MBUNGE AMLIPUA GWAJIMA BUNGENI "ANGEKUWA MAGUFULI, UNGEKATAA?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • MBUNGE AMLIPUA GWAJIMA BUNGENI "ANGEKUWA MAGUFULI, UNGEKATAA?"
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 48

  • @LyimoKamili
    @LyimoKamili 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuti Mungu na kuti Mamulaka hilo ni kweli kabisaaa .....Gwajima Amekosea sana kwa Mungu na kwa mamulaka ....Aombe Musamaha na ..ache ..na amue kutumikia Mungu au siasa ...Amechanganyikiwa kwa sasa

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 ปีที่แล้ว +5

    Safi saàaana, huwezi changanya dini na Siasa, kama vipi aendelee kuiba Sadaka kanisani , Nchi ishaanza kupumua ,Sisi walimu tunacheka tu sasa maana tulikuwa kama tuko mahabusu ,tulieni tu Dawa iwaingie nyie msiomkubali Mama Samia, Kazi iendelee

  • @josephatmbise3707
    @josephatmbise3707 3 ปีที่แล้ว +4

    Sio kila mamlaka yanatoka kwa Mungu...

    • @zebedayoloilukumai.8813
      @zebedayoloilukumai.8813 3 ปีที่แล้ว

      Josphat umesema kweli, kuna mamlaka zingine za ibilisi

    • @salvatorymtunga2802
      @salvatorymtunga2802 3 ปีที่แล้ว

      Gwajima hajielewi, dini asitumiwe kama kings yako, huo ni uelewa mdogo.

    • @salvatorymtunga2802
      @salvatorymtunga2802 3 ปีที่แล้ว

      Ukialikwa kwenye harusi usikae kiti cha mbele

  • @suzanaagustinookelo4953
    @suzanaagustinookelo4953 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu wewe baba hujui hulisemaloo wewe angekuwepo baba waala atungechanjwaaa

  • @sankat4428
    @sankat4428 3 ปีที่แล้ว +4

    MTU anatumia nyumba ya mungu kuchamba watu

  • @fbensony
    @fbensony 3 ปีที่แล้ว +1

    kuongea kwake kunatoa ushahidi kuwa umelelewa kinafiki

  • @robertlubhungira1160
    @robertlubhungira1160 3 ปีที่แล้ว +3

    Unatafuta kubwebwa badala ya kusema ukweli....unafiki hautakufikisha popote, wapiga kura wako tunakuangalia

  • @pascalcileya3842
    @pascalcileya3842 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona bado mnavaa barakoa na mmesha chanjua ?

  • @sankat4428
    @sankat4428 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa kaongea ukweli na point tupu safi sana

  • @gongorozamoyoni5918
    @gongorozamoyoni5918 3 ปีที่แล้ว +2

    Hata sijui unazungumzia nini. Msikilize gwajima vizuri. Usilopoke mbunge. Gwaji boy hajasema rais asifanye kazi yake. Anataka vitu tofauti na unavyofikilia wewe.

  • @mbarakambuguni3228
    @mbarakambuguni3228 3 ปีที่แล้ว

    Kaaa hatukuelewi

  • @josephatmbise3707
    @josephatmbise3707 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu anajipendekeza tu...

  • @samuelkimaro5138
    @samuelkimaro5138 3 ปีที่แล้ว +2

    Wakati mwingine jisikilize unachokiongea maana hujui alichokisema Gwajima nanukuu alisema tusikubariane na mambo amboyo wazungu wanatuletea tuzichunguze kwanza sio kwamba tusipige chanjo ila tusubiri kuona matokeo ya chanjo kwanza na sio kukimbilia chanjo ambayo haijachukua mda mrefu kwenye majaribio sasa hizo chanjo zimeanza kutumika kwa binadamu bila kujua kitakachotokea baadae

  • @evcloudjuma9790
    @evcloudjuma9790 3 ปีที่แล้ว

    Hawa ndio machawa promaxx!unamnadi boss hata asipostahili kunadiwa

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakati wa magu alikua kimya.

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 3 ปีที่แล้ว

    Nyie wabunge ni manyumbu kweli sabab.kumhoji mlimhoji kwa siri waandish wa habar mliwafukuza. Imekuwaje sasa Leo mnalijadili bungeni. Leo nipo upande wa mbowe katiba mpya lazima

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 ปีที่แล้ว +1

    Acheni nidhamu ya uoga mbona hamjajibu maswali ya Gwajima juu ya hiyo chanjo..Gwajima atawavuruga soon mkimbiane

  • @alfredmillinga7462
    @alfredmillinga7462 3 ปีที่แล้ว +2

    Acha ujinga raisi hayupo juu kuliko Mungu'safari hii watanguka watu kama mafenesi chekeni tu

  • @salvatorymtunga2802
    @salvatorymtunga2802 3 ปีที่แล้ว

    Kiburi siyo maungwana

  • @mdimimdimi4282
    @mdimimdimi4282 3 ปีที่แล้ว +2

    Wew mbunge tahira xn

  • @josephatmbise3707
    @josephatmbise3707 3 ปีที่แล้ว +2

    Nonsense...

  • @josephmswalala3568
    @josephmswalala3568 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwani mbona mtu akipinga chanzo mnamtuhumu , lkn nyie mnataka tuchanje mbn hatuwahukum

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe baba unaongea ujinga tu

  • @suzanaagustinookelo4953
    @suzanaagustinookelo4953 3 ปีที่แล้ว +1

    Na ndo msitulazimshaa chanjooo mchajeee wenyeweee na familia zenuuu kipindi magufuli yupo mbona hakusema hayo yoote

  • @filbeetrwekaza7278
    @filbeetrwekaza7278 3 ปีที่แล้ว

    wew

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 3 ปีที่แล้ว

    Yani gwajima Na slaa.angekuwepo magufuli ungekuta wako magereza au wamepotea.

  • @rokoowilfred2318
    @rokoowilfred2318 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ndio wabunge wetu? Ushabiki chuki nyingi

  • @rokoowilfred2318
    @rokoowilfred2318 3 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeee

  • @mosesembughi4284
    @mosesembughi4284 3 ปีที่แล้ว

    We mbungu kupe tu we unapata pesa kupitia korona .ww unamjuwa mungu ww so washetani .kachanje na watoto wako.

  • @JKGJICHOMAKINIONLINE
    @JKGJICHOMAKINIONLINE 3 ปีที่แล้ว

    Endeleeni kuchanjwa mkiwa zombi tuwapige mawe🦾

  • @deusmichael2290
    @deusmichael2290 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni Bahati mbaya sana ww umeshachanjwa hivyo vumilia tu huna namna nyingine maana huwezi kuitapika wala kuitema,tuombe Mungu isiwe na madhara, hiyo ongea yako yote ni kutafuta relief ya moyo wako juu ya inferiority complex inayokutafuna..

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 2 ปีที่แล้ว

    Gwajima asingesema kama Magufuli angekuwepo kwa sababu Magufuli pia alikataa toka mwanzo. Kwa nini hamkutoa mawazo hayo Magufuli alipokataa kuhusu Corona. Alikataza issue zote kuhusu Corona na viongozi wote mlifyata mkia. Wanafiki nyie. Mlishindwa kumshauri rais Magufuli sasa hivi mnapata vichwa vya ujinga. Mbona maswali ya Gwajima hamkujibu

  • @josephmswalala3568
    @josephmswalala3568 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mbunge kichaa kabisa

  • @rokoowilfred2318
    @rokoowilfred2318 3 ปีที่แล้ว

    Ubunge sio lazima chama mwenyewe

  • @suhamdistributors5934
    @suhamdistributors5934 3 ปีที่แล้ว

    Wekeni hakiba ya maneno waheshimiwa,uzakendo muhimu

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Huyu Anaongea nini Mbona Hiii Nchi Inawatu Wapumbavu sana?

  • @robertlubhungira1160
    @robertlubhungira1160 3 ปีที่แล้ว

    Siku zenu zinahesabika

  • @sumaidgasto4721
    @sumaidgasto4721 3 ปีที่แล้ว

    Rais wa nchi ni kama meno ya ndovu, ngozi ya chui au nyara ya serikali yoyote lazima atetewe na kila mmoja

  • @filbeetrwekaza7278
    @filbeetrwekaza7278 3 ปีที่แล้ว

    na magufuli alikataa chanjo