USTADH SAID ALI HASAN || MM SI WAHABI MSIDANGANYWE NA HIZI NDIO SABABU ZA WAHABI KUACHA JEURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 2 หลายเดือนก่อน

    MASHA ALLAH 💚💚💚

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 2 หลายเดือนก่อน

    ALLAHUMA SWALLI WA SALLIM WA BARIK ALA SAYYIDINA MOHAMMADIN SWALLALLAHU ALAIHY WASALLAM

  • @hassanaboud8442
    @hassanaboud8442 2 หลายเดือนก่อน

    S 🌟❤️ A 🌟🌟 W 🌟❤️✨

  • @ayubMbwana
    @ayubMbwana 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 😂😂😂 nilitamani niwe na ilimu kama hii

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 2 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi mmezidi ukaidi mmeprogramiwa na maadui wa mtume hao wanazuoni wenu waliotumika kusimamisha utawala wa watoka NAJDI ukoo wa Alsaudi. Mwatumikia agenda ya ukoo mkidhani mwatumikia Sunna ya mtume. .Maskini hamjitambui wala hamtajitambua ila akurehemuni Mungu.

  • @KhamisSaid-n5w
    @KhamisSaid-n5w 2 หลายเดือนก่อน

    ماشي كما مجمع المولد يجل الكروب صلو على سيدنا وحبيبنا محمد

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน

    Swali muhimu itakuwa, Nani waanzilishi basi? Naamini ni washia au sio

  • @mohammadswaleh6900
    @mohammadswaleh6900 2 หลายเดือนก่อน

    Ukiingia kaburini ndio utajua kama uko kwa tariqa au uko kwa njia sahihi,kilemba kikubwa kama tire ya tuk tuk sio dalili ya kua kwenye Sawa. Kosa lenu mwajifananisha na manaswara wao washerekea Christmas na nyinyi mwasherehekea birthday.

    • @abdab8466
      @abdab8466 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mohamed inaonesha umekosa maadili,unamkejeli allama,hawa ni watu wanatambulika hata kama wanakasoro za hapa na pale

    • @abdab8466
      @abdab8466 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ma allaama ni warithi wa mitume

    • @misbahukhalifa3216
      @misbahukhalifa3216 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe hivyo unavyo sema ni kama una ufunguo wa pepo na kaburini wako ndugu zako watakupokea. Sababu watukana watu yaani huna madhambi. Tuweni na insaaf na hishima kwa wanazuoni wetu na waalimu zetu. Na Mtumi hatukani kazi yake ni kurekebisha. Mungu atupe husnil khatima Aamiin

    • @mohammadswaleh6900
      @mohammadswaleh6900 2 หลายเดือนก่อน

      @@misbahukhalifa3216 nani amekwambia nahukumu mm?shida yenu masufi hamuna uelewa ,Soma vzr hyo comment..Kaburini ndio mwisho wa mawazo ukiingia ndio utajua Yale mambo unayoyafanya kama ni mema au bida'a Au ni Shirki,Sahi muko duniani mwajifanyia TU Mambo ya uzushi,na Mtume Ashasema kulla bida'a tindhwalala,wa kulla dhwalalatin'finnar.kisha mukiambiwa Mwasema mwatukanwa.

    • @mohammadswaleh6900
      @mohammadswaleh6900 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdab8466 Allama ni kwenu sio kwetu sisi,madamu mtu anafanya bida'a huyo Bado hajaifahamu dini vizuri,Mtume Swalla'Allahu Alayhi wasallam Amesema watakuja watu wajifanye wanazuoni walinganizie wa bid'aa,Mukitatizika Rudini Kwa Quran na Sunnah ndio mutaongoka,Tayari walinganizi wa bid'aa na Shirki wanaeneza wazi wazi ndio Hawa Sasa masufi

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 2 หลายเดือนก่อน

    Hizi ni chuki za MAKHURAFI

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 2 หลายเดือนก่อน

    Kuleni Biriani mpaka mupasuke matumbo

    • @VuaiAli-zt9ib
      @VuaiAli-zt9ib 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani ni haramu?

  • @AliKhatib-vy1oj
    @AliKhatib-vy1oj 2 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi masufi hamujafik uko alipofik hyo m2 ila mumezod

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna madhehebu ya ki WAHABI

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 2 หลายเดือนก่อน

      Majina waislam hutungiana...lakini kwanini Mawahabi hua Wakali Wakiitwa kwa JINA Muanzilishi WAO.
      Lakini WAO mahodar kupachika Wenzao Majina

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 2 หลายเดือนก่อน

    mpaka sasa sijajua maana ya neno hili WAHABI lakin Naskia mwasemagan nyiny na ndugu zenu Mashia.
    UWAHABI NDO NINI??
    kama mna elimu tujuzeni.

    • @abdab8466
      @abdab8466 2 หลายเดือนก่อน +1

      Google the begining of wahabism in saudia Arabia alafu utajua chanzo chake ,utajua kwa undani kulikua na siasa ndani kutoka western countries,ilianzishwa na wazungu uwahabi ili wawe wakipinga pinga mambo yatakayo Fanya waislamu wasiwe attached Sana na mtume Mohamed sallallahu alaihi wasalam

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdab8466 Google ni nani ni Sheikh au ni Makafiri Wa kizungu ndio wameandika.
      Nenda ukagoogle ww uliyemvivu wa kusoma Lugha ya kiarabu.
      Kwa sabb neno Wahabu ni neno la kiarabu na linasarifika ukitaka kujua kuwa si neno la Kiajemi.
      Kwa hyo nahitaj Elim juu ya Neno Hili nn ?Nini maanake na Na nani Aliyeanzisha Kama Ni Madhehebu labda vithibitishs vitabu vyao hao wenye hayo madhehebu kuwa wao Mising yao ni Ipi.??Na kama Wamkusudia Al Imaam Mohammad bin Abdil Wahab huyu ni Mfuasi wa Madheheb ya Hanaabilah n Aqida yake ni Ya ahli sunnat waljamaa assalafiyyah!

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdab8466 Mim simuamini Huyo sheikh wako Google amekudanganya.Na waonekana hutak kusoma unafatilia tu mitandao ni kila kinachoandikwa ww umo.

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdab8466 Haiwezekan mtu anayewaita watu ktk Tawheed na Kumfuata Mtume Swalla llahu alayhi wasallama aambiwe ameanzisha propaganda ya kuwagawa waislam kwa siasa za kimagharibi.
      Hata leo hi hiv ndivyo wanavotuhumiwa watu wenye kuwaita watu ktk Tawheed.

    • @abdab8466
      @abdab8466 2 หลายเดือนก่อน

      @@أبوفيصل-د3ش bu Faisal ,walioanzisha Islamic State na daeish ni nani?tafuta utajua ni nani,aloanzisha alqaeda ni nani tafuta utajua,si Ile islamic state bendera ni jina la Allah ,sasa tafuta aloanzisha ni nani na sponsorship ,pesa vifaa alafu utajijibu one plus one

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน

    Aakhira ni wewe utaingia Kaburi pekee yako na kama unatetea bid'a basi dhambi yako na wale unawapoteza wote utabeba wewe

    • @HarithIdrissa
      @HarithIdrissa 2 หลายเดือนก่อน

      ila ndo tatizo lenu salafi mnajitolea hukumu kwani anaetoa hukumu ninani? Je nyinyi mnauhakika wa pepo mnahakia ibada zenu zimekubaliwa?

  • @rushu1232
    @rushu1232 2 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi nipote la Sh.Mohd Abdulwahab pote lilotengenezwa na mayahudi kutumia ahli Saudi na Sh.Mohd Abdulwahab kuleta fitna baina ya waislamu ndio zikatumika jamia za saudia kueneza hiyo fitna kuwagawanya waislamu.

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 2 หลายเดือนก่อน

      Asome historia ya Abdulwahab....

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 2 หลายเดือนก่อน

      Jitu jinga utalijua tu
      Ibn taimiyyah ameishi miaka 200 kabla ya ibn Abdul wahhab ila mnamuita wahhab.
      Soma vitabu vya imamu Ahmad halafu useme nini ibn Abdul wahhhab kaongezaa

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 2 หลายเดือนก่อน

      @@Kekulebenzene ndio maana Ibn taymiyah mambo mengi ametafautiana ya kidini na Abdulwahab

    • @rushu1232
      @rushu1232 2 หลายเดือนก่อน

      @@Kekulebenzene nawewe kasome historia ya Sh.Mohd Abdulwahab na ilikuaje Hijaz kuitwa Saudia naninani aliowatawalisha wasaudi na nkuwadhu masheikh walikua wakiongoza Hijaz kama alivyo acha Mtume kisha ndio utajua mimi mjinga.

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh kazungumza maneno mazuri lakini anapokuja kuufanyia ushia stihizai hapo kachemka. Kama yeye anajiamini atoke uwanjani ajibu hoja za kishia kielimu

  • @suleimanjuma1458
    @suleimanjuma1458 2 หลายเดือนก่อน

    رؤس البدع وسيتحملون جزاء إضلالهم من خلفهم