KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2024 GOFREY MNZAVA, BANDA LA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, 2024 Bw. Godfrey Mnzava akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais alipotembelea banda la maonesho la Ofisi hiyo kwenye viwanja vya Shule ya Hai Day mkoani Kilimanjaro, Aprili 3,2024 na kusisitiza umuhimu wa kuendelea kutoa elimu ya Mazingira kwa wananchi. Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 inasema “ Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu”.

ความคิดเห็น •