NANI ALAUMIWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2022

ความคิดเห็น • 39

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nice ❤❤❤❤❤

  • @mwakilulelefrancis280
    @mwakilulelefrancis280 ปีที่แล้ว

    Simulizi nzuri Sana nimejifunza kuwa na subila mungu NDIE mpangaji wa yote

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว

    Asante kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo amakweli sikuzote heri shetani umjuaye kuliko malaika usiye mjua

  • @bashirimaketa3559
    @bashirimaketa3559 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂 Anko j ee nimekukubali broo, hakik unakipaji cha pekee cha usimuliaji.🔥🔥🔥

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan anko jay kwa simulizi nc job 🥰🥰anko jay mwenyewe

  • @Adonai810
    @Adonai810 ปีที่แล้ว +2

    ANKO ANKO IS BACK NO.YEASSSS🔥🔥🔥🔥

  • @aishawhite1107
    @aishawhite1107 ปีที่แล้ว +4

    Nilikuwa na mahusiano na kijana momja miez 8 si kumjua njina mpaka tukaachana 🤣🤣🤣🤣Yaan ni my my

  • @vero756
    @vero756 ปีที่แล้ว

    Hawa watoto watatuonyesha mambo miezi kama tatu nyuma kuna hyu mtoto wa hapa wa miaka tisa sijui ni ile nn ama ni nini ila kaliniogelesha kama vile tuko umri mmoja 🤭🤭ila nilijisahau nilikazamba kofi kama kitu kitakufa kiliwe🤭🤭lakini hakakusema juu kalijua kanakosa ila tayari nilinaswa 🤣🤣🤣.asante sana Hans ♥ ft anko

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha style popo kanyia mbingu tyeena

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว

    Anko jay your always best da hija nairobi💯❤️❤️❤️

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 ปีที่แล้ว

    Thanks soo much Mr.Hans kwa kazi nzur nisomo zur na tunajielimisha kwa kuburudishwa na Mr .Anko J anatuchombeza tu 🥰🥰🙏

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 ปีที่แล้ว

    Waooo niliimis hii saut shukran

  • @bashirimaketa3559
    @bashirimaketa3559 ปีที่แล้ว

    🙏🏻san bro kwa mzigo mpya

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 ปีที่แล้ว

    Asante sana my brother from another mother

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว

    Jamila rafiki mpotoshaji sana

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂Anko kwani we mpemba maan hivo unavoongea hdi raha

  • @sumaiyyamathei8855
    @sumaiyyamathei8855 ปีที่แล้ว

    😘😘😘

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 ปีที่แล้ว

    Anko bhna eti mtajijua wenyewe

  • @Esther-gn1lt
    @Esther-gn1lt ปีที่แล้ว

    Hasira hasara na pia tuwe na subira kwa kila kitu

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 ปีที่แล้ว

    Asante sana,wakulaumiwa ni jonson na moza

  • @bcutezxz9696
    @bcutezxz9696 ปีที่แล้ว

    Uso wa Mbuzi 😁

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว

    Inauma jamani
    Mashoga hawa siwataki kabisa

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 ปีที่แล้ว

    Siangemwambia baba alikuwa mwanajeshi alifia vitani Burundi au huko yukren ,urusi,. Kwanza mtoto mwenyewe mdogo mno kuhoji habari za babake, story haina uhalisia

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 ปีที่แล้ว

    Poa saaana thanks smix

  • @annasituma8810
    @annasituma8810 ปีที่แล้ว

    Pamoja kaka

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 ปีที่แล้ว

    Singo madhaaa😂😂😂😂

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 ปีที่แล้ว

    Tutazijua wenyew

  • @latifaabdillahi199
    @latifaabdillahi199 ปีที่แล้ว

    Anko j anakipaji jamani sichoki kumsikiliza

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 ปีที่แล้ว

    Tunakiwa tuwe na subra kwa kila jambo

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 ปีที่แล้ว

    To be continued

  • @loisebasilica7506
    @loisebasilica7506 ปีที่แล้ว

    Usiwe mtu wakufwa ushauri mbaya

  • @safiyaahmed5570
    @safiyaahmed5570 ปีที่แล้ว +1

    simulizi