SITOISAHAU DAR: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2023

ความคิดเห็น • 23

  • @zainabukhamis3667
    @zainabukhamis3667 ปีที่แล้ว +1

    SubuanaAllah Allah(s.w) atuepushe n maswahib machafu na yasiofaa yaliokinyume na Mwenyezimungu Amina lnshaAllah

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 4 หลายเดือนก่อน

    Vijana wawe waelewa jamn ,, tamaaa mbaya sana,, mjizuie raha ya skumoja tu unajuta maisha yote

  • @user-yn3fo3wr9d
    @user-yn3fo3wr9d ปีที่แล้ว +1

    Mungu atupe subila pia atuepushe na tama

  • @katotokazuri7412
    @katotokazuri7412 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu uwiiiii,, nimetamani kumwambia boss anikatie tiketi nirudi nyumbani mie duh.

  • @user-qw7un1nf2f
    @user-qw7un1nf2f ปีที่แล้ว +1

    Shukran jazira Allah akuzidishie Kira lakheri tuzidi kupata raha

  • @user-qw7un1nf2f
    @user-qw7un1nf2f ปีที่แล้ว +3

    Hii njia sio sahil ila watu wanapendaaa sana Allah tuepushe

  • @laylasaid8406
    @laylasaid8406 ปีที่แล้ว +1

    Inalilahi wainaillah Rajiun Allah atujaalie mwesho mwama HAKI NIMUTIHANI JUU YA MITIHANI 😢😢😢 YANI NIMAJUTO 2😭😭

  • @CynthiaMmbone-yo8jv
    @CynthiaMmbone-yo8jv หลายเดือนก่อน

    Yani nimeogopa sana mungu atuongoze jamani

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters ปีที่แล้ว +3

    Yaani inahuzunisha sana.Allah atupe mwisho mwema yarabii🤲🤲🤲 sisi kama vijana tujitunze na tutunze wazazi wetu sio tuende kwenye mizunguko yetu mwisho tunawarundia wazazi wetu tukiwa maiti inayo tembea.asante sana kaka mkubwa

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa simulizi nzuri

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว

    Asante kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo kemkem

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 11 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa simulizi tamu

  • @mussahassan3961
    @mussahassan3961 ปีที่แล้ว +2

    Edgar mbogo mbona amepowa

  • @user-cb7tb8rj5w
    @user-cb7tb8rj5w 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @RoseNillan-ns1dg
    @RoseNillan-ns1dg ปีที่แล้ว

    Wa nne leo 🎉🎉🎉

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 ปีที่แล้ว

    🙏🙏pole ka

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว

    Duuuh niheri kukataana na mapenzi yasio sahihi kama Vivian maana vishawishi hivi huwa vinasababishwa na kuwasikiliza marafiki wabaya ambao huwa hawajalishwi na kuutunza utu ila mwisho wake unakuwa mateso

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว

    We Endelea Kulala 2

  • @RubySamuel-rt8ln
    @RubySamuel-rt8ln ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s ปีที่แล้ว

    Duuuh MUNGU aturehemu huku tykiachana na tania mbovu za kubishana na yale yasio ya asili

  • @user-qw7un1nf2f
    @user-qw7un1nf2f ปีที่แล้ว +1

    Njieee😂😂 nimecheka kwa herufi kubwa aowi mwanamke asie na malinda jamani tubaki njia kuu

  • @user-zy8do6mv2c
    @user-zy8do6mv2c ปีที่แล้ว

    Mke wa mtu smu tambua hakuna Cha kutegwa Wala kushawishiwa