MISSION IMPOSSIBLE [25]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 888

  • @FatumaHamisi-m3y
    @FatumaHamisi-m3y 2 หลายเดือนก่อน +104

    Anaesoma comment hii mwenyezi mungu amtimizie hitaji la moyo wake

  • @TumaAli-m9i
    @TumaAli-m9i 2 หลายเดือนก่อน +26

    Movie tamu hii jamani,nawapenda buree chado n group yko ❤❤ mungu awazdshie kipaji chenu inshaAllah

  • @ZulehaSalim-o2y
    @ZulehaSalim-o2y 2 หลายเดือนก่อน +10

    Naipenda sana hii movie mungu hawaongoze inshaa Allah am from kenya

  • @kheriofficial3846
    @kheriofficial3846 2 หลายเดือนก่อน +15

    Najma kaliwa dah roho imeniuma sana😂

  • @ixha706
    @ixha706 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mhh mpaka nywele zimefumuka jaman chado balaa😅😅😅

  • @SelemaniIddy-nc1n
    @SelemaniIddy-nc1n 2 หลายเดือนก่อน +258

    Jaman tusikae tunaomba like nilikuwa naombi mnaonaje sisi washabiki wa chado master tuunge group au chado aunge group ili akiwa ana post tunaipata chapu ni wazo tu au nyie mnasemaje ❤

    • @TatuJumaa-f7c
      @TatuJumaa-f7c 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa yan

    • @RehemaKombe-n3x
      @RehemaKombe-n3x 2 หลายเดือนก่อน +4

      Nakuunga mkono kama vile house girl

    • @NasraFahmy-j9y
      @NasraFahmy-j9y 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli kak

    • @TumaAli-m9i
      @TumaAli-m9i 2 หลายเดือนก่อน +5

      Itakua vzr

    • @winfridanoel1471
      @winfridanoel1471 2 หลายเดือนก่อน +2

      Chado atengeneza group atuunge

  • @NashuShety-kg9bk
    @NashuShety-kg9bk 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unyama unyamani,,,big up Chado Film🎉🎉Much love from Kenya💜💜💜💜

  • @AminaBakary-n1i
    @AminaBakary-n1i 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hii movies imeifanya sijalala usiku mzima yani siyo poa movies tamu hatari 🎉😊❤❤❤❤

  • @Maarifasnr-gu6dp
    @Maarifasnr-gu6dp 2 หลายเดือนก่อน +12

    Cheusi ame'improve dogo ngwengwe ameimprove na kwa umri wa ngwengwe namuona mbali sana kazi iendelee

  • @StellaKimaro-no6mv
    @StellaKimaro-no6mv 2 หลายเดือนก่อน +26

    Chado jaman leo umetubania dakika zetu...😭😭😭😭 Ila sio mbaya ombi letu ni lile lile la episode mbili kwa siku jamani tafadhali chadoo.....🙏🙏🙏

  • @LeonardSilungwe-x7d
    @LeonardSilungwe-x7d 2 หลายเดือนก่อน +8

    Nakubali sana master chado
    By Leonard silungwe from sumbawanga kijiji cha tunko

  • @neemahabiye
    @neemahabiye หลายเดือนก่อน +8

    Wangapi wamelikubali Penzi la muhuni

  • @Ester-vg2ev
    @Ester-vg2ev 2 หลายเดือนก่อน +9

    Episode ya leo kila kitu l like kwanza leo Najma hajazimia 😂😂😂😂

  • @IddyMohamedi-w7i
    @IddyMohamedi-w7i 2 หลายเดือนก่อน +3

    Oya Kaka chado hiy Ngoma umetisha music 🎵🎶 Unaweza Bro

  • @ClemensiaKisuma-df6kd
    @ClemensiaKisuma-df6kd 18 วันที่ผ่านมา

    Duh😊😊😊 movie za chado ni kukimbizana tyu kama kuchikuchi hotae Hadi raha❤❤❤❤❤❤

  • @salmalamar3081
    @salmalamar3081 2 หลายเดือนก่อน +24

    Naipend san hii movie kwakwl ❤

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nampenda sana uyu mtoto ngwengwe❤❤🎉

    • @NemaAli-zh6hr
      @NemaAli-zh6hr 2 หลายเดือนก่อน

      Alafu kadhuri

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 2 หลายเดือนก่อน +12

    Juntos somos fortes 💪🔥 From Mozambique 🇲🇿❤💞

  • @RehemaMwaim
    @RehemaMwaim 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hahahahahahaha chado ni noma hadi nywele zimefumuka 😂😂😂

    • @Ubahalpha
      @Ubahalpha 2 หลายเดือนก่อน

      Chezea show ya muhuni ww😅😅😅

    • @RehemaMwaim
      @RehemaMwaim 2 หลายเดือนก่อน

      @@Ubahalpha😹😹

    • @RehemaMae
      @RehemaMae หลายเดือนก่อน

      Banaee mpaka nywele daa

  • @TUNUMBWANAMZAMO
    @TUNUMBWANAMZAMO 2 หลายเดือนก่อน +5

    Chado ujui nyele zimefungukaje kweli😅😅😅😅

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 2 หลายเดือนก่อน +11

    Izo ni atua tu za ukuajiii😅😅
    Jamani chado umempasua mtot wa watu.❤😢

  • @KimanziKimau
    @KimanziKimau 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ak chado masta unaweza kabisa Alf episode 26 tunaingojea baya ....... isikawiye saaana ak mm Kim from kitui county ukabani

  • @Preferencekavira
    @Preferencekavira 2 หลายเดือนก่อน +3

    Naipenda hii muvi mpaka basi kutoka congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @DoubleDlyrics-v7k
    @DoubleDlyrics-v7k 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sema Cheusi nimpe maua yake anatisha sana.😂😂😂

  • @MohamedHamadi-mn2po
    @MohamedHamadi-mn2po 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tenaaaa 😂😂😂 iyo ndo l like mimi 😂😂❤

  • @storytv8985
    @storytv8985 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ninashida na ilo song chado ambalo una froo nimelielewa sanah ase

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @ShakilaOrienne
    @ShakilaOrienne 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wow I love this 😂😂😂

  • @VienaMukonyan
    @VienaMukonyan 24 วันที่ผ่านมา

    Mim najim anawez na Chad wanaendn❤❤❤ wananifurahish

  • @EvaSamweli-f4l
    @EvaSamweli-f4l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chado mi namtaka mtoe selo mwanang Baga mtemi by Eddy sam. Naqbal San mnafany pouw zaid ya pouw

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyu cheusi sikajileta mwenyewe kwa daddy 🤔🤔🤔 et nilwafungia mim kwandan ukipigwa misumar utalaum nan 🤣🤣🤣

  • @peterkisaila1385
    @peterkisaila1385 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanangu cheus😅😅😅😅
    Miyeyusho sana
    Sema namkubali sana

    • @MwanswidaSwida
      @MwanswidaSwida 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ila kinafurahisha😂

    • @peterkisaila1385
      @peterkisaila1385 2 หลายเดือนก่อน

      @@MwanswidaSwida nouma sana

  • @qingsaloz8467
    @qingsaloz8467 2 หลายเดือนก่อน

    Better late than never 🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪🇶🇦🇰🇪km kawa following from Doha Qatar

  • @Ester-vg2ev
    @Ester-vg2ev 2 หลายเดือนก่อน +4

    Afu chado bana eti sijui nywele zimefumuka vipi kwani hujui au😂😂

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ngwengwe mkojo umekupana ee😂😂hiyo akili duni wewe anyways congratulations 👏 bwana chado Na company yako

  • @HashimMpangile
    @HashimMpangile 2 หลายเดือนก่อน +2

    chado master mwanangu naifatilia sana hii kazi sema Kuna vitu siku izi vime punguza mkali wangu kwaliti imepungua sijajua shida nn lakini Kuna mwamba mmoja namkosa Kila nikiangalia hii kazi nikiangalia akili za yule mwamba na akili zako Kuna kitu nakitengeneza supati picha namzungumzia BAGA MTEMA aise itakua atali mzee

  • @ModesterRuhumbika
    @ModesterRuhumbika 2 หลายเดือนก่อน

    Mama ngwengwe nakupenda bure😂😂😂😂 TWENDe

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm kero yangu ni wanaoba leki wanufaik na nn anaye stahili kuoba laki ni chado na group lake so ss wadau kinachotakia nikuagalia makos ya move na kuwaelez ili warekebishe jamaan team chado tupooo

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 2 หลายเดือนก่อน +3

    Umbea WA mwanaume hata hafai Kwakweli cku zote ulikuwa wapi kusema ATA haya huna utaoewa dela uzunguke nalo kutangaza umbea 😂😂😂

  • @josephmolel-l5n
    @josephmolel-l5n 2 หลายเดือนก่อน +10

    Leo mm wa nne naomb like zang jmn

  • @HusnaRajabu-q4u
    @HusnaRajabu-q4u 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ila chado master i like tu leo

  • @NurdinAthuman-lw7yc
    @NurdinAthuman-lw7yc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu tafadhari anaesoma SMS hii Kesho afe maana amesema amechoka kuishi

  • @scola4suu
    @scola4suu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chado❤😂😂😂❤

  • @buisnesscafe6963
    @buisnesscafe6963 2 หลายเดือนก่อน

    Huu mchezo nimejikuta naukubali kinoma big up broo chado❤❤

  • @issamelody5818
    @issamelody5818 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka chado napenda kazi Yako Kuna kitu nimekiona hapo hakija kaa sawa hapo ngwengwe alipo kamatwa na mama yake maiki ime onekana kaka Mimi shabiki Yako wakweli nafuatilia kila kitu

  • @mohammadmusa328
    @mohammadmusa328 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mkate mgumu mbele ya chai iko sawa chado💀😂

  • @MaureenNyongesa-v8w
    @MaureenNyongesa-v8w 9 วันที่ผ่านมา

    Anifaa nakupenda san ww na mwanae 😂😂😂😂

  • @PeterMasolwa-f3i
    @PeterMasolwa-f3i หลายเดือนก่อน

    Preshaa kupanda kushukaaa weeeeeeeeeh chadoooo😢😢😢🎉🎉❤❤❤

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sijapenda chado kumfanyia najma hvyo 😢 kaka daddy wapitia yote wafanya juu ya kumuelekeza dadako 😢 afande n mke ngwengwe hamumuezi ngwengwe 😂😂😂😂😂😂😂kanifurahisha 😂😂

  • @joyceasajile2448
    @joyceasajile2448 13 วันที่ผ่านมา

    Kwani Askari hawezi kutembea yeye mda wote anakimbia tyu 😂😂😂

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chado kazi nzuri sana ❤️❤️❤️ nakukubali Master 🎉

  • @Mzalendotanzania
    @Mzalendotanzania 2 หลายเดือนก่อน +14

    Mtoto anasweti sio poa 😂😂😂😂

  • @ShazimilaGenda
    @ShazimilaGenda 2 หลายเดือนก่อน +46

    Jaman ata Mii nimewah nipen like zangu

    • @ButoyiRukiya
      @ButoyiRukiya 2 หลายเดือนก่อน

      Nami piya sijacelewa 😊

  • @Clarencekwembe1
    @Clarencekwembe1 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa kazi nzuri Chado Master!! Ila hiyo sound Track ya mapenzi" aniue basi aniue". Naiomba nikiipata nishafurahi sana.

  • @AshaSalim-j2g
    @AshaSalim-j2g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hjb wazo zuri kw mm lakini kunga hilo grp chado nakubali www mungu akuzidishie

  • @PiusAbraham-c4x
    @PiusAbraham-c4x 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kwahy najma leo kaliwa mzigo😅

  • @BENJAMINWILLIAM-l9f
    @BENJAMINWILLIAM-l9f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha😂😂😂😂 nakubali mzee wa misumari 😂😂😂😂

  • @MrishoAbdall
    @MrishoAbdall หลายเดือนก่อน

    mwanangu cheusi nakubali kazi ❤❤

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa 2 หลายเดือนก่อน +7

    Chado hyo ngoma itoe bonge la nyimbo kaka

  • @JustinDamas-wb4pc
    @JustinDamas-wb4pc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo yanazidi kua motoo hongera boss chado🎉

  • @ZainoMussa-ct4qo
    @ZainoMussa-ct4qo 2 หลายเดือนก่อน +16

    WA kwanza Leo from Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @HusseinMpenza
    @HusseinMpenza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana kidem jau ndo hatua za ukuaji😂😂❤❤😂😂

  • @edwinkalaine1935
    @edwinkalaine1935 2 หลายเดือนก่อน +13

    Kutoka Kenya 🇰🇪 man chando

  • @fitinammelelwadanger1087
    @fitinammelelwadanger1087 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani chado next ❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅ndo kasha maliza kazi

  • @AngelDenatus
    @AngelDenatus 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hhhhhhhh😅😅 et uyo askari dogo moto nakubali ngwengwe hakuna kukamatwa kizembe

  • @ZainabuAmili
    @ZainabuAmili หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana hii movie Kali sana

  • @AdolphinaNgasa
    @AdolphinaNgasa 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani movie hii isifike.mwisho jaman naipenda sana❤❤

  • @MayasaHasani-s3m
    @MayasaHasani-s3m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mm napenda tuu chado akisema tenaaaa❤

  • @SalmaRashid-lg8tn
    @SalmaRashid-lg8tn หลายเดือนก่อน

    Ananifrahisha mama ngwengwe😅😅😅 anavituko sana

  • @HamissiMuhmedy
    @HamissiMuhmedy หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana hii muv imeniingia kichwan

  • @alfredbinet22
    @alfredbinet22 2 หลายเดือนก่อน

    Chado mbona hutoi hio nyimba ❤❤ big up sana from 🇧🇮🇧🇮

  • @AbdallahAmini-s7h
    @AbdallahAmini-s7h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chado achia iyo ngoma bhan sio poa 🙌🙌🔥🔥🔥

  • @ChanceChance-x3r
    @ChanceChance-x3r 2 หลายเดือนก่อน

    Chado mzuri jamani nami nime wai from congo

  • @MohamedMwanikwa
    @MohamedMwanikwa 2 หลายเดือนก่อน

    Mi mwenzenu naipenda hii❤❤❤❤❤🎉 wote nawapenda humu

  • @ZahariaMuhammad
    @ZahariaMuhammad หลายเดือนก่อน +2

    Jmn chado mkali Yani mpka nywele zafumuka 😂😂😂😂😂❤

  • @VilinYohana
    @VilinYohana 27 วันที่ผ่านมา

    Chad mbon mda sana hujalekebesha huluma sio malez unamlea kama yai kuna washamba wanamkaanga

  • @HomeTv-xr9kn
    @HomeTv-xr9kn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Damn! But Chado Is An Amazing Rapper.💪🏽🇰🇪

  • @qatarabcde8228
    @qatarabcde8228 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 Aaaah yaani Chado kafanya kweli jamani

  • @RechoHamis
    @RechoHamis 2 หลายเดือนก่อน

    Jmnn mbn Mimi cion mwendelezo au nd mwisho episode ya 27?

  • @SaidiZahoro-kz1xu
    @SaidiZahoro-kz1xu 16 วันที่ผ่านมา

    Jamani me leo nataka niishie hapa wote 👋 👋

  • @KidusoBite
    @KidusoBite 2 หลายเดือนก่อน +1

    Brother chado umeua kinomaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OmanBarka-x3i
    @OmanBarka-x3i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman mama ngwe ngwe nakupnda kwa mazungumzo Yako 😂😂😂😂

  • @AGAPPEHHAPPY
    @AGAPPEHHAPPY 2 หลายเดือนก่อน

    Aman mm nina swali chado kamtoa had nyele kufumuka aiseeee😅😅😅

  • @Tina.kambole
    @Tina.kambole 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kidemu jau kimemramba 😂😂😂😂uyo ndiyo msela bhana

  • @YeriKahindi
    @YeriKahindi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Bwana chado nini mbaya umeshindwa kabisa, umeshindwa kabisa kuvulia kwa kidem jaw..

  • @Awoshy
    @Awoshy 2 หลายเดือนก่อน

    Chenga jamani kwa kukimbia😂😂😂😂Khanifa afande kikofia atakuoa😂😂😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngwengweee jamani anajuwaa😂😂😂❤❤❤🎉🎉

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mapema leo😊😊😊ila saiv siwez ku comment niatakuja ku comment nikimaliza kuangalia 😅😅😅

  • @passmiracle5267
    @passmiracle5267 2 หลายเดือนก่อน

    iiii movie mpaka final niimalize❤❤❤❤ sema chado ile ngoma yako inaitwa je

  • @chunaamina878
    @chunaamina878 2 หลายเดือนก่อน

    Ila cheusi umbea utakuponza Mbwa wewe Sema Ngwengwe nae kwa kutoroka hodari much love from 🇰🇪

  • @IyanMan-u8d
    @IyanMan-u8d หลายเดือนก่อน

    Sijapenda huyo polisi anavyokimbia kimbia hahaaa au ndio kazi ya ilivyo

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ chando nawasanii wote walio shiriki msalimie ngwengwe😂😂😂😂❤❤

  • @AminaPtg
    @AminaPtg 2 หลายเดือนก่อน

    Sema mwanang cheus unezingua sana sjapenda😢😂

  • @elroyaladyzu349
    @elroyaladyzu349 2 หลายเดือนก่อน +1

    naipenda sana hii movie ❤❤😊

  • @AllyAllyAlly-ft3bp
    @AllyAllyAlly-ft3bp 2 หลายเดือนก่อน

    oya chado e yashanikutaga mbona nilishangaa naambiw nachukiwa bila sababu kk

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh 😂😂😂😂😂wangapi wameshuhudia afande Jenga akideleza

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 หลายเดือนก่อน +2

    Umu ndan nyote mumefit vzl kinomaaaa

  • @ItsMtotowamahaba-zc8ie
    @ItsMtotowamahaba-zc8ie 2 หลายเดือนก่อน

    🇰🇪 Kenyans we love this❤

  • @MinelySam
    @MinelySam 24 วันที่ผ่านมา

    Tusimamie vipaji huyu ngwengwe namuona kabsa kawa baga au nagwa wa baadae 😂

  • @JimmyDaddyjr
    @JimmyDaddyjr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ngadaya sikupngi ninja💪💪💪