Sheikh Mtoto wa Miaka 9 Amfundisha Anayejita Prophet Ipm Amkosoa kwa Kuwadanganya Watu.Shk ramadhan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 699

  • @SaidaKazuvi
    @SaidaKazuvi ปีที่แล้ว +30

    Mashallah nakapenda haka katoto.... Allah azidi kukuongoza na akulinde na husda mtoto mzuri😘❤❤💝

    • @saumunurdin7318
      @saumunurdin7318 ปีที่แล้ว +2

      C katoto km unavyomuona macho I pako, huyu ni Swaheeb lfahama SHEIKH RAMADAN

    • @WadhifHajji
      @WadhifHajji หลายเดือนก่อน

      🎉​@@saumunurdin7318

  • @LilaAl-b3x
    @LilaAl-b3x 8 หลายเดือนก่อน +11

    Mashallah nlimmis huyu MTT Allah ampe umr mrefuuu wenyeher na Baraka ❤

  • @safinamtalii8776
    @safinamtalii8776 ปีที่แล้ว +85

    MashaAllah, Allah akukuze,akuongoze, akulinde ,akukinge na kila shari ya viumbe wabaya.

  • @MpateIsmail
    @MpateIsmail 10 หลายเดือนก่อน +23

    Wazazi tuchukue mfano wa mzazi wa huyu mtoto mashaallah allah awajaalie wazazi wa huyu mtoto

    • @fatimatsega-y7r
      @fatimatsega-y7r 6 หลายเดือนก่อน

      aamiin

    • @ummukulthum1268
      @ummukulthum1268 14 วันที่ผ่านมา

      Allah humjaalia amtakae, huenda ata wazazi wake hawatumii nguvu km unavofikiria ila Allah alishachagua awe ivo uyo mtoto

  • @ZumratHaji
    @ZumratHaji 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah mashaallah mashaallah anasauti zurii mashaallah mungu amkuze katika imani atujalie heri na sisi watoto wetu waishike dini 🤲🤲🤲

    • @bintybaby
      @bintybaby 6 หลายเดือนก่อน

      Amiin Thumma Amiin

  • @habibafarah3396
    @habibafarah3396 ปีที่แล้ว +13

    Mtoto kumleavyo ndivyo akuwavyo m.a may Allah protect bad evil keep going my brother ❤

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo 10 หลายเดือนก่อน +8

    Maashallah,, Mwenyezi Mungu akujaalie mwisho mwema 🎉🎉🎉🎉

  • @halimapwagu3091
    @halimapwagu3091 ปีที่แล้ว +19

    Mashaallah allah ajalie vizazi vyetu viwe wenye kheli kma uyu na mungu mzidishie kheli na uhai mlefu wenye manufaa hapa duniani na kesho akhela pia nakupe kwa ajili ya allah

  • @khadijaramadhani3340
    @khadijaramadhani3340 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah shekhe ramadhani allah akulinde na akukinge na watu wabaya na akuongoze vyema inshaallah

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 ปีที่แล้ว +38

    Hiki kipaji kutoka kwa ALLAH yatakiwa tukilinde aendelee kutupa Raha ,Namuomba ALLAH anipe kijana wa Mfano huu dini itasimama na kukonga nyoyo za watu ALLAHUMMA AMIN

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah allah akujalie kila kher Katika maisha yako shekhe wetu

  • @aishaabdullah837
    @aishaabdullah837 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah mashallah sheh wetu mungu akupe umri mrefu nakupenda kwa ajiri ya Allah

  • @AleniMbwelwa
    @AleniMbwelwa 10 หลายเดือนก่อน +3

    MAshaallah allah akulinde akupe kher n akulipe pepo funian na skhera akuepushe na husda allah akupandishe darja shekhe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MaimunaBilal-v9r
    @MaimunaBilal-v9r 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi mungu akukuze vyema na azidi kukupa imani ya kuupigania uislam

  • @NasuraChamani
    @NasuraChamani ปีที่แล้ว +5

    Maashallah Allah akuzidishie kipaji ufike mbali akuepushe na mahasidi. Ongereni wazazi wa mtt huyu.

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah tabaraq Allah... Mungu nijali mwangu awe kama huyu mwana wa mwenzangu

  • @SkuliyaBwagamoyoMsingi-yu4ev
    @SkuliyaBwagamoyoMsingi-yu4ev ปีที่แล้ว +17

    Allah akukuze katika kheri na akulipe mazuri na akukinge na maadui

  • @Ruks-h1x
    @Ruks-h1x 7 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah ❤❤❤ Allah akupe umri mrefu na skulinde

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 ปีที่แล้ว +51

    Nahitaji mwanangu awe hiv ili nipatae wa kuniombea dua insha-Allah

    • @batulialmass8914
      @batulialmass8914 9 หลายเดือนก่อน +1

      Insha Allah

    • @ZakiaSalum
      @ZakiaSalum 8 หลายเดือนก่อน +1

      In shaa Allah kheyr

    • @alvinsafi2733
      @alvinsafi2733 8 หลายเดือนก่อน +2

      Inshallah..Muongoz3 ktk njia ilio kheri naye Allah atamsimamia Inshallah

    • @Latifaally390Latifa
      @Latifaally390Latifa 8 หลายเดือนก่อน

      Inshallah

    • @ShadyAbdallah-vu7iu
      @ShadyAbdallah-vu7iu 8 หลายเดือนก่อน

      Amiin in shallah

  • @DoreeniFlaye-jp4ki
    @DoreeniFlaye-jp4ki 8 หลายเดือนก่อน +11

    mimi ni mkritu lakini nilivyosikiliza ndani ndani nikajikuta najuwa kuruani nikataka kuandika nikashindwa nimempenda sana huyu mtoto mwenyezi mungu akupe ulinzi mkali mungu anipe kizazi kama hiki❤❤❤

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amiiin

    • @AshanadhiruMrMrs
      @AshanadhiruMrMrs 7 หลายเดือนก่อน

      Allahuma amina 🤲🤲🤲🤲

    • @michaelmbeti5040
      @michaelmbeti5040 5 หลายเดือนก่อน

      Mtoto Ana majini 1000

    • @peterntandu1919
      @peterntandu1919 หลายเดือนก่อน

      Hujui siri ya uislamu ndio sababu umedanganika

    • @peterntandu1919
      @peterntandu1919 หลายเดือนก่อน

      Waulize jihadi ni nini wakikujibu waulize Muhammad alipochinja watu mia saba sokoni ..😂

  • @MwaphwaniSuleyman
    @MwaphwaniSuleyman 7 หลายเดือนก่อน +4

    Maasha Allah, Allah akulinde mtoto wetu

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr ปีที่แล้ว +8

    Inshallah mwenyezi mungu akulinde azid kukupa maneno ya Allah

  • @hassanmalibe8060
    @hassanmalibe8060 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah -Tabarakallah..
    Mwenyezi Mungu Akuhidadhi na Akuzidishie Ilmu...
    Anasoma/Amesoma Madrassa Gani huyu Ustadh wetu?
    Tuna hamu ya kujua na kuleta watoto wetu pia In Shaa Allah

  • @mwasitiabu4232
    @mwasitiabu4232 ปีที่แล้ว +6

    mashaallaah mashaallaah nilifurah sana nilivyo kuona live allaah akutuze

  • @FaridaMussa-h1m
    @FaridaMussa-h1m ปีที่แล้ว +5

    Mwenyezimungu akuzidishie uwezo said na zaidi tunanufaikasana na mawaidhwa yako

  • @adnanhamad9325
    @adnanhamad9325 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ Mashallah. Ya Allah MPE umri mrefu kiumbe huyu. Nasi utubadilishie tabia za wanetu ziwe kama za huyu kiumbe ili tupate vijana wema waunusuru uislam

  • @Hafidhimasoud-d9y
    @Hafidhimasoud-d9y ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah Mola wet u Mlezi. akuzaidishie fahamu

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah allah akuzidishie kipaji cha maneno ya allah na hadidhi za mtume s:a:w

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤::mashaallah tabarakaah::❤
    Mungu akupe afya njema Naumri mrefu ❤
    Yaarabi mpe mtoto mwisho mwema ❤

  • @ramadhaninawanje2744
    @ramadhaninawanje2744 11 หลายเดือนก่อน +1

    🎉Masha Allah, wa jina Allah akukuze na akuongoze na akulinde katika hii DUNIA na akulipe MEMA kesho AKHERA.

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 11 หลายเดือนก่อน

      Allahumaa Amiin 🤲

  • @SaidiAbdallah-fm3wj
    @SaidiAbdallah-fm3wj 2 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa ni kuwaombea dua NJEMA kwa Allah, vizazi vyetu visimame Sawa Sawa katika dini yetu ya kiislamu mashallah

  • @AssaniAbimana
    @AssaniAbimana 8 หลายเดือนก่อน +6

    MashaAllah Mungu akongezeye
    Ilm namaisha mazuri akurinde

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah tabarakalah Allah akuongezee Nuru na baraka inshallah

  • @MejumaaRashid-s8g
    @MejumaaRashid-s8g 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mtoto mzuri Allah akuongoze na akuepushe na jicho baya in shaa Allah na watoto wote umati Mummad (S.A.W)

  • @RayanDai-fr7ks
    @RayanDai-fr7ks ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah SWT skulinde na kila hassad na husda iwe mbl nawe mwanangu nakupenda kwa ajili ya Allah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MwanaidiMohammad-wr7qk
    @MwanaidiMohammad-wr7qk ปีที่แล้ว +4

    Allah akuzikuze naakuzidishiy. Ww pamoj nawtt wetu waangoze ili izid diniyetu yakislam ilitupat kujifunza ilitukakutan namtum wetu muhammad s.w

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +2

    😢Mashallah, Jazakallahu kher Mwanangu, Allah akulipe Jannah 🙏

  • @AshaHassan-fl8tw
    @AshaHassan-fl8tw หลายเดือนก่อน

    Maashallaah,ALLAAH,azidi kukupa ufahamu zaidi,na watoto zetu ALLAAH,awaongoze pia,,,

  • @zuhurahamisi8687
    @zuhurahamisi8687 ปีที่แล้ว +16

    Mashaaalhaa Mungu Akulinde ❤

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah ❤❤❤❤mwenyez mungu akuepushe na husda za wanadamu

  • @rahmashabani9738
    @rahmashabani9738 ปีที่แล้ว +9

    Allah akuzidishie umli wenye manufaa na erimu yenye manufaa

    • @RamadhanBaraka-gn9fg
      @RamadhanBaraka-gn9fg ปีที่แล้ว

      Amin yaribi laalamin

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc ปีที่แล้ว +1

      ASALAM ALEY KUM,ALHAMSULILLLAH NAMSHUKURU ALLAH KWAKUA MUISILAM.HII NI NEEMA KUBWA SANA WAIAILAM UNAOENDA KWA MWAMPOSA MNAJISIKIAJE UKIMUONA HUYU MTOTO WA KIIAILAM ALLAH ALIVYOMJALIA KUA NA KIpI CHA HALI YA JUU.ALLAH ANZIHIRISHA KUWA UWIAILAM NI DINI YA HAKI..

  • @رحمهبهاري
    @رحمهبهاري ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah allah akuhifadhi naatujalie vizazivyetu viwe kamahuyo inshaallah yarabi

  • @AminaAli-w3s
    @AminaAli-w3s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah ❤❤❤🎉 mung akupe Muir mref na akulinde na hasad za walimweng

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว +4

    Allah akubariki na akulinde InshaAllah

  • @chrispusmutuginyabura4036
    @chrispusmutuginyabura4036 ปีที่แล้ว +3

    Mashalah mungu akujalie uishii miak mingii ❤❤

  • @InacioAntonioMarcos-jm7uv
    @InacioAntonioMarcos-jm7uv ปีที่แล้ว +2

    Masha'Allah Allah akuzidishie maisha marefu hapa duniani na kesho Akhera Allah aikuze ilimu Yako akutakabalie akhamali zako na Allah awalinde wazazi wako Asalaam alaykum warahmatulah wabarakatuh

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket หลายเดือนก่อน

    Mashallah sheikh Allah atuhifadhi na akuongoze KTK maisha usome uzidi kuebdelea mbele wallah haya au hizi ni athari za shehe wetu kule Zanzibar nazani wanao fuatilia watamjua takbir waislamu mungu awafanye wengi vijana km hawa inshallah

  • @saidmuhd611
    @saidmuhd611 10 หลายเดือนก่อน

    Maashallah, huyu kijana ana kipaji na uwezo mkubwa. Aendelezwe kiilimu umma unufaike huko mbele

  • @neymarkileo5454
    @neymarkileo5454 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mwenyezi Mungu akupe kher inshallah mm n mkristo Iakn navutiwa San na mahube yakuruhan inshallah ntazd kujfunza🤲

  • @buifamily-iq4xq
    @buifamily-iq4xq ปีที่แล้ว +6

    Maashaallaah dogo umepangwa vzr na una kipaji cha kupangika ila wasimamizi wa huyu dogo musimdhulumu wakati wake mpelekeni akasome dini yake kwa mwenendo huu munaonda naye hatosoma na ataishia hivo hivo kupangika mpelekeni mtoto akasome dini yake aje afundishe umma huu wa Muhammad swalla llaahu alayhi wasallam

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna mtoto wa miaka 7 ukaweza kumpanga icho kitu hakuna hususan katka kusoma Aya za Qur'an na kutafsiri hata mtu mzm hawezi hicho ni kipaji kutoka kwa Allah istoshe huyu mtoto still anasoma tambua ilo.

    • @jamalibaruti7126
      @jamalibaruti7126 14 วันที่ผ่านมา

      Hii dhaahiri kabsaa

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah ampe afya njema na umri mrefu zaidi apate kurigania din ya Allah ❤

  • @SophiaZick-t3v
    @SophiaZick-t3v ปีที่แล้ว

    Mashaaalah.eee mwenyezi mungu upe Maisha mazury na marefu.huyu sheehy mtoto.shafii

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallaah mashaallaah watabarakaallah allah akuzidie kila la heri ishaallah mtoto mzuri

  • @MariamMakundi-w9o
    @MariamMakundi-w9o 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda kwa ajil ya Allah nakuombea kwa Allah akuhifadh❤❤❤❤

  • @NimcoSMursal
    @NimcoSMursal 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mashaallah tabarakallahu may Allah bless him and protect him evil eye Allah ma amini thuma amini 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @TwalaaTaib
    @TwalaaTaib ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Mashallah Barkallahfik Love Frm Kenya❤❤❤🎉

    • @husseinlilbenz1252
      @husseinlilbenz1252 11 หลายเดือนก่อน

      Sheikh and the first 9:41

    • @AliKahin-n9w
      @AliKahin-n9w 23 วันที่ผ่านมา

      Mashallah jazakalkher.

  • @HIDAYASAID-ue1df
    @HIDAYASAID-ue1df ปีที่แล้ว +3

    Mashallah mung Hanijarie watot zangu wapate nuru kama mtot anayejua Din vzr Inshallah

  • @JonasAmisiheradi
    @JonasAmisiheradi 8 หลายเดือนก่อน

    Macha Allah Cheikhs wangu, tupo pamoja tokea Lubumbashi Wantashi DRC CONGO

  • @YahayaHassani-n7l
    @YahayaHassani-n7l 27 วันที่ผ่านมา

    mashaallah mungu anibaliki mtoto awe kamahuyu lnshaallah Mungu awabaliki wazaz wako

  • @ZAMYLFILM
    @ZAMYLFILM 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah barakaallah mwanangu atawa hivi inshaallah tujitahidi kulea wanetu Kwa maadili haya

  • @MaryamIssa-y7v
    @MaryamIssa-y7v 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hii miujiza hutokea ktk Uislaam tu si upande mwingine wowote mtoto miaka kumi kumi na mbili kuhifadhi kitabu kizima Cha Qur-an,ila huwezi kusikia kwa ndugu zetu mtoto kufaham au kuhifadhi bibilia,kwa mwenye akili na kutafakari vizuri anaweza pata majibu pasi na ushabiki.

  • @rizikirashid1199
    @rizikirashid1199 11 หลายเดือนก่อน

    MashaALLAH TabarakaALLAH ALLAH Atujalie mashee wengie wa umri mdogo kuongoza umma

  • @alexkatana5037
    @alexkatana5037 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Mwenyezi Mungu Amupe Umri Moto Huyu.

  • @HajiSaleh-fy8gm
    @HajiSaleh-fy8gm 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akulinde na mahanadi akufanyie wepes

  • @ashrafyyousuf6821
    @ashrafyyousuf6821 20 วันที่ผ่านมา

    Ya Rab 😭 ya Allah when is my son coming with your Qura'an to shake this world

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ma nshaa Allah mutoto mi murundi napenda Huo mutoto n'a omba Allah Nami anipe mutoto mwenye kipaji kama hicho

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni หลายเดือนก่อน

    Huyu mtoto yuko vizuri mno MUNGU Amzidishie kipaji chake

  • @SuzyMukhawana
    @SuzyMukhawana 11 หลายเดือนก่อน

    Mashallah habibi my the grace of Allah be with you🙏

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 ปีที่แล้ว +4

    Allah akulinde nan hasad azidi kukupa ufahamu

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 ปีที่แล้ว +3

    ❤❤❤❤ mimi si musilamu akini huyu kijana anifusa mingi

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah, ila sheikh waambie na hao wanawake wajisitiri nyuso zao. Wanaonekana kama wapo kanisani. Yaan hao wooote namuona mmoja tu kajipamba kisheria, Allah amthibitishe

    • @kiddyalite
      @kiddyalite 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo hujui stara ya kisheria n ipi

  • @suleimanabdi2573
    @suleimanabdi2573 11 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah big love from kenya my lvly tz brothers and sisters ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @UmmyAbubakari
    @UmmyAbubakari 10 หลายเดือนก่อน +1

    Maasha Allah Allah akulinde misharii jioni waliisii

  • @AbasiHassan-w4s
    @AbasiHassan-w4s 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akulinde na akujaalie Umri mrefu .na akujaalie mwishomwema na sisipia Amin

  • @suneelhamsik9673
    @suneelhamsik9673 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kamekua MashaAllah...Allah ampe maisha marefu inshaAllah

  • @OmaryBendera
    @OmaryBendera หลายเดือนก่อน

    Mashalah nakupenda kwaajili ya alah mungu akuzidishie kill la kher natamani nami mwanangu are kuwa kama wewe mashalaah

  • @ZulehaChampunga
    @ZulehaChampunga ปีที่แล้ว +3

    Manshaallah Allah akukuze na akuongezee elimu yenye manufaa

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 11 หลายเดือนก่อน

    Akikua atakuwa Mkristo Mzuri Sana..Yesu anamsubiri akomae Kwanza na uislam ili aje kuupindua Vizuri big up kwako kijana 💪💪

    • @yusrashabani2983
      @yusrashabani2983 11 หลายเดือนก่อน

      Shindwa kabisa ibilisi wewe kumuombea mtoto kuufata moto wa jehanam tulia wewe kama moja uusubilie huo moto siku hiyo ya mwisho , kwakufanya kosa la jinahi na dhambi isiyo samehewa endapo utakufa bila kuijuwa khaki ya mwenyezi Mungu kwa kumuita yesu ni Mungu nawakati alizaliwa na mwanamke kama mama yako koma kabisa . Ewe mtoto mzuri ALLAH akulinde na husda na akuepushe na majalibu ya wabaya

    • @Fatma-dg9vb
      @Fatma-dg9vb 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@yusrashabani2983Amin thumma Amin 🙏🙏😊🙏🥰

    • @salamajuma1513
      @salamajuma1513 8 หลายเดือนก่อน

      Koma kaka au km dada mungu amlinde uislam dini ya uislam

    • @JuniorTz-s7x
      @JuniorTz-s7x หลายเดือนก่อน

      Shetani mkubwa Tena shindwa nyie ndy wanga wenyew Yan m to u anaeujua uislam ety aende ukristo we kuweza

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. หลายเดือนก่อน

      @@JuniorTz-s7x SHETANI YUPO MSIKITINI YEYE NA WANAWE WALISILIMU KITAMBO SANA
      JISOMEE ACHA MATUSI HAYASAIDII.. UISLAMU NI DINI NZURI YA USTAARABU LAKINI HAKUNA WOKOVU HUKO KAMWE NDO MAANA HATA UNAPATA UJASIRI WA KUTAMKA MANENO HAYO KWASABABU DINI YAKO INAKURUHUSU HATA KUUA..HIVI JIULIZE SWALI, DINI YA HAQI INAAGIZA KUUA WATU KWASABABU WAMEIKATAA DINI HIYO "HIYO HAQI INATOKA WAPI IKIWA MTU ANALAZIMISHWA KUTII DINI YENU KWA DAMU??"
      HAKI MOJA WAPO YA MTU NI KUCHAGUA DINI AU IMANI SASA HIYO DINI YENU INAYOJIVIKA SIFA YA HAQI HUKU IKIDHULUMU UHURU WA WATU KUABUDU NI HAQI GANI???
      SHETANI HUYU HAPA AKIWA USTADH;
      "ASILI YA MAJINI UK 20"

  • @Ihsankeizer
    @Ihsankeizer 9 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah for the beautiful daawah from the young boy. He's really challenged us but Alhamdullilah islam still has people who speak thee truth and defend ALLAH... Please those people giving him money are really distracting and confusing him... They should let him lecture and sort out rhe money issues in a different way... Allahibarik

  • @ShemsaHamoud
    @ShemsaHamoud วันที่ผ่านมา

    Wazazi wote tunapenda watoto wetu wawe na elimi ya dini na dunia lakini huyu mtoto anakipaji alichoruzukiwa na Allah tumuombe Allah aturuzukie vizazi vyetu.Allahumma amiin.

  • @joharishabani760
    @joharishabani760 11 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Allah nijalie kizaz changu na mimi kiwe kama huyu mtoto Yarraby takabar dua InshaAllah

  • @mussamohd4414
    @mussamohd4414 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amlinde nashar za maaduw nasi mungu atujalie tuzae watoto wema

  • @mariamHamad-m4s
    @mariamHamad-m4s ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah tabaarakaAllah ALLAH bareek

  • @AbdulrazaqMvuyemure
    @AbdulrazaqMvuyemure 6 หลายเดือนก่อน

    Manshallah huyu mutoto allah subhanah wa'ataa amujalie kiragher rolot hapa dunian n'a aghera yarabii nakuomba nikioa unipee mutoto kama huuyu🤲🤲🤲🤲🤲🤲

    • @AbdillahJumanne-r5s
      @AbdillahJumanne-r5s หลายเดือนก่อน

      Huyu mtt anakuwa namuona Hana chochot wamemchukua Hawa jama badala ya kumpeleka ktk dini wanasema sharifu wanaakili kwel hawa

  • @philebaha2371
    @philebaha2371 11 วันที่ผ่านมา

    Yarrabbi akulinde n husda mtoto mzuri sana jmni.mashaallah

  • @AbdulMahadhi
    @AbdulMahadhi 29 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah Allah amzidishie aamali njema wallah

  • @jamarjafali5170
    @jamarjafali5170 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu hakujariye maisha maref nakuogezee kipaji zaid

  • @fatumanassir3085
    @fatumanassir3085 ปีที่แล้ว

    Mashaallah....Allah awazidishie umri wazazi wako ln n shaa Allah

  • @MariamShabani-eb3oh
    @MariamShabani-eb3oh หลายเดือนก่อน

    Maashallah Allah akulinde akuongoe maisha yote

  • @AthumaniOmari-s7f
    @AthumaniOmari-s7f หลายเดือนก่อน

    Yarabbi mlinde huyu mtoto na mahasid na umjaalie maisha marefu

  • @NassorsuleimanSaid
    @NassorsuleimanSaid 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mungu akuzidishie kua na ilmu

  • @Khadija1234-k8v
    @Khadija1234-k8v 6 หลายเดือนก่อน

    Wallah nilikua natamani sana uyu shekhe ramadhan aje kukutana na shekhe firdaus jaman adi raha mabluk❤

  • @HawaOmary-w8p
    @HawaOmary-w8p ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akupe mema yote ya duniani na akhera na akuepushe na shari zote za viumbe waovu Amiin ❤❤❤

  • @mustafakambalekatulamu
    @mustafakambalekatulamu ปีที่แล้ว +4

    Mungu akupe umri murefu

  • @NeymatySaleh
    @NeymatySaleh 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mungu amzidishie❤❤❤❤❤katoto na akatunze jmn nimekapenda bule

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 8 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah,Masha Allah Allah akuongoze na akulinde

  • @munirasalehahmed7309
    @munirasalehahmed7309 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akulinde na husda zawalimwembu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 ปีที่แล้ว +3

    Allah akubarik mwanangu MashaAllah ❤❤

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 11 หลายเดือนก่อน +49

    Mimi ni Mkristo nasema mtoto huyu kipaji chake ni kikubwa sana inabidi mupambanie kipaji chake zaidi kwa elimu.Hii ni hazina kubwa ya baadae.

    • @fatimatsega-y7r
      @fatimatsega-y7r 6 หลายเดือนก่อน +2

      allah akuongoze

    • @anomolosguy
      @anomolosguy 5 หลายเดือนก่อน

      Allahu akbar

    • @TimaMohamed-g5v
      @TimaMohamed-g5v 4 หลายเดือนก่อน

      Alhamdullah mtoto mungu akubariki amin

    • @TimaMohamed-g5v
      @TimaMohamed-g5v 4 หลายเดือนก่อน

      Alhamdullah mtoto mungu akubariki amin

    • @TimaMohamed-g5v
      @TimaMohamed-g5v 4 หลายเดือนก่อน

      1:05 1:05

  • @chibaChiba-r7o
    @chibaChiba-r7o หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde na akupe upeo zaidi hii ni hazina kwetu eaislam