:HISTORIA YA RAIS MAGUFULI YENYE FURAHA NA HUZUNI KUZALIWA ,ELIMU, OUNGOZI, HADI KIFO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มี.ค. 2021
  • #DENIS MPAGAZE #magufuli #vipajitv.
    Watanzania weng wamepokea kwa uchungu kifo cha raisi wa awamu ya tano tulimpenda mungu kampendq zaidi jina lake lihimidiwe amen R.I.p Magufuli

ความคิดเห็น • 754

  • @ponsianamataka4607
    @ponsianamataka4607 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu tunaomba utuinulie Magufuli mwngine Tanzania hata kama tuliyo na umri mkubwa tutakuwa tumeshakuja kwako. Tunaomba viongozi wenye hofu ya Mungu, Hekima na Busara, ujasiri na upendo wa kweli kwa binadamu wote. Denisi nakuombea kwa Mungu mema yote unayoyahitaji. Pumzika kwa amani baba Magufuli. Baba Mungu mpe Raha ya milele auone uso wako. Ni uchungu mkubwa kuondokewa na Rais jasiri, mwenye akili kubwa, upendo wa dhati kabisa. Asante Mungu kwa maisha yake hapa duniani. Utusamehe Baba Mungu.

  • @msafirimatingo4447
    @msafirimatingo4447 3 ปีที่แล้ว +77

    Kaka mkubwa nakupenda bure,wenye akiri wataelewa unachosema,big up sana

  • @maisontyler7985
    @maisontyler7985 3 ปีที่แล้ว +34

    Afrika imempoteza kiongozi shupavu, mwadili, mcha Mungu... Nilivyompenda Magufuli imekuwa vigumu sana kuamini kuwa ametuacha

  • @ntabangafranco3227
    @ntabangafranco3227 3 ปีที่แล้ว +31

    Poleni Watanzania kumpoteza Rais Magufuri

  • @justinsylivester3373
    @justinsylivester3373 2 ปีที่แล้ว +6

    Pumzika kwa amani Raisi wangu ... Tanzania 🇹🇿 inakukumbuka na inakulilia.

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +30

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

  • @geraldkyoma4332
    @geraldkyoma4332 3 ปีที่แล้ว +38

    Jembe hili....R.I.P baba Mungu akupe pumziko na usituache huko uliko....

  • @ridhiwanmwakasie7009
    @ridhiwanmwakasie7009 2 ปีที่แล้ว +10

    Mabaya yote hatuyakumbuki tunakumba mema yote uliyo tuachi daima utabaki ndani ya moyo wangu anco Magufur lala salama rais wangu

  • @menyajoseph9729
    @menyajoseph9729 3 ปีที่แล้ว +33

    Nimeumia sana rais jpm alikua mwalimu wa wanasiasa na rais wa sauti ya wanyonge mola amsame madhambi zake

  • @mariamubachu8531
    @mariamubachu8531 3 ปีที่แล้ว +38

    Bado naona ni ndoto magufuri wetu kipenz chetu watanzania 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว +61

    Tumepoteza chuma cha africa😭💔tutakuja kujua umuhimu wa magufuli alikuwa haogopi chochote huyu mwamba

  • @philemonmartine7317
    @philemonmartine7317 3 ปีที่แล้ว +18

    Stay blessed Genius Mpagaze🙌Rest in Peace My President Magufuli🙏

  • @sulaymanshabani5342
    @sulaymanshabani5342 3 ปีที่แล้ว +80

    Mpagaze tunakupenda Sana elimu yako ina msaada mkubwa Sana kwetu ubarikiwe sana

  • @richardnambaza4422
    @richardnambaza4422 3 ปีที่แล้ว +25

    Watanzania poleni sana 🇨🇩🇨🇩

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว +22

    Subhanaallah mungu aulaze mwili wake peponi ameen poleni sana familia na watazania amajweli kizuri haki ishi 💔💔🙏🙏🇴🇲

  • @geraldoluoch9479
    @geraldoluoch9479 3 ปีที่แล้ว +11

    I am Kenyan but I love your content ...and Africans are supposed to love each other... Mzee wetu magufuli 😥

  • @graceblessing9642
    @graceblessing9642 3 ปีที่แล้ว +58

    Intelligent enemies is better than stupid friends 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Words

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 3 ปีที่แล้ว +11

    Asante kaka kwa kutoa na kupangilia historia vzr ya rais wetu mpendwa Magufuri.

  • @alainmurangwa7448
    @alainmurangwa7448 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akupokeye kwake,nilikupenda sana,naliaaa, lakini najua kama uko fasi nzuri kwa baba Mungu wetu.asanti kwa yote🙏🙏🙏🙏

  • @issasonco233
    @issasonco233 3 ปีที่แล้ว +11

    Dah! Aysee Kwa maneno haya yananpa uchungu sana Jembe kaenda mbele za haki nasi wanyonge naona tumekwisha hatuna pa kufutia huzun zetu kama kweli ww umeguswa na msiba huu na maneno haya ya mtanzania mwenzetu bas tupia like yako ili kuonyesha umoja na mshkamano kwa watanzania na wa Afrika wote.