TAZAMA JAMAA WALIVYOINGIA 18 ZA KAMANDA MUROTO, WAPIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 431

  • @salmajuma5596
    @salmajuma5596 3 ปีที่แล้ว +9

    Sijampenda kabisa huyo Kamanda Muroto. Anaonyesha dharau sana kwa watu ambao hawajathibitishwa kama wahalifu. Mtu kama huyu mimi akinidhalilisha hivi. Nafunga Siku tatu tu namshtakia mungu naimani nae atadhalilishwa pia. Kiukweli sijasisikia vizuri ingawa hapo simjui hata mmoja. Ubinaadamu ni muhimu sana. Allah atuongoze InshaAllah

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 ปีที่แล้ว +8

    Mimi huwa ninampenda sana Mungu maana unaweza kufika kwake akakuuliza "Ulipokuwa duniani ulifanya nini ?" Halafu unaulizwa "Uliwafanyia nini watu wangu?" Halafu " Umeifanyia nini talanta yako nilitokupa?" Hakika kwa ubinadamu wetu kuna watakaokosa majibu ya maswali yote !! Mungu atusaidie sana !!

  • @drisayaambulatoryvetclinic1514
    @drisayaambulatoryvetclinic1514 3 ปีที่แล้ว +13

    Mungu ni wetu sote ,tuombe mwisho wetu mwema
    Ahsante

  • @jitulakalemastr7636
    @jitulakalemastr7636 3 ปีที่แล้ว +5

    Da amakwli mwenye shibe amjuw mwnyenjaa mungu tusaidie tazania

  • @regnaldobadia753
    @regnaldobadia753 3 ปีที่แล้ว +1

    Asantee Mutoro usisahau na huku kwetu stendi kuu ya mkoa wa Arusha watu Kama hao wapo wengi sana

  • @eyumededu2948
    @eyumededu2948 3 ปีที่แล้ว +15

    Ila hizi kamera jaman mnatuzalilishia baba zetu

    • @allymtak1181
      @allymtak1181 3 ปีที่แล้ว

      Kama una baba Kama hao nakupa pole Sana

    • @salimmbilu4524
      @salimmbilu4524 5 หลายเดือนก่อน

      San ndg

  • @MmohamediPoyo
    @MmohamediPoyo 2 หลายเดือนก่อน

    ❤kamanda mungu akupe afya njema pambana kazi muhimu wazee wafanye kazi

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 ปีที่แล้ว +22

    😂😅Huyu kamanda akistaafu aingie kwenye Comedy

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 3 ปีที่แล้ว +12

    Kila mmoja anakula Kimpango wake hapa mjini., yeye kamanda amshukuru mungu kwa kibali alicho pewa cha hiyo kazi

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +3

      Ni kweli kbs kwakua hajui ya mbelen

    • @thoyathoya5904
      @thoyathoya5904 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa sio kila mtu anafanya kazi ofisini wengine tunaosha magari barabarani ndio tupate riziki yetu ya kila siku

    • @facebmzeewakimba1546
      @facebmzeewakimba1546 3 ปีที่แล้ว

      Kweli. Police wamekua na madalaka kupitiliza

  • @herymsese
    @herymsese 3 ปีที่แล้ว +31

    Nimependa majibu ya mstaafu .. kweli ni mstaafu 🤣🤣

    • @haroubabuu3766
      @haroubabuu3766 3 ปีที่แล้ว +1

      anabebeshwa gunia sio lake

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 ปีที่แล้ว +2

    Mstafu anamajibu y jeshi safii unataka nikae kwenye kahawa🤣🤣

  • @stephenngemela2286
    @stephenngemela2286 3 ปีที่แล้ว +11

    Ila hapo sio sawa kudhalilisha hao watu wazima na familia zao hata kama ni honyo kwani mpaka uwaanike

    • @ellyisidoli2192
      @ellyisidoli2192 3 ปีที่แล้ว

      Bro sis bila kukumbushwa kwa sitail ii atubadilki

  • @joycemmbaga8182
    @joycemmbaga8182 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tusaidie

  • @yassinsaidigunner446
    @yassinsaidigunner446 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukiwazalishaa binadamu wenzako na www subiri kuzalilishwaa daaa nimesikitikaa sanaa asee nchi yangu daaa

  • @kenicemkaka2824
    @kenicemkaka2824 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah uzalilishaji huu jamani, kamana siro nakumbuka kama ulishawahi kukemea hizi sifa. jamani ebu kwataratibu zako mkuu ungewaita hawa wakina mroto nawengine wenye tabia kamahizi uwaelimishe. kupigiwa magoti mbele zawatu nawazee wanaokuzidi umri siyo ufahari nawala siyo heshima. dah yaan mimi nimeumia sana kiukweli siyo vizuri

  • @barakapaul866
    @barakapaul866 3 ปีที่แล้ว +6

    Kama ni wa kwanza kuwatch kama mm gonga like

  • @erickkundy5322
    @erickkundy5322 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana Afande. Natamani RPCs wengine wangefanya the same.Bus stands za Moshi & Arusha ni kero sana na sijui hao RPCs wa hyo mikoa ni kwanini hawajawajibishwa kwa hilo ikizingatiwa Mh Raisi alishatoa directive.

  • @thoyathoya5904
    @thoyathoya5904 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi ni kazi mzee bora mtu asiibe, cha muhimu mtu anapata pesa ya jasho lake

    • @fauziashifao8644
      @fauziashifao8644 3 ปีที่แล้ว

      Tinamsubiri na yeye astaafu tumuone atafanya nn

  • @anjelamathiasmafa7498
    @anjelamathiasmafa7498 3 ปีที่แล้ว

    Mmmm huu. Ni udhalilishaji kamanda mungu anakuona

  • @nimujocentre2173
    @nimujocentre2173 3 ปีที่แล้ว +10

    Mm binafsi niko tayari kupiga magoti kabisae😂😂😂Nimecheka watu ni waoga balaaaa

  • @mbuzimbuzi1943
    @mbuzimbuzi1943 3 ปีที่แล้ว

    Wasamehe mm nalia nikiwaona wasaidie kuna maisha baada ya kufanya ajira ukistaafu huku mtaani kugumu watu wanalia vijana wanalia kuna watu wamewasomesha watoto wao hadi madaraja ya juu ili waje wawasaidie watoto zao lakini ajira ndio hivyo biashara hata wakifanya watamuungisha nani,kulima wakilima mazao bila pembejeo hayaendi napo watasumbuka tuu maisha ni magumu kamanda usione upo kazini

  • @paulmkalawa496
    @paulmkalawa496 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa port na dar wafanyiwe kama udom good wachache woman wengi waowezi tubadike kwkwenda nakasi ya mabadiliko asanttee

  • @fctlinesfactlines2817
    @fctlinesfactlines2817 3 ปีที่แล้ว

    Silani kama wanashinda stendi bure Embu waache wakatafute riziki zao na kuwadhalilisha na Mheshimiwa shukuru Mungu unaiyo nafasi.. Ipo siku maisha yatabadilika naww unaweza kujikuta huko

  • @beatusjolijo4813
    @beatusjolijo4813 3 ปีที่แล้ว +4

    Sijaona mantiki hapa yaan Kama ana Ela yake anaamua kuja kukaa kijiweni yanakuhusu nini?

  • @axdomician4785
    @axdomician4785 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa hilo tukio,,,sisi ambao tunasafiri mara kwa mara ndo tunajuwa jinsi gan hao jamaa wanavyokera

  • @evakumba3753
    @evakumba3753 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii nchi hiii,huyo kamanda wenu mungu anamuona, huko ni kuwadhalilisha watu pumbav sana

  • @minmaxc485
    @minmaxc485 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimecheka kifala yaaani niko tayari kusaini mahali sitaonekana tena😂😂😂😂😂😂😂🤣😍

    • @bethmsigwa6742
      @bethmsigwa6742 3 ปีที่แล้ว

      Uwiii

    • @faudhiajuma8480
      @faudhiajuma8480 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimebast ile mbyaa dahh wabongo ukiwabamba kwenye 18 wanakua zaidi ya kunguru

    • @HidayaOthman-k7w
      @HidayaOthman-k7w 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

  • @shenyabizzo6787
    @shenyabizzo6787 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah mstaff 😭

  • @mlembamo
    @mlembamo 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mbona tunafika kuharibu nchi namna hii? Huyu kamanda mbona anadhalilisha watu.. mbaya Sana. Hatakama ni waalifu sio wote na kunataratibu za kufuata za kiutu.

  • @sebastiansimeo9030
    @sebastiansimeo9030 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anakuona

  • @omaridodo9992
    @omaridodo9992 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana kamanda, njoo na Arusha wasafiri tunasumbuliwa utafikiri hatujui mabasi kero tupu huku Arusha

  • @mughusiwamuyengi9517
    @mughusiwamuyengi9517 3 ปีที่แล้ว +3

    Kamanda Mroto, ni kweli, hawa watu wanasumbua, abiria, kila mtu anayesafiri anajua anakokwenda, ondoa hao wakalime

  • @herymsese
    @herymsese 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri

  • @victorsomba867
    @victorsomba867 3 ปีที่แล้ว +1

    Tangu lini mtanzania ukampa nafasi ya kujitetea akashindwa kuitumia nafasi hio!!! 😂😂😂😂😂 Nimecheka sanaaa

  • @ellyswema2113
    @ellyswema2113 3 ปีที่แล้ว +8

    Waonekane ili iweje? Acha kudhalilisha watu mzee

    • @fabianndimanya2055
      @fabianndimanya2055 3 ปีที่แล้ว +2

      Haswaaa ni ushamba tyu wa Askari wa Bongo

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 ปีที่แล้ว

      Inafaa maana katiayao wengine ni ma Conman kuzunguka zunguka Tu kupima watu wanaojisahau wawanyoroshe

    • @ellyswema2113
      @ellyswema2113 3 ปีที่แล้ว

      @@lovvy854 wafuate utaratibu tu na si kudhalilisha watu

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 3 ปีที่แล้ว +3

    Afu watu wenye kazi mzuri wanaichukulia poa kazi ya kuuza karanga raha ya ngoma ingia uicheze

  • @nathanpaschal907
    @nathanpaschal907 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuonyesheni sehem ya kusaini tusaini hatutarudia tena😁😁

  • @alextercisio
    @alextercisio 2 ปีที่แล้ว

    True such people should be in another sector

  • @samwelshija2112
    @samwelshija2112 3 ปีที่แล้ว +2

    Not fair

  • @SUNDAYMRGAMINGTZ
    @SUNDAYMRGAMINGTZ 3 ปีที่แล้ว +4

    huo ni uvivu na uzembe.... kwa sasa dodoma imechangamka sana kazi zipo nying sanaaaa miradi ipo mingi sana mi mwenyewe nakuja huko tarehe 19 mwezi huu

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Mzee,Kwani Ukiwa Na Watoto Na Familia Hutakiwi Shinda Stendi Tafuta Riziki Yako?? Acheni Kudhihaki Na Kudhalilisha Watu Kwenye Macamera Kuwapigisha Magoti Kifala Afu Mnaona Raha Sana! Hata Kama Ni Waharifu Sheria Ifuate Ila Sio Kuweka Macamera Kifala!

  • @allyndingo1812
    @allyndingo1812 3 ปีที่แล้ว

    Daaaah htr xana life hili

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 3 ปีที่แล้ว +9

    Afisa gani pumbavu asiyejuwa haki za kibinadamu mjingaaa

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 3 ปีที่แล้ว +4

    Muroto anapenda kudharirisha sana kwenye media.Hayo masifa yake ni ya kishamba.kwa hivyo anadharau elfu kumi kwa siku ,hajui Kuna wengine hata wakipata buku inatosha.

  • @agustinoezekiel367
    @agustinoezekiel367 3 ปีที่แล้ว +2

    Mroto namjua saana,ni mkali saana ila anapenda sana masikilizano na watu anao watuhumu

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 3 ปีที่แล้ว +6

    Weweee njoo naupara wako wewe apo😂😂😂

  • @hermescash9463
    @hermescash9463 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha Dakika ya 4:06 Hahaha Jamaa kanichekesha.

  • @kenicemkaka2824
    @kenicemkaka2824 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaogopa kutoa maoni lakini hii siyokazi nikutafuta kiki, kumbuka kunamaisha baada ya kazi kuisha.

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 3 ปีที่แล้ว

    Dah! Hi nchi hi mungu yupo tu

  • @johnmalambo1738
    @johnmalambo1738 3 ปีที่แล้ว

    Upo sawa lakini kwaishu Kama hiyo ungeenda kuwahoji lakini wanasubua Sana abiria ila mazingira ulio wahoji sio sawa

  • @gabrieligidasanga1369
    @gabrieligidasanga1369 3 ปีที่แล้ว +4

    Wewe njoo na upara wako hapa🤣🤣

  • @penetronadvancedwaterproof664
    @penetronadvancedwaterproof664 3 ปีที่แล้ว +1

    kama umesikia njoo na upara wako like

    • @edern8803
      @edern8803 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha kaja anaupara na kitambi

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 ปีที่แล้ว +1

    Zaburi 62 : 9 !! Ukishaisoma sema Amen !!

    • @f.a6043
      @f.a6043 3 ปีที่แล้ว

      Zaburi 62:9
      [9]Hakika binadamu ni ubatili,
      Na wenye cheo ni uongo,
      Katika mizani huinuka;
      Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.
      Amen

  • @jomba6514
    @jomba6514 3 ปีที่แล้ว +1

    Uzee kustaafu na kufa upo kwa kila mwanadamu tuendelee na maombi mungu ni wetu wote amen 🙏

  • @roggersnathan2592
    @roggersnathan2592 3 ปีที่แล้ว +8

    Everyone has a right to earn a living as long as it is Legal...They are not criminals

  • @emmanuelherman7186
    @emmanuelherman7186 3 ปีที่แล้ว

    wabongo wajanja sana, wanaplease lkn maisha yataendlea vilevile

  • @mussakasimu2811
    @mussakasimu2811 3 ปีที่แล้ว +5

    duuh nmesikia naomba sehemu ya kusaini , niko tayar kupiga magoti. tupo chini ya miguu yako.

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kamanda. Mvua zinaishia hewani. Kuna vibarua vingi vijijini msimu huu. Kupalilia, kusafisha mashamba

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +1

      Vipi wewe unaweza kwenda kulima shamba ?

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว

      @@lirastanley390 . Of course. Kama Hakuna kingine chakufanya mjini na mashamba yapo kwanini ni ishie kuomba na nguvu ninazo. Ukiangalia hawa ni wa vijijini ila kujishughulisha hawataki. Nimeona vijana wengi Sana wameishia kwenye kucheza draft na pool table wakati wenye akili wanapiga kazi vizuri tu. Msimu huu kwa watu wamashambani pesa ziko nje nje. Ni nguvu zako tu. Kuna kupalilia, kusafisha mashamba ekari moja sio chini ya 30000. Na hiyo ni kazi ya siku 3 tu kwa eka moja. Unakuta kina mama wanalima na watoto mgongoni mwanaume yuko kijiweni

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 ปีที่แล้ว +13

    Wewe unataka kuonekana,inakuhusu nini

  • @andreakulisha5144
    @andreakulisha5144 3 ปีที่แล้ว +8

    Udhalilishaji hautokoma ikiwa mambo hayatokemewa... Mtu akiwa na hatia apelekwe panapostahili, haya mambo ya media hayafai kwa ustawi wa jamii yetu.

    • @fadhiliignusy3790
      @fadhiliignusy3790 3 ปีที่แล้ว +2

      Wewe nae achakuleta siasa kwenye vitu vyamsingi makosa madogo kama hayo watu wananonywa nakusamehewa unataka wapelekwe wakarindike makesi huko polisi ndio sawa kwako au .....mnajifanya mnapenda protoco zakijinga hata kwenye vitu vidogo vidogo

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 ปีที่แล้ว +8

    Si tabia njema kbisa hiyo kuzalilisha watu

  • @kiemenasensei2541
    @kiemenasensei2541 3 ปีที่แล้ว +2

    Unaelikea nawewekustafu mzee kunamaisha baada ya kustafu naweweunaelekea huko

  • @dulaabdallarashid
    @dulaabdallarashid 3 ปีที่แล้ว +6

    Mstaafu hoyee😂😂😂😂

  • @yusuphkassimu227
    @yusuphkassimu227 ปีที่แล้ว

    Huyu kamanda mungu anamuona ipo siku atajutia hiki

  • @stn4873
    @stn4873 3 ปีที่แล้ว +1

    We faza ngoja ustaafu.😂😂😂

  • @harunafillipo8584
    @harunafillipo8584 3 ปีที่แล้ว

    Yeye ana kazi elfu kumi kubwa kwa wenzake

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 ปีที่แล้ว +1

    Mengine uonevu bana na kudhalilishana tu. Alafu sio wezi ao .tafuta majambazi .10000 ×30 mshahara wa serikali.mengine hapana mengine ndio.

  • @theantara8931
    @theantara8931 3 ปีที่แล้ว

    Big up Afande tena wakafanye usafi jiji masaa sita

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 3 ปีที่แล้ว +2

    So unawashtaki kwa waandishi wa habari? Kwani kanuni na taratibu za jeshi la polisi zinasemaje unapomkamata mtuhumiwa? Bila shaka ni kumpeleka kituoni kwa mahojiano ikithibitika ametenda kosa anapelekwa mahakamani vinginevyo anaachiwa huru. Lkn si kuwapigisha magoti mbele ya watu, wake zao na watoto wao wakishuhudia, unaturudisha enzi za ukoloni Baba kucharazwa viboko mbele ya familia yake kisa kodi ya kichwa.

  • @teacherchundu4062
    @teacherchundu4062 3 ปีที่แล้ว +10

    IG Siro aliwahi kuwaonya makamanda wa polisi wa mikoa juu ya mambo kama haya.

    • @abeidmasaka6918
      @abeidmasaka6918 3 ปีที่แล้ว +2

      Hili zee halijasikia bado ila litakuja kufukuzwa kaz vbya ..sasa kitu gan iki cha kuwaita waandishi matumiz mabaya ya cheo

    • @teacherchundu4062
      @teacherchundu4062 3 ปีที่แล้ว +2

      @@abeidmasaka6918 Alichokifanya hakitafsiri kuwa yeye na askari wake wanauwezo mkubwa wa kupambana na uhalifu, bali kilichofanyika ni udhalilishaji na aibu kubwa. Mfano : kuna bwana mmoja alijitetea kwamba; yeye yupo safarini akitokea Arusha kuelekea Songea, lakini kamanda huyo alionekana kutomuamini na alimbeza kuwa hakuwa msafiri, jamaa alipoulizwa ticket akaonesha, ndipo kamanda huyo kwa aibu ili isionekane kwenye video, akamuamuru askari mmoja aende faragha na yule msafiri kuhakiki ticket. Kamanda alionekana kufurahishwa sana pale watu wazima walipopiga magoti kwa unyenyekevu kuomba waachiwe, licha ya yeye kutowambia wapige magoti, lakini alipaswa kuwaambia wasimame, baadhi yao walibezwa kwa ukubwa wa matumbo yao na hata vipato vyao vya chini kwa siku.
      NB: Wakati umefika wa IGP Siro kumuhamishia kamanda huyu makao makuu akasome magazeti.

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 3 ปีที่แล้ว

      @@teacherchundu4062 kanikwaza sana baba watu wazima wanapiga magoti kajikuta yeye figo au ini kwamba wasipomwabudu hawataishi tena, uyu baba hajui wajibu wake kabisa anasifa akiona media

    • @teacherchundu4062
      @teacherchundu4062 3 ปีที่แล้ว +1

      @@juliethhouseofdesigns147 Hao ndio huwa wapenda sifa na huharibikiwa uzeeni. Hivi IGP hajaona hii kweli, huyu kamanda ahamishiwe makao makuu akaambulie kupigiwa salute tu.

  • @allysetembo3119
    @allysetembo3119 3 ปีที่แล้ว

    Kuna waziri mmoja wa maliasili aliwapigisha magoti maaskali wa wanyamapori tena wengine kama baba zake sasaivi amebaki na aibu hivi vyeo vya duniani ndio moto wenu mbele ya mungu huu udhalilishaji kabisa hakuna mtu anaependa kukaa bila ya kazi kwa maisha ya sasa amakweli alieshiba hamjui mwenye njaa..

  • @lolanimals7206
    @lolanimals7206 3 ปีที่แล้ว +1

    Afande Bana, Lazima Aongelee Swala La Mwili 😆😆😆

  • @Omary_Mjema
    @Omary_Mjema 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa nacho. Uwezi kujua km akuna mtu mwenye shida

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 3 ปีที่แล้ว +2

    Ha ha ha ha huyu afande hatari jamaa na vitambi vyao ndio kawaweka mbele

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 ปีที่แล้ว

    Muroto umenyanyasa Sana watanzania

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 3 ปีที่แล้ว

    Ivii kikatibaa imeekaje ii kwambaa wa2 awaruhusu kuwaa stend??🤔🤔

  • @habibuhabibuzahoromakamezahoro
    @habibuhabibuzahoromakamezahoro 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu kamanda hafai anawazalilisha hawa watu wawatu

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dingi anadhalilisha watu sana kwann makamera kibao wakat wanawatoto

  • @abdulkhalim5564
    @abdulkhalim5564 3 ปีที่แล้ว +4

    Kamanda kitendo cha kupigisha watu wazima magoti ni unyanyasajii . Umewadhalilisha hao watu na family zao hata wewe umekeuka haki za kibinadamu .

    • @charlesndodi4759
      @charlesndodi4759 3 ปีที่แล้ว

      Na vipi wanavotapeli wazee wetu

    • @abdulkhalim5564
      @abdulkhalim5564 3 ปีที่แล้ว

      @@charlesndodi4759 utapeli nalo nikosa bt afisaa hana haki yakukudhalilisha . Ndio maana kuna mahakama nd u have to know one is not guilty unless proven guilty by the court.

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣naomba kusaini 🤣🤣🤣 watuwazima wanaigopa jela 🤣🤣wanajitetea Kwa dhati wasamehh

    • @godcompeter9844
      @godcompeter9844 3 ปีที่แล้ว +1

      Uyo wa kusaini kesho unamkuta apo

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 ปีที่แล้ว

      @@godcompeter9844 haswaa🤣🤣🤣 hii yote nikwaajilia kujitetea

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 3 ปีที่แล้ว

    Huyu Mzee akistaafu atajuta Wallah

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 3 ปีที่แล้ว +3

    KAZI YA ASKARI POLISI SIO HII HII NI KUTAFUTA KIKI

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 3 ปีที่แล้ว +2

    Muroto safi sana

  • @afredyohana356
    @afredyohana356 3 ปีที่แล้ว +1

    Sifa hizi jamani hii sio sawa kwakweli

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 3 ปีที่แล้ว

    Wameshiba kwelikweli.....

  • @allyduwa9914
    @allyduwa9914 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu kamanda nilikuwa cmjui nimemuona leo live hapa dodoma ukweli kwa kitendo hiki sisi kma watanzania atuwezu kukubalia ana nae kazi akuna mji kma dodoma akuna kiwanda wala nini kazi unapataje kwa mfano kamanda nchii yetu sote cheo dhamana tyuu

  • @jusilinantony8702
    @jusilinantony8702 3 ปีที่แล้ว +2

    Nani aliye muona asikali jeshi msitaafu hajapiga magoti apige like hapa

  • @tambwewilfred622
    @tambwewilfred622 3 ปีที่แล้ว +3

    UDHALILISHAJI MKUBWA,
    HAO WATU WANAFAMILIA ZAO, KWANINI WADHALILISHWE?

  • @rechomc220
    @rechomc220 3 ปีที่แล้ว +1

    Kah mume wangu yuleeeee kapga magoti....dah ndo anaenda kulimaaaaaaa

  • @kitasyajohn9592
    @kitasyajohn9592 3 ปีที่แล้ว +3

    Muroto anadharau Sana mngese huyu yaani huyu anadharau na Domo lake anawaona wenzake ni kinyesi

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 3 ปีที่แล้ว +2

    Akitafuta hta kidogo Kwani wameiba? Mpe kazi jaman

  • @johnmgodi7545
    @johnmgodi7545 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu kamanda mbona hana point ya msingi anapenda kuhuza sura kwenye camera bt hakuna inshu ya maana.. sa mambo ya mwili mkubwa mambo ya mtu kutafuta elfu kumi mwili mkubwa yanakujaje!! au mroto bange zimekuzidi🚶🚶

  • @detectivejeffrey6401
    @detectivejeffrey6401 3 ปีที่แล้ว

    Sijapenda

  • @omarinyero3689
    @omarinyero3689 3 ปีที่แล้ว

    Wajanja wa mjini ao wavivu sukuma ndani kamanda matapeli ao wafundishe kaz kamanda

  • @facebmzeewakimba1546
    @facebmzeewakimba1546 3 ปีที่แล้ว +1

    Udharilishaji

  • @mohamedmohamed614
    @mohamedmohamed614 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi yako mzee ni kudhalilisha watu wazima na kwaonesha kwenye tv

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 ปีที่แล้ว

      Jamani kwani wamefanya nin

  • @stephanothebig6940
    @stephanothebig6940 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee ni mzalilishaji, anapenda sana kutumia mitandao kudhalilisha watu.

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @goodlife6725
    @goodlife6725 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii naomba iwe nje mzima maana inakua kero kW kwl

  • @novathkavishe8420
    @novathkavishe8420 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanajieleza vizur t lakin huyu s mwilewa