WALIOKUWA KWENYE MASOMO ISRAEL WAELEZA WAZI YALIYOWAKUTA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Vijana kutoka vyuo mbalimbali vya kilimo na ufugaji waliokuwa nchini Israel warejea nchini Tanzania wakielezea changamoto na waliyojifunza
HAKIKISHA UNASUBSCRIBE CHANEL HII NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
Ushoga jee hamukujifunza
🎉🎉🎉
Karibuni Tanzania
Hongera sana sr pamoja na wanafunzi wenzio hongereni sana na karibuni
Hongeraa sanaaa sr karibu tena nyumbanii❤
Hongera sana Sr na karibu nyumbani
Hongereni Kwa kurudi salama na kupanua Ugo Kwa kilimo Colu hatutakufa njaa
Safi sana ,karibu nyumbani
Bora ulivyorudi kwa mziki huu ni hatari sana hakufai
Ni furaha kubwa jamani ndugu zetu, tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu, Sr.wetu karibu sana. Tumekumisi na tunahamu ya kujifunza kwako na kuongeza ufanisi wa kilimo.
Karibu sana Mdogo wangu
Hongera mdogo wetu karibu mnomno nyumbani
Hongereni Sana Na karibuni Sana Tanzania.
Homgera sana
Hongereni sana vijana wetu
Vipi kuhusu mwenzenu alokwenda kusoma kilimo na hatimae akafa akiwa mikononi mwa hamas akiwa amevalia gwanda za jeshi la izrael
Katibuni tena Tanzania hakika Mungu ni mwema
Karibuni tena Tanzania 🇹🇿
We dada ulikua masomoni au utumwani?
Hongera bega na tunashukuru Mungu kwa kuwarejesha salama
Kwahiyo walikuwa wafanyakazi sio wanafunzi.
Kutoka chuo cha Kilimo na mifugo KILACHA - KILIMANJARO
Dada wewe mkweli makanisa yashida alipo zaliwa yesu
Fundisheni wananzi toka lzrael sababu hali inaenda kuwa mbaya zaidi ndani ya lzrael na Lebanon hisbala wanekataa kusitisha mashambulizi ya silaa ya kati bado silaa nzito hisbala hawajaanaza kutumia wanaweka pressure kwa lzrael kuacha vita Gaza ilishindikana wataanz kujibishana kwa silaa nzito nzito bande zote mbili
Hongereni sana wapendwa wetu kwa kutuwakilisha vema nchini Israel Mungu mkuu.
Kumbe Israel co nchi ya kikatorik duuuh na wale wanaoisema nchi takatifu au teule wanamaanisha nn, niulize tena yesu alikua mkatoliki au msabato?
Yesu alikua muislam
Hongereni sana vijana wetu