Hapana hii mikate unaweza kuweka size uipendayo ukipenda minene kiyasi ukipenda mepesi niwewe tu upendavyo ndivyo itakavyo toka mingi au kidogo pale kwenye kuchota unapo weka kwenye pani ok asante saana kwa feedback 😘🙏
Ok ukipika mikate hii pale unapo iva unatakiwa usubirie kwanza upowe kidogo then ndio uutowe pole pole kwa kutumiya kisu kisicho mcha uzuri zaidi ukiwa na vyuma kuanzia 2na kuendelea hapo ndio utaenjoy zaidi maana ukichoma wakwanza unauwacha unaendelea na vyengine ule unapoa unatoka kwa urahisi zaidi umenielewa hapo kama mimi niko na vinne 4 kwahiyo nachoma kwa urahisi saana naimani umenielewa karibu saana 🙏
Niliwamjiya nitajuulisha mashallah mizuri na recipe yake iko sawa maana wa pishi wa humu mitandao sana ukijaribu inakuwa haiwi Kama hiyo lkn ya huyu ni mashallah
Asantee saana kipenzi, nikiwa naanza yes nafanya hivyo halafu kila nikiendelea naanza kutoa wakwanza nikiendelea na mengine kila unapo towa unaweka mwengine unaendelea tena mpaka unamaliza.
Mara nyingi huwa chuma chako hujakikosha vizuri au unga umeweka mafuta mengi kupitiliza na yanayo takiwa kuweka au jengine pale unapo paka mafuta mkate basi chume nacho huwa unakipaka kwahiyo hivyo vitu vinaweza kuchangia mkate wako kudondoka.
Mashallah mikate mizuri sana
Asante saana Aroma of zanzibar 😘🙏
Masha Allah very nice I will try
Shukran habibty 🥰
Luks gud mashallah
Thank you ☺️
Mashallah Mashallah Mkate Ajjab. Allahumma Baarik.
Shukran habibty 🥰🤗
Shukran sana kwa recipe, nimepika leo mikate imetokea mizuri sana. Allah akubarik. Ameen
Ameen yarab shukran kipenzi 🥰
Mash allah kweli mikate mizur inaonyesha
Shukran saana 🙏😍
nimejaribu maelekezo yako kila kitu..the results comes out perfect..🎉...nimejiona chef na mm..thkx dear
Ur welcome habibty karibu saana mimi ndio mkombozi wenu kwa sasa 😅
MashaAllah receip zake zote perfekt Allah ambarik
@@ahlamverynice.3605sanaa
Mashallah je flampen ukiw nay 1 tu inaweza
Ahsante
Nashkuru 🙏🏽
Thank you for sharing
Ur welcome 😊
Mashallah ahsante sana. Wapi ntapata hiyo pan ya ufuta
Afrika mpenzi
Mashaalla
Shukrani 😍
Maa shaa Allah..nami nilifanya majibu ni 🔥🔥😋😋😘
Shukran saana kipenzi 🥰
Asnt na honger sana nimewez ck moja t siamni yan Allah awe pamoja nawe
Wow mashallah hongera saana nimefurahi kuskia umeweza karibu saana kwenye channel yangu kipenzi 😍😊🙏
asante
Ur welcome 🙏🏼
Mashaallah.. allah akusuzidishie ujuzi. Jazakallah ul kheri
Shukran habibty 😚😘
MashAllah 😍
Shukran saana wapenzi 😘😘
Mashallah
Shukran 😍😍🫶🏼
Vizur san❤❤
MashaAllah
Shukran 🙏😊
Mash'Allah
Shukran 🙏😍
mashAllah asante sana dada
Shukran habibty 🙏🥰
THANKS👍❤
Ur welcome 🥰
Mashaallah nice 👌
Thank you so much
روعة يشهي 😍😍
Shukran 😉🫶
@@ahlamverynice.3605 🤍
Naomb recipe
Yani nini mbona kila pishi hapo lipo linajitosheleza?
How many chapatis can u get out of 1kg ?
11-12
Mashaalaah!mikate mizur hivi naweza pata mashine ya kukandia unga
Asante saana unaweza ndio zipo tele tu madukani
@@ahlamverynice.3605 shingap wanauza
Baada ya dakika ngap unaugeuza ili kwa chini usikakamae
Unausubiria kama 1 min hivi halafu unaugeuza karibu saana 😊
Okay shukran
💪💪💪
😄😄
Me naomba kuuliza kuna ulazima wa kuupiga sana au unachnganya kama wew mpka uchangnyike vizur tu?
Hakuna ulazima wa kuupiga saana changanya vizuri ukichanganyika basi unauwacha umuke
@@ahlamverynice.3605 shukran
Shukrn seredani umenunua wap
afwan nimenunua africa 😂
Shukran sana dada. Je hii kilo moja umepata takriban mikate mingapi?
Kama 7 hivi kwa size kama hiyo yangu
@@ahlamverynice.3605
Thanks dear.
Vijiko pls Eleza gani - which spoon table or tea
Kijiko cha kulia chakula cha kawaida. 🙏🏼
I love this bread if you translate in English I will be very great full thakyou
Okay thank you 👍
😍😍😍
Thank you 😊
Pambe da Mwati😂👌
🤣🤣🤣jamani da mwati yuko huku😂
@@ahlamverynice.3605 mkorofi sana kumbe yule eeee!!!??
💖🥰🙋♀️♥️
Thank you 😍
🥰🥰🥰
Thank you 😊👌
MashaAllah mizuri .Mm nimetumia unga nusu kilo na imetoka mikate misaba pekeee.nimepata ama nimekosea ?or huo unga wako umetoa mingapi?
Hapana hii mikate unaweza kuweka size uipendayo ukipenda minene kiyasi ukipenda mepesi niwewe tu upendavyo ndivyo itakavyo toka mingi au kidogo pale kwenye kuchota unapo weka kwenye pani ok asante saana kwa feedback 😘🙏
Siagi ya chumvi
Yes au yoyote kwa vile chumvi utaweka pia haina neno yoyote kutumia
Ukisema vikombe 4 ni vikombe vipi ( design)
Vikombe vya kawaida tu
@@ahlamverynice.3605 Asante Ahlam😊
Hbbty kma hauna siag unaweza kutumia blueband??
Blueband ndio hiyo hiyo mpenzi unaweza ndio
@@ahlamverynice.3605 tu peux me dire les ingrédients en français
Vikombe vinne vya ujazo gani?.. dear chef
Ata sijuwi ujazo wewe chukuwa kikombe tu chochote au utakisiya unga kiyasi na mikate unotaka itoke
@@ahlamverynice.3605 hi sister ni ungainly gani sister wa ngano ao wa mcere
@@kanezerezasalustie4206 hi, ata sijakuelewa mdogo wangu? 👆🏻
Very nice, lakini mimi sija bahatika na chuma, mara nyingi napata chuma kibaya Lakini i won't gv up easily i wll try
unaishi wapi kwani kama afrika basi kunasehemu kunaitwa kwa hajitumbo katafute utapata kama changu ok
@@ahlamverynice.3605 I'm out of Africa lakini vipi kama hivyo but unfortunately sijabahatika
I mean vipi vyuma kama hivyo lakini mkate wangu normally stuck hautoki
Ok ukipika mikate hii pale unapo iva unatakiwa usubirie kwanza upowe kidogo then ndio uutowe pole pole kwa kutumiya kisu kisicho mcha uzuri zaidi ukiwa na vyuma kuanzia 2na kuendelea hapo ndio utaenjoy zaidi maana ukichoma wakwanza unauwacha unaendelea na vyengine ule unapoa unatoka kwa urahisi zaidi umenielewa hapo kama mimi niko na vinne 4 kwahiyo nachoma kwa urahisi saana naimani umenielewa karibu saana 🙏
@Ahlam very nice. shukran habibty I wll try in shaa Allah
Mashallah nitaijaribu Leo nitawambiya feedback 😅thx
Niliwamjiya nitajuulisha mashallah mizuri na recipe yake iko sawa maana wa pishi wa humu mitandao sana ukijaribu inakuwa haiwi Kama hiyo lkn ya huyu ni mashallah
@@fatimamahamud1207 ooh thank you so much kwa feedback nimefurahi kuskiya huvyo mpenzi karibu tena😘🙏
Na mie pia naomba vipimo pls
Vipimo nimeweka mbona broo angalia vizuri mwanzo wa video inapo anza tafazali 🙏
Mikate mizuri dear, naomba kuuliza Kila mkate unauweka kwa pan yake au ukitoa mkate mmoja ukiiva unatoa unaweka mwingine
Asantee saana kipenzi, nikiwa naanza yes nafanya hivyo halafu kila nikiendelea naanza kutoa wakwanza nikiendelea na mengine kila unapo towa unaweka mwengine unaendelea tena mpaka unamaliza.
Mkate unapougeuza ukatoka katika chuma tatizo nn
Mara nyingi huwa chuma chako hujakikosha vizuri au unga umeweka mafuta mengi kupitiliza na yanayo takiwa kuweka au jengine pale unapo paka mafuta mkate basi chume nacho huwa unakipaka kwahiyo hivyo vitu vinaweza kuchangia mkate wako kudondoka.
Hicho chuma Kama chako ntakipata wapi Niko Dar
Dar mbona vipo au zanzibar unaweza vinapatikana viko vingi saana
Naz ua ungs inafaa
Inafaa pia mpenzi nazi yoyote ile inafaa ispokua tu uweke na maji yani kama ya unga utawe then uweke na maji kwenye unga ok?
وصفاتك ترجميها عربي ؟؟😍
دقيق ابيض ١كيلو
حليب جوز هند ٤كوب
خميره فورية ١ملعقة كبيرة
بيكنج بودر ١ملعقة كبيرة
سكر ١ ملعقة صغيرة
بيض ١
زبدة ١ملعقة صغيرة
زيت ١ ملعقة صغيرة
ملح حسب الرغبه
Naomba vipimo uwe unatuekea kwa cups kwa kilo inakua ngumu 😅
Okay inshallah 👍🏼
Mm naomba Kama ukitumia cup utaje na kilo pia , mm naelewa kilo kuliko cups
Can somebody translate d recipe pls
1 kg flour
1 tbsp sugar
1 tbsp salt
1 tbsp Butter
1 egg
4 cups Coconut milk
MashaAllah
Shukran habibty 🤗
Mashallah
Shukran 😘🙏