 25 elfu, halafu yeye akuzawadie laptop! Hiyo ni laptop au ni cm ya tochi?

    • @saidaliy1567
      @saidaliy1567 5 ปีที่แล้ว +1

      Othman Hamad hhhhhhhhh

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 5 ปีที่แล้ว

    Bora munataperina wenyewe sababu wangekua wala mungeongea sana mara ohhh wala wezi munajisaau kwamba wa Zanzibar wezi namba moja

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee, watapeli hawachagui msomi au sio msomi. Muhimu tuwe makini

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 5 ปีที่แล้ว

    Njaa

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 4 ปีที่แล้ว

      Ndio aibe, ajitume . Haiwi wanawake wanachacharika je midume. Wizi tu

  • @fatmazenafzena917
    @fatmazenafzena917 5 ปีที่แล้ว

    Hili halina msomi wala mkulima .
    Cjui hata wanataaluma gani wanayotumia.yaan kushtuka kwako ni pale tayari washakuibia..Allah atunusuru nao tu kwa uweza wake

    • @niasanga2373
      @niasanga2373 5 ปีที่แล้ว

      Usimlaumu coz wanakuwa na dawa kwanza ukishaaza kuzungumza nae tu kosa

    • @fatmazenafzena917
      @fatmazenafzena917 5 ปีที่แล้ว

      @@niasanga2373 cjamlaum na mm nimezungumzia kama hivyo ww..soma vizuri utaielewa

    • @niasanga2373
      @niasanga2373 5 ปีที่แล้ว

      @@fatmazenafzena917 poa bhana

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 4 ปีที่แล้ว

    Mara mbili?

  • @abdulihamadi2358
    @abdulihamadi2358 5 ปีที่แล้ว

    Yani inasikitisha kila siku nakuta sms zamatapeli wanajidai umeshinda miliini tano

  • @ireneassey3685
    @ireneassey3685 5 ปีที่แล้ว

    Hahaaa dar ata mtoto sio wakumwaminii...

  • @mahersaid258
    @mahersaid258 4 ปีที่แล้ว

    Uy mzee ali nitapeli 2000 nilikutan naee mitaa ya buza uy mzee mfupi ishu zak izo izo

  • @khajumkhamis7910
    @khajumkhamis7910 5 ปีที่แล้ว +1

    Haa tamaa mbele mauti nyuma

  • @abdullasalim279
    @abdullasalim279 5 ปีที่แล้ว

    Wanao tapeli sio wazanzibar Ni wageni ...

  • @clovetv_pba
    @clovetv_pba 5 ปีที่แล้ว

    Utamtumiaje mtu pesa uliekua humjui

  • @sikandarsuleimanTV
    @sikandarsuleimanTV 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa tcra kwa nini hawatusaidii kuwakamata hawa matapeli

  • @ashalol6045
    @ashalol6045 5 ปีที่แล้ว

    Aaaa hiyo ndo zanzibar njema atakae naajee hhhh

    • @zamratallly4148
      @zamratallly4148 3 ปีที่แล้ว

      Utapeli kufanywa xanzibar sio hoja mana sio watu wote wapo sw, na pia inawezekana utapeli ukafanywa zanzibar ila aliefanya ivo so mzanzibar may be mkaazi tu au hata haishi hapa

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 5 ปีที่แล้ว +2

    Kaka pole ila mi Niko bz na macho yako.tu

    • @fatmarisheid8777
      @fatmarisheid8777 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaa duu

    • @jacklinamani7519
      @jacklinamani7519 5 ปีที่แล้ว

      @@fatmarisheid8777 mbn du tena

    • @fatmarisheid8777
      @fatmarisheid8777 5 ปีที่แล้ว

      @@jacklinamani7519 Wewe hujaona wala hujasikia chochote zaid ya macho

    • @jacklinamani7519
      @jacklinamani7519 5 ปีที่แล้ว +1

      @@fatmarisheid8777 Yan sijaelewa kabisa Zaid ya macho

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว

    Mimi hanipati

  • @chidiboy5815
    @chidiboy5815 5 ปีที่แล้ว

    Mtu atakiwa asitowe pesa kwa mtu yyte usioyo mjuwa..

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 5 ปีที่แล้ว

    Yalishawai kunikuta kimara barut sito sahau jamn

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 5 ปีที่แล้ว

    Kutapeliwa kila pahali sasa lakini mtu achukuwe hadhari na usiwe na huruma.

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 ปีที่แล้ว

    Na mimi yashanikuta saut ilikua ya kaka yangu akaniambia nimepata ajali na nimemuumiza mtoto wa watu nitumie laki 200000nilikua sina nilikopa kwa jirani sasa naenda kutuma ikabid nimpingie sm mume wangu kumwanga natoka kidog akaniuliza wapi nakueleza kaniambia hao wizi tena usende nikamwambia kaka akaniambia huyo mwiz alinifungua akili

    • @munawwarabeid8634
      @munawwarabeid8634 5 ปีที่แล้ว

      Hyo imeenea sana hasaa saivi kuna msg pia unatumiwa

    • @amnejaffar7402
      @amnejaffar7402 5 ปีที่แล้ว

      pole sana fatma ila uctoe ela kama mtu hauna miad nae

    • @fatmaaly9686
      @fatmaaly9686 5 ปีที่แล้ว

      @@amnejaffar7402 saut ilikua km ya kaka yangu na ana vespa sliniambia nimeadhiri na nambar ilikua yakwake alipokuja nyumbani ananiambia mimi nilikua kazini na sm nilikua nimezima

    • @amnejaffar7402
      @amnejaffar7402 5 ปีที่แล้ว

      pole sana my

    • @ramadhanhassan9980
      @ramadhanhassan9980 5 ปีที่แล้ว

      Dah pole sana

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 4 ปีที่แล้ว

    Na ww mzembe t

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 4 ปีที่แล้ว

      Usiombe yakakupata , Tena omba Allah akunusuru . Kwa vile halijakufika wewe unamwita mwenzio mzebe. Hawa watu hawaibi hivihivi wanaiba kwa uchawi , Tena utaitoa mwenyewe ukeshaitoa ndio unastuka.

  • @iyabakar3612
    @iyabakar3612 5 ปีที่แล้ว

    Duh pole teacher mudii maskn pol utapat riziki nyngn