UTASHANGAA SANA! Hawa Ndio Watoto Wote Wa Hayati Rais Magufuli, Kila Kitu Wazi, Undani Wao Huu Hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 186

  • @user-hu9gg5mn3i
    @user-hu9gg5mn3i 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu aifunike familia hii na kuihekimisha zaidi-Amen.

  • @alhabibymasoud3445
    @alhabibymasoud3445 3 ปีที่แล้ว +12

    Allah awaongoze, wawe na msimamo Kama mjomba magu

  • @naomisteve7398
    @naomisteve7398 3 ปีที่แล้ว +12

    Maneno meng nenda straight kweny point

  • @BarakaIbrahim-tt9gv
    @BarakaIbrahim-tt9gv 4 หลายเดือนก่อน

    Namfaham dada Edina nimekaa nae sana kwakwel mwandishi hajakosea chochote

  • @azzaalmaamry5817
    @azzaalmaamry5817 3 ปีที่แล้ว +5

    Maashaallah

  • @separatebetres5315
    @separatebetres5315 3 ปีที่แล้ว +4

    Wapo vizuri kabisa

  • @esterlinnahmuxxer6939
    @esterlinnahmuxxer6939 3 ปีที่แล้ว +7

    Ee mungu wape nguvu kwenye hili familia ya marehem magu 🙏🏻

  • @johnsonjohnson9431
    @johnsonjohnson9431 3 ปีที่แล้ว +22

    Rais alikuwa ni mtu mwenye nidhamu ndio maana amewaambukiza na watoto wake Mungu awabariki sana

  • @maimunaali1731
    @maimunaali1731 3 ปีที่แล้ว +33

    WATOTO WAKE WANANIDHAMU KWELI HASA WANAUME, KWA RIKA LAO NA MAMBO AMBAYO MZEE ALIKUWA ANAYAPATA KWA AKINA KIGOGO, LAKINI WAMENYAMAZA KIMYA MUNGU AWAPE NGUVU

    • @zuenamohamed2021
      @zuenamohamed2021 3 ปีที่แล้ว +2

      Hakika ni wastaabu kweli mungu awape moyo huo huo.

    • @hdggu6792
      @hdggu6792 3 ปีที่แล้ว +6

      Sanaa kwawatoto wamitandaoni walivyo hata kujiposti kuwa mim ndio mtot wa rais hakuna lakin wengine mtoto wamwenyekit wamtaaa utamjua Hadi twetta huko

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว

      Amina!

    • @user-ng6yt2od7l
      @user-ng6yt2od7l 3 ปีที่แล้ว

      Ameni

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว +1

      Amina!

  • @pillykimenyi846
    @pillykimenyi846 ปีที่แล้ว

    Naamini mungu alikwisha kukupokea tangu ulipotutòka ghafla mungu azidi kulinda mama janeth famìlia yake
    Magufuli utakumbukwa daima amina

  • @elizajackson1748
    @elizajackson1748 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ailaze roho yake peponi amina

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 5 หลายเดือนก่อน

    Watoto wanafanana na magufuli

  • @lyddhamis107
    @lyddhamis107 3 ปีที่แล้ว +4

    Dahhh shujaa wetu mungu yu pamoja nawe ttakukumbka daima tutzdi kukupend siku zot shujaa wetu

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 5 หลายเดือนก่อน

    MAGUFULI Rest In Peace my dear brother we love you and all ways we love you.

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 3 ปีที่แล้ว +12

    Wasukuma kwa ufupi ulea watoto wao kwa nidhamu na hukuzwa kufuata Mila na desturi zao

  • @AntonKibona
    @AntonKibona 5 หลายเดือนก่อน

    Kwl mung hachukuw wasiwooh sistaahil bal anaach wasiy sastahil❤❤❤❤

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen475 3 ปีที่แล้ว +14

    Yani wandishi wakibongo story fupi ataanzia mbali sanaa

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 3 ปีที่แล้ว +16

    Mmh huyu wa kiume mnene ni baba copy! Na Jesca pia amefanana sana na baba....alafu nagundua walipenda sana majina yanayoanza na 'J'

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว

      Sababu wote baba na mama ni J pia

  • @dicksonsenyagwa5545
    @dicksonsenyagwa5545 3 ปีที่แล้ว +5

    Cheki watoto wa mwalimu Nyerere hawakuwa na masifa, na hawa wa mpendwa wetu hawakujionyesha kabisa

  • @hbdina
    @hbdina 3 ปีที่แล้ว

    Asante dada 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 9 หลายเดือนก่อน

    Thanks sisters

  • @fredymtavangu8648
    @fredymtavangu8648 3 ปีที่แล้ว +2

    Unazunguka sana go strait to the point

  • @yasminjuma663
    @yasminjuma663 3 ปีที่แล้ว +4

    Family hii inaheshima Sana .na inapendeza Kama mume ni Raisi Basi inatosha make awe nyumbani atulie. Nini kuhangaika.

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +8

    Vizuri sana, hamna haja ya kuweka kwenye media SAFI SANA, nimependa hii sanaa

  • @suzanisdory9067
    @suzanisdory9067 3 ปีที่แล้ว +3

    Duh Mungu awatie nguvu.. Tumeumia sana

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwandishi , makumira iko Arusha na sio Dar kama ulivyosema. Jifunze kutoa taarifa ulizo na uhakika nazo

  • @dennismalima5365
    @dennismalima5365 3 ปีที่แล้ว +2

    Unapuyanga tuu.. Maneno mengiii

  • @junioryasin5306
    @junioryasin5306 3 ปีที่แล้ว

    Wasukuma hatunaga sifa yakutangaza watoto wetu

  • @shanikanuti5031
    @shanikanuti5031 3 ปีที่แล้ว +6

    Nana nana nini wewe unaboa

  • @amorthaniy6950
    @amorthaniy6950 3 ปีที่แล้ว +3

    Punguza Maneno.. eleza jambo moja kw moja

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 3 ปีที่แล้ว +2

    Mume wa wajane na baba wa yatima, Mungu mwenye mamlaka atawalinda na kuwaongoza..
    Mungu wetu mwenye nguvu atawafariji..

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 3 ปีที่แล้ว +1

    We mwandishi,umejiandaa vzr kutuletea hayaaa.bd sana

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 3 ปีที่แล้ว +13

    Unaongea mno na wee mwandishi

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 ปีที่แล้ว +7

    Hawa watoto ni militu lakini sio wakumbwa sana kiivyo

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 3 ปีที่แล้ว

    Maneno kibaoooooo Nenda kwenye point

  • @user-cr6tm5jz8x
    @user-cr6tm5jz8x 6 หลายเดือนก่อน

    Tumekumiss baba magufuri

  • @yasriiddi2862
    @yasriiddi2862 2 ปีที่แล้ว

    Mkojani

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +16

    Yaani huyu mzee alikuwa na nidhamu ya hali ya juu ambayo inafaa kuingwa siyo kama ujinga wenye huwa naona watu wakituonyesha mitandaoni mtu hata akipata mume anaanza kutuonyesha mitandaoni .

  • @josephinemeela9098
    @josephinemeela9098 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama Maria Nyerere alikuwa shupavu sana kwenye siasa. Alikuwa kiongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania kwa muda mrefu tu.

  • @messlion2548
    @messlion2548 3 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @dicksonsenyagwa5545
    @dicksonsenyagwa5545 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa wengine watoto wao walikuwa na masifa tu ambao ni ushamba tu ,

  • @adslausabel7164
    @adslausabel7164 3 ปีที่แล้ว +5

    Ongea point acha ujinga

  • @pendooscar9322
    @pendooscar9322 3 ปีที่แล้ว

    Ndio safi sio kama hawa tunaona humu

  • @tinershayo5397
    @tinershayo5397 3 ปีที่แล้ว +8

    huyo kama nyerere hapendi kutangaza watoto wake

  • @kayn2756
    @kayn2756 3 ปีที่แล้ว

    Well the man didn't believe in birth control. Good for him and his kids.

  • @herirehema3554
    @herirehema3554 3 ปีที่แล้ว +1

    Tafadhali uwe unafanya tafiti za kina zenye taarifa yakini. Kadhalika jipange katika simulizi zako huna haja ya kurejea maneno na kujilamba lamba mdomo ulimi kama vile unakula asali kwa kidole..Fanya uhariri kabla ya kurusha habari unayokusudia. Zingatia weledi na misingi ya taaluma ya habari USIKURUPUKE!

  • @zuenamohamed2021
    @zuenamohamed2021 3 ปีที่แล้ว +4

    Hili ni funzo kubwa kwa huyu baba nimependa sana hii .

    • @johnsonjohnson9431
      @johnsonjohnson9431 3 ปีที่แล้ว +2

      Du rais wetu yuko watoto wake amewafundisha nidhamu na heshima Mungu awabariki sanav

  • @chrismtitu799
    @chrismtitu799 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kitu hapa.Title hivi maelezo vile.Du!!This is Bongo.

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 3 ปีที่แล้ว +5

    Kaacha watoto 7 walitakiwa kuwa nane karudi tena uje utuletee habari kamili halafu Edna alifunga ndoa Magu akiwa waziri.

  • @user-ow9dc1hr6x
    @user-ow9dc1hr6x 5 หลายเดือนก่อน

    Dah huluma🙏

  • @ardgardessau731
    @ardgardessau731 3 ปีที่แล้ว +3

    Nenda kwenye point kama title yako maneno yasiwe mengi inachosha

  • @wankyosogorya8115
    @wankyosogorya8115 3 ปีที่แล้ว +3

    Mm kwa mtazamo wangu hao wakubwa sio wa mama janet

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 3 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa

    • @fatumachagudadui3138
      @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ni kweli maana naskia watoto Wa mama janet ni Jesca na Joseph hao wengine watano anajua mzee Kwa vile wasukuma hawana tabia ya kuficha watoto katika misiba yao

    • @florameza9529
      @florameza9529 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni wa janeti namjua alipana kirumba mwanza mwaka 92 nikiwa chuoni tayari alikuwa na watoto 2 enzi hizo za miaka 92 sema ni wanene na hapendi kujionyesha wote wanae

    • @ffaa4744
      @ffaa4744 3 ปีที่แล้ว +3

      Wakwake wote nimke wake wa ujana sema huyu mama Yuko vizur

    • @subiraibrahim8100
      @subiraibrahim8100 3 ปีที่แล้ว

      Kwanin wasiwe wa kwake?

  • @florencekimondo1681
    @florencekimondo1681 3 ปีที่แล้ว

    Tyyy

  • @israelkidolezi8962
    @israelkidolezi8962 3 ปีที่แล้ว +4

    Unasauti nzuri lakini hebu jaribu kuongea contents za muhimu intro inaboa unarudia vitu

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 ปีที่แล้ว

    Majina Yana j sababu baba na mama yao ni akina j

  • @catherinejohn5157
    @catherinejohn5157 3 ปีที่แล้ว +2

    Maneno mengi mno

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh tokativu women

  • @blandinakimbe4019
    @blandinakimbe4019 3 ปีที่แล้ว

    Poleni ndugu zangu

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli baada ya kifo ndio unabaki ukisifiwa sana wakati sifa hizo hazito kusaidia kitu. Tunavo msifu kwasasa tungeanzia tangia mwanzo ingekuwa njema sana

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว

      Sasa hao watoto wametambuliwa baada kufa baba, sas mbona huelewi

  • @adamdaudi3746
    @adamdaudi3746 3 ปีที่แล้ว +4

    Uwezi kutangaza nenda karime tu

    • @zesootv6726
      @zesootv6726 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha kumu katisha Tamaa mwezako, kwanza wewe mwenyewe ujui kishwahi neno kalime unatamuka karime,jifunze kuwatia moyo wezako

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 ปีที่แล้ว +3

    Alizaa vzr sn JPM😄

  • @verenabusanda4044
    @verenabusanda4044 3 ปีที่แล้ว

    Fukunyua basi Edna anafanya wapi kazi,namtaka..

  • @annamwalwiba7080
    @annamwalwiba7080 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani muwe waelewa ndoa alifunga mwaka 78 sasa watotowawe wadogo mpaka leo

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndo alifunga mwaka 1989

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 ปีที่แล้ว

      Mke azaliwa 67 au 68 afunge ndoa 78?

  • @messlion2548
    @messlion2548 3 ปีที่แล้ว

    Mbona eti alikuwa na wake wawili

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 6 หลายเดือนก่อน

    Mfano mzuri wa kuigwa sio kuweka familia mbelembele kuleta usultani Tz. Ooo mtoto wa nyoka ni nyoka!

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani huyu Baba ni wa tofauti sana sana jamani da watoto wengine wa wajumbe wa nyumba kumi wanajiona . Haya ni malezi bora sana hakutaka kuweka wanae mitandaoni . Heshima kubwa sana ni familia yenye adabu sana inayojielewa sana.

  • @masumbukoiddiy8676
    @masumbukoiddiy8676 3 ปีที่แล้ว +1

    .maneno mengi ww

  • @amoslumponya8584
    @amoslumponya8584 3 ปีที่แล้ว +2

    Unaongea Sana ingia kwenye point

  • @nasralema7400
    @nasralema7400 3 ปีที่แล้ว +1

    Cha ajabu unaetupa taarifa tunazijua kuliko wewe mtoaji, watoto 7 wasema sita

  • @neemamselewa7380
    @neemamselewa7380 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbele yake nyuma yetu

  • @chrixstanley2888
    @chrixstanley2888 3 ปีที่แล้ว

    Maneno mwengi Bila point

  • @cytkl
    @cytkl 3 ปีที่แล้ว

    Aliuliwa kwa ushunjaa wake

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 5 หลายเดือนก่อน

    Tena majina ya biblia kabisa.

  • @yustoshekyaufoo389
    @yustoshekyaufoo389 3 ปีที่แล้ว

    Makumira ipo arusha

    • @suzanfelix8065
      @suzanfelix8065 3 ปีที่แล้ว

      Majina yanajiludia huko kwetu mafia kunamtaa unaitwa arusha

  • @azzaazza3686
    @azzaazza3686 3 ปีที่แล้ว +4

    Hao ndio marais wetu badae

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว +1

    Acheni umbea. Familia ya mzee inawahusu nini. Hata nyie waandishi ni wambea mno,habari ya hivi inatusaidia nini? Acheni familia za watu

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +3

    Hao watoto mbona wakubwa sana, alizaa akiwa secondary school??

  • @johnmartine8745
    @johnmartine8745 3 ปีที่แล้ว

    Ila wewe

  • @ashamsami1883
    @ashamsami1883 3 ปีที่แล้ว +1

    Achen kufukunyua yasio wahusu miaka yote mlikua wap

  • @azzaazza3686
    @azzaazza3686 3 ปีที่แล้ว +2

    Alieinama kama baba mwenyewe

  • @jenipheremanuel8667
    @jenipheremanuel8667 3 ปีที่แล้ว +1

    To

  • @magrethkumalija6236
    @magrethkumalija6236 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe naye muongo tu inamaana mama Janet ana miaka 61 kama mume wake. Watoto wenyewe unataja mpaka 8 wakati wapo 7.

    • @veronicatweve9015
      @veronicatweve9015 3 ปีที่แล้ว

      Hata mie nmeshangaa jamani

    • @janetsemahimbo8083
      @janetsemahimbo8083 3 ปีที่แล้ว +1

      Anaweza kuwa na miaka hiyo 61. Mbona kuna wanandoa wengine mwanamke ana umri mkubwa kuliko mume

    • @sinzoshabani6855
      @sinzoshabani6855 3 ปีที่แล้ว

      @@veronicatweve9015 moja alikufa wakati bado hajawa raisi

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 ปีที่แล้ว +1

      Mh mkewe wala hajafikisha 60 mdog bado

    • @neemakalibule7428
      @neemakalibule7428 3 ปีที่แล้ว +1

      Nikitu ambacho hakipo Huyo mama hawezi kuasana miaka na mmewake

  • @josendaki2321
    @josendaki2321 3 ปีที่แล้ว

    Nawapa pole

  • @user-de7qf5hj6r
    @user-de7qf5hj6r 6 หลายเดือนก่อน

    Talking too much 😏

  • @epiphaniapatrice7289
    @epiphaniapatrice7289 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU awape nguvu familia ya magu

  • @mankaswai4507
    @mankaswai4507 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapo Kuna Siri kubwa kwa baba hao watoto wakubwa Sina hakika Kama ni wa mama jenet

    • @coletashirima2193
      @coletashirima2193 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa kama ndoa walifunga 1989 mchezo ..hao miaka yao unakuta ni 30 tu sema ni bonge

    • @ffaa4744
      @ffaa4744 3 ปีที่แล้ว

      Kumbuka aloa mwaka 82 Ivo ni miili Tu

    • @sinzoshabani6855
      @sinzoshabani6855 3 ปีที่แล้ว

      @@coletashirima2193 kwani mnabishani nini mbona kikwete kamuoa Salma kamkuta na watoto wengine

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani siri gani tena !!! Hiyo ni miili mikubwa tu.... mume wangu Ana umri Sawa na wa MAREHEMU na Mm sina miaka 60 lakini tuna watoto km hao

    • @esterlinnahmuxxer6939
      @esterlinnahmuxxer6939 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli jaman hao Ni miili tu lakini Ni wadogo Sana unakuta mtoto wa mwaka 1998 Ana watoto watatu

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว +3

    Sizipendi habari za umbea. Mbona mambo ni mengi,familia ya mzee ya nini sasa. Tutangazie na ya kwako ikoje tujue. Story haina dhima ya msingi. Hayo yalikua ni maisha yake binafsi,tuletee mambo ya msingi

  • @wanzueni
    @wanzueni 3 ปีที่แล้ว +1

    0 content deceiving title,nawaheshimu kwa kudumisha lugha ya kiswahili lakini mnapoteza utamaduni kwa kufuata dini za njhe nakuitwa majina ya wayahudi na wazungu eti maria joseph...only in Africa

  • @aliabass9392
    @aliabass9392 3 ปีที่แล้ว +1

    Na hata hao wakubwa pia mama yao ni huyo mama Janet ?mbona wanaonekana kulingana kiumri au hata kuwa wakubwa kuliko huyo mama Janet?

  • @rosejoely4518
    @rosejoely4518 3 ปีที่แล้ว +3

    Mugu awatuze🙏😭

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +3

    Hao watoto mama mmoja baba mmoja??

  • @separatebetres5315
    @separatebetres5315 3 ปีที่แล้ว

    Hawapo kwenye siasa hawa

  • @nasororaamadhani4470
    @nasororaamadhani4470 3 ปีที่แล้ว +1

    Historia itaandikwa kwa rais wetu kwani alijitolea kwajili yetuu

  • @josueyav1282
    @josueyav1282 3 ปีที่แล้ว

    bonsoir Dieu vous protège vreman mois c'est pasta Josué DIEU Madi dé vénir prière à avec là famille ni mugu à n'a ni tu Man

  • @smartstationery5223
    @smartstationery5223 3 ปีที่แล้ว

    Alifunduka??????

  • @aginesisayakomba5685
    @aginesisayakomba5685 3 ปีที่แล้ว

    Umbea tu

  • @destinychannel1350
    @destinychannel1350 3 ปีที่แล้ว

    U should have brought pictures of Magufuri's children instead of talking too much. Useless work

  • @mistiolanicholaus5860
    @mistiolanicholaus5860 3 ปีที่แล้ว

    Mnakuaje nenda direct na mlichiandika umbea mwingi wa Nini Nani hajui Kama meko kafa

    • @leevericiouskimvedaki444
      @leevericiouskimvedaki444 3 ปีที่แล้ว

      Huna haya ww hahaa, et meko nahku linataka kujua hbr ya family ake, aibu yako

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว

      Mistiola ni jina kike au?

  • @kasianandonde5838
    @kasianandonde5838 3 ปีที่แล้ว

    Afu usiwe unaiongelea familia yao ushaambiwa halikuwa hapendi kuwaweka mtandaon

  • @zubedaiddi9677
    @zubedaiddi9677 3 ปีที่แล้ว

    (Makala maalum) KIVUTIO CHA UTALII - SONGWE HOT SPRING. MAJI MOTO YENYE UWEZO WA KUIVISHA CHAKULA👇..
    th-cam.com/video/Lor7XeILY10/w-d-xo.html