ความคิดเห็น •

  • @anuarrymriri3587
    @anuarrymriri3587 7 ปีที่แล้ว +1

    Skk said shk mazinge dkt sulley
    Muft yahaya na wahazil wote
    Allah awape maisha malefu mzidi kuwafundisha wasio elewa kilicho waleta hapa dunian
    Allah awape pumzi Ishaallah
    na wataeelewa hao makafil wasio mjua Allah na m2me wake Muhammad S.a.w

  • @timabushuti2065
    @timabushuti2065 7 ปีที่แล้ว +7

    Bisimillah Walakuata innabillah TabarakaAllah

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 8 ปีที่แล้ว +14

    Allah awajalie kila la kheri nyote munaofanya Daawa.Wallahi nawapenda sana ndugu zangu waislamu.kwani hiyo ni hidaya kubwa muliopewa na Allah .tusemeni ALHAMDULILLAH.

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 6 ปีที่แล้ว

    nikweli hatamiminawapendasanaa pianawatakia maishamalefu nawakawenimfano wakuingiapeponi nasitukifuatia

  • @bonfilshabonimana4159
    @bonfilshabonimana4159 7 ปีที่แล้ว +5

    I real enjoy it kabisa Allah akuzidishie ingekuwa kilasiku mafunzo kahayo watu wengi wange slim kwasababu wengi hawaelewi ndio mana wanafatafata tu

  • @tiamo726
    @tiamo726 8 ปีที่แล้ว +11

    am aa christian but i love this guy please muslims lets not hate eachother i love this religion too

  • @mgeniali1768
    @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah Allah awalipe ujira mwema mashekh wetu na pamoja na wasilam wote In sha Allah

  • @paulwanyama8096
    @paulwanyama8096 7 ปีที่แล้ว +5

    mwenyezi mungu awazidiehie masiku ilimupate kutufunza zaidi..

  • @naeemagrace2425
    @naeemagrace2425 7 ปีที่แล้ว +3

    ningelikua bado sijaolewa ningeomba uniowe hata kwa Ayatul kursih, napenda san Saidi Kinyogoli kwa hekima nabusara wako unapo elimisha watu, Allah akujalie nama Sheikh wetu wote Jannat Firdausi

    • @omarchaijefwa729
      @omarchaijefwa729 ปีที่แล้ว

      Mashallah, MUNGU Akuongoze kwenye haki amiin

  • @mwasimwajambo4686
    @mwasimwajambo4686 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabarakallah Mungu awaongoze kwa kila jambo

  • @zainabuisiaka9969
    @zainabuisiaka9969 6 ปีที่แล้ว +3

    Bisimillah Masha Allah

  • @peacefulabdhulhakeem3032
    @peacefulabdhulhakeem3032 8 ปีที่แล้ว +3

    WAALEYKUM ASALLAAM WARAHMATHULLAH WABARAKATHU OUR DEAREST BELOVED BROTHER, MUHAMMADH ABDULKAREEM!!!

  • @peacefulabdhulhakeem3032
    @peacefulabdhulhakeem3032 8 ปีที่แล้ว +2

    MASHAALLAH! ALLAH BLESS ISLAM & MUSLIMS AND ALSO GUIDE THE ALL THE NON-MUSLIMS TO YOU'RE ONLY CHOSEN BEST RELIGION, AL-ISLAAM!!!

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 7 ปีที่แล้ว +5

    mashaAllah nimejifunza mengi alhamdulillah mola awape afya njema na awalinde na kila baya mbele yenu

    • @zaidiboko3515
      @zaidiboko3515 5 ปีที่แล้ว

      Nashukuru mwenyezi mugu awatakie mfugo wa Ramadhan karim

  • @MrManchoso
    @MrManchoso 8 ปีที่แล้ว +3

    Ustadh Saidi Allah akulipe kheri waumin tumejifunza mengi kwenu

  • @timabushuti2065
    @timabushuti2065 7 ปีที่แล้ว +5

    ALLAH wazidishie umri wazidi kutufunza

  • @salumharuna5872
    @salumharuna5872 2 ปีที่แล้ว +3

    MASHAALLAH

  • @abedfofakali477
    @abedfofakali477 7 ปีที่แล้ว +2

    allah akbaru allaawafanyie wepesi mashekhe wote semeni amini

  • @mohamedothuman3233
    @mohamedothuman3233 8 ปีที่แล้ว +2

    nawatakiaaa Kila Laheri kwakutoaa Dawaa muweze kueelimisha ulimwengu inshaal nawatakia Fadhila njema

  • @awadhkhamis1767
    @awadhkhamis1767 8 ปีที่แล้ว +2

    waaleikum salaam shekh Muhammad abdulkarim Allah awahifadhi ndugu zangu

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah 💓

  • @ismailw4641
    @ismailw4641 9 ปีที่แล้ว +3

    MAANSHAALLAH

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 7 ปีที่แล้ว +1

    Allahu akbar takbir

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 2 ปีที่แล้ว

    Mungu alipowanyima roho mtakatifu aliwamaliza kabsa mtautafuta sana ufalme wa Mungu na hamwezi ,Ila kupinga na kubadili maana ya maandiko mpo vzr sana na wajinga wasiojua biblia wanazani mpo sahihi ,,

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 2 ปีที่แล้ว

    Haya ni mafundisho yalio wazi kabisa kabisa ila uongofu ni wake yy Allah

  • @ahmadimpili5456
    @ahmadimpili5456 6 ปีที่แล้ว +1

    Kinyogori mola akuzidishie.

  • @abdulkinega915
    @abdulkinega915 7 ปีที่แล้ว +1

    Ewe mwenyezimungu wape afya njema waendelee kulitangaza jina lako

  • @rshomary
    @rshomary 9 ปีที่แล้ว +1

    Ustaadh habib kinyogoli m/ungu akuuongoze unajitahidi sana vijana Kama nyie ndio mnatakiwa kutongoza ktk dini yetu tukufu..
    Napenda kumsikiliza anavyoongea.

  • @seifali5973
    @seifali5973 8 ปีที่แล้ว +1

    mungu akubarik ustadh said endelea na kazi ya mungu na ufe katika dini ya kiislam na allah awe radhi na wewe na waislamu kwa jumlaa duniya nzimaaa

  • @saumumohammad8174
    @saumumohammad8174 8 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH Azidi kuwaongoza na azidi kuwapa umri mrefu muzidi kutuelimisha maana sisi tulo mbali nanyi twafaidika Wallah

  • @asiamatitu6456
    @asiamatitu6456 8 ปีที่แล้ว +1

    Allah ajaalie kazi za da'awa mnazofanya ziwe ni sababu ya kuwafanya wasio waislamu kuujua ukweli na kufuata njia ya haki in shaa allah! Na mpate malipo makubwa kwa Allah S.W.

  • @faridafarida3280
    @faridafarida3280 7 ปีที่แล้ว +1

    inshaallah mwenyezimungu akuzindishie uzidu kutukumbusha

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว

    Huyo msomaji ananikoshaga 😂

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah Saidi Kinyogoli napenda unavyoelimisha,Mimi ningeomba unioe kwa suratul ikhlas hata kama ni mke wa 2 ama 3 hakuna shida

  • @misigaroradjabu8587
    @misigaroradjabu8587 9 ปีที่แล้ว +2

    youtub is the best.

  • @mullershallshall739
    @mullershallshall739 6 ปีที่แล้ว

    Allah Awape Husunulkhaatima mwisho wenu....Awape Taufiq kwa Daawa yenu..shkh Said usichoke kumtangaza Allah....

  • @hassanirashidi1906
    @hassanirashidi1906 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuongoze shehe

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 10 หลายเดือนก่อน

    mhadhara mzuri

  • @miambayankeba1084
    @miambayankeba1084 ปีที่แล้ว

    Ilmu iko apa

  • @yesusimungu9084
    @yesusimungu9084 7 ปีที่แล้ว +1

    Kin'yogoli

  • @sofiayahya5837
    @sofiayahya5837 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah kinyogori kaanzia mbali.m.mungu atamlipa kheir ishaAllah kaz wanayofanya sio ndogo

  • @hassanirashidi1906
    @hassanirashidi1906 2 ปีที่แล้ว

    Alaah akkbar mungu akuonge walahi naflai kuona warithi wa mazinge mungu mkubwa

  • @othmanabdallah1948
    @othmanabdallah1948 7 ปีที่แล้ว +1

    Allah awajalie

  • @muhammadabdulkarim962
    @muhammadabdulkarim962 8 ปีที่แล้ว +2

    Assalam Aleikum ..

    • @princeomar3492
      @princeomar3492 7 ปีที่แล้ว

      Muhammad Abdulkarim Asalam aleykm

    • @waziri19
      @waziri19 6 ปีที่แล้ว

      Jazaka llah khairah

  • @hassanirashidi1906
    @hassanirashidi1906 2 ปีที่แล้ว

    Shehe kinyogori mungu akuingize katika pepo yake

  • @abdiqaanurow5924
    @abdiqaanurow5924 ปีที่แล้ว

    M.à

  • @mshanganimkotopaja1633
    @mshanganimkotopaja1633 6 ปีที่แล้ว

    Najisikia raha sana nikikusikiliza shekhe wangu saidi kinyogoli wewe ni hatari wa dawa

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 7 ปีที่แล้ว +1

    mola awabariki

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 5 ปีที่แล้ว

    shekh kinyagoli allah akujaalie umri mrefu ila naombeni namba zenu wew na ustadhi mazinge na maulana

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 ปีที่แล้ว

    alhamdulillah kwakuwa muislam

  • @salimaljabri1510
    @salimaljabri1510 7 ปีที่แล้ว

    nnnnnnn

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 6 ปีที่แล้ว

    Allahubariq

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 2 ปีที่แล้ว

    Mashalla

  • @allyjabily7957
    @allyjabily7957 6 ปีที่แล้ว

    Ishaallah

  • @happnessulomi7815
    @happnessulomi7815 7 ปีที่แล้ว

    wapendwa waislam kuhusu swala la mungu kuzaa msizungumie kama mnaweza naomba unifafanulie kuhusu kua ni nan aliesababisha kuzaliwa kwa yesu mkiweza ntashukuru

    • @ubahahmed9811
      @ubahahmed9811 6 ปีที่แล้ว +1

      happness Ulomi mungu ndio aliyesababisha yesu azaliwe
      Adamu hakuwa na baba wala mama ila Mungu akasababisha awepo
      Malaika hawana wazazi ila kwa uwezo wa Mungu akawaumba
      Kwa miujiza kama kawaida yake Mungu akamleta Yesu kimiujiza bila baba
      Mungu akisema kua na jambo hukua

    • @abeidabbas9398
      @abeidabbas9398 6 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu naomba Mungu akuongoze kwenye njia ilionyooka amiin

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 ปีที่แล้ว

      Ni Allah peke yke nd mwenye uwezo uo hakuna mwengine na amefanya ivo ili kuthibitish uwezo wke

    • @alimassea612
      @alimassea612 6 ปีที่แล้ว

      happness Ulomi nani aliesababisha ww uzaliwe?

    • @yussufmaalim3499
      @yussufmaalim3499 6 ปีที่แล้ว

      Mungu ndie amesababisha yesu akazaliwa kwa neno kunfayakun kuwa linakuwa

  • @lenjeevara3407
    @lenjeevara3407 6 ปีที่แล้ว

    pwaaaaaaaaaa

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 2 ปีที่แล้ว

    Haya ni mafundisho yalio wazi kabisa kabisa ila uongofu ni wake yy Allah

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 ปีที่แล้ว

    Allah azidi kukupa afya ustadh kinyogol

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 6 ปีที่แล้ว

    Mnahisani gani ninyi wabakaji na wafuga majini

    • @hassansumera7818
      @hassansumera7818 3 ปีที่แล้ว

      Samahani lidya lete dalili ya kuthibitishia umma wote wa waislam na wasio waislamu ya kwamba uislam na waislam ni wabakaji na wafuga majini please kindly produce tangible evidence, vinginevyo tuombe msamaha Kwa kutukashifu na kutuzulia ubaya huo mkubwa kabisa Tena Kwa hekima na utulivu.

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 2 ปีที่แล้ว

      @@hassansumera7818 huyo asikuumize kichwa ni katika vipofu hao

    • @AllySully
      @AllySully 6 หลายเดือนก่อน

      Mshirikina siku zote hawezi kuamini Haki hususan makafir.