🔴LIVE | WEDNESDAY DECLARATION SERVICE | JUMATANO YA MATAMKO | KANISA LA VUKA YORDANI | 10 APRIL 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 172

  • @JustinaSamuel-zd6rq
    @JustinaSamuel-zd6rq 5 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 🙏🙏🙏 usinipite mwokozi

  • @yalalaambobe9528
    @yalalaambobe9528 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu kirsto asifiwe Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana na kazi unafanya ya Mungu

  • @ENOCKRK-xg8rx
    @ENOCKRK-xg8rx 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante MUNGU najiunganisha na mathabahu hii unapo zulu wengine nami usinipte

  • @AmadiKalonda
    @AmadiKalonda 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mungu wangu usifiwe Amina.

  • @celestineungilila4458
    @celestineungilila4458 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ameen ameen

    • @AfiJulie
      @AfiJulie 8 หลายเดือนก่อน

      Amina ifanike ivoivo

  • @charlinebahati316
    @charlinebahati316 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu wa mutumishi wako ELIBARIKI SUMBE namimi unibariki kiroho na kipesaa

  • @gracesenzota6555
    @gracesenzota6555 8 หลายเดือนก่อน

    Faithful GOD ❤

  • @monicamrisho767
    @monicamrisho767 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Asante
    Yesu wangu utukuzwe sana

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea napokea napokea napokea pesa Kwa jina la Yesu Kristo wanasareti

  • @sabinaedsoni229
    @sabinaedsoni229 8 หลายเดือนก่อน

    Amina sanaa Eeeeee. Mungu. Usinipite. Namm

  • @DeboraYohana-vv4ys
    @DeboraYohana-vv4ys 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina mungu akubariki baba

  • @empressjahtruli6782
    @empressjahtruli6782 8 หลายเดือนก่อน

    Father I thank you for this wonderful service, Amen may your name be Glorified in Jesus Mighty Name Amen🙏🏻 🙏🏻 ❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @juma2811
    @juma2811 2 หลายเดือนก่อน

    Amin Mungu akubaliki sana ❤️🙏🔥

  • @purymumykarisa8863
    @purymumykarisa8863 8 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen baba

  • @MatumainiZawadi
    @MatumainiZawadi 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen najiuganisha namazabau yii mungu utakapoponya wagine usipitiy malega iliniombilangu kwako E baba 🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩

  • @kelemakelema3705
    @kelemakelema3705 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen baba mubarikiwe tunapokea baraka kutoka kwenu wazazi

  • @SalehEtando-sq4hd
    @SalehEtando-sq4hd 8 หลายเดือนก่อน

    Salamu watumishi wa bwana kwa jina la Yesu kristo

  • @Salama-dk8of
    @Salama-dk8of 5 หลายเดือนก่อน

    Kwana.asifiwe.kwajina.layesu.kiristr.naomba.mungu.watoo.wangu.uwaobee

  • @purymumykarisa8863
    @purymumykarisa8863 8 หลายเดือนก่อน

    Oooh hallelujah Asante yessu

  • @EuniceWandawa
    @EuniceWandawa 5 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen 🙏🙏🙏, God is good

  • @chrisskissezzy4898
    @chrisskissezzy4898 8 หลายเดือนก่อน

    Usinipite eeeh bwana yesu Unapowagusa wengine unigise na Mimi pamoja na Familia yangu yote In Jesus Christ Name 🙏🙏🙏

  • @NzoyisabaNehemiya
    @NzoyisabaNehemiya 8 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na jumaa tano ya mtamko kwa jina la yesu christo alie hai Aminaaaa

  • @loserianlaizer6711
    @loserianlaizer6711 8 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU niongose baba kama unavyomuongosa bishop elibariki sumbe endelea MUNGU kumuinua bishop elibariki sumbe popote apitapo popote asimamapo

  • @EsterMfoi
    @EsterMfoi 8 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha mm na uzao wangu na mume wangu katika jina la Yesu

  • @monicamrisho767
    @monicamrisho767 8 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na Mata mko haya Baba Mungu

  • @barakaelLaitayo
    @barakaelLaitayo 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwakanisa lavuka yord baba yetu wanajeshi najuwa www ni mkubwa lupiganie

  • @RebecaKirway
    @RebecaKirway 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

    • @RebecaKirway
      @RebecaKirway 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa watu waohack acaunt za watu kweli wamekua wasubufu kweli

  • @asmaraentertainment668
    @asmaraentertainment668 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi

  • @JansiMutemara
    @JansiMutemara 8 หลายเดือนก่อน

    Asante MUNGU wa BWANA YESU KRISTO kwakua unazidi kutete udumahii ya Vuka Yordani, kiukweli washindanao na BWANA watapondwa kabisa. Asante pia kwa neno hili lawakati ambalo umetupa katika matamko yaleo, nimekusikia BWANA, nipe sautiyako yako ndanimwangu milele eee YESU KRISTO.

  • @roseofficials7189
    @roseofficials7189 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Baba Naomba unipiganie vita za kimwili na kiroho

  • @manzicheriph2923
    @manzicheriph2923 8 หลายเดือนก่อน

    Baba ulie hai najiunga na yesu wa bishop sumbe anipiganishi roho yawivu kwa jina la yesu Christo alie hai amen

  • @ruthkwamboka4049
    @ruthkwamboka4049 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen wacha Mungu akutie nguvu

  • @berthamsema
    @berthamsema 8 หลายเดือนก่อน

    Napokea iyo pesa kwajina la yesu

  • @hsjshs2894
    @hsjshs2894 8 หลายเดือนก่อน

    Watashindwa wanaotaka kushindana na wewe mung kwajina la yesu . Amen 🧎‍♀️

  • @purymumykarisa8863
    @purymumykarisa8863 8 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen baba in the might name of Jesus christ

  • @estherkanyere1599
    @estherkanyere1599 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Baba 👏👏👏👏👏👏👏

  • @gracerehemarehema4742
    @gracerehemarehema4742 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen pokea utukufu ee bwana wa majeshi

  • @MajumaKingu
    @MajumaKingu 5 หลายเดือนก่อน

    Naunganisha na madhabahu ya vuka yondan

  • @FurahaKarolo
    @FurahaKarolo 7 หลายเดือนก่อน

    Amin furaha karholo Lajoie kutoka congo bukavu

  • @MaombiFrancois
    @MaombiFrancois 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @siputregina
    @siputregina 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna aliyeshindana na Mungu akabaki salama

  • @BoaziChuvi
    @BoaziChuvi 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu,anijalie nema nakunisame wakati wowote alipo,ongea Nami nasikufahamu,nasikutii kwa sauti ya Mungu,naombausamaa .naMungu anifundishe,kusikia,nakufahamu sautiyake

  • @rogermbilizi3069
    @rogermbilizi3069 8 หลายเดือนก่อน

    Unaweza Bwana yesu hakuna jina lingine ila wewe tu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @zaina380
    @zaina380 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

    • @zaina380
      @zaina380 8 หลายเดือนก่อน +1

      🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @MaombiFrancois
    @MaombiFrancois 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu najiungnisha. Na mathabahu hii unapo Zulu wengine Nami usinipite mimi na watoto wangu

  • @celestineungilila4458
    @celestineungilila4458 8 หลายเดือนก่อน

    Ninajiunga nisha ibada ya matamuko kwajina la yesu kristu aliye shukuwa vyote ameen

  • @fredgersimbeye5394
    @fredgersimbeye5394 8 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana tulisumbuka sana jumapili .asate yesu kwakutupa kimbali tena.glory to be God

  • @MinilaPia
    @MinilaPia 8 หลายเดือนก่อน

    Kupitia ushuhuda huu sito kaa nikuache Yesu.nitaishi kwa kuutafuta ushirika name Yesu.Umeniepusha na Mengi mno.niko salama ni Yesu Umenitendea

  • @MuyamaBetty-g3n
    @MuyamaBetty-g3n 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen thank you man of God 🙏🙏🙏

  • @Wamoshie9
    @Wamoshie9 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @berthamsema
    @berthamsema 8 หลายเดือนก่อน

    Napokea iyopesa kwa jina la yesu

  • @millicentrabera
    @millicentrabera 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu n. Mwema

  • @Angela-n5k
    @Angela-n5k 5 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na ibada hii kwa jina la yesu kristu aliye hai.

  • @Wamoshie9
    @Wamoshie9 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏

  • @gracerehemarehema4742
    @gracerehemarehema4742 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen

  • @PriscillahVomogi
    @PriscillahVomogi 8 หลายเดือนก่อน

    Amen lord

  • @ninejuwand
    @ninejuwand 8 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina mungu nifukuwe

  • @joycerajabu9432
    @joycerajabu9432 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni ameni ameni

  • @MsLavish0
    @MsLavish0 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Ame Amen 🙏

  • @Wamoshie9
    @Wamoshie9 8 หลายเดือนก่อน +3

    Najiunganisha na ibada ya matamko Kwa jina la yesu kristu wa Nazareth alie hai🙏

  • @celestineungilila4458
    @celestineungilila4458 8 หลายเดือนก่อน

    Hee mungu nisaidie moyo wangu uwe unapokeya sauti yakondani yangu kwa utowaji

  • @berthamsema
    @berthamsema 8 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwakuigu ndoa

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie sana

  • @MaryNjeri-f5g
    @MaryNjeri-f5g หลายเดือนก่อน

    Baba amina..wanatutesa huku kwa mitandao tunatuma pesa sana

  • @berthamsema
    @berthamsema 8 หลายเดือนก่อน

    Naami yesu anaweza

  • @flomenacherotich8014
    @flomenacherotich8014 8 หลายเดือนก่อน

    Amen I'm watching from Kenya everyday 🙏🙏

  • @RenathaTimbeganya-cr2fk
    @RenathaTimbeganya-cr2fk 8 หลายเดือนก่อน

    -Mungu wasumbe niponye kisukar na sindano mwili mzima nanyuki nawashwa mungu niseidie

  • @ManekoMutemula
    @ManekoMutemula 8 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwakuniponya

  • @raellokware6067
    @raellokware6067 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu usinipite na mimi pia,,hata kama mafundindisho yalinipita nikumbuke

  • @celestineungilila4458
    @celestineungilila4458 8 หลายเดือนก่อน

    Meen ameen

  • @SamyPharmacy
    @SamyPharmacy 8 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @alfredusayo
    @alfredusayo 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen glory to God

  • @InjeeAa-vd4ez
    @InjeeAa-vd4ez 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina kwel kwer kbs napokeaa miujiza ya pesaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂 hallelujah utukufu

  • @MsLavish0
    @MsLavish0 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏 thank 👋

  • @RenathaTimbeganya-cr2fk
    @RenathaTimbeganya-cr2fk 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu pony watoto wangu nabangi

  • @InjeeAa-vd4ez
    @InjeeAa-vd4ez 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana baba nakwangu iwe papa

  • @SamyPharmacy
    @SamyPharmacy 8 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa

  • @AreggAregg-u2h
    @AreggAregg-u2h 8 หลายเดือนก่อน

    Amin amin amin amin

  • @ChanceKahambu-c3q
    @ChanceKahambu-c3q 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika mutumishi Mungu akuongezeye Zaidi uko mtumishi wa Mungu kweli kweli,Kati yawatumishi ninaofwatilia kwenye TH-cam Wewe ndo unasoma bíblia saana,unaomba saana ❤

  • @EliidiEdward
    @EliidiEdward 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amiiiiinaaa

  • @SifaBushashire
    @SifaBushashire 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unafanyamambo mwanadamu hawezi kufanya💯💯🇨🇩🇨🇩

  • @AreggAregg-u2h
    @AreggAregg-u2h 4 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu wasumbe naomba unipiganie katika maisha yangu pamoja nafamilia yangu

  • @JulianaJimmy
    @JulianaJimmy 8 หลายเดือนก่อน

    NAJIUNGAMANISHA NAMATAMKO NAMAZABAHU YA VUKA JORDANI

  • @mercychelangat1589
    @mercychelangat1589 8 หลายเดือนก่อน

    Aman mtumishi Wa mungu

  • @RenathaTimbeganya-cr2fk
    @RenathaTimbeganya-cr2fk 8 หลายเดือนก่อน

    Kwasasa ninamwaka mmoja naumwa sindano mungu wasumbe niseidie

  • @RebecaKirway
    @RebecaKirway 8 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba mungu alie hai anivushe katika majaribu ninyopitia katika ibada hii matmko nami natamka kwamba mungu naomba ufunike anga langu na watesi wangu asante mungu aliye hai

  • @OLGANeema-z3f
    @OLGANeema-z3f 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @berthamsema
    @berthamsema 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @SamyPharmacy
    @SamyPharmacy 8 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa 47:49

  • @berthamsema
    @berthamsema 8 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha namazabau ihi na familia yangu

    • @Angela-n5k
      @Angela-n5k 5 หลายเดือนก่อน

      Najiunganisha na familia yangu katk madhabahu kwa jina la yesu.

  • @EsperanceNahimana
    @EsperanceNahimana 8 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni bwana

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 8 หลายเดือนก่อน

    AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN

  • @AdellaBirangwa
    @AdellaBirangwa 8 หลายเดือนก่อน

    Najiungalisha na ibanda ya leo e bwana yesu nakuomba uniudumiye kupitiya ibanda ya leo

  • @MerianMtweve
    @MerianMtweve 4 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na mm kwenye ibada hii ya baraka

  • @AreggAregg-u2h
    @AreggAregg-u2h 8 หลายเดือนก่อน

    Matamko, mwanzo 22:1;3

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeni,,,,Ameeni,,Ameeni.... Mi nilikuwa fb jumapili, jumatano,,,, 14/04 leo kumbe mko TH-cam huku.... FB sikuwaona kabsa.....

  • @JoshuaMakassy-x8y
    @JoshuaMakassy-x8y 20 วันที่ผ่านมา

    Good

  • @AreggAregg-u2h
    @AreggAregg-u2h 8 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu ninaomba unihurumie ili nami niuone mkono wako

  • @RenathaTimbeganya-cr2fk
    @RenathaTimbeganya-cr2fk 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba bank wanipe ella nifungue biashara kubwa sana