HISTORIA,YALIOTUKUTA PEMBA SITSAHAU-UST ALLY KADOGOO,MWAPOPO ATUPIWA DONGO KWA YALE YANAYOENDELEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @maulana-c5q
    @maulana-c5q 7 วันที่ผ่านมา

    Mashallah shekh Ally shatry kadogoo. Umeelewa vzr saana nadua zako kwetu ziwenjema Alla atusimamie na atuongoze Ili tuidumishe kazi tukufu ya kulingania kher. Ktk nafs zetu na zawenzetu. Amee. Pia shukran maalim shafy (ssp)

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 หลายเดือนก่อน +8

    Wapemba wana umoja Mashaallah Allah awabarikie

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 21 วันที่ผ่านมา

    ALLAH awalipe kher Mashekh zetu

  • @NassorKhamis-l6r
    @NassorKhamis-l6r หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah Hawa washeh kadogoo, kinyogoli, Iman Petro, Dr Sule, Rico Shafi na wengine walipambana sana ktk mihadhara kipindi hicho Niko mdogo nilikuwa siwezi kosa mihazara Allah awalipe kher

  • @hafidhabdallah6292
    @hafidhabdallah6292 9 วันที่ผ่านมา

    Allah akbar Allah akbar...
    Pemba Allah aibariki

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 หลายเดือนก่อน

    MashaaAllah uko vizuri sheikh Said Kadogoo nakuomba jaribu kumpa nasaha Muhubiri mwenzako Mwaipopo nae ajiunge na chadema maana kelele zote anazopiga hana jingine anatafuta nafasi tu ila bado hajaipata

  • @AbdulhalimYusuf-bc6rj
    @AbdulhalimYusuf-bc6rj หลายเดือนก่อน +1

    Mashallahu Maalim umemtaja mtu mmoja huku pemba anaitwa Ustadh Ali said huyu mtu yupo ni mzima wa afya kwa sasa yeye ni Amiri wa jumuiya ya maimamu wilaya ya chake lakini pia anauza vitatu vya dini yetu hapa chake Allah akubaark inshallah mimi naitwa hamad kutoka wesha chake chake karibu sana Maalim wetu

  • @aliramadhan-e3l
    @aliramadhan-e3l หลายเดือนก่อน +4

    Kulingania ni kazi ngumu sana, yahitaji uvumilivu sana na uvumilvu wa hali ya juu. Wawakilishi wa waisilam. We must saport them.

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv 27 วันที่ผ่านมา

    Wallahi hiki kisa ndo nakisikia lkn kimeniuma sana. ALLAH awalipe kheri

  • @hassanhaji996
    @hassanhaji996 26 วันที่ผ่านมา

    Shida iliopo mumetamanishwa na maisha ya dunia,mumesambaratika kwa maslahi binafsi,hamtafikia mafanikio duniani na akhera kwa hiki kinachoendelea,mfano mdogo hapo tayari ameshamsengenya sheikh mwenzake na kujione yeye anajua zaidi ya wengine,shikamaneni katika dini kufikia mafanikio.

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 หลายเดือนก่อน +3

    Allah awape kheri wahadhir wetu
    Amiin

  • @salehrashid3153
    @salehrashid3153 หลายเดือนก่อน +3

    Allah awalipe kheri wahadhiri wote amiin.

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja หลายเดือนก่อน +1

    MASHA ALLAH mwenzi mungu atawaongozaa hao mashemejiako

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana หลายเดือนก่อน +3

    Ustazi Ali kadogo nimekuona Namuomba Allah akuifazi pamoja na waaziri wengine nakumbuka uliwai kuja Burundi pamoja na waaziri wengine akiwemo Docta Sule

  • @JumaNurudini
    @JumaNurudini 26 วันที่ผ่านมา

    Hayo mambo yapo sana gerezani

  • @JumaNurudini
    @JumaNurudini 26 วันที่ผ่านมา +1

    Umesahau kagera wilaya ya ngara asbuhi tulikamatea na shekhe kabunda sku hiyo walisilim watu wengi

  • @mxy7699
    @mxy7699 29 วันที่ผ่านมา

    kwa kweli wapemba na wale wenzao wasomali wangelikuwa kama milioni mia tano tu hapo duniani, Uislamu angepata utulivu zaidi kwa nguvu za ALLAH.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 หลายเดือนก่อน +2

    Pemba kama pemba home sweet home

  • @jumahyaache
    @jumahyaache หลายเดือนก่อน +3

    Kwahisia sana hadi machozi wallah

    • @rahmahasan32
      @rahmahasan32 หลายเดือนก่อน

      Wallahi mtihani

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 หลายเดือนก่อน +4

    Najivunia kua mpemba

    • @arthurbertluanda3390
      @arthurbertluanda3390 หลายเดือนก่อน

      Mpemba hahhha wa matale au

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 หลายเดือนก่อน +1

      @@arthurbertluanda3390 wa konde hahaha

    • @AbuuKhardal
      @AbuuKhardal หลายเดือนก่อน

      ​@@fatmasaid9765konde ni nyumbani kabisa kwa hamsini

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 หลายเดือนก่อน

    Wengi wa wapemba wamekasirikiwa na Allah swt pale walipoacha uislamu na kushika fikra za makafiri za wazungu yaani democracy,Maalim seifu amewapoteza wapemba,lakini MashaAllah wapemba walioshika uislamu hawo ni vidume na Allah swt yupo pamoja nao na ndio waliokusudiwa na ayya aliyosoma mzungumzaji,si wafuasi wa mavi ya democracy hawo wamekasirikiwa na Allah swt.
    Democracy ni ukafiri
    Allah swt awarudishe wapemba ktk haki
    Naam

    • @khamisjuma2947
      @khamisjuma2947 หลายเดือนก่อน

      Mamako ndio kakasirikiwa na mungu mbwa wa kitope

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni หลายเดือนก่อน

      Kaka wacha kuongea ujinga wako huo,usiseme wengi wa wapemba wamekasirikiwa na Mungu, hayo ni mambo ya ghaibu wewe unayajua Vipi?

  • @jumaomari285
    @jumaomari285 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani ekeni picha za ukweli, izi picha ni za kenya za maandamano

  • @Fatuma-sz7yv
    @Fatuma-sz7yv หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh kadogoo usimfiche mnafki yule mwaipopo. Yeye mbona anakutaja jina lako live

    • @VuaiAli-zt9ib
      @VuaiAli-zt9ib หลายเดือนก่อน +1

      Wacheni kushabikia malumbano na udhihirishaji wa mizozo miongoni mwa Viongozi wa Dini.

  • @mrishobhaya8965
    @mrishobhaya8965 หลายเดือนก่อน +2

    Leo nimepata kikubwa nilicho Tasmania kukisikia

  • @joezeno8
    @joezeno8 หลายเดือนก่อน +7

    Sheikh Kadogo, ungemtaja tuu, ule MHUNI, KENGE Said Mwaipopo anavuta Bangi, kila siku kazi yake ni kukushambulia na kutukana Watu! Sasa hivi anakuwa CHAWA wa Serikali!

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 หลายเดือนก่อน +1

      Un hakika anavuta bangi.Allah anaweka hisabu ya kila jambo,elewa kama havuti bangi basi umemdhulumu.Tuwe makini sana.

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 หลายเดือนก่อน +1

    Ustadhi kwetu kumija namie kwetu palaka konde jamani

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 หลายเดือนก่อน

    Hujamtaja jina Lakini subiri uone Mwaipopo atakavyoripuka utadhani umemtaja yeye

  • @mxy7699
    @mxy7699 29 วันที่ผ่านมา

    Kwa

  • @alimau7939
    @alimau7939 หลายเดือนก่อน

    Tusichangane haki na batili

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi wa chama cha siasa hawezi kuwa kiongozi halisi wa dini.Hapo ni mushkeli kadogoo.

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 หลายเดือนก่อน

      Huo ni mtazamo wako, tunauheshimu

  • @AllyHamran
    @AllyHamran หลายเดือนก่อน

    Uonevu huo mpaka leo zanzibar upo waislam hawaruhusiwi kufanya mihazara ya viwanjani.wakati wakiristo wanafanya.

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 หลายเดือนก่อน

    AliekakasirikiwA na allah mamako mbwa mkubwa

  • @abdullatifhassan9399
    @abdullatifhassan9399 หลายเดือนก่อน

    Sheikh ilikua ni kipindi cha salmin Amour Zanzibar

    • @VuaiAli-zt9ib
      @VuaiAli-zt9ib หลายเดือนก่อน

      Yupo sawa kwa Tarehe hizo Salmini alikuwa ameshatoka madarakani.

  • @NassirAliy
    @NassirAliy หลายเดือนก่อน

    Vip km ww ni shekhe Kisha unachanganya haki na batili Kisha unadai ni shekhe

  • @HumoudAlbahry
    @HumoudAlbahry หลายเดือนก่อน

    آيش هذه سوالف😂😂😂

  • @V24hrs
    @V24hrs หลายเดือนก่อน +1

    tatizo lako wewe ni chadema ..ulipaswa ujiunge na ACT WAZALENDO..

    • @AbuuKhardal
      @AbuuKhardal หลายเดือนก่อน

      😂😢😂

  • @NassirAliy
    @NassirAliy หลายเดือนก่อน

    Shekhe hawezi kuwa mwana siasa wewe ni njaaaa tu

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 หลายเดือนก่อน

      Lini aliwahi kuja kuomba kula kwako we mwenyeshibe

    • @NassirAliy
      @NassirAliy หลายเดือนก่อน

      @@allymuhammad325 hata km hajaja Kwangu yy ni chanjaaa ndio inamsumbua hakuna kuchanganya haki na batili

    • @NassirAliy
      @NassirAliy หลายเดือนก่อน

      @@allymuhammad325 ukichanganya haki na batili hili ni njaaaa ndio inakufanya hivyo

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo shekh wamkoa nae ni njaa, mana nimwenyekiti wa ccm jumuiya yawazazi😳

    • @NassirAliy
      @NassirAliy หลายเดือนก่อน

      @@allymuhammad325 kwani ww unaona vip Kwa mujib wa Sheria ya kiislam Ili uwe shekhe wa mkoa uchaguliwe na nan na Kuna aina ngap katika Sheria ya kiislam za kuchagua Kiongozi Km kweli ww ni shekhe

  • @jumahyaache
    @jumahyaache หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah