Na koja la asuminiii, kaniletea tamashaa, mapenzi ya utotoni, Leo kaja yakumbushaa, yanamwenda midodmonii, kwa furaha na bashashaa, kajaomba samahanii, viipi nimkatalieee, maneno matam haya special to one of my best frend.. 🤣🤣
Oyaa zanzibar ilikuwa inatikisha kwa tungo duniani hawa walikuja kutupa hesima walimb nyimbo za maan tunawapongeza sana nyimbo zinaishi ndani ya mioyo kizazi hadi kizazi kutokana mashairi mazuri vinanda hatari unasikiliza akili inatuliya
Gonga like kama 2020 unamsikiliza huyu mfalme.
Na koja la asuminiii, kaniletea tamashaa, mapenzi ya utotoni, Leo kaja yakumbushaa, yanamwenda midodmonii, kwa furaha na bashashaa, kajaomba samahanii, viipi nimkatalieee, maneno matam haya special to one of my best frend.. 🤣🤣
😍
Hawa jamaa walikuwa mafundi mno❤❤❤❤
Lakin leo karudi,kama jambo halikuwa na macho yake shahid,so amazing Taarabu mashallah
Na koja la asumini kaniletea tamasha, mapenzi ya utotoni Leo kaja yakumbusha❤
Vipi nimkatalie, la hasha❤❤
Mapenzi ya utotni. ❤❤❤ .
Lakini Leo karudu kama jambo halikua yan Masha Allah old is gold Masha Allah
Raha ilioje jamani, mapenzi kuyarejesha. Kajaomba samahani vp nimkatalie
Kama mwana amefika, kwa mama mwenye Imani....
You're king of taarab
Your voice is so amazing
Thank you
Yanikumbusha wakati wa mbunge sharifu nasiri mwembe Tanganyika mvita ,waimbaji wa tarabu kutoka Zanzibar ,kajaomba samahani .
Zanzibar rahaaaaaaaa
Kudadadeki walah .vipi ninkatalieeeh😂mm hoi penda sn song🙊🙊🙆
Zanzibar my sweet home, 2020
Tam tam wallahi......2022 😘💞💯
Hatari Sana
Oyaa zanzibar ilikuwa inatikisha kwa tungo duniani hawa walikuja kutupa hesima walimb nyimbo za maan tunawapongeza sana nyimbo zinaishi ndani ya mioyo kizazi hadi kizazi kutokana mashairi mazuri vinanda hatari unasikiliza akili inatuliya
Vipi nimkatalie kaja omba samahani ,old is gold that fact❤❤❤
aniii in nzuriiiii
Mapenzi ya utotoni, .
Lakini Leo karudi kama jambo halikuwa top sana
2021 vp nimkatalie vp nimtakalie kajaomba samahani vp nimkatalie
Ucjethubitu kumkatalia
Nilipenda kuiimba sana nilipokuwa nikipika au kazi zozote hahahahahaaa inafurahisha sana leo umri umesogea jamani
👋mda unapita na mengi
2024❤
Vipi nimkatalie
Mashallah ALLAH barik..old is gold
kaja omba samahan vp nimkatalieee
sitorudi abadan sitorudi abadan ni kheri niangamie..
Aisha Yusuf je
Aisha Yusuf nayakubali manenogani yako
Sijafahamu bi aisha
Sijafahamu bi aisha
Huwahi kuangamia utarudi kwa koja tu la asumini
Nami sikufikiria kama ntarudi kwake😅😥
Alinizan bandia ndani yamikono yke maneno mazimaa kakaaa
Vip nimkatalie
Akher zaman👌👌
I like taraab I love Zanzibar
Hapo chachaa
alinidhani bandia ndani yamikono yake nami sikufikitia kama ntarudikwake
Mapenzi ya utotoni, Leo kaja yakumbusha.
Shout out to @HananBanafa!!!
hakika mapenzi ya utotoni yaniliza
Weweeee
Mashallah mashallah 🥰
Dahhhh sina neno
Nice mnooo mashallah
zenjibar zenjibar ❤❤❤❤👍
nyimbo Tamu yanikosha mie
Nice one
Inanikumbusha unguja ya miaka 48 iliopita
Kweli baba walikuwa watu hatari pongeza zao
unajuwa
swadkta
santeee
kajaomba samahan vp nimkatalie kajuwa kosa lake na umuhim wako mkubalie tu
Kajaniombanirudi
Zikapita samahani, nyoyo tukazisafisha mifundo iliyo ndani yote tukaiondosha... 🙄
Hakika cha kale ni dhahabu
mzuri sanna
its very Nice
Kaja omba samahani vipi nimkatalieeee maa shaa Allah
mapenz ya utotoni leo kaja yakumbusha
Nice song's don't back move on.
sina la kusema kwa maneno hayo
Kajaomba samahani vipi nimkatalie... Nakoja la asumi kanileteya tamasha.. Sitomkatalia
ilove zenjbar ilove zenjibar
Oman Oman l also really love my home land where my parents buried
Nzuri sana
Sirudi ata kwa Beni
Wapi
Hahahahah
Utarudi kwa koja tu la asumini wala sio beni
maoulid Mohamed machaprala
Abdallah issa
2022
sadakta
Na koja la asumini kaniletea tamasha