"KIUMEUMANA" MWAMPOSA AUMBULIWA MTWARA-MWL SAID KINYOGOLI AWAVAA MAIMAMU WA MCHONGO MKOANI MTWARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL HII

ความคิดเห็น • 59

  • @muhamedkhatib4913
    @muhamedkhatib4913 10 หลายเดือนก่อน +6

    Masheikh wetu endeleen na kaz ya Allah,hao wasojielewa wapotezeen. Sisi tuko pamoja na nyie inshallah

  • @MakrinaLuoga
    @MakrinaLuoga 7 หลายเดือนก่อน

    Yohana 14:6. Matayo. 24:14. Yohana17: 1. 6. Matayo. 10. 32. 33. Mwamposa anamwakilisha yesu duniani. Someni. Wenyewe. Maandiko. Hayo. Kama. Kuna. Mbingu. Ya waisram. Mkasome habari za nabii issa.

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 9 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah,Mashekhe Wet2 Allah Awape Maisha Yalo Mema Na Yalo na kher,Allah awape Nguvu Muzd kufundsha Uislam,

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 4 หลายเดือนก่อน

    SubhnaAllah,jaman Tuwaunge Mkono kw jtihada Wanazo zfanya Mashekhe Wet2 Hawa Wa Dawah,Said juma na Shafii na wengnee wto wakislam

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 9 หลายเดือนก่อน

    Umene madogo lakini wamegusa mioyo wa watu wengi ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah,Shekhe Said knyogol na wenzko

  • @mrok284
    @mrok284 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awape wepesi mashekhe wetu.

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 9 หลายเดือนก่อน

    Alla akubarik shehe wetu

  • @SebastianJugle-lb7ob
    @SebastianJugle-lb7ob 9 หลายเดือนก่อน

    Waislam wengi mataira yamekalia uganga wa kienyeji

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 7 หลายเดือนก่อน

      Hekma na Busara na Heshma ktk Dini ya Mwenzko N Bora Zaid,kw Mana Hukjui usemalo Ndugu,Uislam Ndio Dini Pekee na Ya Haki Mbele ya M/mungu

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 9 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH AKUFANYIE WEPESI MASHEKH WETU KATIKA KUIPIGANIA DINI YA ALLAH.

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 9 หลายเดือนก่อน

    Misikiti ya vijijini kikweli ni mtihani itabidi muwe mnaenda vijijini kutoa elimu ya mashekhe wanaongoza hio misikiti, kuna mambo yaajabu sana

  • @jumaamsuya5
    @jumaamsuya5 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allaah akulinde Isha allaah 🙏🙏

  • @mdemualphonce1559
    @mdemualphonce1559 9 หลายเดือนก่อน

    Hubirini uislam mwamposa mwacheni

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa ALLAH 🇰🇪💚💚

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 10 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana ustadhi waislam wengi ni wamchongo.

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 10 หลายเดือนก่อน

    Allah awahalie kheri Inshallah

  • @Allymbaruku991-lj1om
    @Allymbaruku991-lj1om 10 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar subhanallah

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa uyu anayesema Muhammad kwani ni mtanzania Muhammad si mtanzania lkn ukisoma maandiko katumwa na watu wote na Yesu ukisoma maandiko naye katumwa kwa wana wa Israeli sasa apo jitafakari tumfate nani apo

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 หลายเดือนก่อน

      izo ni akili za mskitini gisi munavyo danganywa nama sheikh wenu,wapi andiko ndani ya qu'ran Muhammad kasema mumufuate!

    • @mrok284
      @mrok284 9 หลายเดือนก่อน

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh
      Acha akili mbaya Quran c maneno ya Muhammad Bali ni maneno ya Allah(sw)

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@mrok284 ndio quran si maneno ya Mungu bali quran ni maneno ya Muhammad,Mungu wa mbinguni awezi kuwa na vitabu never,Mungu yuko na kitabu ambacho ni biblia inatangaza mwanzo na mwisho,conclusion Mungu awezi kuwa na vitabu visivyo elewana,waislamu please tumieni akili kusema kwamba mwamposa awezi kuwa mtume maana ni mnyakiusa iyo sio hoja kwaivo niwaulize waislamu Muhammad ni muisraëli?mbona munadai kuwa yy ni mtume pia Muhammad kuwa mtume kashuka kutoka mbinguni?lakini ata yy Muhammad bado ni muarabu ila mbona amuzungumuzi juu ya ilo siamepoteza ulimwengu mzima!

    • @IbrahimIbrahim-r2x
      @IbrahimIbrahim-r2x 9 หลายเดือนก่อน

      Kwan kati ya YESU na Muhammad nani alietumwa kwa ulimwengu mzima YESU kasema skutumwa ila kwa kondoo waliopotea Wa nyumban ya Israel lakin Muhammad alitumwa kwa ulimwengu mzima hya sas Nan anapaswa kufatwa?

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@JeanMuzaliwa-bs6qhunalo andiko bible ni cha Mungu?

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 10 หลายเดือนก่อน

    Sheikh hasa misikiti ya vijijini inamambo ya kipuuzi sana.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 9 หลายเดือนก่อน

      Kaka hao waliowasema vibaya ni masalafi ndiyo wenye mambo hayo huwa wanawashambulia waislamu wenzao hasa wahadhiri na tabligh

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 10 หลายเดือนก่อน

    Unafiki mtupu

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 10 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo ni njia kweli na uzima waislam wote njooni kwa Yesu Kristo mpate neema ya kuokoka siku ya mwisho.

    • @samsiakassakangeta1780
      @samsiakassakangeta1780 9 หลายเดือนก่อน

      Kama Yesu ni njia je njia huita watu ao ni watu ndio huipitia njia kadiri wapendavyo?

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@samsiakassakangeta1780@ njia kwa wana waizrail 15:24 mathayo

    • @issaabdallah7660
      @issaabdallah7660 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli yesu ni njia ya uzima na ndio maana sisi waislam tunafuata njia yake ukisoma ktk maandika yesu anasema jitieni nira yangu mjifunze kwNgu maana mimi ni mpole na mnyenyekevu unyenyekevu ndio uislam kwa lugha ya kiarabu ukisoma biblia yesu alisherehekea sikukuu ya idd je, idd wanasherehekea kina nani?

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 หลายเดือนก่อน

    sasa ivo nikuulize swali Muhammad nimu tanzania mbona mumemufuata waislamu wote duniani wajinga pia waislamu wote motoni

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 10 หลายเดือนก่อน

      Moto wa bibi yako?

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 หลายเดือนก่อน

      @@faudhiasaidi3669 rarudia tena waislamu wote duniani motoni kwa kumufuata mtume wauongo Muhammad!

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 10 หลายเดือนก่อน

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh
      Tangia lini mfuasi wa mwamposa akawa na akili

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 10 หลายเดือนก่อน

      @@faudhiasaidi3669 afhazali kuwa mufuasi wa mwamposa kuliko kuwa mufuasi wa Muhammad mtume wa majini mtume ambae alie msilimisha shetani akawa muislamu!

    • @aliabdallah4233
      @aliabdallah4233 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hhhhh peponi utaenda wewe kwa kuimba kwaya

  • @SebastianJugle-lb7ob
    @SebastianJugle-lb7ob 9 หลายเดือนก่อน

    Waislam wengi mataira