GUBU LA MAWIFI_Ep_01

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 277

  • @ElishJoker
    @ElishJoker 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mnaomiss kp n zebuu mgonge like big fan from kenya 🇰🇪

    • @MauwaSamsoni
      @MauwaSamsoni หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤

  • @IsaacKupe
    @IsaacKupe 2 หลายเดือนก่อน +5

    Yani Mimi niko apa kwa ajili ya nora na sheila like kwa

  • @Emily-k98
    @Emily-k98 3 หลายเดือนก่อน +3

    Msinicheleweshe hii kiboko jamani kesho niwekee mwendelezo🎉🎉🎉❤❤❤

  • @wemasangasanga757
    @wemasangasanga757 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sheyshey na Nora nimekuja kwaajili yen🎉🎉

    • @gracemwingwa-jx7yy
      @gracemwingwa-jx7yy 3 หลายเดือนก่อน

      Mi mwenyew mnaangalia kwa ajili ya Sheila na Nora tu

    • @FarajaEdson-ud2lx
      @FarajaEdson-ud2lx 3 หลายเดือนก่อน

      Me pia

    • @OmOmabs
      @OmOmabs 3 หลายเดือนก่อน

      M pia

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- 3 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂walipo watu wa KP mimi nipo 😂😂😂😂🎉🎉🎉

    • @alriyami9446
      @alriyami9446 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂❤❤

    • @Agyy628
      @Agyy628 2 หลายเดือนก่อน

      Umeona eeee namm wamenileta wao😅😅😅😅

  • @AhmedJuma-bi2yz
    @AhmedJuma-bi2yz 3 หลายเดือนก่อน +16

    Heheee kumekuch n wif wenyewe ni Sheila aaaa hii ndio movie

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 na nora

    • @EdithaJoseph-zt2xu
      @EdithaJoseph-zt2xu 3 หลายเดือนก่อน

      Nampenda sana sheila😂😂

  • @Princescynth
    @Princescynth 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii n nzuri sana tuko pamoja hadi mwisho

  • @PriskaJoseph-s6y
    @PriskaJoseph-s6y 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman leten ya pili jaman❤❤❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo safiii hawa mawifii huwaa nawatamani bs tuuu simkaolewee mkayakutee huko

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekujaaa baaada ya kumwona Sheilaa na Norah❤

  • @maryamfahmi9750
    @maryamfahmi9750 3 หลายเดือนก่อน +2

    mbna muendelezo hutoi
    kaz nzuri

  • @RehemaKombe-n3x
    @RehemaKombe-n3x 3 หลายเดือนก่อน +49

    Mnao miss mzee likoma na diboz gonga likes

  • @Ased-qy7sh
    @Ased-qy7sh 3 หลายเดือนก่อน +6

    Apo sasa ndo patam sheila ten nampenda atar

  • @SaymaMustaph-r6z
    @SaymaMustaph-r6z 3 หลายเดือนก่อน +2

    Zuhura waminani apa safi sana familia

  • @JudithGeorge-mw7fe
    @JudithGeorge-mw7fe 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hahahaha ila Sheila nyie

  • @RamMrisho-vp8jq
    @RamMrisho-vp8jq 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sheila utaniharibia Nora maana taratibu kanaanza kuwa kajeuri😂😅

    • @WemaPanja
      @WemaPanja 3 หลายเดือนก่อน

      Yan kanaanza kukomaa na huo ujeur sio mda anampita sheishei

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤jitahidini mtuwahishieni episode ya 2 Kwa Haraka washabiki wenu tupo tutawasapoti kazi nzuri 😂😂😂ya ila mawifiiii jameni

  • @jennymali4368
    @jennymali4368 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mafii ndio hawa tunaowajua sisi mh kazi ipo apo

  • @TulinabituSauda
    @TulinabituSauda 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yani ww She She unanijuwa nyoka❤❤❤

  • @HuseniSabiti
    @HuseniSabiti 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nilipoona sura zenu tu nikaplay😅😅😅😅😅shey vs nora❤❤

  • @SummaiyaKassim-zv5nt
    @SummaiyaKassim-zv5nt 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mawifi kama nyie ndio nawataka niwanyooshe

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sas mwendelezo sion

  • @fhnchjk5195
    @fhnchjk5195 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sanaaa ❤❤❤

  • @veroniquegershomu9197
    @veroniquegershomu9197 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheyshey na Nora mmeniita huku❤❤❤

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeleni sanaa kwa kazi nzur sanaa 🎉🎉🎉❤❤Sheila na NOLA nawakubar

  • @AishaHamisi-zy7zn
    @AishaHamisi-zy7zn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana kz nzuri.happy umekimbia mbio chumbani unaogopa kupigwa.

    • @HappiphniaBinagi
      @HappiphniaBinagi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Weeh wifi mwenyew huyo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukuteeee huuuyuuuu kaka ndohananguvuu xakiume halafuu ukiutana na hawa mawifi walioshinxikana ndokabisaaa

    • @HappiphniaBinagi
      @HappiphniaBinagi 3 หลายเดือนก่อน

      Anazo nguv za kiume mume wangu jaamani

  • @JokahMan
    @JokahMan 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tazama mbele kakaa unakaribia kufika safari Yako good muvi pambana isiishie kati Tena ❤❤❤❤

  • @NyindwaMasai-t9b
    @NyindwaMasai-t9b 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉

  • @RachelElias-fw2ej
    @RachelElias-fw2ej 3 หลายเดือนก่อน +3

    Likomaaaaaaaaaaa😢

  • @rozeyousef9823
    @rozeyousef9823 3 หลายเดือนก่อน +1

    Namuona kp mbali sana😊

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheila na Norah nawapenda sana hamjawahi kuniangusha chukueni 🎉🎉🎉yenu

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nula na Binti Rikoma ❤❤❤

  • @ConsolateKwizerimana-iy2mh
    @ConsolateKwizerimana-iy2mh 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheila binti likoma na Nolla tunawapenda sana from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @PhilimonPaul
    @PhilimonPaul หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli watuwa KP msiogope tupo nanyie msijali.au mmemsaliti KP mtwambie. Make sielewi Nora &sheishei😅😅😅😅😅😅

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wangu ninawapenda sana arafu sikuwa ninapenda Sona ikwishe jameni ❤❤🇧🇮🇧🇮🥰

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi tamu

  • @EstherwakioWukanda
    @EstherwakioWukanda 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂Sheila napenda unavyo act,nakupenda bure endelea hivyo hivyo

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 kma mawif ndio shey na norah basi kazi ipo yaani bado

    • @Ftwm-ew3up
      @Ftwm-ew3up 3 หลายเดือนก่อน

      Nakwambia 😂😂

  • @FREDRICKotieno-li2vo
    @FREDRICKotieno-li2vo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda ❤❤

  • @evarlneambiyo881
    @evarlneambiyo881 3 หลายเดือนก่อน

    Mawifi wako na shida alafu unapata wengine ndiyo hawa mmabwana ❤❤❤❤

  • @RachelElias-fw2ej
    @RachelElias-fw2ej 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dibosiiiiiiii mkoapi jamani😢😢

  • @WemaPanja
    @WemaPanja 3 หลายเดือนก่อน +3

    Dada amewajb vizury huyu nampenda

  • @MagdalenaBajuta
    @MagdalenaBajuta 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheila sasa wew ndo mbayaaaa kuliko 😂

  • @zaitunimwandetele4400
    @zaitunimwandetele4400 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂,😂😂❤❤❤move ikopowa ukizingatia mawifi wenyewe kawakuta🤣🤣🤣

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 3 หลายเดือนก่อน

    Ukizirwa na mawifi utakiona chamoto ❤❤ nice 👌 👍 😊 😄 😢

  • @Dankhan001
    @Dankhan001 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sana Sheila and norah❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Bitulomaingu
    @Bitulomaingu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tuko pamoj Sanaa nawapenda Sanaa

  • @EmilianaChrispine1234
    @EmilianaChrispine1234 3 หลายเดือนก่อน +1

    KAzini Kuna kaz

  • @Babygirl-s3h
    @Babygirl-s3h 3 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉Nora ww

  • @FurahaMathias-hw9yg
    @FurahaMathias-hw9yg 2 หลายเดือนก่อน

    Mawifi hamna baya mnapiga kazi ❤

  • @YvetteBahutu
    @YvetteBahutu 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢 nawapenda

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumekucha mawifi wenyewe ni sheishei balaa tupu 😅😅😅

  • @JamesKazungu-i5s
    @JamesKazungu-i5s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Weeeh apo kwa sheila mbna mtakoma😂😅😂

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheilaaa na noraa 😂😂
    Ukisikia limbwata ndo hilo😅😅

  • @odethierpaschal
    @odethierpaschal 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio maana hata Sonaa. Haikua nzuri

  • @FatumaJuaje-nc7om
    @FatumaJuaje-nc7om 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mawifi 1 jemeni 😅😅😅😅😅😅ila na nawapenda bure

  • @MercyKahindi-go2nr
    @MercyKahindi-go2nr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kasheyshey Na Nora nmekuja Kwa ajili yenu❤

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu wifi kama anacheat sipo upande wake kabsa

  • @isaackkibona361
    @isaackkibona361 3 หลายเดือนก่อน +2

    😰😰

  • @Rahima-v5j
    @Rahima-v5j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mawifi kama hawa subiri waolewe wao sasa uvumilivu sifuri

  • @BeatriceNanjira-u8x
    @BeatriceNanjira-u8x 3 หลายเดือนก่อน

    Kumekucha,nafurahiswa sana penye Sheila Yuko, muvi inanoga sanaaaaa Shei Shei Big ❤❤❤❤ mum

  • @muddyramadhan3255
    @muddyramadhan3255 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn haijaendelea muda sana shid nini

  • @MarryToem
    @MarryToem 3 หลายเดือนก่อน

    Aki nyinyi wacheni ku vunja ndowa ya kakayenu waah lakin movie eko sawa ❤❤❤

  • @bahatiomar9184
    @bahatiomar9184 3 หลายเดือนก่อน

    Shey shey mungu yuakuona kwa styli hii sikuezi ila movie ni nzuri sana

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani Naipenda kama sonaa❤❤❤

  • @MuhinaMruma-lu2vj
    @MuhinaMruma-lu2vj 3 หลายเดือนก่อน

    Mshapoteza uzur wa kazi mnatengana sana

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @AngelPaul-k9g
    @AngelPaul-k9g 3 หลายเดือนก่อน

    Mwendelezo jmn tunaombaaa

  • @josephzenda3827
    @josephzenda3827 3 หลายเดือนก่อน +1

    nyie watu wa mikoan sheila ni nan mbona mimi simjuh😅😅

  • @SaumBeka
    @SaumBeka 2 หลายเดือนก่อน

    Ni nzuri sana tunaomba muendelezo❤❤

  • @BeatriceTabitha
    @BeatriceTabitha 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheila wee kiboko

  • @Zulfa-j1r
    @Zulfa-j1r 3 หลายเดือนก่อน +1

    Good job

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 3 หลายเดือนก่อน

    Sheshei nakupenda sana l love you❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 3 หลายเดือนก่อน

    Ni nzuri sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @EmelyneNsanziteka
    @EmelyneNsanziteka 3 หลายเดือนก่อน

    Shei shei wallah havikupendez kwl

  • @madymag6926
    @madymag6926 3 หลายเดือนก่อน

    Sheila na Nora nyiee mawifi Kazi nzuri sana nawakubali nyote mpoo vzr sana❤❤❤😂😂😂

  • @RuqiaYusuph
    @RuqiaYusuph 3 หลายเดือนก่อน +1

    sas jee hapo mambo pambee mnafeligi wapi kutafuta wakuchangamxha move.piga kelele kwa mawif zakeeeee😅

  • @maindaafricanbeauty3360
    @maindaafricanbeauty3360 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saf sana jaman

    • @maindaafricanbeauty3360
      @maindaafricanbeauty3360 3 หลายเดือนก่อน

      Jaman muenderezo vp mbn kimya mnatupa utam unakata na kama mnataka wasaniii tupo

    • @HappiphniaBinagi
      @HappiphniaBinagi 3 หลายเดือนก่อน

      Mundelezo soon tu unakuja​@@maindaafricanbeauty3360

  • @EsterinaMbembati-mg8iy
    @EsterinaMbembati-mg8iy 3 หลายเดือนก่อน

    Mawifi wa sikuizi mungu atusaidie

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saut ya nora 🎉

  • @JanethEmmanuel-mr5le
    @JanethEmmanuel-mr5le 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani penda cnaa nyie❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BennyMabendi
    @BennyMabendi 3 หลายเดือนก่อน

    Sheilla na mambo yake huyoo noma sana

  • @NyindwaMasai-t9b
    @NyindwaMasai-t9b 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo kusema zebuu hayupo au ndo kihere here changu mana hata sijamaliza badoo

  • @LoiceMapenzikenga
    @LoiceMapenzikenga 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mawifi ni Sheila na Norah Huna Bahati wifi

  • @Mungumwema-g9p
    @Mungumwema-g9p 3 หลายเดือนก่อน

    Mawifi shikamooo mnaendeleaje

  • @TasmiaDulla
    @TasmiaDulla 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wifi shikamoo 😂😂😢

  • @Bitulomaingu
    @Bitulomaingu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamni mbon muendelezo hautoki

  • @ZayAwazi
    @ZayAwazi 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa heee so kwa mawifi hawa

  • @DominicKarani-vl7cn
    @DominicKarani-vl7cn 3 หลายเดือนก่อน

    Hii kali sana nimeipenda hii🎉

  • @JaypallaJaypalla
    @JaypallaJaypalla 2 หลายเดือนก่อน

    ,hongerr cn happy ❤🎉😊

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 3 หลายเดือนก่อน

    Nilidhn wifi mwenyewe ni zebuu..kumbe sura ngeni.mawifi sheyshey na norah shikamooni.nadhn mumepatana

  • @DavidJuma-b4h
    @DavidJuma-b4h 2 หลายเดือนก่อน

    kaz nzur sana

  • @DominicKarani-vl7cn
    @DominicKarani-vl7cn 3 หลายเดือนก่อน

    Hii kali sana nimeipenda hii

  • @Chalahtz-yv5cw
    @Chalahtz-yv5cw 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda sanaa msicheleweshe ep 2 tafadhal

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuriiiii

  • @PhilimonPaul
    @PhilimonPaul หลายเดือนก่อน

    Hata mm Nina kuwepi 🎉🎉🎉

  • @FeliciteAkimana-vf7jg
    @FeliciteAkimana-vf7jg 3 หลายเดือนก่อน

    Mweye Sheila 🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu

  • @BlendaDickison
    @BlendaDickison 3 หลายเดือนก่อน +2

    1:13