MHE. RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Powered by Restream restream.io
    #Dodoma

ความคิดเห็น • 21

  • @salumsalim10000
    @salumsalim10000 11 หลายเดือนก่อน

    Salamu ni upendo.
    Salamu ni heshima.
    Assalamu Alaykum
    Nina ushauri tu hicho kitabu cha dini ya Kiislamu ( Quran ) kikaguliwe kabla ya hio Shughuli kwa sababu kuna baadhi ya watu huharibu na kubadili maneno katika hicho kitabu.
    Eee Mungu ibariki nchi yetu.
    Love & peace 😍

  • @emmanuelmalongoza1496
    @emmanuelmalongoza1496 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa Wateuliwa wote. Hongera Balozi John Ulanga kwa kuaminiwa kwenye nafasi kubwa.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji ปีที่แล้ว +3

    MAMA ANAWEKA GEAR YA MATOPE MPAKA 2030 ❤❤❤❤❤❤❤

    • @hassanhancha1413
      @hassanhancha1413 ปีที่แล้ว

      😄 🤣 four-wheel drive mpera mpera hyo

  • @SilvanoMulenga
    @SilvanoMulenga ปีที่แล้ว

    Ee Mungu ibariki chini yetu

  • @EryigitCargo
    @EryigitCargo ปีที่แล้ว +1

    Mama anaupiga mwingi sana

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi ปีที่แล้ว

    Mukweee nimemuona😊😊

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 ปีที่แล้ว

    Ataapisha sana

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 ปีที่แล้ว

    *...au kwa izini ya rais.*

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว

    Kuna umuhimu wa Katiba Mpya ikamilike na Wananchi wapate Elimu ili ianze kutenda kutumika. Mheshimiwa Rais Dokta Samia kuna Mambo yanawashinda Viongozi wako sababu hakuna Katiba Mpya inayowabana katika Uwajibikaji. Jamhuri ya Muungano Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Rais Dokta Samia Serikali yako umeweka Vipaombele kwenye ununuzi wa Magari ya Kifahari pekee kuliko Miradi mikubwa ya Maendeleo. Mimi binafsi sijaona umuhimu wa ununuzi wa Toyota Land Cruiser 300 series GXR Model of 2023 ya Milioni 400. Kwanini msitumie Toyota Land Cruiser Prado za Milioni 120m pia inakula Mafuta kidogo. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Rais Dokta Samia kipindi cha Awamu ya 5 ya Hayati Rais Magufuli Umeme haukuwahi kukatika ikaleta maana ya Uchumi wa Viwanda. Sisi WajasiriaMali tunategemea Nishati ya Umeme. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee.🇹🇿🇹🇿

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 ปีที่แล้ว +1

    TUNAKUPENDA SANA RAIS WETU MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU NA YENYE AFYA TELE UENDELEE KULITUMIKIA TAIFA LETU

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb ปีที่แล้ว

    Wanateuliwa lakini hawamsaidii Raisi wakishapata basi

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi ปีที่แล้ว

    Ndyo kazi iriyo kuwa nayo raisi

  • @MedardLutelemba
    @MedardLutelemba ปีที่แล้ว

    Mwisho wenu waja kitambo kidogo tu naiona ng'ambo ya bahari kwa upuuzi wenu huo

  • @pastorymasanja8838
    @pastorymasanja8838 ปีที่แล้ว

    Gombati mtu na nusu.

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km ปีที่แล้ว

    Yani mnatukera sana kukata umeme ovyo kama tanesco wameshindwa kazi iteni makampuni binafsi ya nje yaje Yanazalisha umeme 😠😠😠

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 ปีที่แล้ว

      Ww tumia akili usiwe nakili matope,hakuna mtu anaekata umeme,uwez kukata mkono unaokurisha ,tatizo vifaa zakutosha bado,ila umeme ukatike kwahio Raisi apate NN mana yake?

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km ปีที่แล้ว

      @@amosiabdulallh7965 😏😏eti akili matope je hiyo akili yako ndogo kama ya panya itakufikisha wapi wewe mganga njaa