RECAP: WCB WALIFANYA MAPINDUZI YA MUZIKI TANZANIA, WAMEONGOZA KILA KITU, AMAPIANO VS BONGO FLEVA??

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ค. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 61

  • @Akili820
    @Akili820 18 วันที่ผ่านมา +1

    Congo ni baba kila siku 🇨🇩🇨🇩💪💪

  • @HazardHbcomEmmanuelprodduseign
    @HazardHbcomEmmanuelprodduseign 20 วันที่ผ่านมา +1

    Courage les tanzaniens même nous aussi les congolais 🇨🇩 nous sommes prêts de vous espéré.

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm 20 วันที่ผ่านมา +2

    We bro unaongea fact big up

  • @meameamusa3394
    @meameamusa3394 20 วันที่ผ่านมา +6

    Hata naija Bado hawajafikia kiwango chamuziki WA congo

  • @ShamanyekisimbaTravail
    @ShamanyekisimbaTravail 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nakubali kaka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪🇨🇩🇨🇩💪🇨🇩💪🇨🇩 wcb for life

  • @user-qf6dh9hy8c
    @user-qf6dh9hy8c 19 วันที่ผ่านมา

    Daaa Jamaa unanikosha WCB ndo habàri ya mziki chuo kikuuuuu❤❤❤

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 20 วันที่ผ่านมา +3

    Jaman bongo 5 hamjaona Hennessy by young lunya,sarkodie, khalighaph jons,ladipoe+++ tuleteeni na muichambue

  • @HeriRamadan-qx2hk
    @HeriRamadan-qx2hk 20 วันที่ผ่านมา +1

    Bila daimond mziki wetu mmmh!! Mashakani, daimond anatisha bhana.

  • @MasudiRashidi-sk8xo
    @MasudiRashidi-sk8xo 19 วันที่ผ่านมา

    Guys before uhongeye abari zako ebu fanya utafiti vizuri congo we the best for all the time

  • @user-nq4md3sj6d
    @user-nq4md3sj6d 20 วันที่ผ่านมา +2

    yes WCB leble is second leble in Africa is true 100%

  • @TheOneAndOnly_19
    @TheOneAndOnly_19 20 วันที่ผ่านมา +1

    Shida ni hamjui kutofautisha between MZIKI NA BURUDANI 😅😂😂

  • @SugarIgaUfe1
    @SugarIgaUfe1 20 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka yangu mimi ni @sugar Igaufe msani kutoka Congo 🇨🇩 lakini katamani kazi zangu zije Tanzania 🇹🇿 nasababu yaku kuandia napenda sana unakio kifanya pia una jua vitu vingi naomba uwe manager wangu nakuomba sana Asante

  • @EdmondNyirenda
    @EdmondNyirenda 20 วันที่ผ่านมา +3

    Ndio ilivyo mku 🦁🔥

  • @kizibotv9661
    @kizibotv9661 21 วันที่ผ่านมา +6

    Bro kikweli unaongeaga ukweli

  • @choeursaintjeanmarie
    @choeursaintjeanmarie 18 วันที่ผ่านมา +1

    Shida wa congo Hawa wekezi nguvu kwenye digito naku shindana kwenye ma tuzo
    Lakini radios na tv Ndo soko zabo
    Ndomana wao wakifanya shows hata inje ya nchi wanajazaga tuu

  • @cizungubigabwa910
    @cizungubigabwa910 20 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka Congo kuna wa star wa kubwa maitre gims , dadju wa view wengi

    • @BushaBoy
      @BushaBoy 20 วันที่ผ่านมา

      Gims wako Ku France wewe

  • @fulness_jazz5844
    @fulness_jazz5844 20 วันที่ผ่านมา +1

    Achakusema mambo ya namba

  • @CamweziKarrashnekov
    @CamweziKarrashnekov 20 วันที่ผ่านมา +3

    Bro tz niya kwanza kimziki afrika , kinachoifelisha ni rugha wanaotumiya kwa uimbaji.laa sivyo hata wanaija hawana na fasi mbele ya tz music. Love 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @forcienelokoiluku
    @forcienelokoiluku 20 วันที่ผ่านมา +2

    hata mondi ajawai pata views 150 bila kumshirikisha mtn so all is same bro

  • @babalao3250
    @babalao3250 21 วันที่ผ่านมา +13

    Wapo machokochoko watakaopinga mi najua

  • @robertamsini1256
    @robertamsini1256 20 วันที่ผ่านมา +3

    Acha bangi bro Muziki wa Congo ukoju mbali sana

  • @bashimalu5334
    @bashimalu5334 20 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo ni kupoteza identity ya mziki, Congo wana style ya muziki wao Rhumba/afro congo ila tz Mara Amapiano akitakaimba kingereza mnaenda naigeria

  • @user-lm5fu5tu5z
    @user-lm5fu5tu5z 18 วันที่ผ่านมา

    Mondi ndio msanii buster
    Harmonize anaimba na kutunga mziki mzuri ili awe mkubwa zaidi ya Mondi,
    Rayvany anaimba ngoma nzuri kutokana na sehemu aliyotoka,
    Ally kiba anajitahidi kuimba mziki mzuri ili ushindani wake naa mondi uendelee kuwepo,
    Marioo anaimba mziki mzuri kutokana na hasira zake Kwa mondi kumchukulia Mimi mars so ana hasira sana nae awe mkubwa kuliko mondi😂😂😂

  • @BenjaminPeter-t2w
    @BenjaminPeter-t2w 18 วันที่ผ่านมา

    Niko pamoja nawewe kaka.

  • @user-cs8yr1ew6g
    @user-cs8yr1ew6g 18 วันที่ผ่านมา

    kweli unachosema ila ndo wasanii wa tz wameanza kujitafuta kwenda international usiwai kuwalinganisha na wasanii kutoka congo wale na wa nigeria niwachawi sana wana sumbua sana international

  • @JacquesDasilva-yx1bi
    @JacquesDasilva-yx1bi 19 วันที่ผ่านมา

    Apo njo Ume aribu usiweke Tanzania Mbele ya Congo 🇨🇩 ndugu yangu

    • @choeursaintjeanmarie
      @choeursaintjeanmarie 18 วันที่ผ่านมา

      El Mando hajuwi ku tafautisha ndomaana ana sema hivo hahuwi kama Congo 🇨🇩 sio watu wa mitandao nawala Hawajali digital

  • @vanjay8685
    @vanjay8685 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani rayvanny io tetema kaimba na nani? Mbona unajisahaulisha?

  • @Alhadinholyrics
    @Alhadinholyrics 20 วันที่ผ่านมา +1

    Bro,Don’t compare Fally is the best , is the best musician in Africa

  • @JacquesDasilva-yx1bi
    @JacquesDasilva-yx1bi 19 วันที่ผ่านมา

    South Africa 🇿🇦 Aina views nyingi TH-cam wewe mouuzi

  • @fulness_jazz5844
    @fulness_jazz5844 20 วันที่ผ่านมา

    Léo nikutukane Kwanza kuhusu kusema DRC.

  • @user-xr4dp1cs5b
    @user-xr4dp1cs5b 20 วันที่ผ่านมา

    Wcb ni lebo saiiiiii

  • @moisekashindi9607
    @moisekashindi9607 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kwahiyo tanzania Kuna msanii mkubwa zaidi ya Fally ipupa

    • @benson23823
      @benson23823 20 วันที่ผ่านมา

      Wewe wame kuambiya mtowe fally Ipupa ule ni mzee weka wengine

  • @makamejuma6959
    @makamejuma6959 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa ufaransa wa congo watajaza sna kwani wanaongea kifaransa

  • @kasereka-vy3mw
    @kasereka-vy3mw 20 วันที่ผ่านมา +1

    trend siyo cho chote tuangaliye vile kwenye show zakimatayifa

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr 20 วันที่ผ่านมา

    Asa io namba 3 na. 4

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 20 วันที่ผ่านมา

    Sipingi hata kidogo

  • @christophemaurice
    @christophemaurice 20 วันที่ผ่านมา

    Sasa awo ma views mbona atuwaona kwenye concerts?
    Ferre Gola uwa ajibez na ayo mambo ya views ila akifanya concert bala yake ni ayo.

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mziki ulikuwa epo tena mkali tatizo mahendeleo hayakuwepo mitandao jaukuwepo mambo mengi hayakuwepo nandiomana unasema wasafi ina change muziki

    • @user-qz8gn6bn6r
      @user-qz8gn6bn6r 20 วันที่ผ่านมา

      Kwend uko mwanahabar gn ww Kila siku nkusifia diamond ww nshabiki take sema t ukwel usiogopag watu Kila siku ambaye amepelek mziki n mondy Yani huoni hao wengine waliofany makubwa kushinda huyoo mtu wako mnafiki sana wwe hunachocht

    • @Bless215
      @Bless215 20 วันที่ผ่านมา

      @@user-qz8gn6bn6r kama inakuuma kunyw sim

  • @FaithaAli-cy5nr
    @FaithaAli-cy5nr 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe nae Ni kama WCB wanakutomba kila mara kuwasifia tu🖕🖕

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 21 วันที่ผ่านมา

    Wasani wazamani sho zawo ikuwa pesa mdogo pia Nigeria 🇳🇬kipindi kile waliwa bado why because technology haikuwepo so inabidi uwelewe bro almando

  • @kiatu
    @kiatu 21 วันที่ผ่านมา +1

    Afro Congo ni genre? Najua soukous

  • @Wapoletz13
    @Wapoletz13 21 วันที่ผ่านมา

    Nah innossb sio this generation go check his background

  • @user-ts8cm1rq2k
    @user-ts8cm1rq2k 20 วันที่ผ่านมา

    Brother ww mnafiki sana leo unaongea ili kesho lie ndio mahana w2 wala.awakuzingatiii mshamba ww

  • @SamweliEmanuel-lb1in
    @SamweliEmanuel-lb1in 20 วันที่ผ่านมา

    Mbona hujamtaja rayvanny wakati tupo ulaya tokea leo nakuama

  • @augu-rg2kn
    @augu-rg2kn 21 วันที่ผ่านมา

    Bila kuwa saabu Gims dadju Youssoupha ninho ao ote niwa Congo 🇨🇩

    • @user-ji7sy2wi7b
      @user-ji7sy2wi7b 21 วันที่ผ่านมา +1

      Kuna tofauti ya utaifa na asili

    • @kakozimakongo8875
      @kakozimakongo8875 21 วันที่ผ่านมา +1

      Mfatilie mohombi wa congo 🇨🇩bro usicho kifaamu uliza

  • @officialelman2
    @officialelman2 20 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa ni mropokaji sana WW una juwa wasani WA congo vizuri mbwaaa kabisa, generation hii una mjuwa Maître gims sawa ww

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 20 วันที่ผ่านมา

    Bro tueshimiyane basi ata kidogo, kumlinganisha Diamond na fally, koffi, Gola,... Nikama kumlinganisha harmonize na diamond, kama diamond anavimbiya wa Nigeria leo nikwasababu from the beginning Congo tulimubeba kama mtoto wetu, papa wenba, fally, koffi, innos, wote wali beba msanii wenu, leo mnataka tulingalisha na mtoto mdogo tuliyemkuza. Ivi ukitowa diamond mkowapi kimziki afu yeye mwenyewe bado hawezi jaza show tunazo zijaza youtube sio kipimo cha ukubwa wa msanii jifunze mziki before talking nonsense.

  • @user-cw4gr1bl1x
    @user-cw4gr1bl1x 20 วันที่ผ่านมา

    Tu ne peux pas comparer les chansons congolaises🇨🇩🇨🇩🇨🇩 avec ceux de la Tanzanie là tu fais une erreur

  • @dollabrucy
    @dollabrucy 21 วันที่ผ่านมา +1

    Bro Congo hawapo kwenye Numbers za TH-cam hao wanajaza Arena watanzania ndo maana hamuwezi fika mbali fatilia wasani wenye wanaishi ulaya wa Africa utachoka tanzania mnakua mnaomba Collabo kama mna numbers kwa nini wasani wakimataifa awawaombi Collabo

    • @bonrich717
      @bonrich717 20 วันที่ผ่านมา

      Huyu jama hajielewi

  • @user-kq9dg5id7c
    @user-kq9dg5id7c 21 วันที่ผ่านมา +1

    Uko naongea vitu Aujuwi uyo daimondi Auwezi kujaza ata apa arena ya Belg ao niwa sani wa apo Tanzania uki taja fally uwe nae shima

    • @bonrich717
      @bonrich717 20 วันที่ผ่านมา

      Huyu jama hajielewi

  • @user-kq9dg5id7c
    @user-kq9dg5id7c 21 วันที่ผ่านมา

    Uta shindana na watu wanao jaza arena 😂😂😂😂😂😂wewe ata wa nijeria wenywe