MADHARA YA WAISLAMU KUTOHESHIMIANA | KHUTBAH YAIJUMAA | USTADH SAID OMAR .

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw ปีที่แล้ว +4

    Sijui niseme. Nini ninavyo kuelewa❤❤❤❤❤❤

  • @RayRey-b4x
    @RayRey-b4x ปีที่แล้ว +5

    MUNGU AKUHIFADHI USTAADH SAID OMMAR ASHIRAAZYYY❤❤❤

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +3

    YARABI anisamehe thambi zangu na atujaaliye ss umama wa mtume MOHAMMAD (S.A.W) tuwe na umoja amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl
    @MuhdharMuhammad-qv3zl ปีที่แล้ว +4

    Shukran Sana Sheikh Wetu Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH Akuingize peponi kabla hujafa shukran sana

  • @bashirsuliman305
    @bashirsuliman305 ปีที่แล้ว +2

    Mwana juu mashallahhh mashallahhh maulidi zimenawirisha dunia

  • @zainabshariff114
    @zainabshariff114 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kheyr shekh wetu akupe umu in shaalla

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 ปีที่แล้ว

    Shekhe said nakupenda sana kwa ajili ya allah namuomba mungu akupe elimu zaid ya hiyo

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa ALLAH Maa shaa ALLAH. MUNGU akuweke Ustadh Said. Utunufaishe .

  • @hakeemprince6868
    @hakeemprince6868 ปีที่แล้ว +4

    بارك الله فيكم ..... وإن من آتاه الله الحكمة فقد آتاه خيرا كثيرا

  • @malengajuma2694
    @malengajuma2694 ปีที่แล้ว +1

    ❤maashaallah USTADH said Omar ashiraazy Allah akuhifadhi tunastafidi sana kwa ELIMU yako sahihi, PAMBANA MDOGO WANGU KWA AJILI YA ALLAH❤

  • @khadijamohamed8919
    @khadijamohamed8919 ปีที่แล้ว +2

    Allah akujaze kheir sheikh wetu

  • @osmanmanbile9327
    @osmanmanbile9327 ปีที่แล้ว +8

    Simba wa dariqaa mtetezi wa sayid jacfar barzanjii ustadh said mungu akupe umri mrefu

  • @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
    @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY ปีที่แล้ว +1

    بارك الله فيك قد استفدت منك والله

  • @zainabshariff114
    @zainabshariff114 ปีที่แล้ว +1

    ndungu zanguni katika imani munikumbuke katika dua zenu munapo swali nimepatwa na mutihiana muzoto muno😭😭😭

  • @HudeinasaidAhmed-fg9us
    @HudeinasaidAhmed-fg9us ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @Abdulrahman.84
    @Abdulrahman.84 ปีที่แล้ว

    Shukran wajazaka allahu kheir Habib

  • @bakariomari9304
    @bakariomari9304 ปีที่แล้ว

    Alah akulipe kila la khery

  • @bakariomari9304
    @bakariomari9304 ปีที่แล้ว

    Alah akulipe here nying

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah MashaAllah Simba wetu wa Twariqa Ustadh Said Omar ashiraziy Mwenye Ezi Mungu azidi kukupa nguvu na afya ili Elimu yako izidi kupanuka. Mtu ambae hakuelewa Darsa hii ndogo na fupi lkni ina mazingatio makubwa sana basi mtu huyo hataki kujua Elimu. Shukran sana Ustadh Said Omar ashiraziy Mwenye Ezi Mungu akuhifadhi. Nadhani watakulewa sasa.

    • @محمدباغوزة-ه1ظ
      @محمدباغوزة-ه1ظ ปีที่แล้ว +1

      Dj said

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 ปีที่แล้ว

      بِئْسَ الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ
      Lkni hata mwalimu au shekhe wako wote hawana elimu ya kumshinda.

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi ปีที่แล้ว

      ​@@abubakaromar6101
      Thwayyib

  • @محمدباغوزة-ه1ظ
    @محمدباغوزة-ه1ظ ปีที่แล้ว +1

    Dj said

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 ปีที่แล้ว

      بِئْسَ الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ
      Lkni hata mwalimu au shekhe wako wote hawana elimu ya kumshinda.

  • @محمدباغوزة-ه1ظ
    @محمدباغوزة-ه1ظ ปีที่แล้ว +1

    Wallahy wewe kaaa upoteze watu wapoteza umaaa hasibiyallah alik

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 ปีที่แล้ว

      Imekubusa sindano njo akusomeshe

    • @NafisaAhmed-g9k
      @NafisaAhmed-g9k ปีที่แล้ว +1

      Dj said apiga piano mambrui

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 ปีที่แล้ว

      Kama huna Aya ya Quran au Hadithi ya Mtume S.A.W inayokataza kupiga piano au mfano wake nakutahadharisha na Aya ya Quran inayosema
      الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ
      Hata waalimu na mashekhe wenu wote wakiwahabi hamuingi Ustadh Said Omar ashiraziy kwa Elimu simba wa Twariqa.
      Nabii Daud alitumiya pia vinanda na mfano wake ili kuwavutiya watu waingie ktk uislamu wakati wake. Pia utamwita Nabii Daud DJ?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 ปีที่แล้ว

      بِئْسَ الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ

  • @AmiriUshanga
    @AmiriUshanga ปีที่แล้ว +2

    Viwahabi golo vikimuona huyu mwamba vyajinyea vyamuogopa nisimba wao huyo Akhiy na laiti kama vyamuweza vilingeanza kumuandama Navikumbusha tuu ofa ya mjadala bado ipo wahabi akiwatayari amwambie

  • @ZeinabMohammed-n3t
    @ZeinabMohammed-n3t 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah