DIDA ACHARUKA, ASHUSHA KICHAMBO WANAOMSEMA kwenye MAHUSIANO YAKE - " SIOGOPI KUACHIKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 76

  • @cathyrineWanjala
    @cathyrineWanjala ปีที่แล้ว +6

    Dida mm Huwa nakupenda sana dadangu jiachie dada from kenya

  • @Mamudigal
    @Mamudigal ปีที่แล้ว +5

    Santaaa dida kwa raha zako much love from Kenya 🇰🇪❤🫶❤

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว +4

    Mr Nana ana enjoy hapo kwa dida!!!! Maana Dida ako kwenye haba zito sana!!!!!!

  • @ShemsaHassan-d1r
    @ShemsaHassan-d1r 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tuombe mwisho mwema wallah na iyi mitandao iyi innalilah wa innailay rajuun tujifinze kitu

  • @SalmaSaid-w1c
    @SalmaSaid-w1c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allha akupe kauri thabity dida umeondoka bado tunakiotaji❤

  • @husnaabdullah3009
    @husnaabdullah3009 ปีที่แล้ว +1

    Dida wakuachwe nipe ujasili mamy enjoy ❤nakupenda mpaka nakuhurumia

  • @vero57
    @vero57 ปีที่แล้ว +1

    Haya sasa dida tunakuekewaaa leo 7 /2/2024

  • @halimaandwr6230
    @halimaandwr6230 ปีที่แล้ว

    Dada didaaaaa,,, njooo chukua peps baliiiiiiiid💋💋💋💋💋💋💓💓💓💓💓

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 ปีที่แล้ว +2

    Sawa Dida tumekuelewa😂❤

  • @BalkissMuhammad-c5o
    @BalkissMuhammad-c5o ปีที่แล้ว +2

    Bismillah astghafirullah ya ni unajisifu zinna subhanallah Yani utakihata kuhomba Allah akupemwichomwema yaan unajisifu utahijoyi pakasiku dunia itatafuka astghafirillah😢

  • @nayarichard5318
    @nayarichard5318 4 หลายเดือนก่อน +1

    Future participle tense😂😂😂.....pumzika dada❤😢

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂 mbona perfect. Hahahahahaaaaaaaaaaaaa hii ni present bhana😂😂😂😂😂

  • @omanmct135
    @omanmct135 ปีที่แล้ว +1

    Dida ana sema sana 😂

  • @devothafesto9853
    @devothafesto9853 ปีที่แล้ว +1

    Present perfect

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 4 หลายเดือนก่อน

    Dida masikini kifo akina Uruma
    😢😢😢😢😢😢

  • @sophiahmedza929
    @sophiahmedza929 ปีที่แล้ว +2

    Uliopo ni present tense😂😂😂babu Iddi

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiiii future anajua Mungu😂😂😂😂😂😂

  • @ElizabethKujerwa-qs3pl
    @ElizabethKujerwa-qs3pl 4 หลายเดือนก่อน

    Ila dida😂😂 et past participle tense….pumzika kwa amani mama😢🙏

  • @nannakhamis5350
    @nannakhamis5350 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢didaaa

  • @HadijaMussa-cf4em
    @HadijaMussa-cf4em 4 หลายเดือนก่อน +1

    Rip😢

  • @wardakangezi6942
    @wardakangezi6942 ปีที่แล้ว

    Safi Sana dida

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 11 หลายเดือนก่อน

    Nyiewenyewe wamwea wa kuingiria maisha ya watu mkome

  • @ms_teeonly
    @ms_teeonly 3 หลายเดือนก่อน

    Imeniuma 😢😢😢😢

  • @aminasaid9382
    @aminasaid9382 ปีที่แล้ว

    Warereeee mwanamke kujiamini bwanaaa ,Wueehwueeh jinafas kwa raha zako ama aje

  • @Kiduly001
    @Kiduly001 ปีที่แล้ว +15

    Ila wamama wa bongo wanafurai sana wakiwa kwenye mausiano na sio ndoa na pia wanafurai wakitembea na vijana

    • @aishahasan7722
      @aishahasan7722 ปีที่แล้ว +4

      Uzinzi umewatawala ndomna
      Wanadumu kwenye uzinz ndoa hazidumu😂😂😂mtihan sn 😊

    • @shemsahamad
      @shemsahamad ปีที่แล้ว

      @@aishahasan7722 on my

    • @lydi791
      @lydi791 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂maisha nimafupi

  • @aishahasan7722
    @aishahasan7722 ปีที่แล้ว +6

    Sasa km daimond kakupost huyo daimond simzinzi mwenzio km ww tuu😂😂😂ukiolewa hudumu ila kwenye uzinz mnadum Astaghafirullah mtihan

  • @DianaMacha-jf8gw
    @DianaMacha-jf8gw ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanaume apunguze kudakia dakia bhana

  • @salisali4727
    @salisali4727 ปีที่แล้ว +2

    English shida kwa Watanzania

  • @happynesslnc2044
    @happynesslnc2044 ปีที่แล้ว +2

    asante dida umenifuraisha sana watu kuwa sema wenzao kuwa wakubwa wanatembea nawatoto mm mwenyewe yananikita uku dida jiachie

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 ปีที่แล้ว +2

    Da sawa 👏👏🥰🥰🥰❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FatmaAbdala-bu9zl
    @FatmaAbdala-bu9zl 6 หลายเดือนก่อน

    Kumb wameludian❤❤❤

  • @PendoNtandu-s4i
    @PendoNtandu-s4i ปีที่แล้ว +1

    Eti perfect wakati uliopo😂😂

  • @VeryniceReginald
    @VeryniceReginald ปีที่แล้ว

    Waambie dada dida

  • @didasjoseph442
    @didasjoseph442 ปีที่แล้ว +1

    Idris eti perfect wakati uliopooo hahaha na dida nae future participle tense daa sio poa kabisa

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy ปีที่แล้ว

    Dada ana uso mzito!

  • @kagoyemwambal9061
    @kagoyemwambal9061 ปีที่แล้ว

    Kwenu..Kwa wezenu mnawasema..kweli uzinzi Bora kuliko ndoa. dunia lnafika mwisho..

  • @davidmwandenuka1712
    @davidmwandenuka1712 ปีที่แล้ว +2

    Dida wewe wa kawaida sana yaani unajionankeki sanaaa unajiona nzuri sanaaaaa

    • @lydi791
      @lydi791 ปีที่แล้ว

      Punguza wivu🤣🤣

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 ปีที่แล้ว +2

    Mapenzi haya chaguwi ubri jamani ila hakikisha unapendwa kisawasawa

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 4 หลายเดือนก่อน

    Present tence, past tence, and continuous tence. 😂😍 R.I P Dida....🙏

  • @athumanmwanga7432
    @athumanmwanga7432 ปีที่แล้ว

    Jaman kwan masham sham mbn me kwangu aionekan king'amuzi cha antena na ailuki

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 ปีที่แล้ว +2

    Dida wewe ni kiboko! Upo sahihi

  • @salisali4727
    @salisali4727 ปีที่แล้ว

    Watumishi wa wasafi vipi na kutosoma

  • @gracejulius6913
    @gracejulius6913 ปีที่แล้ว

    Nimecheka mno leo jmn 🤣🤣🤣

  • @shirfadigubike7920
    @shirfadigubike7920 ปีที่แล้ว

    Wakati ni wako dida injoy

  • @gharibsomali4595
    @gharibsomali4595 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ww jini kabuka ulipiwe ww umri huo subiri kaburi tu sura ishatangulia ahera hiyo

  • @Kazubassyathyvry89
    @Kazubassyathyvry89 ปีที่แล้ว +2

    Hao vijana unao fanya nao kazi wanakudanganya,wenyewe Bado vijana ww bibi tulia,, ,,pumzi isikudanganye.

  • @AsiaGanja-ko6vl
    @AsiaGanja-ko6vl ปีที่แล้ว

    Bibieee kwendraaa tuxhakuchoka hvyo

  • @DianaMacha-jf8gw
    @DianaMacha-jf8gw ปีที่แล้ว

    Kipindi wamwachie dida huyu chawa anatunyima uhondo hana pont asiongee sana apunguzw sifa

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha ปีที่แล้ว +1

    Chamba kabisa hao mbwa wananikela hata Mimi

  • @vero57
    @vero57 ปีที่แล้ว

    Wacha weee!!! Dida

  • @MwanaidiAmiri-g2k
    @MwanaidiAmiri-g2k ปีที่แล้ว +1

    Ww sio mwanamke WA kitanga mwanamke WA kitanga hachiki ovyo ww ustudhalilishe as

    • @NeemaNyangure
      @NeemaNyangure ปีที่แล้ว

      Kuachik nisiri y watu wawili.kuwa watanga n kuachik nivitu tofaut

  • @SaylamZahoro
    @SaylamZahoro ปีที่แล้ว

    Km kujificha awez mbona kumbila moto alimficha

    • @christinashaban7262
      @christinashaban7262 ปีที่แล้ว

      Umeonaeee hatuwah kuona hata siku moja mdomo mwingi kujitetea

  • @HopeDequeen
    @HopeDequeen ปีที่แล้ว

    Mbn nyie mnaongeleaga ya watu😮

  • @aminnoour4788
    @aminnoour4788 ปีที่แล้ว

    Dida onana unafunga magoli yako watu wanachukia wew endelea kufunga

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du ปีที่แล้ว

    Tatizo umli ww nimtumzima. Soovizuri. Kuana. Adabu pia

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 ปีที่แล้ว

    Idrisa munafiki dida wanakushora😁😁😁idrisa simuamini apo

  • @josianemavukiro4386
    @josianemavukiro4386 ปีที่แล้ว

    Dida tuliya zamu yako Leo lazima tujuwe yote

  • @omanmct135
    @omanmct135 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂

  • @innocentmwagambo9263
    @innocentmwagambo9263 ปีที่แล้ว

    Mbona yule muheshimiwa meya ulimficha mpaka tukaona ndoa tu

  • @vero57
    @vero57 ปีที่แล้ว

    Mdomo una umba didaa lakini

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂