KAMISHNA MKUU YUSUPH MWENDA ATOA NENO KWA WATUMISHI NA WALIPAKODI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • #TRA #ZANZIBAR

ความคิดเห็น • 11

  • @mohdbinaley5546
    @mohdbinaley5546 27 วันที่ผ่านมา

    All the best C.G

  • @suhaybabeid3115
    @suhaybabeid3115 28 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa pamoja tunajenga taifa letu🎉🎉🎉

  • @temekepamoja2757
    @temekepamoja2757 27 วันที่ผ่านมา

    Wez ao

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 27 วันที่ผ่านมา

    Jamani mm naomba kuuliza kwani wabunge wana Tax kwenye salaries zao, na kama hawana je kweli ndio tunajenga taifa letu wote au tuna jenga wachache. Pls ningepata jawabu ninge furahis sana

  • @sss3s867
    @sss3s867 27 วันที่ผ่านมา

    Maneno yenye hekima KABISA. Inaonekana uko sirias ktk maneno yako yanatoka moyoni Kwa jicho la tatu
    Lakini mkuu Sheria za tra zinaangamiza Patna wako sio WA eika ZOTE. Hivyo Patna ndogo anakufa KABISA Sheria ikisimama kivyovyote. Ikiwa fair au kinyume chake.
    Nakusalimu.
    KAZI iendelee

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 27 วันที่ผ่านมา

    Mh fungeni mifumo siyo kila anaeingia vikao

  • @johaneskyaruzi8789
    @johaneskyaruzi8789 27 วันที่ผ่านมา

    Kikubwa n haki na kufuata sheria

  • @YohanaAman-uz2eu
    @YohanaAman-uz2eu 20 วันที่ผ่านมา

    Vijana wako hawako makini kabisa wanazushia madeni wafanya biashara tena wanawaambia ni madeni ya nyuma na nimakubwa kiasi hawawezi lipa je wanampango wa kuwafilisi

  • @jameskivelege6721
    @jameskivelege6721 27 วันที่ผ่านมา

    Kama kina jambo baya nilifanyiwa na tax office Ilala ni kui lock account ya kampuni yangu eti nadaiwa while all the allegations over 90%were not so!!
    Be careful na vijana wako plz

    • @DivNg27
      @DivNg27 27 วันที่ผ่านมา

      Pole sana Bro,itakua walikua wanataka uwape rushwa,ukakataa, wakaamua kukupa kodi ya makasiriko ili wakukomoe...hivyo ndio wafanyavyo TRA woote wasio na uzalendo na hofu ya MwenyeziMungu