MZEE WA UPAKO DAVID MWAMBIGIJA AWASHA MOTO MBARALI UBARUKU ATEMA CHECHE KUELEKEA UCHAGUZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • IPINDA ONLINE TV........Asante kwa kuchagua Ipinda online tv.......usisahau Kusubscribe Channel yetu

ความคิดเห็น • 19

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 หลายเดือนก่อน

    Kidume ndani ya nyumba Mwambigija boy kaka umetishiaa

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 หลายเดือนก่อน

    Mwambija is the big brain thinker creat lmotion into Tanzania population vsry brave politician explain let Tanzania population understand vary clear

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 หลายเดือนก่อน

    Asante Mzee wa Upako unaongea ukweli,Mungu akutunze daima.

  • @user-gx3jp6uk2f
    @user-gx3jp6uk2f หลายเดือนก่อน

    Mwambigija umezungumza na kuchambua vizuri sana lakini nyumbu wa ktz hawawezi kukuelewa.

  • @christosiadanieli6512
    @christosiadanieli6512 หลายเดือนก่อน

    heko mchungaji umeongea sana sijui hawa wanyonge wataelewa

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 15 วันที่ผ่านมา

    Politics politics politics 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 หลายเดือนก่อน +1

    Mbeyea imesimama vizuri viongozi wake wa chadema

    • @tumainimwaifunga3884
      @tumainimwaifunga3884 หลายเดือนก่อน

      Sana, msigwa alitaka kuharibu

    • @abdalahgunda1319
      @abdalahgunda1319 หลายเดือนก่อน

      Ase hiki.kichwa kinaakiki Sana ya kuongea mungu akilinde mwambija kutoa elimu kubwa kwa watanzania wenye vichwa vigumu wanaosema siasa haiwausi shamba la ujinga

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 หลายเดือนก่อน

    Aisee Chadema inawatu wanajua kupanga hotuba vizuri

  • @noelyhaule5695
    @noelyhaule5695 หลายเดือนก่อน

    wa kwanza😂😂

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน

    Kaka mbowe ebu kipaji cha mwambigija mbona hamkitumii vizuri? Ebu Tanzania nzima mtumieni huyu jamaa

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน

    Chadema tupeni Uhuru wa nchi hii,hawa majambazi CCM wanatumaliza watanganyika

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s หลายเดือนก่อน

    Mbwa ni nani kati Yako na uyo mzee yawezekana ujijui wewe ni nani kwa coment Yako nimekuja kumbe wewe sio mbwa TU Bali ni mbwa koko

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน

    CCM kweli hawana akili. Wamekuwa wakiuwa watu tena wanatumia kwa kutumia vyombo vyao kuwateka watu na kuwatesa. Lakini CCM hawajielewi CCM sikwamba wanawathamini warabu na baada ya kuwatoa wamasai bali wameenda kuwapandikiza warabu ili wapate nafasi ya kuporawanyama kupeleka uwarabuni. Maana wamewapeleka warabu kwa sababu Dubei wameanzisha ifadhi ya wanyama kwahiyo ni wakati wa kujaza ifadhi yao ya Dubei wanyama. Na ndiyo sababu wanagawa hongo kama njugu ili wapate uchaguzi wa 2025 ili Samia aweza kuwezesha Ifadhi ya Dubei na warabu waweze kubeba wanyama, nyara za tembo na watamalizia wanyama walipungua hapa kwetu ili kufunga watalii kuja Tanganyika badala yake watalii watakwenda Dubei na huyu mama naye hatakwenda Zanzibar atajiendea Dubei. Kwa sababu hata roho ya Kizanzabari hana.

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

    Huna lolote acha kashfa kuna cku utashitakiwa mbwa ww