MH MAZRUI SASA AFUNGUKA RASMI BAADA YA KUHUSISHWA NA CCM "MIMI BINAFSI NIMEFURAH SANA, KUFANYA KAZI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar

ความคิดเห็น • 19

  • @AminiMuhammed-pi6dx
    @AminiMuhammed-pi6dx หลายเดือนก่อน

    Mbona hiyi ni ya mwaka 2022

  • @suleimanmrisho3527
    @suleimanmrisho3527 2 ปีที่แล้ว

    Mr Rais taratibu they will understand.

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed3612 2 ปีที่แล้ว

    Wamekufanya mlemavu Allah atalipa tu hana haraka .

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว

    Mitano tena somo

  • @salemhemed6051
    @salemhemed6051 2 ปีที่แล้ว

    Amefunguka kitu gani?
    Hatujaona kufunguka na kuhusishwa na CCM

  • @w4058
    @w4058 2 ปีที่แล้ว

    Yote hayo yasingepatikana ingekuwa nyie wapinzani kukubali kuwa sehemu ya mashirikiano baada ya kusamehe maovu yao walokufanyieni

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Hizo ndio siasa zinavyotakiwa,,,,sio kutukanana, ni kujadiliana Kwa Hoja!

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 2 ปีที่แล้ว +1

      @Juma Kapilima Ni kweli "kujadiliana Kwa Hoja" lazima na "sio kutukanana.
      Lakini pia kujadiliana sio kwa msaada wa jeshi la Tanganyika kwenda kuwauwa Waislam wa Zanzibar siku za uchaguzi.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      @@khatibal-zinjibari6956 hivi Zanzibar kuna waislam?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 2 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295Waislam wa Zanzibar waliouliwa na Makafiri kuanzia Mapinduzi Matukufu (I1964), wote hawapo.😂😂Na kwa vile Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoundwa na Nyerere kwa faida ya Tanganyika, Waislam wa Zanzibar waliobakia watauliwa mpaka wakubali Dini ya Makafiri. Lengo la Makafiri kwa Waislam ni moja:
      "Wala (Makafiri) hawatoacha kupigana nyinyi (Waislam) mpaka wakutoeni katika Dini yenu....[Qur'an; 2:217].

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      @@khatibal-zinjibari6956 Nani aliyekudanganya kama Zanzibar ni nchi ya kiislam?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 2 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295 Kinyume cha KIISLAM ni KIKAFIRI na nani aliyekudanganya kama Zanzibar ni nchi ya KIKAFIRI?