Ila criss brown pia kaenda mjini Sana Kwasababu ya daimond..nimemuona criss brown kaenda mjini..ila Criss brown nae anachukua tu upepo wa Africa amshukuru Sana Daimond mana nimefurahia Sana izo habar mpaka Yan mpaka Sina chakuongea..unajuwa wakati comasava niliiyona yakawaida lakin sio bwana
Waambie wote wenye wivu na mafanikio ya wenzao jamaniiii mtu akifanya vinzuri mpatie hongera zake ata asipo kuwa simbaaa ata wewee freshiiii😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I always comment on your recaps and say you are extremely smart una akili sana ambaye Hana akili hawezi kukuelewa kabisa MTV EMA ya juzi tuu ulisema Daimond ana vigezo vya kuchukua Zaidi ya Burna boy na aka Julia wewe una ni remind me of sway
🤣🤣🤣🤣 shida Nini si mnyamaze tu, ona sasa yan mbaka mnajikuta mnalopoka tu kwa loho mbaya sasa lini kacheza NGOMA ya misondo tutajie NGOMA Gani alicheza, tunachojua kuwa alipostiwa tu
Ww kichaa tena Hauna Nature kwanyimbo gan had haiwez kupata Views weng Kwa xababu haielewek km nibongo freva atafanya rimex Nan waniger ndo hao hawamtak
@@malianonicass7029 huna akili wewe misomisondo watu wa mitaani wala hawana ma promo yakuhonga mahela ili wimbo wao uchezwe na amewarusha na kuwasifia wanacheza bila jasho utafananisha na mtu anayeenda mpk paris kufanyia wimbo promo acha mlitakiwa muwasifie halafu nyie ndio mnawagawa wasanii badala kuwapenda wote na luna siku watapatana wote mtapata aibu Halafu kuniita kuku sawa Mwenyezi Mungu aliniumba kuku heri yako wewe uliyeumbwa mtu.
Nakubali 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Kiukweli Diamond umejua kutuheshimisha Watanzania,,,huu ni wimbo wa dunia kwa sasa ❤❤
Nilikua nangoja ww uongee brother El-Mando👏
Kaka unaongea ukweli big up diamond❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hahahahahahahahababa kakak nilikusubil kwa HAMU SANA
Uchawi wa harmonize umeharibu views za nyimbo za Diamond TH-cam 😊😊😊😊😊😊
Benson kiponda from Kenya 🇰🇪 you are true bro
Leo umeongea kama mtu 🇨🇩🇨🇩☝️
Uko sawa brother, Sema nazani comasava ingetoka around mwezi wa 9 hivi ingekuwa vizuri ili Grammy pale mwezi wa 12 awe nominated
Sema kaka diamond atakuja na moto mkubwa kuliko komasava. Na atachukua Grammy tu
Ila bado hajachelewa
Uko sahihi ila nazani grammy wanachukuwaga data za mwaka soo itapita mule vile vile
Yuaeza kua nominated ivo ivo kwasababu nyimbo ya mwaka
We naeee😂😂😂
I was waiting for you Broh for your RECAP ✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊💪💪💪💪💪💪🎧
Nakupenda sana kaka
Unasemakwelibkaka nimependa san kaka 🎉🎉🎉🎉
Hadi raha 🦁🔥
Sana sana kaka
The World wide 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🔥🔥
Hahahahababababababababaabbaa hahahahaha kaka LECTURER nilikusubil sana kaka
Nakuelewaga sana bongo 5
Nilikuwa nakusubiri kaka ,utuchambulie broo ❤❤❤
hii imeshalipa❤❤bila video
🧭🤳 habari na viji habari kubwa duniani.
Like zangu jamani kutoka Msumbiji 🇲🇿 Mozambique PEMBA MOZAMBIQUE carioca ✨✨✨✨
Good nice one story brother namando 🎉🎉🎉🎉
Diamond platnumz is always the best but I wonder why some Tanzanians hate him nimnoma sana huyo Mama I love u 💕💕💕💕💕
Video inatakiwa aitoe kuanzia mwez wa 9 au 10
Bongo5 we love in 🇬🇧
Na very soon Jason derulo Ata rukiya komasava 😅😅mtanikumbuka simba ndo msani wa Tanzania na Africa 🦁🦁🦁🦁🦁
Nice one.Hakuna Msanii yoyote mkubwa hapa Africa zaidi ya DIAMOND PLATNUMZ KWA SASA.KOMASAVA TO THE WORLD.
Kaka ata we una mchango mkubwa katika gemu ya bongo fleva
Kaka nilisubiri reaction yako kwa ham sana
Well said mzee❤
KaKa unasema kweli😂😂
Waoo
Ndugu wewe unajuwa sana lakini watanzaniya wanaroho mbaya
Bro samir nilikuwa nataka kushangaa leo upo zz kwa hili umechelewa ulikuwa wp bro samir
Umeongea point broo
This is Truth bro
Almando nilikuwa nakusubilia Sana broo useme kitu kuhusu kris's brown na komansava
Uko sawa kabisa my brother 🙏🫶
Oky umeongea yote lakin Kaka nawey Auna number kwenye vipindi vyako nawewe nakushaur bro jitazame 😂😂
Diamond platnumz respect ✌️🪂🪂
Waache waongee, kwani kuna shido. Hakuna anaekufa kwa maneno, maneno sio mkuki bro, Never give up for Diamond
Diamond no baba wa Tanzânia, inabidi tukubari ❤
Diamond is the King ❤
Daimod of the king
Wakenya tumefika hizo levels banaaa
Na tetema mbona husemi diamond alihusika na umesema tuwe vizuri kwenye kuweka reference
Mbona umekawiya kutupostia brother nimekuwa nataka wew ndio uongelee hio story
Tayarisha BT❤
Nakuelewa sana kk ila unavyo sema ni heshima kwa bongo Flava Kwani comasava ni bongo fleva
Kombe la dunia 2026 mbali sana kutakuwa na hit song nyingi mpaka hiyo 2026
Hii ngoma itachukuliwa ichapwe 2026 Kwa kombe la Dunia jamani. Kisa ni kuwa salamu yawaonganisha wengi.
🔥🔥🔥🔥🔥
Mondi heshima tunàkupa kweli. 254📌
Bro upo sahihi lkn kuhusu numbers kwa Kommasava muda bado utapata tu numbers
Tena huu mziki ni mkubwa kinoma. Utapata numbers soon. Mwamba anajua kucheza na numbers
❤❤❤❤❤❤
Simba wcb
Akitaka Numbers afanye Remx na Drake😂
Kutoka +254 Huwa nakuelewa sana
Brother wambie watazania sijui wanatatizo lipi na @diamond platnumz kazi yao mtu akifa ndowataona faida yake
Lakini Leo hii habari imetrend TZ ,nimefurahi sana
Safff brooo kaɓsa
Hii ni Kali...roho mbaya imechosha huko tz
Ucjmalze elmando kamnunua huyo🤣🤣🤣
Semeni sasa diamond kamripa pesa ..chris.brown..tanzania acheni wivu
Majinga yale😂
❤❤🇨🇩🙏🔥🔥🔥
Harmonize na Rayvanny wako na wivu Sana na diamond
Wabongo wanalaana diamond nidhahabu tunayoichafua kila siku
Bado kazi iko
Nakubali 💪🫡
😮😮
Simbaaaa
Ila criss brown pia kaenda mjini Sana Kwasababu ya daimond..nimemuona criss brown kaenda mjini..ila Criss brown nae anachukua tu upepo wa Africa amshukuru Sana Daimond mana nimefurahia Sana izo habar mpaka Yan mpaka Sina chakuongea..unajuwa wakati comasava niliiyona yakawaida lakin sio bwana
Upo sahihi SEMA ma boflo awaezii elewa😂
Mana iyo nyimbo niyetu sote nyimbo ya tanzania iyo inabidi sisi mashabiki wake tuchangie Sam idia ya video..
Lakin kaka kama nikupostiwa mbona hata miso misondo washapostiwa tayari na Chris brown na bado hawajaota mapembe kama nyinyi..!!! 🙄🙄
Naam kizuri kinajiuza , fact
Mwaga fact mtumzima
Bila kuangalia kando unajua ufafanuzi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
El Mando mchambuzi no 1 wa music Tz
Hivi tu karibuni uskie million mia sita kwa show
Lazimaaaa
Simba ka maliza
Ata mimi nakumbuka uli sema komasava ni wimbo wa 3 duniani watu wali bicha 🎉
bro yani uliwongeya ukweli kusu kusu number
Kuiceza haimanoshi kuwa ya kwanza
Waambie wote wenye wivu na mafanikio ya wenzao jamaniiii mtu akifanya vinzuri mpatie hongera zake ata asipo kuwa simbaaa ata wewee freshiiii😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Lakini kaka ulitwambia sensema itafunika komasava
Chris brown anapenda amapiano cku hizi 😂😂😂😂sio bongo flavor
Wew ni mtu mzima kabs najua unachoobgea
I always comment on your recaps and say you are extremely smart una akili sana ambaye Hana akili hawezi kukuelewa kabisa MTV EMA ya juzi tuu ulisema Daimond ana vigezo vya kuchukua Zaidi ya Burna boy na aka Julia wewe una ni remind me of sway
Asa Kama unataka kumshauri diamond be his manager
Ninoma
Nisawa ila sasa El mando wewe kwanini hukutabiri before Chris brown hajafanya challenge
spotfy hamnaga views kuna streams sasa spotfy watu wanaview nini
😂😂😂 wabongo 😂😂😂
wanamuonea wivu kabisa
Kuna kijamaa kimoja kutoka kundi genge kinakubaki huku kinatoa unafki ety chriss aliwaigi kupost miso misondo sasa ndio nini??
Acha uwongo
Shuuu ilmupa mtv
Missa misondo mbona alicheza?
Hakucheza alipost
😂😂😂😂❤
Elewa kupostiwa na kuchezwa mbn unajitoa fahamu...🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 shida Nini si mnyamaze tu, ona sasa yan mbaka mnajikuta mnalopoka tu kwa loho mbaya sasa lini kacheza NGOMA ya misondo tutajie NGOMA Gani alicheza, tunachojua kuwa alipostiwa tu
Misso misondo kapostiwa kulingana na makoti yake😢😢 ila hata hivyo Mondi style za kucheza zinachangia
Ukweli jamaa anajua
Tatizo la wivu na roho mbaya aliyeanzisha nani???
Ww kichaa tena Hauna Nature kwanyimbo gan had haiwez kupata Views weng Kwa xababu haielewek km nibongo freva atafanya rimex Nan waniger ndo hao hawamtak
Wewe choko kajifunze kwanza kuandika ndio uje ku koment umu apa mwendo ni komasava
@albertkadyanduh halafu hata wewe hujui kuandika😅😅😅ji9722
@@pilimwanza8117 sawa sawa dada pili iyo inaitwa hand writing Comasava
Afike grammy ndo nimamini mziki wa tanzania umefika mbali
Mbona misomisondo hamkuifagilia hivyo Jamani mnaonyesha ubaguzi wa hali ya juu.
Ukimfagilia ww inatosha bingwa
Miso walicheza wimbo wa Chris kuku wewe
@@malianonicass7029 huna akili wewe misomisondo watu wa mitaani wala hawana ma promo yakuhonga mahela ili wimbo wao uchezwe na amewarusha na kuwasifia wanacheza bila jasho utafananisha na mtu anayeenda mpk paris kufanyia wimbo promo acha mlitakiwa muwasifie halafu nyie ndio mnawagawa wasanii badala kuwapenda wote na luna siku watapatana wote mtapata aibu Halafu kuniita kuku sawa Mwenyezi Mungu aliniumba kuku heri yako wewe uliyeumbwa mtu.
Aende sasa akaijaze o2 Arena ya London 🤣🤣 mbona misomisodo kapostiwa na CB. nina wasi wasi na wewe mtangazaji
Kwan Diamond Platnumz amepostiwa na CB…?????😂😂😂😂😂
@mr pimbi