KUJITENGA NA ROHO YA MANUNG'UNIKO | 21-10-2020 | FULL VIDEO HD
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ต.ค. 2020
- Ibada ya Jumatano iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania Tarehe 21 October 2020,Ikiongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha
Amen Amen amen amen amen amen amen amen 🙏🙏🙏
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA napokeya Kwa jina la YESU kristo amen
Niondoshee roho ya Manunguniko Mungu wa mtumishi Sumbe, Yesu Christo
Muñgu wangu wa mbingu Mimi na familia yangu najiungamanisha na mazabahu hii kwa jina la Yesu kristo tutenge katika roho ya manung,uniko
Yesu kristo nifunguwe naroho yamanunguniko
Mungu nitenge na roho za manunguniko
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I 🙏🙏🙏🙏🙏
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Glory to God Amen ✝️🇹🇿🇯🇵🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️
❤❤❤Muñgu ba Baba niondolee roho ya manung,uniko
Naomba musaada Mungu aponye mume wangu na amupe kibali ya kazi za muzuri naulinzi naukingo kwa nyumba yangu Mungu atupiganiye vita bya wa chawi na walozi amen
Amen nimepokea ❤
Asante sana Bishop mungu azidi kukutia nguvu,,,nnakupata nikiwa Kenya.
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏
Naitwa elisha Athuman mfuru niko mwanza napokeya Kwa jina la YESU kristo amen I receive I receive I receive
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏
Napokea jkwa jina la yesu
Amen Amen amen amen amen 🙏🙏🙏🙏
We Yesu nifunulie mambo yaliyojificha ndani ya familia yangu
Nashukuru hii neno imenifungua kabisa Askofu barikiwa na Mungu akuzidishie.
Amen,amen Mungu akubariki baba askofu uishi maisha marefu ya Baraka
Ameen,ubarikiwe mchungaji Kuna namn a nafunguliwa kwa nguvu za mungu aliye hai
Amina mtumishi wa mungu
Haleluya namshukuru Mungu sana kutupatia Mtumishi ambaye anasikiliza sauti ya Mungu na kuitii na kutufikishia ujumbe kama ulivyo bila kupunguza au kuongeza Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu aliye hai.
Akufunuriye n'a Aya beshop
Naomba maombezi ya biashara yangu ya spare zamagari uchumi afya nyumban biashara familia uchumi wangu familia watoto wazazi kibali nyota yangu ingae Kwa jina la YESU kristo amen
Bwana yesu usinipite
Ameen
Amen amen mtumishi, niko tayari naomba Mungu aniwezeshe
Amina napokea nikiwa oman
Amen Amen amen amen 🙏🙏
I receive I receive I receive I receive I
Napokea kwa jina la Yesu naomba uniombee bishop nasumbuliwa na kifua kinawaka Moto
Eiiimen Mungu Nijaalie neema na Kibali katk Maisha yangu
Amen men of God
Mungu nitenganishe na roho yamañuguniko na unisamehe
Amen Amen 🙏🙏🙏
Amen
Mungu nitenganishe na roho za manuguniko katika Jina La yesu kristo 🙏 🙏 🙏
Mungu atuepushe na maroho ya manung'uniko
Mungu nisaidie
Ee mungu nifungue
Ahimidiwe Mungu baba wa bwana wetu Yesu krisito
Amen Amen Amen Baba🙌🙌🙌
Mungu uniondoleye roho yamanunguniko kwajina la Yesu🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amina
mungu naomba nitenge na roho za Manunguniko...kwa jina la yesu
Huyo nimimi kweli Mungu anisaidiye 🙏🙏
Ubarikiwe baba
Nakubali amen
Amen napokea kutoka🇰🇪🇸🇦
Mungu nisaidiye kwa kunitenga na roho za manunguniko
EE MUNGU NAOMBA UNITENGE NA roho ya manung'uniko KWA JINA LA YESU KRISTO AMEEEN
Mungu akupe kibali na ufunuo zaidi na zaidi uwezi kutufunguwa kweny vifungu tunavyo vitumikia bila sisi kujuwa ...Mungu na akupe media ambazo zitawafikia na watu ambao hawawezi kuangalia online ..Mungu wa Mbinguni akubariki...
Hallelujah napokea kwa jina la Yesu kirsto
Asante Bwana Jesu kwa wema wako. Baraka tere katika Jina La Yesu Christo mwokosi wetu
Amen amen
Amen 🙏🏾🙏🏾
Barikiwa sana Elibariki sumbe Mungu na nguvu za Utukufu wa Bwana hakika uu juu yako Haleluya na Ameen
Yesu nifungue kwenye roho ya mizimu nrehemu eemungu niponye bwana nipo kwenye familia ya mizimu imefunga maisha yangu imemfunga mama yangu mzazi ee mungu niponye yesu yesu yesu gusa. Maisha yangu Mimi maskini Mimi mwenye dhambi nisamehe makosa yangu nisamehe dhambi zangu najakwako bwana
Nabarikiwa
Nabarikiwa
Thanks bishop
Namimi nifungua Roho Yakunungunika
Fungika na mapepo yako,majini yako ,mizimu yako kwa jina LA YESU
Mungu akutunze bishop wetu sumbe unatoa vitu vya Sirin ili kutufungua
umefunuwa sili leo .Mungu wangu hiyi video leo nafunguliwa kifungo ca myaka mingi🙌🙌🙌🙌🙌🙌13.05.2022.
Mungu ahimidiwe
Najitenga.na roho ya manung,Niko kwa Jina LA Yesu
Amen Amen
Mungu wangu unitenganishe naroho zasiri atanawatoto wangu birakusahawu nawadada zangu amen👏👏
Yesu nifungue usiku huu
Amen 🙏
Ee Mungu nitolee roho ya Manung'uniko maana moyo wangu imeumizwa na mambo mengi.
Niombee
Kwa jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu Kristo
Bishop naomba umwombee mama yangu yupo musoma anasumbuliwa na kifua na vitu vinatembea mwilin mwake
Mungu atusa idiye sana
Mungu akupe Radio na Video television
Baba ni tumiye kiongpzi wako na mimi Nina itaji kushuulikiwa kialaka
Roho mtakatifu apige muhuri
Asante
Amen amen I received
Nimeshafunguliwa kwa kukusikiliza tu
naikataa loho ya manung'uniko kwajina layasu kristo alie hai
Amini Amini
Asante Yesu kwa kunifungua Leo... Glory to God.Amen
Ameeeen mtumish wamung
Amen Amen Amen Amen Amen
MUNGU NI tenge na hiyo roho ya manguniko
Amen Amen Amen ❤❤❤
Yesu asanteee
Amen amen I receive it in Jesus name 🙏 🙌 ❤️ ♥️
Live long Bishop
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
amina pastor
❤❤❤
MUNGU NISAIDIE MIMI MWANAO
Amen yesu
Napokea kwa jina la Yesu.Ameen🙏🙏🙏
Amen
Aminaa
Amen, hakika njiani zangu zimefunguka katika jina la Yesu!
Amen hata kwa niaba ya familia yangu
Amen hata Kwa niaba ya familia yanga
Every true
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Manung'uniko ya kichawi toweka kwa mama yangu kwa jina LA YESU
😅
😅😅
Haleluyaa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Eemugu niguse uniepushe na matamko mabaya