''SIKUMBUKI NIMEAMBIWA ''NAKUPENDA'' LINI / HATA ALIKIBA AMUACHE NAMPENDA - ESHA BUHETI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 59

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 3 ปีที่แล้ว +2

    Eti Amina karibu Wachafuuu acha kihere kihere we ni nani sasa hata usipompenda

  • @spaice995
    @spaice995 3 ปีที่แล้ว +1

    Buheti kama innocent girl I like her 🥰

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu dd kichefu chefu sana diva Mnafiki sana

  • @ashurashamte7571
    @ashurashamte7571 3 ปีที่แล้ว +7

    Mi mwenyewe sikumbuki ni lini niliambiwa na mumewang nakupenda sikumbuki ninamiaka nae 9 kwenye ndoa ila mi ninampend ingawa napitia kwenye magum mengiiiii😪😢

    • @mayahassan1330
      @mayahassan1330 3 ปีที่แล้ว

      😢😢Pole mpenz

    • @khadijahilal3016
      @khadijahilal3016 3 ปีที่แล้ว +2

      Pole dear wengine cjui niseme washamba anakupenda anashindwa kukwambia, me namshukuru mungu naimbiwa kila siku nakupenda mkewangu tunamiaka 11

    • @letisiamakonda3873
      @letisiamakonda3873 3 ปีที่แล้ว

      Poleee

    • @letisiamakonda3873
      @letisiamakonda3873 3 ปีที่แล้ว +1

      @@khadijahilal3016 hongera

    • @letisiamakonda3873
      @letisiamakonda3873 3 ปีที่แล้ว

      Poleee

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +11

    ila diva fisadi sana mnafiki kweli kweli duu

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

      Kipindi chake kuna muda maneno yaugombanishi yamejaa kusema watu

  • @سالمهالرقادي
    @سالمهالرقادي 3 ปีที่แล้ว

    Mashalla

  • @sophialusonzo3594
    @sophialusonzo3594 3 ปีที่แล้ว

    Esha Buheti nampendaga kweli

  • @happykisite3990
    @happykisite3990 3 ปีที่แล้ว +1

    Acheni umbea fanyeni kilichowaleta pia www umemfahamu Amina kupitia Kiba sasa usijifanye unamjua sana utakumbuka na www diva acha kumfutalia familia za watu eti njoo Amina nyooo yule dada anajielewa sana sio kama ninyi pr

  • @jenipherlusekelo9212
    @jenipherlusekelo9212 3 ปีที่แล้ว +2

    Life

  • @binmakka8693
    @binmakka8693 3 ปีที่แล้ว +23

    Diva wacha unafik ww unampenda mke wa alikiba kwa lipi? Kama unampenda usingetaka kuivunja ndoa yake na kukaa ukimuongelea alikiba kwa mabaya tangu utoke kwa team kiba. Wacha kuwa mnafik ww jibwa koko

    • @mereyamhomesmariamhomes3464
      @mereyamhomesmariamhomes3464 3 ปีที่แล้ว

      Chizi huyu

    • @happykisite3990
      @happykisite3990 3 ปีที่แล้ว +1

      Tena jibwa mala kumi ajielewi kabisa

    • @binmakka8693
      @binmakka8693 3 ปีที่แล้ว

      @@happykisite3990 Huyu Sio Binadamu Ni Jibwa Fisi Kabisa. Aty anampenda amina kisha hana hata aibu

    • @fatumaseleman5700
      @fatumaseleman5700 3 ปีที่แล้ว +3

      Ibilisi kabisa huyuu kama anampenda kwa nn atake kumgombanisha na mume wake wa halali kama ulikua umelalwa Kwa nn usikae kimya tuu kama amina angekua nimtu wa kukurupuka c ndoa ingekua imeishia pale malaya sugu huyu dada

    • @binmakka8693
      @binmakka8693 3 ปีที่แล้ว

      @@fatumaseleman5700 Huyu ni jibwa kobe sana

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 3 ปีที่แล้ว +5

    Mpende usimpende ni yeye na maisha yake,

  • @mrs2918
    @mrs2918 3 ปีที่แล้ว +6

    huyu nguchiro tangu aachwe anapenda kujiliwaza kwa kumzungumzia kiba na familia yake

  • @zenajustus5731
    @zenajustus5731 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nashkuru kila leo bwanangu ananiambia i love you zaidi ya mara 5 kwa siku,nashkuru kwa hilo,sisemi ambao hawaambiani au hawaambiwi hawapendani la,ni neno zuri linafurahisha na linatia moyo zaidi.

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 3 ปีที่แล้ว +1

    Diva pumbavu sana kigagula

  • @barryernest9260
    @barryernest9260 3 ปีที่แล้ว +2

    Media zetu bana nyingi hazijengi ni udaku mwingi nakusaka attention

  • @amourdelicieuse2961
    @amourdelicieuse2961 3 ปีที่แล้ว

    Diva Mnafki sana kama aly angekukata kumbi uko tu unamuuza Amina umuko aitaji upendo wako madam 🕷️🕸️

  • @zafarmohamedy3013
    @zafarmohamedy3013 3 ปีที่แล้ว +5

    Tuokoe MB jamn huyu dada hamna k2 😄😄😄

    • @rechalmsuya2829
      @rechalmsuya2829 3 ปีที่แล้ว

      Dada bure huyu nilikuwa namuona wamaana kumbe hamna kitu

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @ahmedhernandez6967
    @ahmedhernandez6967 3 ปีที่แล้ว +6

    Hata usipompenda ww diva hatopungukiwa,

  • @chollejr_
    @chollejr_ 3 ปีที่แล้ว +3

    Diva umbwa t 🤣🤣 uzungu who? Uzungu where? Maninaa

  • @lulugora2712
    @lulugora2712 3 ปีที่แล้ว +3

    Hata mimi sikumbuki

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 3 ปีที่แล้ว +14

    SHE IS ALWAYS SNITCHING! THE WORSE EMPLOYEE EVER SIGNED BY DIAMOND!!

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +13

    Kumpenda mtu sy maneno ni vitendo

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa,maneno ni dhiada tu

  • @xuddywayy7345
    @xuddywayy7345 3 ปีที่แล้ว +7

    Mnaongelea King kama nani?

  • @mayahassan1330
    @mayahassan1330 3 ปีที่แล้ว +6

    Ila we dada umezingua sana alafu nyie watangazaji ovyo kbsa yan baada ya kuona kimeumana ndo mnamuitia interview siku hiyo hiyo si mngemuacha baada ya wiki ona sasa ajakwambia ulichokua unakitaka

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +1

    Hesha buhet anaelekea anadeka saana yu onekana kabisah

  • @mwanasharashid7417
    @mwanasharashid7417 3 ปีที่แล้ว +3

    Unafki tu😏😏😏😏😏

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani buheta wanichekesha

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 ปีที่แล้ว +2

    Kigagula vipi ww na familia ya kiba

  • @bilikhamis8963
    @bilikhamis8963 3 ปีที่แล้ว +6

    Et nimwambie mume Wang nakupnd mh atakwmbia ume elewa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @frankforeheads7240
    @frankforeheads7240 3 ปีที่แล้ว +2

    Hamnamo kitu huyu dada

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 3 ปีที่แล้ว +2

    Kigagula una maswali ya kijinga kwani unataka watu waachane

  • @bernadphilipo1013
    @bernadphilipo1013 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanafiki

  • @activestudios.
    @activestudios. 3 ปีที่แล้ว +3

    Switching SIDES damn snitch