SUMU | Ep 03, Final |.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2024
- Mapenzi yana nguvu saana na ndio mpaka leo hakuna majibu sahihi ya maswali yote yanayohusu mapenzi..
Binti alitaka kujenga ndoa yake kumbe jitihada zake mwishoni zilizuwa utata kabisaaaa 😔.
Karibu kufatilia kisa hiki cha kusisimua.
#snakeboy22 #siriyahuba #ufuo #shetani #kicheche #bhailam #nyamayamwanangu #kipara #mwakatobe #vevowood #mwanamke #directorkakoso #kisiki #sungwi #kifochangu #sonaa #nyamayamwanangu #mkobawamama
Follow us on INSTAGRAM 👇 chiebway_tz...
Follow us on TIKTOK 👇
www.tiktok.com/@chiebway_tz?_...
For Bussiness WHATSAPP ONLY
+255 764 397 711 - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Woza woza team chibu wenye wanacheki hii Sumu hakiwa ndani y Qatari kama mm weka likes hapa
Tupoooo
th-cam.com/video/RJD14mCEYeM/w-d-xo.htmlsi=4UCEG3LwUm6Ohd6z
th-cam.com/video/RJD14mCEYeM/w-d-xo.htmlsi=4UCEG3LwUm6Ohd6z
th-cam.com/video/RJD14mCEYeM/w-d-xo.htmlsi=4UCEG3LwUm6Ohd6z
th-cam.com/video/RJD14mCEYeM/w-d-xo.htmlsi=4UCEG3LwUm6Ohd6z
🧭🤳 Nimewahi kufika Leo mwenzenu kutoka Msumbiji 🇲🇿 Mkoan Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa Kazi nzuri Nimekupenda mna big up chini
Like zangu tafadhali jamani walau hamsini tu 🤲🤲🤲😂
nakubari kaz zako sio ndefu haziichoshi na snatoka Kwa wakati💯👍
Kazi nzuri
Fupi ila tamu na yenye kutosheleza🎉🎉🎉 nmejifunza,mm kama mwanamke nahitaji upendo ila mume anahitaj utulivu na heshima kutoka kwa mkewe❤❤❤...Team chibu kazi safi sanaaaaaaa
saf sana bro sema move zako fupi sana yan kama hadithi unafel
kitu kizuri hakiwagi kirefu, ata chakula kizuri uwa akipikwi kingi hivyo hivyo ata mtu mwema sana haishi mda mrefu
so kalale pakikucha ntakuamsha
@@Mpakausemeasante
Team chibu 🎉🎉
Mashallah nimeipenda ❤
Kazi nzuri sanaaaa chibu na team yako ninawapongeza 🎉🎉
From Kenya ❤❤❤naipenda Sana Kaz ya chibu❤
Kazi nzr
Twashukuru kwa kazi nzuri ❤❤
kazi ni nzuri sana hongeren sana chibu na kundi lako
Kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Iyi sumu ninzuri tu sana jamani inanifunza tu saana. Kazi nzuri pokeya mauwa yako chibu
Kazi nzuli natamani siku moja kua sehemu ya waigizaji wako kama itakupendeza
Muv nzur chibu hongera🎉🎉
Wa Kwanza Leo from Doha Qatar
sasa bony
@@SumaiyaWambui3500 poa sana: Nambie
@@bonventureimbuga522just hi your name looks familia though😊
Watu wa Doha hamchelewi ila mimi wamwisho😂 Qatar
@@SumaiyaWambui3500 Pia wewe you look familiar kwangu. Can you share your iG or Facebook name
Story nzuri ila ongeza mda bwana with love ❤❤❤
Ni noma
Shangaz umecheza kam pelee🎉🎉
Watatu leo💋💋
Tuondoke kk
Nice work
Kazi nzur sana mlianza vizur lkn mlipomalizia ht hapajanoga hatujajua baada ya kuhaurisha ndoa ilijakuwaje
Content kali❤
Hongera chibu🎉🎉🎉🎉🎉
Shangazi usharudi mzuri sana
Mbn imeisha ivi jmn😢😢Tupen season 2 😊🇰🇪
Namuonea Mimah wangu huruma jaman kazuri menyewe❤ ila makosa tumeumbiwa binadam 😢
you guys have a beautiful story to tell❤❤❤try prolong your minutes❤❤
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Good
Mima uliambiwa usiseme nauyo shogaako kapita na shemera😂😂😂😂
Very educative much ❤4rom 🇰🇪
Ally 🔥😊
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
Ila marafik wabaya sana ukionyesha chili yk tu hauna bahat utachezwa ushangae😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉
Waoaji wap usilie kuwa nasubra
❤❤❤
❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤😂😂😂❤❤🎉
😂😂😂
Safi sana. Tuko pamoja🎉
Kazi nzuri
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤