"Mazowea yana tabu, tabia zikilingana." Hii methali inamaanisha kwamba kubadilisha tabia au mazoea ambayo yamezoeleka ni jambo gumu, lakini tabia zikishafanana au kuelewana, maisha huwa rahisi zaidi. Inaweza kutumika kuonyesha changamoto za mabadiliko na umuhimu wa kufanikisha uwiano au maelewano kati ya tabia za watu.
Wow i love thus tune . Am curently in love vile huyu anavyo nipa mahaba nashindwa kuelewa it feels old like i ave known him all my life , yet soo new like i just met him❤ like he was made to fit me ❤ THIS SONG IS IT FOR ME WEN I MISS HIM
This Taarab is one of the classics of Taarab music. Shukrani kwa huyu alie weka nyimbi nzuri hizi katika eneo la TH-cam. Hongera kwa waimbaji na walotunga wimbo huu.
I honestly expected to hear Arabic when i clicked on this song. It's weird to hear Swahili on such an arab-influenced instrumental. East Africans and Arabs have a history together though, so we it's quite understandable. I like this Arab/sub-saharan African mix a lot =)
Oh how neato. It sounds like a blend of African, Cuban, and Indian music to my mind, like Sunday morning in the kitchen. I like this! Thanks for posting!
MrNass mimi nakujibu atakama sijuwi kiswahili vizuri iyi song inamana nyingi sana ya love tena romance ukitoka namtu inakuwa aje???????????? nikiwaza umepata jibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hakika mazoea yana tabu, Mosses Wangu nimekumiss mno Mume Wangu. Nilizoea kuwa nawe cku zote. Mazoea yananitesa mwenzio. Endelea KUPUMNZIKA mpnz Wa roho Yngu♥♥
Pole sana for u’re incredible loss
Allah akujalie heri insha'Allah,chema hakidumu ndio ulichokipoteza,Allah amjalie pepo insha'Allah.pole sana
wacha tu kila siku naupiga wimbo huu kumkumbuka mareheme mke wangu
Pole sana..na kufeel..nimempoteza mke wangu..rafiki yangu😢
Duuuh mimi tena
Leo nimeurejea tena kuusikiliza 2024 mazoa yana tabu❤❤
"Mazowea yana tabu, tabia zikilingana."
Hii methali inamaanisha kwamba kubadilisha tabia au mazoea ambayo yamezoeleka ni jambo gumu, lakini tabia zikishafanana au kuelewana, maisha huwa rahisi zaidi. Inaweza kutumika kuonyesha changamoto za mabadiliko na umuhimu wa kufanikisha uwiano au maelewano kati ya tabia za watu.
Naposikiliza hii nyimbo nakumbuka nilivyoachwa na mtu nampenda had sijielew.dah ....nikienda taarabu lazima niiombe,,,,,2021 gonga like
Wewe kama mimi basi pole yako tena wangu aolewa mwezi huu, Roho yauma😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭
Wow i love thus tune . Am curently in love vile huyu anavyo nipa mahaba nashindwa kuelewa it feels old like i ave known him all my life , yet soo new like i just met him❤ like he was made to fit me ❤ THIS SONG IS IT FOR ME WEN I MISS HIM
Mazoea Yana tabu, tabia zikilingana..... Tena ni kubwa adhabu watu nyinyi kuachana, hamuioni sababu maovu kutendeanaa.. Oh so sweet 😍😍
Wapi likes za tunaoskiliza 2021 tukiwa locked down
tunarudi bila kulazimishwa pale tunapo pamiss Zanzibar
Hii ndio taarab asilia "am from coastal region very proud.
Mwambao yetu
Pwani yetu
Mola Aibarikii In Shaa Allah
Na atuhifadhi
Amiin
Amina inshallah kwa sote
Aamiyn 🤲
Oh Bakar Abeid huyo!! maneno mazito kiswahili fasih kitamu.. kina rahaa yake...
whenever i listen to this song i remember my mom she loves this song
Me too darling my mom used to like this song. It is my fav. Always old taarab is gold
Where are you
The song reminds me of my youthful days when I lived among a swahili community in Mombasa at Majengo. Lovely sounds.
@@user-ue4fy8et3u your right old is gold
@@mohamedkassim9320 same like me here at this moments I'm living in South Africa 🇿🇦
I miss 😢 honey bi Sada Allah akupe kauli thabiti ntakumiss daima 🥺🥺☹☹
ahhhh We miss our paradise island of Zanzibar.....Zanzibar is the BEST....
Vp
This Taarab is one of the classics of Taarab music.
Shukrani kwa huyu alie weka nyimbi nzuri hizi katika eneo la TH-cam.
Hongera kwa waimbaji na walotunga wimbo huu.
Jamaniii hii nyimbo....october 2019 bado inautamu....ila Siku hizi hamna tena mapenzi ...
Mazoea Yana tabu nimerudi kuskiliza tena 2024 ❤
One of my favourite Taarab song of All Times! ❤
Who is still listening this song 2020 gonga like tujuane😍❤
sauti mashaaAllah! kweli mazowea yana tabu jamani..
Aisha mohammed khatwari balaa kubwa
Aisha mohammed kama nakuimbia vile😜
Kama ww ulivyo na tabu
Masha Allah utadhani umeshushwa kutoka peponi
This song it reminds of legends of AlAUFI empire who left us ,suliman ,Aziz,Yaqoob and Abdullah Mohamed Gahreeb Alaufi 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Wimbo hunikumbusha mbali kweli mazoea yana taabu
aliekuwa hajapenda basi hana moyo.wapi zamani zama zileeeeee,hairudiiiiiiiii,limebaki chozi.
Hadi raha kutingisha kichwa tu sio leo mwili mzima
i love this song from enzi mpaka leo
Ila Mimi hamna anaenipenda
Pp pool of
Hii nyimbo nikisikilza namkumbuka babu Zanzibar anaipenda Sana na mm kanifanya nipende pia
Am not getting tired of listening to this song.... Jamani mazoea yana tabu kweli..
Mahaba jamani itani uwaa!!!💖💯💖
I honestly expected to hear Arabic when i clicked on this song. It's weird to hear Swahili on such an arab-influenced instrumental. East Africans and Arabs have a history together though, so we it's quite understandable. I like this Arab/sub-saharan African mix a lot =)
coccinelsucrer lol welcome
Most of swahili song have those instruments
you clearly haven't heard of taarab music
Tukubaliane na wahenga zama zao . .❤
2020 who's here
Am here
2024 again
Oh how neato. It sounds like a blend of African, Cuban, and Indian music to my mind, like Sunday morning in the kitchen. I like this! Thanks for posting!
❤nyimbo naipenda hìi daaah
Tuliosilkza 2019 tujuane kwa like
Unguja Oyeeee 1964
Mazoea yanatabu sana! 😊😍🇹🇿🇹🇿
From Oman(Chicago) to all my brothers/sisters Swahili ..Mambo?
Kutoka Oman (Chicago) kwa ndugu zangu zote / dada Kiswahili.
Mohammed Al-Rashdi poua
Fadhila Amiri 😜😘
Mohammed Al-Rashdi Chicago beach😅😅Madinat nahdha
Aysher Mahmood hahahah exactly bro
Mohammed Al-Rashdi 😂😂😂😂😂Brooh i'm not brooh🙆🏻🙆🏻
Naipenda sana hii wimbo inanikumbusha vitu flan iviii
I remember my dead wife 🤒😞😢 her favorite song
So sorry
Pole sana kaka..
Si dhani watoto pacha jinsi tulivyofanana mpenzi umeniacha uhai sinao tena....🙌🏻❤️
😭😭😭😭😭😭
yan hii nyimbo sichoki kuskilza
mashallah maahallah! wimbo unanikumbusha mbali sana i like this song...
Daaaahhhh,jamani hizi ndizo nyimbo za kusikiliza yaani hazina fujo.
Nitabu kwa sababu hiyo ni kubwa sana
najivunia kuwa mzanzibar
Vipi binti mazrui
Hakika mazoea yana tabu nikweli kabisa labda iwe hujui thamani ya kupenda
Lahaulaa mbona mwatukumbusha mbali??? Wimbo huu kwa mara ya kwanza uliimbwa na mzee marehemu bakari abedi mwaka 1964.
Kumbe ni wa zamani
Kumbe nwazamanii
So many years has gone back now since it was realised
Ibrahim Aboker mama yangu bi fatma Allah amrehemu alikuwa na miaka3
MashaAllah vya kale dhahabu
Nateseka kutwa kucha dawa yangu kukuona.. special for mylov S.
Home sweet Home Pemba
Lovely Taarab
MrNass mimi nakujibu atakama sijuwi kiswahili vizuri iyi song inamana nyingi sana ya love tena romance ukitoka namtu inakuwa aje???????????? nikiwaza umepata jibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
muruwa kabisa kwa wanao pendana na nimajonzi kwa wanao achana
man!!! its about time... been searchin for this song on the net for ages... love the tune to bits xxx
Aisha u hali gani mama naona wasikiliza mazoea yana tabu
Ni mageni kwangu mm cjapata kuyaona
I LOVE MOMBASA, KENYA.
Duuuhhh maneno kuntu kweli mazoea yanataabu
Kumbe nichako kivuli mwenyewe sinae tena🔥🔥🔥 2018#
I neva gt tired listening to this💔💔💔
Nusayba Hassanalli
maashaallaah
Nakusikiliza hii nyimbo nipo Oman Muscat nakumbuka nyumbani Tz 😍 daaa link nitarejea
Zena Mpangile .... maashaallaah
Who is listening to the best song ever in 2017?
Am listening to it in 2018
Amal Ally maaashaalh
Zanzibar a stunner
U made my night .ni nzuri sana hii taarab
Waimbaji wasasa hajuwagiwanachokiimba kabisa hao ndowaimbaji
jemeni nikweli mazoweya yanatabu leo nime baki pekeyangu ohhhhhhhh duniya tunapita hakuna ataye ishi mika200
Mnmk
.?
Last night
Muziki wa mwambao,lovely song
😮 MAPENZI MAKUU
I know so many of the places in the pics. Asante sana,
yizo kweli mazoweya yana tabu, hoyabadili yina shida.
I can't stop listening to this.
Mazoea kweli yana tabu
Yaani taarabu isoisha ham kuisikiliza
Kilamara watamani kuisikiliza
nyimbo nzur sana, swawuti mpiya
Kweli Dunia hiii Haina mwenyewe mazoea mazoea pumzika mume wangu
It's 2021 who is here..?
Mbimbaji ni Marehemu Mzee Bakari Abedi kutoka Unguja
Wimbo huu ulitoka 1964.
TNKS ALOT KINANYU FOR THE VID MISS YOU HOME SWEET HOME..... MAZEA KWELI YANA TAABU HEHEHHE
احلى اغنية عندي
zilizopendwa
Nipo Australia vitu vinafika
ليس عندي
Doh!!!hapa 4sure unimaliza!!!!!great song!!!
2024....
Mashallah best taarab ever
Lo Taarab safi sana!!
Zilopendwa Oyeeeeeeeeeeeeeeee
Old is gold....too good !
nyama zetu za ulimi, ambazo tukipeana, na mengineyo sisemi, mengi tulifanyiana
maneno manene hayo walah
big up kwenu
@BreezyBrisbane this is the coastal music, from the Swahili coast, a mix of cultures. The music is called taarab. Africa is a big continent!
Yap!!! You have nailed it, its the best!!!
The best song mazoea kweli yana tabu
Mazoea yana tabu🔥2017💯🙌
Hayana tofaut na mapenz
Safi
2020?
This is mombasa in the 60's
Mashaallah love dis song ❤️
Bila shaka mazoea yana taabu , yana taabu😢
3:09am 13/11/2023
lol nyimbo nzuri japo sijaeelewa yamaanisha nini.he he he ha ha ha
mazoea yana taabu?yana raha si taabu kwangu!!
mohamed Farah Sunyareh anamanisha katengana na mtu aliyemzoea
mazoea yana tabu.
Uledi, reminds me my trnarge
I miss you alot fatima
Wowwww raha tuu
kwly kbsa mazoea yana tabu sana
watu qameimba
unaweza kutokwa na machozi
Mazoea yanatabu zanzbar oyeeee
Kumbe nichako kivuli mwenyewe sinae tenaa
Ni kweli kabisa mazoea yanatabu
I really miss home
its best old is where we preview nd we r heading to da old generation