MTEGO UMEMNASA MAKAME NUHUSI - NDOA YA MKEKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มี.ค. 2021
  • #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
    MTEGO UMEMNASA MAKAME NUHUSI - NDO YA MKEKA
    Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
    Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
    Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
    +255 777 001500
  • ตลก

ความคิดเห็น • 70

  • @saidhija6333
    @saidhija6333 ปีที่แล้ว

    Makameeee amenasa kwenye mtego

  • @ibrayomapenzi7048
    @ibrayomapenzi7048 3 ปีที่แล้ว +3

    Naamin mutafika mbali wasokupenden kazi kwao

  • @ahmadomar2711
    @ahmadomar2711 3 ปีที่แล้ว +2

    i love maana chemistry

  • @mussamc641
    @mussamc641 ปีที่แล้ว

    Da uyu dem kajua asa kuect ushamba .😂😂😂😂😂 hongera dada

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว

    Kwa huyo kombo kichwa mi hata nsingeleta utata maana akikupaga kichwa umeisha😅

  • @haithamjuma2472
    @haithamjuma2472 2 ปีที่แล้ว

    Umetisha Makame noma sana

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 ปีที่แล้ว

    Toba roho yangu inanikumbusha mbali sana😄😅😀😁😂🤣😃

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaaaa makame c m2 mzur

  • @binrashid1638
    @binrashid1638 3 ปีที่แล้ว +1

    Alosikia ata watu cjaalika bac uyo ni mfatiliaji mzur

  • @is-mailh.makame5420
    @is-mailh.makame5420 3 ปีที่แล้ว

    I Love u .... Ni chemistry tu hiyo

  • @zainabally9283
    @zainabally9283 3 ปีที่แล้ว +3

    I love you manake chemistry😂😂😂

  • @simonkaggwanjala9597
    @simonkaggwanjala9597 3 ปีที่แล้ว +2

    Nikukumbuke kwan ww baba wa taifaa😂😂😂😂

  • @jassysavage4718
    @jassysavage4718 3 ปีที่แล้ว +1

    Napata motivation ya kuficha Zanzibar

  • @shariffaabdalla2170
    @shariffaabdalla2170 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwarabu wa pikii😂😂😂

  • @ibrahimhussein9727
    @ibrahimhussein9727 3 ปีที่แล้ว

    Haaahh on fire😁😁😁😁

  • @PiliFaki-dq8oj
    @PiliFaki-dq8oj 2 หลายเดือนก่อน

    0:45

  • @bablee828
    @bablee828 3 ปีที่แล้ว +1

    Hah😂😂😂😂 makame i love you

  • @faimayiddy7816
    @faimayiddy7816 3 ปีที่แล้ว

    Makameh washa umeme

  • @abdulfirstzanzibar4599
    @abdulfirstzanzibar4599 2 ปีที่แล้ว

    Iloveyou

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 ปีที่แล้ว

    😂😃😆😀🤣 Eti maana yake chemistry mbavu zangu mie

  • @ibrayomapenzi7048
    @ibrayomapenzi7048 3 ปีที่แล้ว

    makame bwana 😄😄😄😄goood

  • @abdulhamididarouss8422
    @abdulhamididarouss8422 3 ปีที่แล้ว +1

    Hichi ndio kipemba sasa 😆

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln ปีที่แล้ว

      Hicho cha micheweni wete au chake hawaongei kama hivo

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 ปีที่แล้ว

    Wema makame muarabu wapiki tena haaaaaa

  • @ibrayomapenzi7048
    @ibrayomapenzi7048 3 ปีที่แล้ว

    ishallah

  • @mudathirmkubwamselem5650
    @mudathirmkubwamselem5650 3 ปีที่แล้ว +1

    Muarabu wakipemba

  • @ali_ford
    @ali_ford 3 ปีที่แล้ว +15

    wallah hio neno i lov u linanikumbusha mbali sana kuna mwaka nilitembelea pemba maeneo ya mitamani bac karibia sala ya maghrib watoto wanarudi skuli nipo njiani nachuma embe zipo chini chini kw mkono tu nipo na wenyeji wang bac akapita mwanafunzi wa kike nikaona ananiangalia sn labd nikahis anataka embe nikamwambia njoo uchukue hi apa bac akanijibu mbele za watu sitakii wataka kunambia i lov u haha.nilicheka adi nikakalia mavi ya ngombe nikarudi nilishindwa kusali hahaha ah hatar 🤣😅😂

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbavuzanguuu wee hahahahaaa
      Kakuogopa mtt alifkir kitangi jmn na mm umenichekesha doooh umepata thawabu kunitia furaha sasahv na story yako

    • @mamymamy7938
      @mamymamy7938 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

    • @sharifahatibu6204
      @sharifahatibu6204 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahha😂😂 pole

    • @nannakhamis5350
      @nannakhamis5350 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @habibahussein1664
      @habibahussein1664 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Mau ni khatari na nusu

  • @matarashidi9126
    @matarashidi9126 3 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaaa makame anamistar ya kweli bhn

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 3 ปีที่แล้ว

    hhhhhhhhh ilov chem

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 ปีที่แล้ว

    Fundi wazidi chafukwa ila juzi ulizingua wanrandisha nze chilo kwamiguu

  • @allyhaji3616
    @allyhaji3616 3 ปีที่แล้ว

    I love you 😂😂😂😂

  • @abubakaromar1301
    @abubakaromar1301 3 ปีที่แล้ว

    Oy mau nahitaj namb yk

  • @ashuramustafa7459
    @ashuramustafa7459 3 ปีที่แล้ว

    Chamkeka 😂😂😂

  • @mustafaxhaka7310
    @mustafaxhaka7310 3 ปีที่แล้ว

    Makame nukus

  • @jumahamad6862
    @jumahamad6862 3 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁 huwowi kwakuwa huajalika watu duu

  • @jassysavage4718
    @jassysavage4718 3 ปีที่แล้ว

    I love you ni chemistry

  • @tour_guide_momba_zanzibar
    @tour_guide_momba_zanzibar 3 ปีที่แล้ว

    Vyumba 130 Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @sumaisabu9816
    @sumaisabu9816 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaaah

  • @hasnuuahmed9834
    @hasnuuahmed9834 3 ปีที่แล้ว

    Hhhh ety muarabu wa pemba

  • @fahadkhamisi3061
    @fahadkhamisi3061 3 ปีที่แล้ว

    Makame 😂😂😂😂😂😂😂

  • @saidmuhd611
    @saidmuhd611 3 ปีที่แล้ว

    Nyumba vymba 300, ha hupotei 🤣🤣🤣

  • @mwanambarouk2486
    @mwanambarouk2486 3 ปีที่แล้ว

    et ilov

  • @makamenuhusi1448
    @makamenuhusi1448 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @fahdialiy8170
    @fahdialiy8170 3 ปีที่แล้ว

    Utaoaa

  • @ibrahimhussein9727
    @ibrahimhussein9727 3 ปีที่แล้ว

    Mpaka hesabu imo???😂😂😂😂

  • @hajramcha30
    @hajramcha30 3 ปีที่แล้ว

    Hahahhahahahaha ha

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣makame

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaha hahahaha

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 ปีที่แล้ว

    😄😄😄

  • @swafiyyasuleyman3924
    @swafiyyasuleyman3924 3 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁

  • @zainabally9283
    @zainabally9283 3 ปีที่แล้ว

    Tena muarabu wa piki😂

  • @sharifahatibu6204
    @sharifahatibu6204 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂