And he says Konde gang for everybody 😍 😍 I love you Konde boy, all the best surprise them with new things in different way let them talk, you've got big things on your way #you are a big deal
Harmonize is unstoppable. What’s bizarre is, he’s sound exactly like Diamond. If he doesn’t shout-out his signature Konde boy, I could easily mistake him for his former boss.
Wasiyo tupenda kazi wanayo. Konde Gang for every body Every body oyahhhhhh. Walisema utapoteya but not the case bro mimi ni jeshi lako for ever.... just wanna thank God for bringing Simba in to your life so that we could see how talented you are. Best fan from 🇨🇩 in 🇨🇦
Always appreciate the ones who brought you up when you were down, "peace kwa walonileta mujini mondi wa tandale".... kenyan bae loving the music all time
Kushoto kulia Kushoto Kulia (Yeshi) Kushoto Kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga KondeBoy for everybody My music dey shake your body Eeh coz I do this for my people I wanna hear you sing tala lala Kikando kinanigadi Nafasi naongeza idadi Saluti kwa wanangu wa ghetto Segelea Okonga gwala gwala Wasonipenda kazi wanayo Eeeh kazi wanayo Mie sipigi genga pesa ninayo Eeeh pesa ninayo Tunatia chenga wanafuata nyayo Eeeh wanafuata nyayo Tunapiga denda wanapiga miayo Eeeh wanapiga miayo We kesha kwa waganganga Mwenzako najichanganganga Nazisanya faranganganga Nikipata natumia maduwoteru Ruksa nipanganga Napendaga vicheni vishanganganga Na uturi wa kanganganga Hakikisha unanukia Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh I say Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Wanaotaka shindana na mimi Hawapati hata sare Usishangae tattoo na vipini Ni makonde chale Peace kwa walonileta mjini Mondi wa Tandale Maneno majungu tupa chini Muziki utawale Kama nyapara kafunguliwa pingu wee Kutwa tunachana mawingu wee Ameshapanga wewe ni nani upangue Unajitesa buree(Yii Aga) We kesha kwa waganganga Mwenzako najichanganganga Nazisanya faranganganga Nikipata natumia Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga
Harmonize you’re a great talent and I understand you left wasafi but you guys were unbeatable there you, Diamond and Rayvanny but life goes on and good luck in your new endeavors, Cheers.
I don't think kama pointi ilikua ni kuiga video because it's so obvious ameiga kila kitu ila msg kwenye hii video ni kwa mondi kwamba he knows mbinu zote za mondi na haogopi kupambana nae
Peace kwa Yule alie Nileta Mjini Monde wa Tande (Diamond platinum Chibu wa Wasafiiiiiii) Nice He STILL Respect The one who pick him from NOTHING to where he is today.Big Respect to Chibu Dangote Diamond Platinum wafasiiiiiiiii for Life
Big up Congo tunakupenda 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Akili ukasha ,,,UKOSEMU,GANIKAKABUKUKONGO,
@@lukmanally5328 Congo ya Goma
Harmonize kajipanga, huyu si kama kiba! Anaijua hii ligi vizuri sababu ni wa kule kule 🔥🔥🔥 wasimchukulie poa
Kiba anahusika na nini hapa wacha roho wote ni wasanii na kila mtu anapata riziki yake..
Julius Mkwiji Nakubali bro
We jamaa unaelewa vzr hii game
Kabisa
Babu Tale na Salam wamefungwa magunia hata hawana pakuhemea!
😂😂😂😂😂👏👏👏
kushoto kuliaaaaa,, noma sanaaa!!!!
Dayyyyyyyyyyyym MashaAllah usicheze na jembe litakulima.... Man keep doing your thing unstoppable uko juu
Is anyone looking for 2025 🇸🇴❤
❤❤waryaaa
@nawaalali9715 hee 😂😩
Muusow is deji wali mala Gaarinee😅😅
😂😂😂😂
@@abdiraxiinyuusuf1865 muuse adunka kadanbesa
And he says Konde gang for everybody 😍 😍 I love you Konde boy, all the best surprise them with new things in different way let them talk, you've got big things on your way #you are a big deal
Jeshiiiii
Love mingimingi jeshi❤❤
@@mymunamymuna4807 kabisa
@@mymunamymuna4807 #100%
Hapa harmonize alikua anaimba..
sana angeendelea ivi mond hangepata pa kupumulia
Saiviii anafanyaj😅😅
Jeshiiiii
Tunakukubali 100%
Waiokupenda kazi wanao kabisa!!!!!!
Jaman gongeni like majeshi wotee wote
Kama wewe ni m Congo gonga hapa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏🙏
Nimekuja wa mwisho lakn huyu msee do baba lao....diamond anajichosha bura....wapiiii likes za konde boy ...BABA LAO
kama we uko kenya na msomali🇸🇴🇸🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍
wll afsomali ma taqana neh😂
Wlshey tuko nyingi hapa 😂😂
Harmonize is unstoppable. What’s bizarre is, he’s sound exactly like Diamond. If he doesn’t shout-out his signature Konde boy, I could easily mistake him for his former boss.
Kam upo makin kam mim sema jeshi gang kisha gonga like yako kam wew team jeshi
ARviyusomaji
Peace kwa alonileta mujini.. MONDI wa TANDALE.. maneno majungu tupa chini muziki utawaale.. 🙏
Hapo amehimba KIUME
MONDI WA TANDALE
Safi sana mwanangu Harmonize Team Simba WCB 🇹🇿 tuko nyuma yako mtoto wetu
Haswaaa majungu tupa burudani itawale hakika we nikichwa
Hapo nimemheshimu Harmonize kwa kumheshimu aliyemleta mjini 💓
POLE si ''peace'' ni "P square''
@@sourcecodemaster3366 wewe unasikiza the wrong song
Konde##########kibao we ndo kusema mzee
“peace kwa walionileta mujini mondi wa tandale” hajasahau alipotoka👏👏👏
*Who else watching while reading comments kama mimi mikono juu 🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇬🇸🇴🇸🇴🇰🇪🇰🇪🔥🔥✔✔ Approved*
Weka like kama harmonize ameweza💯🔥🔥
Namkubali sana Jeshi
oyo nipe like na mimi jmani kama konde gangi wenzangu😀😀😀😀😀😍😍😍🤪🤪🤪🤪
Kondo boy ni maajabu yani tangu kutoka wasafi🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤
Konde boy king of bongo flavor
Kupata like ni baati kabisa. Wanakuja ku comment nyuma yng ila wanajaza malikes kibao mimi hata kumi sifiki
King konde boy
Wewe tena nakukubali sana
"Wasiokupenda Kazi wanayo"
KONDEGANG4EVERYBODY 💥💥
Kanyaga wa diamond imehusika
From+254🤸♂️🇰🇪 wapi likes kushoto kulia
Kama wewe umerudia kuangalia zaidi ya mara mbili gonga like for me 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Damn hii video haijawahikuotomea Tanzania never ever hanscana Ndio mwalimwao
Kahup
70
Konde boy kiboko yani akazane iko nyota ya mziki
Wasiyo tupenda kazi wanayo. Konde Gang for every body Every body oyahhhhhh. Walisema utapoteya but not the case bro mimi ni jeshi lako for ever.... just wanna thank God for bringing Simba in to your life so that we could see how talented you are. Best fan from 🇨🇩 in 🇨🇦
KONDE BOOOOOOOOOOY
nami nipeni like hata 5 jamani
Wazi wasio kupenda kazi wanayo
jamani I was the first one to view...leo nipeani likes zangu
Uongo zambiiii hiii video ni nouma kwel kwel hongra kaka umeweza blessed
Keeeeenyaaaaaaa tumepanda si munipe likes Kama muna penda harmo
Always appreciate the ones who brought you up when you were down, "peace kwa walonileta mujini mondi wa tandale".... kenyan bae loving the music all time
Elewa ngoma, hyo si appreciation sister!
@@chiraghdinlilanka7280 sielewi kiswahili mingi lakini iyo part nimeshika vizuri, PEACE, kwa walonileta mujini
Kushoto kulia Kushoto Kulia (Yeshi)
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga
Kushoto kulia Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga
KondeBoy for everybody
My music dey shake your body Eeh
coz I do this for my people
I wanna hear you sing tala lala
Kikando kinanigadi
Nafasi naongeza idadi
Saluti kwa wanangu wa ghetto
Segelea Okonga gwala gwala
Wasonipenda kazi wanayo
Eeeh kazi wanayo
Mie sipigi genga pesa ninayo
Eeeh pesa ninayo
Tunatia chenga wanafuata nyayo
Eeeh wanafuata nyayo
Tunapiga denda
wanapiga miayo Eeeh wanapiga miayo
We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga
Nikipata natumia maduwoteru
Ruksa nipanganga
Napendaga vicheni vishanganganga
Na uturi wa kanganganga
Hakikisha unanukia
Kushoto kulia Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga
Kushoto kulia Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga
Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh
Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh
I say Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh
Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh
Wanaotaka shindana na mimi
Hawapati hata sare
Usishangae tattoo na vipini
Ni makonde chale
Peace kwa walonileta mjini
Mondi wa Tandale
Maneno majungu tupa chini
Muziki utawale
Kama nyapara kafunguliwa pingu wee
Kutwa tunachana mawingu wee
Ameshapanga wewe ni nani upangue
Unajitesa buree(Yii Aga)
We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga
Nikipata natumia
Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga
Konde boy enjoying your cool talent from SOMALIA 🇸🇴 much love toTanganyika
Warya😂
@@AJS613M àààaaaaàaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaàaaaaaaaa
I love you soomali 🇸🇴
Hhh
We are Tanzanian by then
Ameshapanga we nl nani upangue 🔥🔥 KONDEBOY for everybody kama umerudi hi ngoma hata mara moja weka like tujuane tukisonga 👇👇
Alie sikia alie mleta mjini mondi wa tandale gonga like 🤣
@@mustaphamwite8027 😂😂
2:16 mondi wa tandale 👏👏👏 you so humble good bless u ur the best leader #kushoto kulia ni fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
download
downward
music
Wasiompenda harmonize kazi wanayo 😂😂😂😂👍
hii ngoma bad inanipaga laah sana nikiisiliza2 mpaka Sasa kond boy salut kwako
Tutakao rudi baada ya kufikisha viewers 3M tujuane kwa like
Tunapiga chenga wanafuata nyao tunapiga denda wanapiga miayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 from 254 konde geng for everybody 💪💪💪💪💪
Nakubli kk
❤
Waka waka
Kama wewe uko number one fans piga likes 👍👍👍
Love you so much konyboy (harmonaize)
I am from eritrean 🇪🇷🎈
👇👇👇
2024 mko wap leo tulio ludi kuangalia ❤❤❤
Hanscana nimekuvulia kofia.. Acha na yule wanayembusti na vivideo vya ajabu... salute hii video umeua
Noma sana
Kwl kk
Kenny?? Hawambust juhudi binafsi kazi nzuri..
bwana uwe mkeli video mbovu matukio kafeli kupangilia ovyo kabisaa ila ushabiki unauweka mbele sana
Oya harmonize I love you song like 🇪🇹
🇯🇲🇰🇪ilove Esat afirca iko poa music yako simba
But you forget somalia🇸🇴🇸🇴
Hivi wanaoomba like wanazipeleka wapi mi nipeni 2 tu
Nawewe unazipeleka wapi
Hahahaaaa tuzipeleke wanapopeleka wengine. Gonga like na hapa
🤣🤣🤣
Hahaaaa
Najma salim Salim 👍👍🐯🐯
💃💃💃💃💃💪💪kushoto kulia Sasha mwanga wasim tuone mwanga
first one harmonize I am form somalia 🙏🙏🙏❤
Munapenda likes sana. Mimi ninacho kitaka Hormonize azae na Sarah.uongo?kweli?
Watazala ni mke wake ,Mungu awaberiki nawatoto.wanapendana sana
Ile nikiki hawawezi zalishana watoto
Hatutaki kiki Tanzania
Salah Tasa 😂 😂 😂 😂
Hahaah
I was here before 1M views😊😊😊😊 sasa wakenya tunataka Colabo ya Harmonize na Otile😊😊😊😊😊
Welcome th-cam.com/video/cP3WSv5ZSVg/w-d-xo.html
Kweli
Worry out
kama unaamini harmonize angeendelea kuimba kama ivi diamond hangepata pakupumulia gonga like hapa 2024? here we are
waka waka one love from somalia💙🇸🇴💙💙🇸🇴🇸🇴
Kali sana tena kama umerudia mara mbili ngonga like
th-cam.com/video/cP3WSv5ZSVg/w-d-xo.html
Konde Boy utabaki juu,, ila Video yako nimeiangalia usiku ao watu kama maiti mara wanacheza silali kwa raha😢😥😢
free money th-cam.com/video/SiRqf0C2-Gw/w-d-xo.html
This guy is so talented Am tellin' you,big up my brother Harmonize,we do love you
th-cam.com/video/cP3WSv5ZSVg/w-d-xo.html
We yaaaayuuu....
Konde boy love your music
I've lot your music on my mobile.... from ethiopia🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 konde 🎙️ Gang 🔥🔥🔥🔥 jeshi lá mtu moja unapigana na watu elvu moja 🔥👽 konde Boy usikate tamaa Mozambique tunakukubali sanaaaaa
Upo kambin
Inapendeka even before watching 🔥🔥
Harmonize you’re a great talent and I understand you left wasafi but you guys were unbeatable there you, Diamond and Rayvanny but life goes on and good luck in your new endeavors, Cheers.
Kumeti sana💻😘😍
No boddy allways Who whoach in 2020
like tunacha hapo . from somalia🇸🇴
Mtoto anapogeuka kuwa baba basi baba ujihisi amekuwa mtoto
"Harmonize mwanafunzi aliyejifunza vizuri kisha akamtungia mwalimu wake mtihani akafeli"
😂😂😂😂 watanazania mna maneno
Sana Kaka
Fact
lameck john Hakika mzee baba
lameck john kwa mond bado ata bak kuwa mtoto2
Love from Somalia Mogadishu 2ko wengi mafans wa harmonize big boy respect.... Iyo nyimbo ndio kiboko yao
Banadir mogadisho
our capital city moqdisho 🇸🇴🥰
Kiswahili nayo
Jeshii👽
Niko hapa pia😂🙆♀️
Konde bouy .....go go go get it
Damn, i think this is one of the most expensive videos of 2019!! Love this...
Hahahahaha never , what about *Sound* ?? PLATNUMZ
Peace kwa alonileta mjini modi wa tandale kama umeskia hio gonga like twende sambamba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Salute to diamond #platinumz
Bomba
Kakubali kumsfia baba ake
@@brightmsuta838 plezi jèn ayiti
Kabs
Kam umeona idia ya nyimbo za mondi kanyag kanyaga na baba lao kwenye hii video gonga like hapa
Erick Akwilini uyo mondi mwenyew kageza idea kwanzia beat adi video beat la naira video idea ya innos so muache konde boy
Kila anachofanya ameiga mondi.
I don't think kama pointi ilikua ni kuiga video because it's so obvious ameiga kila kitu ila msg kwenye hii video ni kwa mondi kwamba he knows mbinu zote za mondi na haogopi kupambana nae
Yn Kopi ya baba lao ndo imejaa umu kwenye I vidio yako de
Konde boy kamua baba💪👌👍. Uko 🔝👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mambo ni kama haya....much love from kilifi kenya
Lina Dama hmmm uwe
Yeeeeeeeeey😻😻
Malindi hoyeee. Kushoto kulia
003🔥🔥🔥
Kuna mijitu inaomba like,like ni chakula au🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Hanscana Katisha🙌 🔥🔥🔥
Yupo na mtu makini
@@benardmanyama3415 hahah yupo na KONDE BOY MJE$Hi💪🔥
Iyi song niyakwanza kabisa big up harmonize,iyi ni fundisho kwa wabaya...
Amesha panga ww nani upangue 🔥🔥🔥 this hit me so hard luv from Uganda 🇺🇬 🇺🇬
nimeelewa hii ngoma sio ya mgambo ni ya jeshi kamili mm huwa siombi like najua mtanipa
Jexhi
Harmonize my fav singer in Africa from Somalia 🇸🇴🖐
Saluti kwa wanangu wa ghetto. Kutoka kenya unatupa show kali kali big up konde
The first person to watch this song 😂😂wapy likes zangu
+254 no 1 trending wapi likes za kenya jamani mbona TZ wachoyo 😥😥😥😥
skiza kenya music stop this bullshit music
@@izzoeisaac7062 so umefata nn hapa we mama
@@izzoeisaac7062 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I like jeshi team konde boy
@izzoe unafanya nn huku na ww unaota ama nn amka boss
th-cam.com/video/KdOVehmexZU/w-d-xo.html
Masaa machach lakini nimecherewa duuuh like hata 2 zinanitosha
Gregory Godfrey Ume uwa knoma
Hayaaa
🗣🗣🗣🗣Tunatia Chenga wanafata nyayo 💪🏿💪🏿🕺🏿🕺🏿🙏🙏
SALUTE KONDE BOY moto umeusha hakuna wakuuzima wasiokupenda kazi wanayo
Kule kwa Baba Lao sikupata like ata moja, basi apa msinisusee
#LIKE
🥰🥰🥰🥰💪
🔥 🔥 🔥 🔥
Kule kaw baba
Kama unampenda Jeshi gonga like hapa🤘
L and I 6 it 7
Napenda hiyo Hit @Harmonize
#Kushoto_kulia
Nani anarudia video hii saa hizi gonga like hapa 👇👇👇👇
Me napenadaka
Yes
N,,,🔥🔥🔥🔥
@@mbarabukeyenipomu4969 Pin clips to always keep them here xxcc
@@sarahibrahim759 dhhb
Jeshi as jeshi bhn 🤑🤑🤑
Like zenu kwa jeshi wana kwa mnaona jeshi atafika mbali
Kondeboy we Ni hatari mzee naombeni like hata kumi tu
I'm i the only konde gang member from kenya! Omg! This is an awesome way to end the year
Pesa niniayo hini nyimbo nyawale wachoyo😍😎🤩🤩🤩
Anayeamini kama mm kesho asubuh itakuwa trend no1 gonga like hapa
Jackson Kimario s
Jackson Kimario MADO
Pesa ninayo mademu ruhusa kunidanga😂😂😂
Ambiwa video kali
Wakenya Tupo
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👇Samawati hapa yaani Blue
Konde Gang Forever from KE 🇰🇪🇰🇪 nipeni like Za kushoto Kulia
Like nakupa lakini video mbovu frm tz +255
My best.hapo kwa Nyapara kafunguliwa pingu🔥🔥🔥
Best music in 2019🇸🇴🇸🇴
abdulahi geedi monde boy nakukubali sana we kiba majungu hamtakagi
abdulahi geedi monde bay nakukubali sana
Video gat story of his life....
wasio mpenda kondeboy kazi mnayo
gonga like kama unamkubali makode
👇🏿👇🏿🔥🔥🔥🔥
I'm from Ethiopia. please surprise me with `like` because am fan of harmonize.
Thank you from Tz
Mona yupo juu
Ik0uu77yt. ⁰000ipurp1az
Peace kwa Yule alie Nileta Mjini Monde wa Tande (Diamond platinum Chibu wa Wasafiiiiiii) Nice He STILL Respect The one who pick him from NOTHING to where he is today.Big Respect to Chibu Dangote Diamond Platinum wafasiiiiiiiii for Life
Kama hii ngoma umeirudia mara kadha kama mm gonga like ya Konde ♔ show love❤❤❤❤
Mm Niko ofisini sipitwi
Kabisa
Yannn saivi nmeludia Mala 14 ivi
@@agustinobeno6838 lo ngoma ni moto
Video mbovu
Kama umeskia Mondi wa Tandale ngonga like tukisonga🇰🇪
Kushoto Kulia......LIKE 1000🔥🔥🔥🔥
Tunakupenda......usijali....endelea maisha Safari..usisahau wa nyuma Lv u good gay my son.......
Hapo vizuli❤
Who's here watching this song after harmonize exposed that evil diamond..much love for you kondeboy🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hhh
What did he do to him?