SIMULIZI YA KUSISIMUA: MAISHA YA UBAHARIA/ MIAKA 18 BAHARINI/TULIZAMA/ SOMALIA (S02EP05-PART 03)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2022
  • Akifahamika kama Babu haji, mkazi wa Unguja anakumbuka matukio ya kutisha akiwa kama Baharia kwa zaidi ya miaka 18, akihudumu kwenye meli kubwa na kutembea mataifa mbalimbali ya kiarabu......
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24news@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24Tz
    ⚫️ Facebook: @dar24news
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Baharia #Mbanga #Taarifabilamipaka

ความคิดเห็น • 17

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 ปีที่แล้ว +3

    👍
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 2 ปีที่แล้ว +2

    Mko vzur Sana Bigup

  • @dazicharoodazicharoo
    @dazicharoodazicharoo ปีที่แล้ว +1

    Hongera mzeee🔥🔥🔥

  • @lovehawa4758
    @lovehawa4758 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee haboi anavyoelezea n stot tam

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakikubali sana hiki kipindi siwezi kukiacha daima

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 ปีที่แล้ว +2

    Ooooi! Baharia WA ukweli huyu.

  • @seifsaid8867
    @seifsaid8867 2 ปีที่แล้ว +1

    Dupa naomba ile story ya yule jamaa wa mombasa alien da Oman mbona haina muendelzo?

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 ปีที่แล้ว +1

    Dupa Kwa hewa 🔥🔥🔥

  • @onesmomwipopo9685
    @onesmomwipopo9685 2 ปีที่แล้ว +1

    Hipo good sana hii

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +1

    Father anatupa story ya kiume poa sana, home boy ili pindi lako sio poa koma tafuta matukio km haya aisee ya mjini mjini

  • @devmwalabu3193
    @devmwalabu3193 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe mabaharia tupo weng

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 2 ปีที่แล้ว

    Safari za Sindbad

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwan shekh histor yake ndio imeisha

  • @petrojohn8250
    @petrojohn8250 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji ilitakiwa asimulie yeye,maake kiherehere kingi

    • @sagulesalehe6203
      @sagulesalehe6203 2 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @ibugharib389
      @ibugharib389 2 ปีที่แล้ว

      Hahaaa kweli kabisa lakini nadhani storry inamsisimua