- 41
- 110 787
AIC TABATA CHOIR
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 17 เม.ย. 2022
Adonai(Umetutendea mengi Bwana)Full video inapatikana spring play app, Ft AIC Athiriver choir
Full video ipo katika application ya springplay
DESCRIPTION-- huu ni moja ya wimbo wa shukurani ambao tumeishirikisha kwaya kutoka nchini Kenya wimbo huu unatumika katika maeneo yote ya kumshukuru Mungu iwe ni harusi,kuoa au kuolewa,iwe ni birthday party(sikukuu ya kuzaliwa) iwe kufaulu masomo pia Mungu akikuokoa na magonjwa,iwe kukutoa katika mikono ya watesi wako lakini pia kupata kazi au kupandishwa cheo,Furaha pia zinaendana na shukurani.
#umetutendeamengibwana #music #adonai
Tumetumia jina la Adonai kwa kuwa Mungu kwetu ni mfalme wa wafalme (KING OF THE KING) ili kuonesha uwezo mkubwa alionao Mungu.
Adonai ni wingi wa neno la Kiebrania Adon, ambalo linamaanisha "Bwana" Jina la cheo lilitumiwa kwanza kama jina la Mungu kabla halijatumiwa kama jina la Mungu. Adonai ya wingi na herufi kubwa inatumika kwa sababu, kulingana na imani, Mungu ndiye Bwana wa wanadamu wote na hivyo ndiye "Bwana wa mabwana wote.
wimbo huu pia umeimbwa katika Lugha za Kiswahili,Kingereza,Kisukuma na Kikamba umetutendea Mengi Bwana si kama tunavyokutendea Wewe umetulipa kwa wema hata kama hatukustahili. Tunaamini kila mtu ana mambo mengi ya kumshukuru Mungu na tukisema tuanze kutaja au kuhesabu hatutamaliza kabisa Tunaamini wimbo huu utakuwa zaidi ya shukurani na zaidi ya maombi ( not only thanksgiving but also Prayer)
AIC TABATA CHOIR tunayo mengi ya kumshukuru Mungu maana alipotutoa ni mbali sana
Wimbo huu ukawe ni Shukrani kwako!
Audio Music by: / quilly1
Written by : / e.kisinza
Song Leader / marywisebwire1 / rosemutiso / nelson_van_e
connect us; instagram : / aic_tabata_choir
Facebook : / tabatagospel.choir
TikTok : / aictabatachoir
TH-cam : / @aictabatachoir
Like Subscribe&share our videos!!!!.....
. E-mail us :aictabatachoir30@gmail.com
CONTACT VIA TEL 255765930030/0735068599
#umetutendeamengibwana #adonai #music

มุมมอง: 19 799
วีดีโอ
WASTAHILI (Mimi nimepita katika mambo mengi ya kuvunja Moyo) AIC TABATA CHOIR
มุมมอง 4.3K4 หลายเดือนก่อน
WASTAHILI (Mimi nimepita katika mambo mengi ya kuvunja Moyo) AIC TABATA CHOIR
NIENDE NA WEWE (Official Music) AIC TABATA CHOIR
มุมมอง 4.9K4 หลายเดือนก่อน
NIENDE NA WEWE (Official Music) AIC TABATA CHOIR
WAMTUMAINIO (Official Music) AIC TABATA CHOIR
มุมมอง 3.3K4 หลายเดือนก่อน
WAMTUMAINIO (Official Music) AIC TABATA CHOIR
Adonai (Umetutendea Mengi Bwana si kama tunavyokutendea wewe) Featuring AIC Athiriver Choir🇰🇪
มุมมอง 53K4 หลายเดือนก่อน
Adonai (Umetutendea Mengi Bwana si kama tunavyokutendea wewe) Featuring AIC Athiriver Choir🇰🇪
AIC TABATA - MSALABANI (Official Music Video)
มุมมอง 7K9 หลายเดือนก่อน
AIC TABATA - MSALABANI (Official Music Video)
Huu Ni Wimbo Maalumu Wa HARUSI ambao umeimbwa na kwaya ya AICTabata
มุมมอง 792ปีที่แล้ว
Huu Ni Wimbo Maalumu Wa HARUSI ambao umeimbwa na kwaya ya AICTabata
Msalabani pa Mwokozi (video lyrics HD) AIC TABATA CHOIR.
มุมมอง 3.8K2 ปีที่แล้ว
Msalabani pa Mwokozi (video lyrics HD) AIC TABATA CHOIR.
Why am I crying listening to this song🥲 How is it able to bring my spirit so close to my creator😍
Wimbo ninzuri
My favourite ❤ song 🎵 barikiwen sana
Nabarikiwa na nyimbo hii imejaa upako mbarikiwe sana 🥰🥰 from kahama
AIC athiriver representing Kenya well.
Jaman nawapenda sana aict tabata huduma yenu ni nzuri sana nilifurahi sana mlipokuja kwetu aict Morogoro hakika mlifanya Kaz nzuri Mungu awabariki
Hamtaki tuone video yote??? Ekeni video TH-cam kila mtu apata nafasi ya kufurahia
Wimbo mzuri zaidi unapendeza sana
Jamani tunaomba offiicial video ya hii nyimbo, kiukweli tunaipenda.Please consider it🎉
I'm here looking for the video 😢oh my
Hongereni sna lakini mbona video ipo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jaman
Hadi mkatoa video mbona Sasa 😢😢😢😢
Is there a video?
❤❤❤❤
Du Yan wimbo tumetulia hadi raha hongre I sana Mungu awabariki
Where is the full video?
Wimbo mbona auishi
Hongera Mwl Emanuel Uko vizuri
Where's the full video
Why not post the whole song?
Mungu awainue zaidi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Your producer is failing you big .. Why are you doing this to a song that's so big... Simuachilie wimbo wote mara moja. Alaaar
video full ipo katika application ya springplay download ili uone video yote
Sasa what is Spring Play?
Lakini kwanini huko sijui spiling kwani hapa TH-cam kuna shida gani, au kwa kuwa wimbo umeenda mnaingia kiburi kusumbua watu, tunaomba wimbo uwekwe hapa TH-cam, ndio platform namba moja kwa kila mtu, acheni ujinga basi.
Wimbo mzuri Sana wapendwa,ila mlikouficha TikTokers ndio watafaidika kutuletea Bora muuachie hapa YT inafaida naashabiki wengi
You deleted the video... Kunani???
Sebha olewawiza we Mungu ni mwema❤
Video mlitoa mbona?,,,,tunahiiitaji
Congratulations 👏 and I have new song hitting on 🔥💯 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU get it and God bless you all
na bona sioni video
🎉🎉
Wimbo mkubwa sana huu jamani mbarikiwe tu
Video full inapatikana katika App ya Spring play, nenda play store
Mbona mlieka video na mkatoa na hakuna maelezo?
Karibu nithani ni simu yangu ikona shida And the way the full song is awesome..niliocheza the whole day
@@njoki_v video full ipo katika application ya springplay
Wimbo mbona auishi sasa
Simu yako iko sawa kabisa
Yaani hawa wanazingua kinoma ..yaani huko kwenye app Yao lazima ulipie elfu 1000 au 600 kutizama..yaani kama ni biashara why wametupia humu watu Waone just part of the song why msieke full video?
Mbn mnarusha kafup sas si muachie wimbo mzima
Wimbo mzima upo katika application ya springplay
Mbona wimbo ni mfupi
Full video ipo katika application ya springplay
Ile haikuwa OG ni Church performance. So official video ndo hii, inapatikana katika App ya Spring Play
Kuna audio tyu video hamn
@@isayarichard3679 inapatikana katika app ya spring play
Where is the official video?
Fantastic work, glory to God
Thank you very much
Kikamba mpaka tz wawah nyimbo kali
Wameimba na AIC Athi River
Ameen
Hallelujah Bwana Yesu asifiwe milele na milele
❤❤❤❤🎉
👏👏👏
Jmn nyimbo hii inatika lini ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
iko moto, waimbishaji wako moto balaa
Hio arrangement madze,,Noma sana,,kazi nzuri watumishi
Amazing song❤
Nzr sanaa hii🥰🥰
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
Amen
Iweken youtube
Jamn nmeshindwa kuudownload
tumia vidmate chap tu
tumia audiomack
So adorable 🤩🥰
Hapo mmeuwa vibaya vaiabaya, hongereni sana😂
Ahsante sana
Meko maku ni manene............. its music arrangement!!! SO BLESSING........ I WISH TO JOIN THIS MINISTRY PLEASE!!!! GOD BLESS YOU
karibu sana tupo Tabata,Tanzania
Ahsante sana