tumezidi woga mwenzio anatekwa mpo mmejaa mmekodoa macho tu huu ni ushetani sawa na watekaji tumejaa roho mbaya hatuna huruma tunajifanya tuko busy ngoja yatukute akili zirudi ilitokea airport kwa lema Sasa kwa Nondo
Siku ya kiama kutakuwa na haki na uadilifu. Hawa wote ipo. Siku yao mungu atawafadhewesha. Watu ipo siku yao insha Allah sisi wanyonge malipo yetu yapo kwako
Hizi ni darili za KIAMA , ambapo kila mbebaji atadhihirishiwa ubebaji wa mzigo wake. Mungu atunusuru hizi ni BISHARA NNAS MIN KADARI. Allah anatudhihirishia UOVU WA BINADAMU. Tupate kujuwa kuwa kutuingiza JAHANNAM ni haki yake iliyo wazi.😊
Yaani wabongo jamani yaani mnaona mtuanatekwa alafu anaomba msaada alafu mnaangalia tu duh kweli watanzania ninyoka kwanini tunakuwa na woga wakijinga aisee hii nchi kweli niyakizandiki kiukweli insumasana Polesana abduri
Huu ni mwisho wa Dunia kwa sababu najiuliza Hawa watu hawaga watt jamani,maana geuzia ni mtt wako huyo Sasa anateswa hivyo,Mungu hanaga mkubwa wa mdogo unaye Fanya hapa Dunia haki Mungu atakurudishia hata kwa mjukuu wako,Wewe hutakuwepo lkn kizazi chako kitakuwepo na kitapitia haya haya
Anasema mwanzo alifungwa kamba mikono badae akafungwa pingu mwisho wakati anaachwa wakachomoa kisu na kukata kamba za mikono na kitambaa usoni pole sana kijana
Mambo haya mpaka lini acheni siasa vyama vingi vitawamaliza acheni tamaa ya ruzuku waachieni ccm watawale vunjeni vyama vingi mtamalizwa kwa ujinga na ushindani ndio maana sipendi siasa kwa sababu siasa za waafrika zimelaaniwa na hao wapinzani mnastahiki kwa sababu hamtaki kumuachia mungu sasa malizweni basi edeleeni kungangania
Ushauri wa Bure kabisa Kwa jeshi la polisi inawezekana kweli Kuna wahuni wanalichafua jeshi hilo basi watoe tamko kwamba ikitokea sakata kama hilo tena wananchi watoe msaada Kwa muathirika on the spot.
maisha magumu kama haya vijana tuliyonayo alafu apo apo tena mumteke baba wa watu kisa mtu anawasemea wanyonge waliokuwa hawana sauti ila mtu yeyote ajue mungu yupo na anamuona na atalipwa mtu hapa hapa duniani kabla hajafa.
kinacho shangazwa serikali kwenye swala hili ikoje...au?!.....😂 inasikitisha sana kila kukicha jambo ni hilo hilo..halafu tunatangaza amani wakati kuna watu wana pingu na silaha mkononi!..wowote wanao husika na mipango hiyo..walaaniwe na mungu..insha allah
Mambo yakutekana mchunguzeni makonda vizuri kwa ufaswaha,kumbukeni wakati wa alikuwa likizo mdaa mrefu,mambo yakutekana yalikuwa hayasikiki,yamerudi hapa amerudi madarakani.
Ndugu yangu tayari nchi iko pabaya sana watawala wanateka, wanaua ili kunyamazisha watu wasiseme udhalimu wao. Na mbaya zaidi na wananchi nao hata kama wanaona tukio na mtu anapiga kelele kuomba msaada hawatoi na hapo ndio watekaji wanajiona wako salama.
Walikuwa hawana pingu lakin walikufunga pingu mbona kama cjafahamu au kamba waliokufuna kwenye mkono ilikuwa Ina tabia ya kugeuka pingu na wakat mwenge inageuka kuwa kamba
Kwa kweli Ccm haina rafiki. Act wazalendo ni wabia wa utaeala wa Ccm kule Zanzibar na mara nyingi tuliamini ukimya wa Act wazalendo kukaa kimya kwa maovu wanayotendewa wainzani wenyine ni sababu ya ndoa hii. Kwa hili Act wazalendo wanatakiwa kujitafakari
Kuna bonge alitekwa muchana kweupe na kulekodiwa kilicho muokoa ni mwili wake? Jiulizeni serikali ikogi kimya mpka leo"" ikitokea maandamano ya chadema utawaona hao na sale zao za shule mabomu kwa wingi unaweza jiuliza ina maana serikali ndiyo inawatuma hao watekaji nini?
Huu mchezo mbona hauereweki. Kwa nini walikuteka kulikua na nini au kunaugomvi kwenye chama chenu maana muwe munaangalia huyu amekosa nini je alitishiwa na watu wowote waliomteka walimuambia kwa nini wamemteka maana Tanzania inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwakani tutaona mengi Mungu iponye Tanzania
Maelezo yanachanganya kamba pingu?! Aache usanii na kuuaminisha umma uwongo.Kama ni kweli pole lakini kama unasema uwongo Mwenyezi Mungu akuhukumu kwa kuleta taharuki kwa Watanzania
Ukiniuliz kat ya stor ya sativa na nondo ipi inaelewek nitakuambia yasativa nikwel alitekwa, siamin kama mtu alioizoea dar asijue pale mbez gar ilipotok ilielekea upand upi
Ninachojiuliza wanaotenda hayo matukio wataishi milele? Je wanataraji amani ya nafsi katika maisha yao? Je kuua au kutesa kunawapa faida ipi? Laana za utesaji na utekaji unaoendelea huenda hatuitakii mema nchi yetu
NIKIKUWA NAAMINI DSM INA WANAUME WA NGUVU LKN KWA MATUKIO HAYA NABADILI HARAKA SANA MTAZAMO.WANAUME QALIOPO NIWA KAMARI NA KULA CHPS GYM SANA KUKAAKWA MATAKO YA WASANII NA KUAHABIKIA MIPIRA.MTU ANATEKWAJI STAND NANYI MPO WANAUME MASURUALI.
Si swala la kutafuta watekaji bali watekaji ni walewale tunaowalalamikia KILA siku na ndio haohao waliotiwa moyo KULE kilimanjaro na anayewatuma kuteka.
Watz tuamke Kama mtu anapga kelele ametekwa, jitokezeni hata kwa mawe na mapanga na siraha yeyote kumuokoa mwanadam mwenzetu.Hawa watu wasiojulikana yaweza kuwa hata serikali haiwajui.
Nina Huruma nawe Pili nifuraha kwa JWTZ!.kwa Umri wako jitaid utumie Lugha nyepesi kwa wanasiasa na Viongoz waliokuzid Umri.Pole mwanangu,Pole sanasana
Ww muongo sana kwanza huna tishio lolote umezowea kutengeneza uongo hata iringa ulifanya hivi hivi umaarufu hautafutwi hivyo tafuta njia itakayokupa umaarufu serikali mchunguzeni huyu bwana mdogo ametengenexa ujanja ili kuwaaminisha watu
Hayo maelezo Kwangu ni yanawalikini, hawa watu wanatabia ya kutekana na lawama Zoote serikali. Mara ya Mwisho kafungwa pingu, then iweje Tena wanamkatia kamba
Yaan na ndo mishale ya alarm inagonga vichwan mwetu ... kuna uwezekan mkubwa wa kundi fulan kutekana wao kwa wao polis hao polis gan?? Mama huyo mama gani kila mtu hata asiekua na natija nae amdhuru wala mtu hana hatari yeyote katika nafas yake??
Mara lete pingu ,aaa tumezisahau wakanifunga kamba ,wakanifunga pingu wakanininginiza ,wakakata kamba za usoni na mikononi daah sisi wa D mbili tumefahamu
Mungu akupe afya upone haraka ila watanzania kwasasa tunaelekea pabaya xn
Daaah Mungu akufanyie wepesi mkuu
Siku za mwisho umefika wakati wa mtu jiokoe mwenyewe..Tunatakiwa kusali sana ili Mungu awe nasi daima.
tumezidi woga mwenzio anatekwa mpo mmejaa mmekodoa macho tu huu ni ushetani sawa na watekaji tumejaa roho mbaya hatuna huruma tunajifanya tuko busy ngoja yatukute akili zirudi ilitokea airport kwa lema Sasa kwa Nondo
Taifa gani hili??? Raia wamejeuka maadui ?? Lo!!!
Watanzania tuna shida sana Yan stend mchana kweupe anapiga kelele wanamuangalia tuu
Mungu akulinde baba.
Ila watanzania nimafara sana. Yaani mwenzenu anapiga kelele nisaidieni mnakaa kimya, mnampita kama siyo binadamu. Kweli Daressalaam hakuna wanaume, ingekuwa huku kwetu Tarime asingetoka mtu mamaye.!"
ila wakisikia mwiziiii....raia mwenzao utajuta
Usikute dar wanaume ni jinsia ya kike mwenzenu anapigana na majambazi ninyi mnatoroka nina shaka
WANAUME WA DSM HAO.MIJITU MIOOOGA KAZI KWENDA GYM KULINDA WASANII NA KUCHEZA KAMARI.
Subhna Allah😢
Madume ya daa uyaambie chipsi tu😅😅😅
Jamani mbona watanzania hamna umoja yarab
Siku ya kiama kutakuwa na haki na uadilifu. Hawa wote ipo. Siku yao mungu atawafadhewesha. Watu ipo siku yao insha Allah sisi wanyonge malipo yetu yapo kwako
Daaah hv Jamani watanzania tumekuwa wapole sana yani mtu anakamatwa hadharani hakuna wakumsaidia for sure Mungu asimame mwenyew
Pole sn Abdu ndo tanz yetu Mungu atusaidie sn
Hizi ni darili za KIAMA , ambapo kila mbebaji atadhihirishiwa ubebaji wa mzigo wake. Mungu atunusuru hizi ni BISHARA NNAS MIN KADARI. Allah anatudhihirishia UOVU WA BINADAMU. Tupate kujuwa kuwa kutuingiza JAHANNAM ni haki yake iliyo wazi.😊
Yaani wabongo jamani yaani mnaona mtuanatekwa alafu anaomba msaada alafu mnaangalia tu duh kweli watanzania ninyoka kwanini tunakuwa na woga wakijinga aisee hii nchi kweli niyakizandiki kiukweli insumasana
Polesana abduri
God is great
Hongera mwandishi.
Huu ni mwisho wa Dunia kwa sababu najiuliza Hawa watu hawaga watt jamani,maana geuzia ni mtt wako huyo Sasa anateswa hivyo,Mungu hanaga mkubwa wa mdogo unaye Fanya hapa Dunia haki Mungu atakurudishia hata kwa mjukuu wako,Wewe hutakuwepo lkn kizazi chako kitakuwepo na kitapitia haya haya
Hivi jamani kwa nini watu wanaangalia tu mtu anatekwa ,wabaya sana hawa watu
Pole sana
Mungu atawahazibu waovu woteeeee
Pole Sana kaka
Pole sana mungu akusadie
Hapo ndio tulipofikia wa Tanzania ila nchi tunaipeleka pabaya sio tamaduni zetu tumezitowa wapi hizo tabia sawa tutafika kwendeni.
Ilaa wa Tz nimewekewaa roho ya uwogaaa sanaaa inawezekanajeee mtu anatekwa na anaomba msaada watu wanaangaliaaa tyuuu
Spend siasa kabsa kama ni nchi wauze na bandali zote make dunia hii si yetu
Siasa ni maisha huwezi kuikwepa
Dawa ni kumuomba Mungu awapoteze watu wabaya@@JoshuaSabu-r2p
Hawa ccm wanaiharibu nchi yetu,haya matukio hayakubaliki
SISI WA TZ NDO WAJINGA WA MWANZO BARANI AFRICA
Daaah tanzania
Nilikuwepo kaka polesana nilisikia ukiomba msahada galilili simama kwanza getini magufuli kwenye mlango wakutoka Kisha lika nyosha njia yagoba polesana ndugu yangu
Ulitoa msahada gani .?
Mhuuuu kila mtu atavuna alichopanda
Hii ndiyo Tanzania yetu mtamaliza wapinzani je mtamteka nani
Kwani alitekwa? Marayakwanza akisema yy ametekwaakakutwa kwadem wake iringa nimesahau au?
Anasema mwanzo alifungwa kamba mikono badae akafungwa pingu mwisho wakati anaachwa wakachomoa kisu na kukata kamba za mikono na kitambaa usoni pole sana kijana
Mwandishi uko vizuri .Huyo jamaa majibu yake yanatia shaka.
Hao huwa wanatekana halafu wanajitekenya wenyewe
Akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako
Act ni drama tu
@@omaryabdul02 act wanamiliki pingu
Mambo haya mpaka lini acheni siasa vyama vingi vitawamaliza acheni tamaa ya ruzuku waachieni ccm watawale vunjeni vyama vingi mtamalizwa kwa ujinga na ushindani ndio maana sipendi siasa kwa sababu siasa za waafrika zimelaaniwa na hao wapinzani mnastahiki kwa sababu hamtaki kumuachia mungu sasa malizweni basi edeleeni kungangania
Pumbavu kabisa wewe!
Angekuwa na mwili kama wa Big Tarimo asingetekwa.
😂
Wahuni wa CCM ya Samia.
Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana.
Licha ya kujinasibu kwamba tunapendana lakini ni uwongo.
Mtu anatekwa mbele ya umati na watu hawajali
Ushauri wa Bure kabisa Kwa jeshi la polisi inawezekana kweli Kuna wahuni wanalichafua jeshi hilo basi watoe tamko kwamba ikitokea sakata kama hilo tena wananchi watoe msaada Kwa muathirika on the spot.
Tatizo ni lile lile mtu anapiga kelele wanamuangalia tuu
haaa wanalanaa
Tatizo.lipo.pale.pale.topo.wengi.na.hatuna.tofauti.na.Nzi
kaka nondo uliwakosea nn mpaka yote hayo kk mbona mafiraun hao mtaonana kwa mungu siku ya hukumu
maisha magumu kama haya vijana tuliyonayo alafu apo apo tena mumteke baba wa watu kisa mtu anawasemea wanyonge waliokuwa hawana sauti ila mtu yeyote ajue mungu yupo na anamuona na atalipwa mtu hapa hapa duniani kabla hajafa.
Mmm Achana siasa kijana
Acha uoga
kinacho shangazwa serikali kwenye swala hili ikoje...au?!.....😂 inasikitisha sana kila kukicha jambo ni hilo hilo..halafu tunatangaza amani wakati kuna watu wana pingu na silaha mkononi!..wowote wanao husika na mipango hiyo..walaaniwe na mungu..insha allah
Dar hakuna wanaume,wote ni mafala watupu,yaani yanashindwa kudili na haya mazombi!!!!dar kumamake
Huyu alietekwa ana tatizo ktk maelezo maybe ni kwasababu ya tukio lilomtokea lakin maelezo yako cyo mazuri
Mambo yakutekana mchunguzeni makonda vizuri kwa ufaswaha,kumbukeni wakati wa alikuwa likizo mdaa mrefu,mambo yakutekana yalikuwa hayasikiki,yamerudi hapa amerudi madarakani.
Au wewe ndo mtekaji unaweza kuisaidia polisi? Maana huwezi kumtaja makonda kumbe muhusika ni wewe
Nyoooooh lione na fitna zake kwa Muheshimiwa wetu.
Haikusaidii chochote na Wala huyo muharibia lolote Mh.Makonda wetu.
Acha upumbavu unadhani makonda anaweza kuyumba au kuharibikiwa kwa chuki zako! Mnafanya matukio ili msingizie watu wema
WATANZANIA ni mazuzu kwelikweli
nchi inaelekea kubaya ila haya mambo yanageuka.
Ndugu yangu tayari nchi iko pabaya sana watawala wanateka, wanaua ili kunyamazisha watu wasiseme udhalimu wao.
Na mbaya zaidi na wananchi nao hata kama wanaona tukio na mtu anapiga kelele kuomba msaada hawatoi na hapo ndio watekaji wanajiona wako salama.
Walikuwa hawana pingu lakin walikufunga pingu mbona kama cjafahamu au kamba waliokufuna kwenye mkono ilikuwa Ina tabia ya kugeuka pingu na wakat mwenge inageuka kuwa kamba
Kwa kweli Ccm haina rafiki. Act wazalendo ni wabia wa utaeala wa Ccm kule Zanzibar na mara nyingi tuliamini ukimya wa Act wazalendo kukaa kimya kwa maovu wanayotendewa wainzani wenyine ni sababu ya ndoa hii. Kwa hili Act wazalendo wanatakiwa kujitafakari
Vyama vya upinzani you.must be better katika usafiri wa viongozi wenu. Mnapata Ruzuku.
Tunaambiwa Tanzania yaamani hii,nikisiwa chauvumilivu,amani hakuna kiukweli.
Kuna bonge alitekwa muchana kweupe na kulekodiwa kilicho muokoa ni mwili wake? Jiulizeni serikali ikogi kimya mpka leo"" ikitokea maandamano ya chadema utawaona hao na sale zao za shule mabomu kwa wingi unaweza jiuliza ina maana serikali ndiyo inawatuma hao watekaji nini?
DRAMA ZINAENDELEA 😂😂
Aibu kwetu watanzania wote
Nchi imekuwa yakiduanzi sana
Huu mchezo mbona hauereweki. Kwa nini walikuteka kulikua na nini au kunaugomvi kwenye chama chenu maana muwe munaangalia huyu amekosa nini je alitishiwa na watu wowote waliomteka walimuambia kwa nini wamemteka maana Tanzania inaenda kwenye uchaguzi mkuu mwakani tutaona mengi Mungu iponye Tanzania
unaumwa unapata nguvu yakupelekwa ofisi ya chama na si hospita?
Hospitalidawa ni pesa
Kwn nondo ulishawah kuona mbowe au tindu au zito kapata misukomisuko kama yako achana na siasa hujui kitu ktk nchi hii ww
Mama hii inch unaipeleka wapi hi sio Tanzania ya Watanzania watu wanafanyambo ya hovyo mamayangu upo tu du Mungu inusulu Tanzania
Hivi ni nini kinatokea na watu hawajali kusaidia? Yaani inamaana watanzania wote ni watekaji?
Wapo wengi tu wtz wanaunga mkono
Mzee wa kujiteka
Vp hakuna aliyerekodi tukio😢
Maelezo yanachanganya kamba pingu?! Aache usanii na kuuaminisha umma uwongo.Kama ni kweli pole lakini kama unasema uwongo Mwenyezi Mungu akuhukumu kwa kuleta taharuki kwa Watanzania
Kaka una shida ya afya ya AKILI
Uchawa hautakusaidia
Ww mbona unaropoka ropoka yote hayo yaliyo
Mkuta kisha ww unaongea upumbavu ww
Tumechoka uongo WA bwana mdogo,ana tatizo la kisaikolojia
@@Elfordobokegillo-ne4jo bwana mdogo yupi
Kwanini Tanzania imefikia hatua hii,Ishara ya mwisho wa Dunia kabisa
Kama unaamini haya jiulize kwanini ni wakati wa uchaguzi tu yanafanyika haya maigizo
Sema mwisho wa ccm sio dunia kwamba ccm inajitahidi kwa kila hali kubaki ikulu
Tanzania Tanzania 🇹🇿 💔 😭
😢😢😢😢
Ukiniuliz kat ya stor ya sativa na nondo ipi inaelewek nitakuambia yasativa nikwel alitekwa, siamin kama mtu alioizoea dar asijue pale mbez gar ilipotok ilielekea upand upi
Khee!
Utakuta mtu na akili zake timamu anaacha kjenga mikoani waliko wanaume unajenga Dar Jiji limejaa madada tu kuna wanawake tu huko
Ninachojiuliza wanaotenda hayo matukio wataishi milele? Je wanataraji amani ya nafsi katika maisha yao? Je kuua au kutesa kunawapa faida ipi? Laana za utesaji na utekaji unaoendelea huenda hatuitakii mema nchi yetu
NIKIKUWA NAAMINI DSM INA WANAUME WA NGUVU LKN KWA MATUKIO HAYA NABADILI HARAKA SANA MTAZAMO.WANAUME QALIOPO NIWA KAMARI NA KULA CHPS GYM SANA KUKAAKWA MATAKO YA WASANII NA KUAHABIKIA MIPIRA.MTU ANATEKWAJI STAND NANYI MPO WANAUME MASURUALI.
Mwanzo alijiteka...Sasa hivi kweli au anaigiza?????
Huwezi kuwa kosa. Bado una mawazo dhaifu mpaka sasa!.
Niliposikia Pingu tuu nikatahamakii
Usanii mtupu unaoendelea. Endesheni siasa badala ya usanii.
MWOGOPENI MUNGU KUTAKA KUMUUA KIJANA HUYO WA MUNGU. MBINGU ZIPI MTAKWENDA?
Kuua ni tofauti na AMRI ya Mungu
Wa Tanzania tunaona ipo siku , 😂
Si swala la kutafuta watekaji bali watekaji ni walewale tunaowalalamikia KILA siku na ndio haohao waliotiwa moyo KULE kilimanjaro na anayewatuma kuteka.
Watz tuamke Kama mtu anapga kelele ametekwa, jitokezeni hata kwa mawe na mapanga na siraha yeyote kumuokoa mwanadam mwenzetu.Hawa watu wasiojulikana yaweza kuwa hata serikali haiwajui.
Huyu naye kila uchaguzi anatekwa yy tuu, tangu awe mwanafunzi, drama zinarudiwa vile vile ulisha fanya hili igizo wakati wa magu. Hakuna kipya.
Mzalendo feki huwezi jua usemalo
Muongo huyo mtoto watamteka kweli sasa
...ko zako!
Nina Huruma nawe Pili nifuraha kwa JWTZ!.kwa Umri wako jitaid utumie Lugha nyepesi kwa wanasiasa na Viongoz waliokuzid Umri.Pole mwanangu,Pole sanasana
Duh,
Haki haipotei tutalipwa hapa hapa duniani ahera ni hesabu tu
Nondo kigoma Kuna kilakitu.
Rudi kwa wazee wetu.nuiatu.
Kila aliekugusa wazee watashuhulika.msisahau milayetu.wamalize radi zipo.
Ww muongo sana kwanza huna tishio lolote umezowea kutengeneza uongo hata iringa ulifanya hivi hivi umaarufu hautafutwi hivyo tafuta njia itakayokupa umaarufu serikali mchunguzeni huyu bwana mdogo ametengenexa ujanja ili kuwaaminisha watu
Mpo wengi ninyi ila Mungu atatushindia
Fala ww umetumwa kenge ww
Hamna mtu anayemwamini,muongooo? Hukujitekaga
Unanguvu gani utekwe na watu 6
Hivi ukiwa mwanasiasa unatunukiwa tuzo???
Mudomo inaponza mnoo
Kwa hiyo watu wasiwe wanasiasa ?
Bora ukoloni kuliko uhuru wa aina hii
Watanzani niwaongeaji vitendo hakina naumoja hatuna tumekua wajinga wakuogopa askali imefika wakati askali wanajua kua laia nimafalatu
WANANCHI MWENZENU ANATEKWA NYIE MNAANGALIA TUU HV NA NYIE MMEROGWA? MNASHINDWA HATA KUPIGA KELELE? MUWE MNASAIDIANA WENYEWE KWA WENYEWE MAANA HAKUNA MSAADA MWINGINE.
Mmmmmhhhh
Mbona ajasema WAO aliwakosea NN ?
sasa atajua bila kuambiwa?....walimwambia anajifanya kidomodomo...skiliza vizuri
Wewe kama akili zako ni za kuwaza Simba na yanga Acha kumtukana huyu kijana.Kutekwa kwake kipindi kile hujui alikuwa anatetea kitu gani?
Drama kama hizi zinaharibu sifa ya nchi, huyu jamaa ana drama sana njaa za wanasiasa zinapeleka nchi kuwa na sifa mbaya nje
Uzuri mabaya hayachaguagi
Mwongo mkubwa
uwongo wake nini?
Zamu yako kama si wewe ndgzo inshaaaAllah. Ndio utajua mbivu au mbichi
Hawajakufira?
Umezowea kufanyiwa hii kazi hadi ukadhani kila mtu anafanyiwa!?
Katanga tundu la mkundu wako liko waziii😂
huyu dogo ana sanaa sana😂
Na we huna akili,sanaa kivipi wakati tunaambiwa wamemtekea stand,vipi watu wangeingilia hapo na kuwaua,watekaji?
sanaa yake nini?
Lòoooooooooooooooo
Hii picture mbona hamtuoneshi huyo mtu tumuone mbona si kweli,pingu ziko wapi kwani watekaji wasijue pingu ziko wapi???...weee Nondo weee mungu anawaona
zilianguka MAGUFULI STAND.........fuatilia
Hayo maelezo Kwangu ni yanawalikini, hawa watu wanatabia ya kutekana na lawama Zoote serikali.
Mara ya Mwisho kafungwa pingu, then iweje Tena wanamkatia kamba
Useless........
Hata mimi kiukweli naona kama picha la kihindi tu ndio maana wananchi wako bize na mambo yao
Pale walipomteka jamaa waliangusha pingu na ziliokotwa na Raia
Yaan na ndo mishale ya alarm inagonga vichwan mwetu ... kuna uwezekan mkubwa wa kundi fulan kutekana wao kwa wao polis hao polis gan?? Mama huyo mama gani kila mtu hata asiekua na natija nae amdhuru wala mtu hana hatari yeyote katika nafas yake??
Mara lete pingu ,aaa tumezisahau wakanifunga kamba ,wakanifunga pingu wakanininginiza ,wakakata kamba za usoni na mikononi daah sisi wa D mbili tumefahamu
Ningekushauri uingie kwenye sana badala ya kucheza drama na genge lenu. Tuachieni Tanzania yetu iwe na amani pamoja na matatizo yake.
Ww kila siku unatekwa
Usiombe yaka kufika muombee Mungu tu mwezako .