SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY || HII NDIO DALILI KUBWA YA MAULIDI APINGAE APASUKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 68

  • @kdjkakdjkada66556
    @kdjkakdjkada66556 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah, shukran sayyidii shariff abdulqadir

  • @mustafabdullahi3485
    @mustafabdullahi3485 2 หลายเดือนก่อน

    Mashalah

  • @SuleimanUstadh-g2z
    @SuleimanUstadh-g2z 2 หลายเดือนก่อน

    Mashllah tabarakallah very nice waambie wasikie

  • @homeboyvr8184
    @homeboyvr8184 2 หลายเดือนก่อน

    Masufi mnashida sana hakika njia ya kwenda kwa allah subhnallah imekaliwa na maadui wengi ndo kama hawa hakika hawa mashekhe wa tasaufi wazuia watu kujua haki hakika ni watu wabaya mnoo na hawa mashekhe kama hawa wanapaswa tuwachukie kwa ajiri ya allah

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 2 หลายเดือนก่อน

      Unataka umchukie ali bayti wa mtume una akili au hujui kwamba n kzazi cha mtume huyo

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh leta hoja acha porojo, unaongea uwongo dhidi ya Sheikh Abdul wahby . Mche Allah

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah

    • @FahdIbnyussuf
      @FahdIbnyussuf 2 หลายเดือนก่อน

      BIDAAA NI UPOTEVU NA UPOTEVU NI MOTONI VEP APO

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@FahdIbnyussufmawahabi hamna uwezo wakuthibitisha bidaa ya maulidi

  • @SheikhHassanMussa
    @SheikhHassanMussa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie Mnampenda Mtume Kumpita Abdubakar Na Umar Hemu Zindukeni

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe wahabi jahili kweli.ndo umesema nini hapo

    • @muhideennoor2458
      @muhideennoor2458 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio mimi nampenda mtume s.a.w kuliko abubakar n omar r.a

    • @kdjkakdjkada66556
      @kdjkakdjkada66556 2 หลายเดือนก่อน

      Twapenda wote, ww ni jaahil muraqab

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 2 หลายเดือนก่อน

    Acha NYAMBU MZEE.....MAULIDI NI IBADA YA KIZUSHI YA KUBUNI.....TENA IMEBUNIWA NA MASHIA AMBAO WANAMTUKANA RASUL......KARNE YA 4...MISR.....DOLA YA FATWIMIYA.......MCHENI ALLAH ....ACHENI NYAMBU

  • @tibaasiligreatmoment8850
    @tibaasiligreatmoment8850 2 หลายเดือนก่อน

    Shubha Hii Ilijibiwa Muda Mrefu

  • @FahdIbnyussuf
    @FahdIbnyussuf 2 หลายเดือนก่อน

    MUNKARII MBAYA KUWAIGA WAKRISTO WANAVOMUADHIMISHA ISSA NA HAWA WANAFANYA GHULUU KWA MTUME MUHAMMAD WAKAMSHEREHEKEA KM WANAVO SHEREHEKA WAKRISTO

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Haha hayo ni maoni yenu mawahabi. Allah mwenyewe kasema tumfurahikie mtume.

    • @FahdIbnyussuf
      @FahdIbnyussuf 2 หลายเดือนก่อน

      @@abiabi9353 ASHEREHEKEWE KWA KUKATIWA KEKI

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapasuke mpaka wafe haswaaa

  • @MueraAlmasse-vi6jh
    @MueraAlmasse-vi6jh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ebu muogope mwenye zimungu ewe sufi

  • @suleimancheo2776
    @suleimancheo2776 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maulidi ni kitu au ibadan!!!!
    Hata hilo masufi hamuwez kutofautisha

  • @JumaBinAbdallah
    @JumaBinAbdallah 2 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali ndugu wacha matusi,matusi si sulihisho.

  • @mussahussein3583
    @mussahussein3583 2 หลายเดือนก่อน

    Khaa... izo hoja we... mmh ndio nini sasa sasa kuwa na darasa aubkudarisisha sehem siku flani ndio inaingia wapi na hoja ya kukhusisha siku na ibada flani... Tunamuomba Allah atuongoze

  • @OmaryallyMngoma
    @OmaryallyMngoma 2 หลายเดือนก่อน

    Uzuli wake na wale wanao pinga mauĺdi na wao wana angalia

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 2 หลายเดือนก่อน

    Upuuz mtupu

  • @HanafiZayumba
    @HanafiZayumba 2 หลายเดือนก่อน

    Masheikh zetu waelimisheni Hawa ambayo elimu wanayo lakini wamekosa malaafa hakuna anae kataa kusifiwa Sasa inakuja kusifiwa mtume s a w kue ni kosa

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 2 หลายเดือนก่อน

    Lete naswi ya katazo huna haijalishi unajua hujui hakuna katazo kwa aya wala hadithi basi ndoa ibaha ndo uhalali wenyewe.

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 2 หลายเดือนก่อน +1

    JEEEE MIRUNGI NAYO NI MUBAHA ?

  • @AbuubakarBakar-s2z
    @AbuubakarBakar-s2z 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona mawahabi hawazungumzi kuhusu hii historia ya waengereza

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Waengereza ni mabwana zao ndiyo wakuja na fikra za kupinga mapinduzi

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 2 หลายเดือนก่อน

    HEEEE HIII MPYA SASA KILA MWAKA UNAKUJA NA MPYA

  • @KareemKaka-l2k
    @KareemKaka-l2k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tutasoma maulidi mpaka Kufa tutamsifu mtume tutamtangaza mtume popote na kivyovyote.

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 หลายเดือนก่อน

      Mutamtangaza mtume kote? Hata ukawa choni wanya pia?

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mcheni Allah masufi, uzushi ni uzushi tu . MAULID ni uzushi. Maswali la msingi. Swahaba gani amesoma MAULID..?

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 2 หลายเดือนก่อน

      Una fahamu maana ya neno maulidi. Au wewe ni miongoni mwa masheikh malimbukeni?

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sio kumsifu tu na kumfuata

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi ndiyo hawamfati mtume

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 หลายเดือนก่อน

    NYINYI HAMUONA DINI ZAIDI YA HAYO TUUUUU.
    MTUME HAKULETWA KWA HAYO BABUUUUU

  • @yassinm69
    @yassinm69 2 หลายเดือนก่อน

    Wapotoshi hawa

    • @salimobeid1470
      @salimobeid1470 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah we uliokua kwenye uongofu

  • @alisaid1347
    @alisaid1347 2 หลายเดือนก่อน

    DOH TATIZO NI HAO WANAOSIKILIZA SJUI WANAELEWA !!! HUYU SHEKHE WENU ASEMA MAULIDI HUKMU YAKE NI MUBAAH, NA MUBAAH HUA HAKUNA DHAMBI WALA THAWABU UKIFANYA NA USIPOFANYA NI SAWA.
    SASA BASI WAAMBIENI HAO WANAOTOA PESA WENZENU WANAONA NI IBADA KUBWA

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Hujaelewa

    • @MikidadMwabawa
      @MikidadMwabawa 2 หลายเดือนก่อน

      Tatzo huwez kuelewa kabixa

  • @ArabinSuper
    @ArabinSuper 2 หลายเดือนก่อน

    Allah n shaahid na hata yeye yuwajua kuwa story aliyo itoa kuhusu Muhammad ibn Abdul wahhab ni uongo.

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 2 หลายเดือนก่อน

    Maneno mengine yanahitaji kutafakari tuu, Maulidi Bidaa kwisha kazi.
    Utawadanganya hao hao wafuasi wako.

    • @MikidadMwabawa
      @MikidadMwabawa 2 หลายเดือนก่อน

      Na ww utadanganywa na hao wajaalana za mashekh zao

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi hamna jipya. Ni yaleyale yakilasiku. Hamuna uwezo kielimu kuthibitisha bidaa ya maulidi

  • @abusihaa6396
    @abusihaa6396 2 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kuona mtu mjinga mwenye kutetea kusherehekea mazazi ya Mtume alayhi salat wa Salaam kumliko huyu

    • @Hassanrudeni
      @Hassanrudeni 2 หลายเดือนก่อน

      Ss ww mwerevu tuoneshe uwerevu wako tu uwone ama n Yale Yale useme Hujui 😂😂😂😂 Polee banaa hataa mkitupa sumu ss tuko pale pale ss n mtu mtume n ss mpka kufaaa

    • @abusihaa6396
      @abusihaa6396 2 หลายเดือนก่อน

      @@Hassanrudeni wajinga nyie rudeny mwezako alivyo kua Jeddah watu wakikimbilia kuswali ijumaa makkah alikua akisema nendeni nyinyi lakini mimi(akimaanisha yeye) atawashika mkono awatie peponi vile ni Sharifu maskin hajui kwamba ni "MALIFU"

    • @hassanheresiwambura8341
      @hassanheresiwambura8341 2 หลายเดือนก่อน

      Soma ww huna elimu ya kutukana mashekh

    • @abusihaa6396
      @abusihaa6396 2 หลายเดือนก่อน

      @@hassanheresiwambura8341
      Wewe unawajua mashaikh kweli? Hao ni mashehena

    • @MikidadMwabawa
      @MikidadMwabawa 2 หลายเดือนก่อน

      Ww unaoita mashekh wajinga ujui ww mbele ya Mungu ni mjinga wa mwisho kabisa

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 2 หลายเดือนก่อน

    We kama ni wahabii baki huko siye tunamtangaza mtume wetu kwa akhlaqi zake na matendo yake kama unakereka kufa na
    Chuki zako.

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 2 หลายเดือนก่อน

    Baba ushaazeeka kweli ndio iblisi kakupa jawabuu!!!!!! Mtume kafanya maulidi kwakufunga siku alozaliwa Sasa wew walazimisha hii dini niyako!???

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe tuthibitishie kwamba mtume kasema asherehekewe kwa kufunga tu.

    • @MikidadMwabawa
      @MikidadMwabawa 2 หลายเดือนก่อน

      Tatzo wengi hamjasoma lakn ujuaji mwng

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂mchezo halali n upi!?? Mchezo wa mahabasha ulikua wa panga na ala za kivita!!!! Hawakucheza Ngoma Kam nyie mfanyazo!!!!!

  • @AliJabal-fx8pd
    @AliJabal-fx8pd 2 หลายเดือนก่อน

    Mrongo mkubwa wewe.

    • @MikidadMwabawa
      @MikidadMwabawa 2 หลายเดือนก่อน

      Hata ww pia mrongo

  • @genius0045
    @genius0045 2 หลายเดือนก่อน

    Kuchezza na kufanya ma Biddah Si kumpenda mtume , hamfuatti sunnah yaake ati wanampenda mtume Salah allah alleyhi wasalam, warongo tu .

    • @salimobeid1470
      @salimobeid1470 2 หลายเดือนก่อน

      We usiefanya bidaa alhamdullilah ubarikiwe

    • @mybabyarchive2104
      @mybabyarchive2104 2 หลายเดือนก่อน

      Malalamiko yakonpeleka police. Kwa sunna yako mbili tu ya ndevu na kidiku wajiona mwana sunnaaa.

    • @genius0045
      @genius0045 2 หลายเดือนก่อน

      @@mybabyarchive2104
      Kwa nini nyinyi Masufi mnanyoa ndevu zenu? Je, Mtume Salah allah alleyhi wasalam, alinyoa ndevu zake? Je, aliwaamrisha Umma wake kunyoa ndevu zao? Jibu ni hapana, bali aliwaamrisha tuzikuze ndevu zetu, na hilo ni amri ambayo tunapaswa kufuata. Lakini nyinyi Masufi hata hamjui jinsi ya kuswali vizuri.
      Pia mnafanya shirki kwa kuomba msaada kutoka kwa wafu, mkisema "Al madad ya Badawi" au "Al madad ya Sheikh Abdul Qadir."

    • @saifancal1629
      @saifancal1629 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani bidaa ni nini?

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Malalamiko