Yaani hawa wanazingua kinoma ..yaani huko kwenye app Yao lazima ulipie elfu 1000 au 600 kutizama..yaani kama ni biashara why wametupia humu watu Waone just part of the song why msieke full video?
Lakini kwanini huko sijui spiling kwani hapa TH-cam kuna shida gani, au kwa kuwa wimbo umeenda mnaingia kiburi kusumbua watu, tunaomba wimbo uwekwe hapa TH-cam, ndio platform namba moja kwa kila mtu, acheni ujinga basi.
Du Yan wimbo tumetulia hadi raha hongre I sana Mungu awabariki
Video full inapatikana katika App ya Spring play, nenda play store
Hongereni sna lakini mbona video ipo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jaman
Fantastic work, glory to God
Thank you very much
Congratulations 👏 and I have new song hitting on 🔥💯 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU get it and God bless you all
Mbona wimbo ni mfupi
Full video ipo katika application ya springplay
Ile haikuwa OG ni Church performance. So official video ndo hii, inapatikana katika App ya Spring Play
tuwekee hata hiyo performace@@buyambabuyamba2540
Hadi mkatoa video mbona Sasa 😢😢😢😢
Wimbo mbona auishi
Where's the full video
🎉🎉
Why not post the whole song?
Hamtaki tuone video yote??? Ekeni video TH-cam kila mtu apata nafasi ya kufurahia
Mbona mlieka video na mkatoa na hakuna maelezo?
Karibu nithani ni simu yangu ikona shida
And the way the full song is awesome..niliocheza the whole day
@@njoki_v video full ipo katika application ya springplay
Wimbo mbona auishi sasa
Simu yako iko sawa kabisa
Yaani hawa wanazingua kinoma ..yaani huko kwenye app Yao lazima ulipie elfu 1000 au 600 kutizama..yaani kama ni biashara why wametupia humu watu Waone just part of the song why msieke full video?
Kuna audio tyu video hamn
@@isayarichard3679 inapatikana katika app ya spring play
Mbn mnarusha kafup sas si muachie wimbo mzima
Wimbo mzima upo katika application ya springplay
Your producer is failing you big .. Why are you doing this to a song that's so big...
Simuachilie wimbo wote mara moja. Alaaar
video full ipo katika application ya springplay download ili uone video yote
Sasa what is Spring Play?
Lakini kwanini huko sijui spiling kwani hapa TH-cam kuna shida gani, au kwa kuwa wimbo umeenda mnaingia kiburi kusumbua watu, tunaomba wimbo uwekwe hapa TH-cam, ndio platform namba moja kwa kila mtu, acheni ujinga basi.
Wimbo mzuri Sana wapendwa,ila mlikouficha TikTokers ndio watafaidika kutuletea Bora muuachie hapa YT inafaida naashabiki wengi