🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @anthonysambali7274
    @anthonysambali7274 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Mtumishi wa Bwana

  • @BenadethaEssore
    @BenadethaEssore หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi kwa neno lenye uhai

  • @danielambonisye6261
    @danielambonisye6261 หลายเดือนก่อน +1

    Ki ukweli kwenye somo hili leo nimecheka sana ila somo hili ni zuri sana nimegundua pia ninyi mmechaguliwa kwa kazi hii yaani mnatoka mbinguni yaani mnashiriki vikao vya mbinguni kabisa, ila masomo ni magumu kwa sababu ni uamsho halisi maana hata zekaria alipoamshwa aliulizwa unaona nini alitaja vitu ambavyo alikuwa havioni hapo kwanza ikabidi aulize maana yake akapata maelekezo kama hivi tunavyopata kutoka kwenu mfalme Tengwa na nabii Alfa
    Mubarikiwe na Bwana Yesu Kristo aliye hai

  • @safarisurumbu1973
    @safarisurumbu1973 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie katika kipindi hiki kigumu

  • @JoelRukunda-mk7xg
    @JoelRukunda-mk7xg 2 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana wateule wa Mungu ambao mmewekwa kwa nyakati hizi. Hapa nimeelewa sababu ya Bwana Mungu, Mungu wa Ibrahim kumuweka mzee Isaka kuwa kipofu katika uzee wake maana hakua ameliamini Neno la Bwana lililosema. " Mkubwa atatumikia mdogo" maana Mungu angemuachia macho yaone uzeeni angelimuona Yakobo wazi wazi

    • @tengwatv
      @tengwatv  2 หลายเดือนก่อน

      @@JoelRukunda-mk7xg UBARIKIWE NA BWANA.

    • @JoelRukunda-mk7xg
      @JoelRukunda-mk7xg 2 หลายเดือนก่อน

      @@tengwatv Amina baba yangu

  • @EliyaKizaofficial
    @EliyaKizaofficial 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika somo nigumu mpaka upewe neema na Mungu ili kuierewa, EMungu nisaidie kuerewa.

  • @kalistokihwili
    @kalistokihwili 2 หลายเดือนก่อน +2

    NISOMO LA AJABU,NA LINAHITAJI AKILI NA UFAHAMU WA KIROHO KULIELEWA KWA KINA.

  • @UpendoYusuph-y8u
    @UpendoYusuph-y8u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe na BWANA

  • @ZubedaVicent
    @ZubedaVicent 2 หลายเดือนก่อน

    HAKIKA INJILI HII NI MOTO WENGI WAO WATAJIKWAA KWA INJILI HII, KWASABABU DUNIANI WATU WENGI WAMESHA MEZWA, LAKINI KWA UWEZA WA MUNGU DUNIA ITAWATAPIKA WALIO KUSUDIWA NA MUNGU KUTOLEWA HUMO, SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU PEKEE

    • @tengwatv
      @tengwatv  2 หลายเดือนก่อน

      @@ZubedaVicent AMEN UBARIKIWE MTU WA MUNGU.