Mch Moses Magembe - KUPITIA KITABU CHA MATHAYO | IBADA YA JUMATANO JIONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Ibada ya Jumatano jioni katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG Majumbasita - Ilala Dar es salaam, chini Mch Moses Magembe.
    SOMO: KUPITIA KITABU CHA MATHAYO
    Andiko: MATHAYO 16:18
    Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
    Tarehe: 06.02.2024

ความคิดเห็น • 23

  • @BalotelBaloteltweve
    @BalotelBaloteltweve 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mchungaji wa kwanza tanzania ninae mkubali ana zungumzia uhalisia wa mambo sio kama awa wengine wamchonga amina mpendwa

  • @bulaasiywez7014
    @bulaasiywez7014 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @vitabuvyashuhuda-lg2fn
    @vitabuvyashuhuda-lg2fn 7 หลายเดือนก่อน

    Genius Man of Living God

  • @Patience.67
    @Patience.67 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @KyongoKyongo-rr8lm
    @KyongoKyongo-rr8lm 7 หลายเดือนก่อน

    Tunafuatilia mafundisho mazuri sana

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 7 หลายเดือนก่อน

    Amina baba Mungu akuongezee nguvu,tunaomba kudinlod

  • @mtangag774
    @mtangag774 6 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe mtumishi mm nafuatilia mahubir yako mda mwingi sana

  • @AsheriAbiasafu
    @AsheriAbiasafu 7 หลายเดือนก่อน

    Amina, ubarikiwe sana Baba.

  • @majachota7972
    @majachota7972 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakuekewa vizuri sana Mungu akupenguvu

  • @raphaelmasasi966
    @raphaelmasasi966 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen baba

  • @ellymwand7728
    @ellymwand7728 17 วันที่ผ่านมา

    Nasikiza toka kenya

  • @WesleySaiyorikimutai
    @WesleySaiyorikimutai 7 หลายเดือนก่อน

    Thanks Rev it's now clear so much blessings ❤

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤Amina

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana kwa mafundisho yako mazuri

  • @EdwardChitama
    @EdwardChitama 7 หลายเดือนก่อน

    Raha sana kusikiliza

  • @joshuanjiuka2870
    @joshuanjiuka2870 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nice

  • @reubenlusanya3546
    @reubenlusanya3546 7 หลายเดือนก่อน

    Baba ubarikiwe kwa mafunuo mangumu unayo funua kwa upana sana.

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 7 หลายเดือนก่อน

    Aameni

  • @erickphilipo3833
    @erickphilipo3833 7 หลายเดือนก่อน

    Balikiwasana

  • @mtangag774
    @mtangag774 6 หลายเดือนก่อน

    mimi napenda mzee anavyoelezea sasa anasomea vitabu vipi mm napenda kujua context ya kila andiko dah.

  • @upendomtui6544
    @upendomtui6544 7 หลายเดือนก่อน

    Yani wakristo tungektakiwa kuenenda au kujifunza namna hii ujinga ujinga mwingine usingekuwepo kabisaaa maana tungeelewa

  • @lawrencekamete2404
    @lawrencekamete2404 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika hapo wapendwa wapo Bible study. Nafuatilia

  • @phestostanley4019
    @phestostanley4019 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe pastor wangu