Gosugosu jamaa yangu sana nipo naye Tunduma kaja kunisalimia. Rubbie yeye yupo Mbeya leo. Kesho asubuhi tutaungana naye kwenda Matema Beach Kyela. Jamani siku moja twende sehemu tuenjoy pamoja Smix family
Heeeeee jaman nilikumiss felix ulikua kimya sana naskia sauti za wenzako tu mwanangu ulikua wapi nawewe kipindi chote hicho asante km upo 😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Napenda kuskiza ukisimulia unasimulia vizuri mnooo na saut yako ila sijui unapoteleaga wapi jmniiiiiiiiii 😢😢😢 plz usitufanyie ivyo shabiki zako alaf kwa maon tu unafit ukileta simuliz za kichawi yan za kutishaa😅😅
Wa kwanzaaaa
Gosugosu jamaa yangu sana nipo naye Tunduma kaja kunisalimia. Rubbie yeye yupo Mbeya leo. Kesho asubuhi tutaungana naye kwenda Matema Beach Kyela.
Jamani siku moja twende sehemu tuenjoy pamoja Smix family
Jamani nilipo isikia hii sauti nikatabasabu sasa nagundua nilikumiss sana Mwenda
Waah kitu kingine kipyaa ndani ya mda tulikumiss kaka Felix mwenda 👊👊
Waooo Asante sama
Hatimae hamniachi😂😂
Alooo i miss you more where have you been my dear❤🎉
@@Pretty22750 I am there , my der,, but work is making me a little tired
@@theopisterjovent3483 work hard mommy the time will come and you'll get your own rest ❤️❤️
Asanteeee sana
Kaka Felix napenda venye unasimulia simulizi zako hongera sana.Good work❤❤
Kvumb Leo hay ahxanten studio japo nna vporo ❤❤❤❤❤
Safy mpya hio tuanze nayo
Jmn naombeni like namm nione huwa wanafaidika nini
Kitu kipya hicho simulizi mix Asanteni sana achaa nisikilize kwanza ❤❤❤❤❤❤
Hatimae gosugosu ndani ya mjengoo miss sana
😂😂😂😂alf mbona najaribu kuwaonya kuhusiana na hili jina jomoni jomoni sijui nipige kelele vp 😂😂😂
@@Pretty22750 jina gani tena jaman 😅😅😅😅
Jomoniii🤣🤣🤣
@@tatoo0098 alaaar weee Bora mniachie papii wangu 🤦🤦🤦
Our Mathayo is back
Nawezaje kujiunga ndan ya group hili mix story
Kaka philexy kwani Edgar mbogo Allendale wapi tumemiss simulizi zake 😢😢😢
Wow...vtu zangu izo anything abt matayo ,gosugosu and rubi nko ndani
Wow 🎉🎉nimeingojea sana
Thnx big Felix ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Ooooh my Felix mwenda❤❤❤
Twashukuru Kwa simuliz nyingine tena❤❤
Tupo ndani boss
Rwanda na Burundi tumo ndani yaramani y’a mr Pck and Fm 🔥🔥👌
Shukran Sanaa
Wafuasi wa simuliz mix tuendelee kusikiliza jamani
😂😂😂 umenichekesha eti wafuasi
Wow!! Mpya Tena, ahsante bro CK n son Felix
Matayo mlumbi wa mpango maalum 😂
Jina kubwa hilo 😅wafuasi ni wale ambao haijalishi nikitu gani kinaachwa hewani sisi ndani tu kwa roho moja😅😅
Hiyo imeenda hivyo ❤❤🎉🎉
Waooooooooh Mathayo Mulumbi Again uhuuuuuu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤🎉
Timu Matayo wamenifanya nipende simulizi za kijasusi❤
Karibu sana
❤❤❤
Gusugusu😅mwenye uwezo wa kudaka risasi kwa mkono😂😂😂😂
Asante sana by felix 🥰🥰🥰🥰tuko pamoja nanyi
🎉🎉🎉🎉🎉
Matayo tena mambo ni moto njooni wapenzi mambo yameivauku
Tushafika japo kwa kuchelewa 😂
😋😍😍❤️
One million dollar voice❤🫶🙌fm
Jaman niliwamiss mathayo papi na ruby😅
Kitu hicho
Bado chuma chamoto aisee
Jamani simulizi hizi za patric ck awe anasimulia d Oen hizi ndo kazi zake zinamfa hasahasa za Matayo mulumbi
Yap yap ausio kibamba kpmya Safi Sana Kwa mtunzi pamoja msimulizi
Watu watu mulikuwa munaisubiri kweli watu wamejaa humu
Mulumbi again ssa twende kaAzi
shukran kaka felix
❤❤❤❤❤🎉
🔥🔥🔥🔥
Yaan when my brooo edga miss missing ❤❤❤🎉🎉
🎉🎉🎉🎉❤❤
Aaayiii Matayo every time
Wale mwenzangu na mm ambao wakisikia saut ya flex lazima wafuatilie tujuen
Rubi Rafael and papyeeee gosugusu
Jamniii jamniiii alikua nataman saut ya felix ikisimulia simuliz ya patric jmn😢 asante sana tumemiss na kalomooo😢
🤣🤣🤣🤣 haki ww
Mh hv kweli Kalomo s alikuwa anatunga Mbogo sjui atakuwa wapi sku nyingi sjaona uttunzi wake
@@peninamwailunda8813 kalewa madaraka lkn watu wakubwa wale hujui anatayarisha nn tukaetu mkao wakula akija hapa hapatoshi 😅😅🤣🤣
Felix mwenda itabidi uwe na channel yako ya TH-cam
Kweli mumepangisha youtube haki 😂😂 yani kitu mjengoni nyie tayari hata hamuiti majirani jamani😂😂😂
Pambana 😂😂😂😂
Welcome Felix
Kitu kipya hiki na matayo yuko ndani
Nimerudi tena
Heeeeee jaman nilikumiss felix ulikua kimya sana naskia sauti za wenzako tu mwanangu ulikua wapi nawewe kipindi chote hicho asante km upo 😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Jaman mbn tumetoka kumaliza kitu juz tu nilikufa nimuokoe rais
@@skygold6837 kwani naile ya felix kumbee 🤔mie sijaiskiliza naionatu
Ni yake dear we iskilize
@@skygold6837 usijali kipenzi nitaiskiliza maana napenda sana simulizi zake
Kwani jamani si mtafute majina mengine inaboa🤔
Nice
Wat hamchelew 😂😂😂😂😂
waaaaaahhh we are here again,,guys let's goooooo
Napenda kuskiza ukisimulia unasimulia vizuri mnooo na saut yako ila sijui unapoteleaga wapi jmniiiiiiiiii 😢😢😢 plz usitufanyie ivyo shabiki zako alaf kwa maon tu unafit ukileta simuliz za kichawi yan za kutishaa😅😅
Asate sana simlizi mix d oen
Tupo huku tena😂😂😂😂😂
Kitu kipya
Kumekucha mambo ni moto jamani
asante sana jaman mathayo gusuguso rubi aki na wapenda smuliz haichoshi ❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
Itokee siku moja Mathayo amuoe Rubi
Hahahaha
@@donaldchacha vipi kaka nimechemka nini 😂😂😂😂😂😂😂😂
@@salehaliy7198 labda waoane mwenye simulizi humus itapendeza ila kazi haitafanyika tena kama mwanzo
Mathayo anatekwa kizembe hivyo!! wangetaka kumuua si tungemkosa? huo ushajaa wake uko wapi?
Tuko pamoja